AFANDE MILLANπ Sehemu ya 11 na 12
Mwandiishi; LISSA
Basi nikaona zena kamnyanyua yule mtoto kisha akambeba ,ni amefanana nae sana ,nikajua ni wa kwake tu yani ni lazima utu mtoto atakuwa ni mwanae, kisha akanigeukia akanmbia wewe naomba uende unangoja nn apa , mi nikamungalia sana uyu demu, nikasema sikia nikwambia zena, hivi hujiulizi kwamba nimepoteza mda wangu wa kiasi gani ,uko nilipotoka , nimeacha mambo yangu yote ,na nikakufata apa wewe, na nimekuja apa kwa dhumuni la kutaka heri, yani tusamehane ,mana mm nna uwakika nilikukosea wewe zena, na wala sio suala lengine, na hiii yote ni kama binadaamu mwenzako na ubinadamu na utu wangu kwako , ila kila nikijitahidi kutafuta suluhu na wewe unakuwa hutaki , unahisi mm nafanya drama , mbona unakuwa kama sio binti wa kiislamu bwana, mana sisi waislamu hatutakiwa kuwa na vinyongo, na unampomkosea mtu unatakiwa kumuomba msamaha, na ndo nnachokifanya mm, mbona wewe kunipa msamaha imekuwa ngumu sana mama, apo nikaona zena kanyamaaza kimya kama anawaza kisha akaniuliza, kwaiyo wewe unachokitaka kwangu ni msamaha sio, nikasema ndio, akanambia sasa sikia, okey nimekusamehe ondoka zako, mh mtoto analinga uyu , ngoja siku ajichanganye aingie na mm room ,ata maji simpi shenzi zakeπ€£π€£π€£π€£π€£ππππ, nikasema powa uyu ni mtoto wako? Akanmbia bwana maswali ya nn ebu nendaa sitaki kelele mimi
Nikasema powa ,nikavuta pochi nikatoa elfu 10, nikawa namshikisha yule mtoto, na yule mtoto akafurahi nakwambia , si cha kike, wanawake na hela tenaa, akaipokea uku ananichekelea kweli, nikamwmabia basi iyoo ni zawadi nimependa kumpa mtoto, zena akanmbia aya nenda zako , nikasema powa kweli mi nikasepa ata ndani sijakalibishwa wadauπ€£π€£π€£ππππ, daah demu jau uyu, ila sasa uku mwishoni niliona hajapanic sana nikaona uyu nikikomaa nae nakula mzigo kabisa apa, basi bwana mie nikaludi zangu home, sasa kuanzia apo nikawa nampigia sana uyu demu, yani kila siku ya mungu lazima nimpigie simu, kuna mda nampigia hapokei, kuna mda nampigia ananichamba, ila nilichokuwa najipa imani hakuwa ameniblock , nikasema uyoo ataingia tu kwenye 18 zangu, hivyo yani, bwana bwana mnakumbuka kuna demu si nilimtafunaga kisa baba yakee mzee mushi asifungweee, oyaaaaa acheni ,yule mzeee kesi yake ilifika mpaka mahakamani sasa wakaanza kupmabana uko, ahaaa yule demu akanitafuta akawaka kinoma, et mimi mshenzi, et mm ni mnyanyasaji, mana nimemtumia na mzee wake sijamsaidia, nikamwambia tulia wewe, sheria ifate mkondo wake, alafu sijakutumia, tumetumiana, we hujakojoa kwani, ahaaaaa yule demu alijuta kunijua tena nilimwmabia ukiendelea mi nahakikisha mzeee wako anachukua miaka minge jela hutaaamnin, basi yuke demu akakakausha, na ndo nnavyowafanyiaga mademu wote wenye shobo shoba mamae,
Basi bwna siku iyo sasa, nikiwa kazini naongea na mwanangu ibraa, nikamwmabia oyaaaa yule demu anaeitwa zena hakuna kitu kumbe mule, ibraa akanmbia kwa nn amefanyaje yani, nikasema mi nilifosi mpka nikapajua kwake na nikaenda kabisaa ,khaaaa et ana mtoto mwanangu, tena ana motot mkubwa sijuh mika minne sijuh 5 yule,asa mi demu akishakuwa na mtoto ananikata kinoma, ibraa akaningalia akanmbia we jamaa we mbaguzi ewe, we apo ulipo una watoto 5 , ayaaaa inakuwaje iyo, nikasema mm mwanaume natafuta babu, ibraa akanmbia we mchoyo kumbe , hutaki kuhudumia watoto wa kambo, lakini we si unamtaka zena for sex only, au ulikuwa na mipango mengine zaidi ya apo, nikasema noo sex tu, yani nikimpata tu kwisha habari yake, ibraa akanmbia sasa tulize presha we mtoto wake hakuhusu, alafu ukitaka kuwapata wanawake masingle mothers kwa urahisi, we jifanye unampenda sana uyoo mwanae, yani jifanye unampenda kweli kweli, mpelekee ata zawadi yani hawezi kukukazia we ukishakula mzigo unasepa zako tu, au kipengele kinakuwa nini apoo, nilicheka nikamwmabia we jamaaa una akiri sana , ngoja nianze leo,
Basi kweli bwana ,usiku nilivyoludi home ,baada ya kupiga msosi, nikampigia zena apo nawaza sijuh leo atapokea ama vp, ila wala hakuzingua akapokea bwana, akasema hallow, nikasema yes mambo mrembo, aknmbia ebu seme shida yako ,nikasema yani leo zena sijisikii kabisa kuonge na wewe, ila nimejikuta natamani sana kuongea na mtoto wako, zena akanmbia kalala, ila sasa si namsikia mtot anasema.nipe niongee nae mama, nataka kuongea naee, yani kama vile mtoto anataka kuongea na mimi mpaka ile analia si mnaelewa watoto waking'ang'ania kitu, basi bwana, nikamwambia acha roho mbwaya wewe, mbona namsikia mtoto anataka kuongea na mimi kabisaa, alafu wewe unanambia kalala, sio sawa bwana ebu mpe simu niongee nae, ahaaa akampa bwana, basi nikasema hallow mrembo mtoto, nikamsikia anacheka dooh nikajua katakuwa kamaraya aka katotot wallah, et kumuita mrembo akafurahi kweliπ€£π€£π€£π€£π€£πππππ
Nikamuuliza unaitwa nani mtoto mzuri ,akanmbia naitwa ummy, umu, chumu, mh nikamuuliza ayo majina yote yako, akanmbia ndio, nikasema jamani mi ntakuita ummy tu sawa mtoto mzuri ,akasema ndio , kwani wewe nani? Nikasema mm baba, mimi ndo baba yako, akawa anacheka etty, yani kanapenda kucheka kweli aka katoto,nikamuuliza unasoma, akanmbia bado siendi chule ,sina begi, nikamwambia jamani nikija ntakuletea begi basi na utaenda shule, aknmbia sawa na uniletee zawadi ya juice na mdori, na viatu , nikasema sawa mama yangu umepata siku nikija nakuleteaa vyote basi namsikia anashangilia kweli kweli.kama ameshavipata, eeeh nashngaaa simu imekatwa, nikajua basi zena kachukua simu kaikata ili nisiendlee kuwasilaiana tena na mwanae., ila sasa ikawa ndo mchezo wangu, nikimpigia simu naomba kuongea na mwanae, siju nyengine napewa siku nyengine nanyimwa hivyo hivyo yani, basi ikakata kama mwezi mi naonge sana na yule mtoto, yani namwambia ntaenda ntakuletea zawadi ila sasa kazi zinanaibana sanaaa, nashindwa kwenda , nakumbuka iyo siku nililudi saa 5 usiku nyumbani nimechoka sana , hiii siku nilikuwa na kazi sana ofisini, kwaiyo nimeludi nimechoka kama chizi, nimefika ata kula nikaona shida, nikaingia bafuni nikapiga maji, nataka kuja kupumzika naona simu yangu inaita alafu nacheki mda ni saa 6 za usiku, mhhh nikashangaaa nani ananipigia huu mdaa , nikasogeleaa simu nikaishika mh nashangaaa nakuta ni zena ndo ananipigia, nilishangaa hii siku mna ndo ilikuwa mala ya kwanza tangu nimjue zena ananipigia
Mi haraka nikaivuta ile simu nikaipokea ,mh nasikia ummy ndo anaongea uku analia yani ila anagugumia, nikamwambia mrembo nn sasa shida ,aya nyamaza basi nyamaza mwanangu mzuri tuongee, akanmbia mama anasema nisiongee na wewe, mh nikamuuliza ndo unalia , akanmbia ndio na kanichapa, mh nikamuonea huruma yani mm nipo katika drama za kumpata mma yake ,aka katoto kaniona mimi baba yake kweli sijuh, nikasema ummy basi nyamaaza mwanangu, akanmbia njoo umchape , nikamwmabia okey nitakuja kesho nyamaza basi, nyamaza mwanangu mzuri, alafu lala, sa hizi ni usiku sana ,mimi nakuja kumchapa mama kesho sawa mwanagu, nazawadi zako zote nakuletea kesho sawa, basi namsikia yule mtoto anahema ila kwa kwikwi, akanmbia ndio baba ,bais nikakambembeleza pale akakubali, kisha nikona simu imekatwa nikajua ni zena ndo kakata hii simu, nikamtumia sms zena ,nikamwmabia kwani uyo mtoto akiongea na mm kuna shida gani mpaka unampiga, acha roho mbaya, zena akanijibu nawezaje kukuamini wewe mwanaume na wakati najua tabia zako , nashindwa tu kumzuia mwanangu asiwe anakutaja taja na kutaka kuzungumza na wewe, ila ni kosa langu kukubali na kumuacha kwa mala ya kwanza kuongea na wewe, mh nikajua mtoto ananitaja taha kumbe , sikumjibu mana nilichoka sana nikaweka simu pembeni mimi nikapumzika zangu.
Na kesho yake asubuh sana nilidamkia kazini, uko nikawa busy sana, ila niliwahi kutoka kazini , nilimuacha ibraa mana bado alikuw ana kazi, nyingi kweli kweli, mi nikaanza safari ya kuelekea nyumbani, ila nikiw anjiani nikakumbuka sauti ya kile kitoto ummy , nikaona daah ebu leo nikamuone kwanza, basi nijapitia duka moja la watoto lipo banana pale stand, nimamchukulia mdori, mzuri wa bei, nikamchukulia viatu pea 3, nilikadilia tu size ya mtoto wa miaka 4 , kisha nikachukua na gauni zuri , na juice ya kopo kubwa, na biskuti, nikambebea na begi zuri sana, nakumbuka pale ilinitoka kama laki 2, nikasema unyama hakuna shida, atalipia mama yeke.siku nikimkamata kitandani, basi bwana mwanaume nikaeda mpkaa kwa zena, nilivyofika hii siku nilikuwa mwenyeji, nikaulizia tu kwamba zena yupo, nikaambiwa ndio yupo ndani kwake, basi nikapita mpaka kwenye chumba chake apo nimebeba mifuko yangu ya zawadi baba wa mchongo tenaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππ
Basi bwana nikagonga mlango, akaj kunifungulia zena, alivyoniona akadelay kwanza ,nikasem mi mgeni wako nipokeeee , hee mala sindo ummy kanakuja kametoka njeee kamechafuka kweli kweli naona alikuwa anacheza, ahaaa livyoniona et akanijua uyu mtoto ,nilimshangaaa akanilukia kwa nguvu, kalikuwa kachafu ila sikuwa na jinsi ,si unajua watoto nikaweka vitu vyote chini nami nikamkumbatia kisha nikamnyanyua, ahaaa alifurahi sana uyu mototo yani sanaa ,akanmbia baba umekuja mchape mama ananipigaga uyu, mh kashanikalaili et baba, π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππ, apo sasa nikaomuona zena kaokota ile mifuko akaingiza ndani kisha sasa akatoka aknikalibisha , et karibu ndani, dooh sikuamini leo nimekalibishwa, kweli singke mother we mpende mwanae tu , mambo yote kwishaaaaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πππππππππππ
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni