Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
Gonga94 · Stories

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja.

Mchezo wa jana pamoja na matokeo kuwa suluhu umetupa picha nyingi za Dabi. Kwamba Dabi ni harakati na mbinu zaidi ya uwezo wa kucheza soka uwanjani. Kwamba kumbe kama Simba asingepelekwa Gwantanamo na waamuzi wasingetoka Hamelini ni wazi tena bila kificho kwamba Simba angeibuka na ushindi mnono.

Nimefurahishwa sana jana nilipobaini kuwa mashabiki, wapenzi na wadau wa soka wanaojitambua na wasiokuwa na roho mbaya na bila kujali wao ni wa upande wa Simba au Yanga waliongea lugha moja tu kuwa katika mechi hiyo Simba alicheza mpira safi, alitawala mchezo, na walistahili ushindi.

Linapokuja swali kuwa ni kwanini basi pamoja na kutawala mchezo Simba hawakupata ushindi, hapo ndipo tunapoangukia kwenye majibu mengi tofauti. Moja ya majibu ambayo ndiyo yalikuwa maoni ya wengi lilikuwa ni jibu la Mwamuzi au waamuzi. Ni kweli kuwa kuna namna haikuwa sawa katika kulikataa goli la Suleiman Mwalimu wa Simba. Unapolikataa goli ambalo uwanja mzima unaliona ni goli halali unakuwa unaiathili kisaikolojia timu husika; kwamba wachezaji wake wanajiona kumbe wanafanya kazi bure hata wakifunga tena goli linaweza likataliwe.

Tabia hii ya waamuzi kuamua matokeo ya michezo ya ligi haikuanza jana wala juzi, tabia hii imekomaa. Tunaweza kudhani tuna mabingwa au washindi wa halali wa michezo; kumbe sivyo. Nilidhani adhabu kali zaidi ziendelee kutolewa kwa waamuzi wanaoharibu mpira. Ni kweli kuwa ukishakoseshwa ushindi na mwamuzi hata yeye akiadhibiwa wewe uliyepoteza hupati kitu, lakini ni vizuri adhabu ikawa kubwa kiasi kwamba wewe mwamuzi na aliyekukodi mkae muijutie. Wengine wakiona mwenzao amefungiwa miaka 5 na adhabu ya milioni 10 hawatathubutu kununuliwa na kupoteza kazi na taaluma yao. Bila kufanya hivyo, kila siku wanyonge watakuwa wanaonewa.

Tukiachilia mbali Dabi na makandokando yake, niwatahadhalishe Simba kuwa kuanzia sasa wamejipalia mkaa. Katika michezo yao ijayo wajiandae kuwa hawatakuwa wanacheza na timu moja. Kama walivyokuwa makini Zanzibar akina Magori waendelee hivyo hivyo na ufuatiliaji katika viwanja vyote. Kama yaliyofanyika kwa Dodoma jiji ndiyo yeleyele yamefanyika Zanzibar, basi hayohayo watataka yafanyike Mkwakwani, Majaliwa na kwingineko.

Juu ya tahadhali hiyo, kwa viongozi, wapenzi na mashabiki wa Simba, chonde chonde tuwalinde wachezaji wetu. Mlindeni Chama, mlindeni Luemba, mlindeni Geuye, mlindeni Mpanzu, mlindeni Kapombe, mlindeni Rushine, mlindeni Kibabage, mlindeni Mwalimu, mlindeni Aoura, mlindeni Kassali, mlindeni Toure na walindeni wengine wote. Wale jamaa wameshajua kuwa timu hii inakuja kuwa tishio na habari ya mjini. Zitatumika kila hila kuwapoteza wachezaji hawa katika anga la soka nchini. Watapondwa kwenye mitandao, watasakamwa na vyombo vya habari, wataalikwa kwenye viwanja vya starehe, watazushiwa mambo chungu nzima, watalogwa, watapelekewa mijimama, watashawishiwa kwa pesa waisaliti timu n.k. Bila umakini wa ulinzi hii timu haitadumu hadi mwisho wa msimu. Tutawaona na hawa hawafai na tutasajili wengine wapya.

Sare ya Simba imetusaidia sana kujitambua na kutupa hamasa ya kutenda zaidi. Imetuondolea mawazo ya kuamini kuwa timu imeshakamilika hivyo hatuhitaji nguvu na umakini zaidi. Tungeshinda jana tungetawaliwa na njozi za ubingwa na kujikuta kesho tutastukizwa na kufungwa kizembe na akina TRA, Mbeya city na wengineo. Ni vizuri jana imenyesha na tumepaona panapovuja. Sasa tuzibe na tusilibe kabisa.

Tusijidanganye kuwa kutoa sare Gwantanamo wenyewe wamefurahi; laxima nao wanakwenda kujipanga upya. Usikute mechi ijayo tukapelekwa gereza jingine moto zaidi la Black Dolphin, CECOT, au tukaletwa hapa hapa jirani Ukonga kama danganya toto ili tujisahau tujilegeze watufunge. Mwendo uwe ni uleule wa man to man hadi kieleweke.

Pongezi nyingiii kwa wachezaji waliopambana, pongezi kwa kocha Barker kwa jitihada zake ndani ya kipindi kifupi, pongezi maalum kwa Mwenyekiti wa Bodi kwa usimamizi mzuri wa timu, pongezi kwa mashabiki na wapenzi wa Simba waliovuka maji kuhakikisha wachezaji hawawi wanyonge Zanzibar; na pongezi kwa wote waliobaki kwa maombi na michango yenu ya hali na mali. Hii ngoma bado kabisa. Haijaisha na haiishi mpaka iishe.

MUNGU IBARIKI SIMBA.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Distro kid Upload your music To day
Distro kid Upload your music To day
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???


Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja.

Mchezo wa jana pamoja na matokeo kuwa suluhu umetupa picha nyingi za Dabi. Kwamba Dabi ni harakati na mbinu zaidi ya uwezo wa kucheza soka uwanjani. Kwamba kumbe kama Simba asingepelekwa Gwantanamo na waamuzi wasingetoka Hamelini ni wazi tena bila kificho kwamba Simba angeibuka na ushindi mnono.

Nimefurahishwa sana jana nilipobaini kuwa mashabiki, wapenzi na wadau wa soka wanaojitambua na wasiokuwa na roho mbaya na bila kujali wao ni wa upande wa Simba au Yanga...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sare-ya-simba-ya-jana-ina-thamani-kuliko-ingeshinda

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sare-ya-simba-ya-jana-ina-thamani-kuliko-ingeshinda
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU*

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*

594
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8

276
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10

166
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9

147
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16

FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16

130
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.

83
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???

6

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.41K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.19K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.19K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.59K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.44K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.43K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.39K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.38K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.31K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
FROM BANGI TO BABY 💞💘  SEHEMU YA 16 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY 💞💘 SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Usiku wangu ulikuwa mzito sana, maneno ya D kusema kuwa Veda anatembea na wanawake wengi, niliyaamini kabisaaa Bila shakaa kwa maana Yeye tu hana mwonekano mzuri ametuna tuna hovyo anakuwa...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 9 na 10
@majario LIVE

Daaah nikaona mtoto kachomoa leo mana sio powa , ana vipengele sana uyu demu , ila unyama, hatachomoa kila siku, ni suala la muda tu, mana sijawahi kumtaka mwanamke ,...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21  na 22. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 21 na 22.
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media BASI nikapanda kitandani kwangu. Nikijutia sana nilichokifanya mana mh . Nilikuwa nasababisha ugomvi mkubwa wa wazazi mungu wangu. Yani mama yangu alikuwa anaachwa leo...

SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.??? Post Mpya
SARE YA SIMBA YA JANA INA THAMANI KULIKO INGESHINDA.???
@majario LIVE

Hatimae jana tambo za Dabi zilipata majibu kwa timu za Simba na Yanga kutoka suluhu ya bila kufungana(0-0). Kwa maana hiyo timu zote ziliambulia pointi moja moja. Mchezo wa jana pamoja...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 8
@majario LIVE

Zena akasema kwaiyo manager unataka kuniuza ama ni vp, yule manager aksema , naomba uelewe kuwa ukifanya kazi katika hii bar, mteja kukushika sehemu yoyote ya mwili wako ni kawaida,...

*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two*    *SEHEMU YA KUMU* Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU YA KUMU*
@majario LIVE

Jambo likawa lelelele, Yaani ni patashika nguo kuchanika, Kwa upande wangu Walahi nilikuwa nikifurahi tu, na amina alikuwa akilia tu nakuomba msamaha. Enzo wa watu mwaya akachukua muda wake na kumuelezea...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 9
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Mbali na ivyo zile zawadi alizo tumiwa Noela zilimuuma vile vile. Alihisi Noela hastahili vitu vizuri wala maisha ya kifahari. Alitaka kila kitu kiwe chake, wanaume wote wawe wake. Hata...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 6 na 7
@majario LIVE

Mwandiishi; LISSA Basi bwana , mwanaume wala sikuwa na shaka, kazi zote ambazo nilibakiwa nazo pale ofisini, nikamuachia ibraaa, na ukiacha ushikaji, mi bafo ibra ni mkubwa wake wa kazi,...

MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho Post Mpya
MY CRAZY BOSS 18 hadi Mwisho
@majario LIVE

MY CRAZY BOSS 18 " Tulishuka kwenye gari Erick alinishika mkono kisha tukaelekea ndani." "Hello dad, hello mom, Erick aliwasalimia wazee wawili wa makamo tuliokutana nao ndani". Muda wote nilikuwa...

What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~ Post Mpya
What a beautiful throwback from the music recording days of Bobby ~
@majario LIVE

A very young Dimple Kapadia and Rishi Kapoor — both just starting out — probably had no idea they were about to become such huge stars. There’s that innocent...

When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol Post Mpya
When you think of real Bollywood love stories, Ajay Devgn and Kajol
@majario LIVE

definitely come to mind. They’re honestly the perfect example of how opposites attract. Ajay is quiet, intense, and keeps things low-key. Kajol is loud, expressive, and full of life....

Post Mpya
*AAAAAASH BOSS ENZO* *season two* *SEHEMU Ya tisa*
@majario LIVE

Kwanza kitendo cha pully kumuona mama yake mzazi kwenye eneo ilo Tena gafla alijikuta akishtuka sana na pasi na kutalajia akajikuta akimuuliza kwa jazba. "Mama umekuja kufanya nini hapa?" Kila mtu akashtuka...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL SEHEMU YA 8
@majario LIVE

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Siku iliyofuata Asubui, Noela aliamka na kitu cha kwanza alichofanya ni kumtumia Salmon ujumbe akimuomba msamaha. Alitegemea atajibiwa lakini haikua ivyo licha ya Salmon kusoma meseji zote🥱. Sasa Dada watu akawa...

MY CRAZY BOSS 17 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 17
@majario LIVE

Haikuchukua muda sana , tuliwasili nyumbani kwa boss, tuliingia kiustaarabu sana na tulivyozama tu boss alianza kunionesha ukichaa wake. Alinisogelea karibu aligusanisha mdomo wake na wangu kwa fujo alianza kunipa...

 AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap Post Mpya
AMINATA,BINTI AGEUKA NA KUWA MTU HATARI BAADA YA KUTEKWA, AMEOKOA MAELFU YA WAAFRIKA | Movie Recap
@majario LIVE

Huyu binti hapa anaitwa Aminata na ana umri wa miaka 11 tu. Aminata alikumbwa na changamoto ya biashara ya utumwa. Na baada ya kutekwa hapa tunawaona wakiwa wamepelekwa katika soko la utumwa...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest