Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
17 Feb 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Alikuwa ni mwimbaji, mtunzi na mtayarishaji wa muziki kutoka India ambae alifahamika zaidi kama Disco King kwa kutengeneza muziki wa disco unaotumia ala za kielektroniki (synthesizer) kuwa maarufu katika tasnia ya muziki ya India, na aliimba baadhi ya nyimbo alizozitunga mwenyewe.
Alikuwa maarufu sana miaka ya 1980 na 1990 kupitia nyimbo za filamu na Alipata mafanikio makubwa ya kibiashara hasa katika filamu za Kihindi, Kitelugu na Kibengali. Muziki wake uliendelea kupokelewa vizuri hadi karne ya 21.
Mnamo Mwaka 1986, alitambuliwa na Guinness World Records kwa kurekodi zaidi ya nyimbo 180 ndani ya mwaka mmoja.
Bappi Lahiri alifariki dunia mnamo tarehe 15th February mwaka 2022 akiwa na umri wa miaka 69 kutokana na tatizo la kukosa hewa wakati wa usingizi ambalo kitaalam linafahamika kama obstructive sleep apnea, pamoja na madhara yaliyotokana na COVID-19, huko mjini Mumbai.
Daima atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa katika tathnia ya filamu Bollywood na India kwa ujumla.
WIMBO WAKE UPI AMBAO UTAKUFANYA USIWEZE KUMSAHAU HUYU NGULI ?
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Je wajua filamu ya Deadly Prey ya mwaka 1987 ilitayarishwa na David Trior ambaye alimpa nafasi ndugu yake Ted Prior kucheza uhusika mkuu(main character)
filamu iliyotengenezwa kwa bajeti ya chini sanaa kiasi mwanzo mwisho wa filamu jamaa alikuwa na kipensi tuu vibanda umiz...
MMMMMMMH UNIFANYE TARATIBU MM NI YATIMA❤️🔥 SEHEMU YA 01...05 Naitwa Leen ni mtoto wa kwanza kwa mama yangu nikifuatiwa na mdogo wangu wa kiume ambaye ni last born
Ibrahim tulilelewa na mama tu baada ya baba yetu mzazi kufariki kipindi nipo na miaka saba hapo mama yangu ndio ana uja...
Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952.
Alikuwa ni mwimbaji, mtunzi na mtayarishaji wa muziki kutoka India ambae alifahamika zaidi kama Disco King kwa kutengeneza muziki wa disco unaotumia ala za kielektroniki (synthesizer) kuwa maarufu katika tasnia ya muziki ya India, na aliimba baadhi ya nyimbo alizozitunga mwenyewe.
Alikuwa maarufu sana miaka ya 1980 na 1990 kupitia nyimbo za filamu na Alipata mafanikio makubwa ya kibiashara hasa katika filamu za Kihindi, Kitelugu na Kibengali. Muziki wake uliendelea kupokelewa vizuri hadi karne ya 21.
Mnamo Mwaka 1986, alitambuliwa na Guinness World Records kwa kurekodi zaidi ya nyimbo 180 ndani ya mwaka mmoja.
Bappi Lahiri alifariki dunia mnamo tarehe 15th February...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/bappi-lahiri-jina-lake-halisi-ni-alokesh-aparesh-lahiri-ambaye-amezaliwa-tarehe-27-novemba-mnamo-mwa
Maoni