YENYE KIRUNGU 💛 💚 ❤️ SEHEMU YA 08
NA MR AB
Jerry aliendelea kuninyonya ulimi ndipo ghafla yule mwenzake akaondoka kwa hasira kuelekea mlangoni
**
Haya mambo ni kama vile ukichaa, ilinibidi nimuachie Jerry na kusogea nyuma kidogo
“Vipi mke wangu? Haujanimiss?” Aliniuliza
“Jerry” Niliita
“Naam Anitha wangu”
“Ulipoingia ndani hujaona chochote?” Nilijikuta naropoka bila kujua madhara gani yanaweza yakatokea kutokana na swali hilo
Jerry aliangalia kule na huku halafu akapanua mikono na kuniuliza “Kivipi? Mbona sikuelewi, sijaona nini kivipi?” aliniuliza
“Aamh, I mean mbona sikuelewi?” Nilimuuliza
“Hunielewi?” Aliuliza akinishika kwa nguvu “Mke wangu umenisaliti?” aliniuliza kwa hasira huku akinitikisa
“Hapana sijakusaliti ila” nilisema
“Ila nini? Nambie hivi vitu ni vya nani” alinibadilikia upya
“Niliota ndoto ya ajabu mume wangu, kuna siku ulikuja hapa nyumbani ukaacha hivyo viatu na begi, lakini asubuhi sikuelewa kama ni ndoto au ni kweli embu niambie haujihusishi na mambo ya kishirikina?” nilimuuliza
“Hapana, sikiliza Anitha, kuna kitu nimeshajua, ila kwa sababu nimekumiss acha kwanza tufanye kidooogo, nina muda sana sijafanya” aliniambia.
Maneno ya Jerry yalinitia wasiwasi kidogo, nilimuomba akaoge kwanza ili awe msafi nimpe haki yake ya ndoa, wakati akiwa bafuni, mimi nilienda sebuleni nikamkuta yule Jerry Feki AkA Jerry Kirungu akiwa amesimama katikati ya Sebule anawaza sana
Nilimuita “Wewe” akanigeukia kwa macho yaliyogeuka kuwa mekundu kabisa kwa kuonyesha amekasirika
“Umekasirika?” nilimuuliza kijana yule akatikisa kichwa kumaanisha hapana hajakasirika. “Kweli?” Nilimuuliza akatikisa kichwa.
Nilimuangalia kwa muda alikuwa ‘Sexy' sana na ni mtu ambaye ana mvuto kwa kumtazama hivi, hata mwanamke yeyote angemuona lazima angemtamani sana kwa jinsi alivyojazia.
“I’m sorry huyu ni mume wangu wa ndoa lazima ukubalia iwe hivyo” nilimuambia kijana yule
Kijana yule alitikisa kichwa kukubali halafu akainama na kuchukua viatu halafu akaanza kuvaa.
“Unaondoka?” Nilimuuliza akanitazama kwa jicho la hasira kidogo, nilipata hofu, nilijua naye ananionea wivu labda ameshafurahia yale mapenzi tuliyopeana muda wa siku moja mbili.
Alipomaliza kuvaa vizuri alitembea taratibu kuelekea nje ila nilimfuata nataka kumkumbatia kidogo tu, mara sauti ikasikika nyuma yangu
“Vipi Anitha, una mapepo?” Ilikuwa sauti ya mume wangu ametoka bafuni na taulo, kumbe muda wote alikuwa anachungulia naongea na nani.
Nilimgeukia Jerry huku nikitabasamu “Hamna mume wangu” Nilimtuliza ila akawa anaangalia angalia kule sebuleni “Vile viatu viko wapi?” Aliniuliza mi nikakaa kimya “Nauliza viko wapi?” Alisema kwa hasira
“Twende ndani nikakuambie kitu cha kushangaza mume wangu” Nilisema
“Kitu gani?”
“Wewe twende” Nilisema huku nikisogea katika mlango wa kutokea nje nikaangalia yule mwenzake ameshaondoka muda mrefu na simuoni. Nilifunga mlango na kumkumbatia Jerry halafu tukaenda hadi chumbani.
Bado nilikuwa na wasiwasi lakini niliamua kumuonyesha ufundi ili ajisahau yale yote yaliyosibu nilimpa kimoja kwanza. Lakini sasa kwa kweli Jerry hakuwa fundi kama mwenzake, au labda kwa sababu ya maumbile, yule ana Kirungu ila Jerry hana.
“Mume wangu” niliita
“Nini?”
“Ulikuwa wapi muda wote mbona ulikuwa hupatikani?” niliuliza huku nikimpapasa kifuani “Niliogopa sana” Nilisema
“Oh, sorry, nina mawazo mengi ila najua kuna mambo ambayo nimeshaanza kuyaona mke wangu”
“Mambo gani?”
“Anita, nimezaliwa mwaka 1989 mkoani Tabora, ila kwa bahati mbaya mwaka 1994 familia yangu yote ilipata ajali nikabaki peke yangu kwa sababu niliachwa nyumbani kuwa kama mlinzi wa nyumba”
“Hayo yote ulishawahi nieleza, nataka unieleze ulikuwa unafanya kazi gani kwanini ulikuwa hupatikani muda wote”
“Naelekea huko, usiwe na haraka”
“Mh, ok”
“Kabla ya hapo kuna mambo ya kishirikina yalitokea nikiwa mdogo kama nilivyoelezwa na marehemu Baba”
“Kivipi?” Niliuliza huku nikianza kuogopa
“Watu wengi sana walichukuliwa misukule kijijini kwetu”
“Eeh?”
“Ndio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukule”
“Yesu.....” Nilipagawa huku nikiwaza mengi, hizo zilikuwa habari mpya kwangu, niliogopa sana maisha ya kishirikina.....JE NINI KITAFUATA?
USIKOSE
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni