MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47
Aseeeee nililudi mpka kwangu. Uko njiani ni fatuma tu ndo ambae ananipigia kweli kweli . Mi.wala sikuangaika nae na nilipoona usumbufu umezidi . Nikablock namba yake . Baada ya kufika kwangu usiku mama alinipigia simu . Akiniuliza juu ya maamuzi yangu. Nilimwambia mama mimi kuishi na uyo mwanamke najitesa tu . Na asa nikimuangalia mtoot naona moyo unauma sana so mimi kama mm nimeamua kuwa freee na maisha yangu. Na yeye awee free na maisha yake..kama atahitaji kuolewa na alex walee mtoto wao ni sawa . Kama atamnyima mtoto wake alex ni sawa. Yani ni yeye tu awe huru na mambo yake na mm nipo busy na mambo yangu na maisha yangu. Ndo nimeamua hivho mama nisamehe sana. Mama akanmbia sawa mwanangu siwez kukupangia japo .mimi na dada yako tulimpenda sana fatuma .ila kwa sasa usifanye haraka ya kuoa pumzika kwanza nikasema sawa mama ata hivyo sikuwa na plan ya kuingia kwenye ndoa haraka kabisa . Basi mi nikacheal zangu
Aseeee fatuma alikuwa anapiga skmu analia mnoo. Kila siku namba mpya nimsamehe nimludie tuishi ata kama nishampa taraka zote weee. Sikuweza.kwanza na ile nyumba ya kampuni mi nililudisha nikapanga tu ili kupamabna na maisha. Nilikata kabisa stimu ya kuwa na mwanamke ila perment we hapana. Japo ningetaka ningepata ila hapana. Ila kuna mda si unajua nyege zinajaaa. Na tafuta demu wa part time napunguza maisha yanaenda. Ayo ndo yakwa maisha yangu. Nikapambana sana na life mpkaa nikamaliza. Nyumba yangu. Apo naongea sana na lemi. Kuna mda asa week end naenda dar kwa lemi. Tunaingia ata club. tunapoa kidogo. Pombe nilikuwa sinywi kipindi nipo katika ndoa. Ila sasa nikaamza na kunywa ila nikawa natulia sasa kidogo sio.sana.kisha j pili jioni naludi kwangu life linaenda
Aseee kuna mdaa ulifika nikaanza kupata maumivu ya mgongo na kiuno tena. Yani ikawa inaniludia ile hali ya kipindi nimepata ajali. Au nikikaa mda mrefu wakati wakufanya kazi. Naanza kuumwa mgongoo ahaaaa nikaona apa nitafute hospital ya private. Mana kile kipindi nimepata ajali nilipelekwa hospitali ya kawaida tu ya serikali.so sikuwa na imani yao sana. Basi nikatenga week end moja nikaingia hospital . Nikaelezea shida zangu. Dr alikuw ani mbaba hivi. Akaniangalia sana. Akanipiga na utrasound n kila kitu. Akanmbia daah we bado kuna dawa hujupewa ila ntakupaa usiwe unapeta tena maumivu. Na kweli yule dr akanipa dawa. Kisha akaniuliza kwni ulipata ajali kubwa . Nikasema ndio .akanmbia lakini kuna issue nyengine apa nimeiona walikueleza juu ua uzazi wako. Mh uzazi tena nikaaa vizuri nikasema.hapana. akanmbia ni hivi naona una probability sana ya kuzalisha ww kwa jinsi ulivyopata madhara kwenye mfumo wako wa uzazi. Daaah nilistuka kinoma
Nikasema.dr unasema kweli. Akanmbia ndio siwez kukudanganya kijana. Nimeona nikwambia na hilo ili badae ukipata changamoto ya mtoto usije ukaacha mwanamke kumbe shida unayo wewe. Daaah nilijichukia gafra yani sina mtoto ata mmoja kisha napewa hizi habari za kwamba mm kuzlisha itakiwa changamoto .mh nikasema sawa. Nikauliza tiba. Akanmbia hakuna tiba ya hilo suala lako we omba mungu tu. Doooh nikaona nna kipengele wallah. Sikuamini kwanza nikaenda hospital nyengine . Nikawaambia wanichek kwenye duala zima la uzazi. Ila walinieleza vile vile kama kwa yule dr wa kwanza kuwa ile ajali imenileteaa effects kwenye mfumo wangu wa uzazi .daaaaah nilichanganikiwa sana. Hii siku nililudi nyumbani nikiwa na mawazo. sana. Hivi ntaonaje rahaa ya hii dunia bila ya kuwa na mtoto. Aseeeee na kama ningejua araina sio mwanangu basi ningezaa na fatuma. Ila ndo hivyo nilihisi ni wangu so tukaamia tulee kwanza. Kumpa distance . Mambo yanakuja kuwa kama. Hivi
Basi hili suala nikabaki nalo moyoni mwangu na lilichangia kuto kutamani kuwa na mahusiano permenent. Nikawa mwanaume wa kudanda danda sana . Leo na uyu kesho na yule.kesho kutwa na yule. Yani kutimiza haja za mwili tu basi. Maisha yaendeeleee. Ikawa hivyo. Sikuwa na furaha ndani ya moyo wangu. Nilikuwa na uzuni mnooo. Kwa mda wote uo. Nafanya kazi napata pesa. Najenga nyumba. Nafanya hiki nafanya kile.nachukua mikopo nafungia biashara. Ila najua kabisa .nikifa tu mali zote zinapoteea. Sitakuwa na ata wakunirithi yani. Niliamua kukikaushia tatizo langu . Yani nilifanya siri ata lemi sikumueleza kabisa.kuwa mm kutokana na ile ajari at kumzalisha mwanamke itakuwa mtihani. Wala sikusema mm
Basi ikapita mwaka .napambana na maisha yangu. Sitaki demu waperment kabisa. Sikui iyo ilikuwa ni j tano . Mida ya usiku kama saa 1 nimemaliza kipindi na wnafunzi pale mzumbe naelekea parking sasa niludi home nikapumzike. Nikiwa natembea sasa muelekea parking.Nikasikia mtu ananiita et dogo dogo we dogo. Khaaa nikasimama kwanza kuangalia nani aaniita dogo wakati katika iki chuo mm naheshimika mnoo. Nikageuka namuona michael. Yule jamaa ambae alikuwa mwanaume wa princess kile kipindi . Ambae alikuwa nae mwaka wa 3 pamoja. nikasimama kisha akasogea mpaka nilipo
Basi jamaa akafika mpaka nilipo aknmbia ahaa naona umekuwa leacture apa bwana.nikasema yaa brooh vp. Akanmbia fresh vp uko moro apa apa. Mana mm nimekuja kuchukua cheti changu leo. Nilikitelekeza tu. Nikasemaa aha fresh and yaah mimi nipo moro bwana napmbana. Akanmbia wanao wamekua sasa?. Mana niliona princess anawapost wakiwa wadogo sana. Na now sina namba zake . So sijaongea nae mdaa. Mh nikastuka nikamuuliza wanangu kivipi. Akanmbia kwani we na princess hamkumaliza shida zenu . Nikasema yaa na sina nnachokielewa kabisa. Akanambia daah we jamaa hauna laana ya yule demu kweli mana demu alikupenda kisenge . Si wengine tunaimba mpaka tunalia ana sema ye anampenda haji. Alafu na ww ukawa miyeyusha. Umemtia mimba demu yule. Ukakataaa. Akawa anaangaika na kuumwa mpaka chuo kimemshinda. Ila alikuwa na mapacha watatu yule. Nakumbuka wawili wanaume na kabinti. UMefanana nao kisenge. Asa nikajua tangu kwa mda ule .nikahisi mshaongea na princess na sasa unalea wanao. Nyie kwangu hii ilikuwa habari mpyaaa.
Nikasema kaka mm ndo nna watoto watatu. Akanmbia yaa wale wanao bila shaka kka.umefanana nao sana tu. Asa uyu wa kike. Kwani hujui. Nikasma hapana una namba za peincess. Michael akacheka aksema we jaamnaa jau kweli.asa mm sindo nimekuuliza kuwa una namba zake mana sijamuona mda.mi sina namba zake na sielewi chochote kumuhusu yeye kwa sasa. Ila powa bwana siku njema kisha jamaa akaondoka zake.aseee hii kwangu klikuwa habari tamu kinoma noma.nilimpigia lemi mda uo uo. Nlimueleza kuwa nimekutana na yule michael na alichonieleza. Lemi akanmbia kwani si ulinambia ile mimba ya princeaa sio yako.nikasema kaka itakuwa ni yangu. Alinambia katoa ila hapana hakutoa bila ya shaka. Uyu michael Kanmbia ana mapacha watatu .asee mwanangu nataka kukutana na princess. Nahisi nahitaji kuwaona watoro wangu. Lemi akanmbia daaah sijuh ata tunampatia wapi uyo demu
🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi