REAL LOVE Chapter 14
John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria
wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini
"devi umefuata nini hapa alisema john
"wewe ni nani hapa mpaka uniulize hivo
alijibu devi kwa jeuri sana
nakuuliza kwa mara ya mwisho umefuata nini hapa alisema john kwa hasira na dwvi nae hakutaka kukubari siku hiyo akanyanyuka na kusimama kisha akamwambia john
ullzoea sana kunigusa gusa sasa leo nataka tena uniguse halafu nikuonyeshe mimi ni nani nimesema wewe hauna mamlaka yoyote ya kuniuliza kitu hapa haya unasemaje alisema hasira zikimtawala haraka mr sanju. devi
akasimama kati yao na kuwaamulla
"vijana wangu hebu tulieni hamjui hapa ni ofisini mnaleta picha gani kwa wengine mambo madogo haya ya kukaa chini na kuzungumza yakaisha chuki zitaendelea hadi lini hebu kaeni
chini kwanza tuongee alisema mr sanju
"mzee mimi siwezi kuongea na huyu shetani hata nikiwa kaburini na nakwambia devi fanya. haraka uondoke hatujaruhusiwa kukupokea hapa alisema john kisha akafungua mlango n
kuufunga kwa hasira sana
upande mwingine katika nyumba ambayo fahima ameletwa alikuwa akizungumza na seven seblen hapo baada ya kunywa chai
mimi naenda kazini nitarudi baadae kukuangalia kish nitaenda nyumbani alisema seven
sawa lakini kwanini uniweke humu si ungenitafutia chumba tu na umenitoa baba anajua? alisem fahima
nimekuleta hapa kwasababu utakuwa salam kwa asilimia zote na kuhusu baba yako nishamtaarifu mapema kabla sijaja kukufuata muda sio mrefu atafika hapa ko usijan
alisema seven
sawa asante lakini ujue ninataka kufanya
biashara yangu kwahiyo naomba uniache niwe nafanya zangu biashara narudi nikimaliza alisema fahima, sevenhakufurahishwa ha
maneno hayo hata kidogo
fahima kila kitu unachokitaka hapa nitakupa
kwasasa pumzika kwanza uwe na afya nzuri kisha baadae ukiwa sawa ndo tutaongea kuhusu biashara nikufungulile ipi alisema seven nae
fahima hakufurahishwa na maneno ya seven
sikia sihitaji kufunguliwa biashara nawewe
hata kidogo pesa zangu nitazitafuta kwajashi
langu alisema fahima akikazia msimamo wake
kha hivi wewe unadhani ni rahisi hivyoo unaongea kirahisi rahisi tu alisema seven
nakwanini isiwe rahisi alisema fahima
ipo siku utajuwa tu kwanini ni ngumu alijibu seven kisha akanyanyuka na kuondoka zake huku akisindikizwa na macho ya fahima
upande mwingine katika maeneo ya magomeni
mzee fahad alionekana akivalia mavazi yake ya
gereji fundi magari na pikipiki akiwa chini ya gari
anatangeneza gari mara akagundua kuna kitu
kinahitajika dukani ikabidi atoke na kwenda mbele dukani kununua kitu hicho kifaa fulani hivi akanunua namuda huohuo kuna gari akaja na kusimama hapo kisha akashuka mdada
amaizing mrembo kwelikweli nje alikuwa mzuri
sana shida ndani ya roho sasa
mwingine alikuwa ni catherin
hatari si
alifika na kufungua buti ya gari na kufungu
akaanza kubangaika gari yake ilizima ghafla tu bila kujua sababu nint, mzee fahad alimuona binti huyo akihangaika ndipo akaja mzee fahad
habari yako binti alisalimia
salama shikamoo catherin alinyanyua uso wake na kumuangalia mzee fahad kisha akamjibu, mzee fahad alishtuka baada ya
kumuona binti huyo machale yakamcheza nikama anamfahamu lakini hajui amemuona
wapi badala ya kujibu salamu akabaki tu
anamshangaa
"baba nakusalimia alisema binti huyo
oooh marahaba hujambo binti yangu alijibu
sijambo naona umevaa mavazi ya gerej gari
yangu imegoma kuwaka gafla tu unaweza muniangalizia tatizo nini alisem cathe basi
mzee fahadi akaanza kulkagua gari hiyo
akagundua kuwa haina tatizo lolote ila tu kuna sehemu hapakuwa sawa akaweka sawa nakisha akamwambia akawashe gari hatimae gari Ikawaka
asante sana mzee wangu nikupe bei gani aliuliza cathe
hapana binti yangu usijari kuhusu hilo
nimekusaidia tu alijibu mzee fahad
asante sana baba yangu mungu akubariki
sana basi ngoja unipe namba yako siku nikiwa
na shida yoyote uje alisema catherin kisha akatajiwa namba na mzee fahad basi akamshukuru sana kuondoka mzee fahad
alibaki akiisindikiza gari kwa macho tu
upande mwingine john alikuwa akiongea na
simu lakini alikata baada ya kumuona seven
aklingia ofisini hapo alifurahi sana kumuona
alimsalimia na kumpa taarifa juu ya ugeni wa mwanasheria na devi basi seven hakuwa na wasiwasi hata kidogo akaongozana na john hadi
ofisini kwake kisha akamtuma secretar akawaite devi na mr sanju baada ya dakika mbili hatimae
wakafika
"karibuni sana wageni wangu aliwakaribisha
seven
asante kijana nilikupigia sana simu lakini
haikupatikana nimeona nikufate maana
najambo muhimu sana lakuongea nawewe"
alisema mr sanju.
mtandao unasumbua tu mzee wangu nimekuja hapa kukusikiliza alisema seven
nikuhusu ugomvi wenu uliotokea kati yako ya
devi nilitaka tuyaongee na kuyamaliza maana
sio vizuri kukaa na hasira muda wote alisema
mr sanju
ugomvi??? ugomvi gani??? alisema seven kwa mshangao kana kwamba hajui kilichotokea
inamaana mko sawa na devi? alisema mr
sanju
ndiyo tuko sawa mimi sina ugomvi na mtu labda umuulize huyo aliyekwambia tunaugomvi halafu aseme ni ugomvi gani alisema seven
bila shaka kabisa, devi alimshangaa sana seven
akawa anamuangalia kwa makini sana
aliniambia mfanyakazi wako devi na kwakuwa
mimi ni mtu wa busara nikaona isiwe kesi bora nije tuyaongee lakini kwakuwa umesema hamna ugomvi basi devi naomba utupishe kuna mambo yetu muhimu nataka kuzungumza na seven
alisema mr sanju basi devi kwa kubabaika
akatoka na huku akiwa anatafakari kichwani,
akawaacha mr sanju na seven wakiwa
wanazungumza
upande mwingine katika bar aliyopo mada agness alikuwa akiwahudumia wateja mara akaingia fatuma tena kwa mara nyingine,
alimuita egg kwa mazungumzo zaidi, baada ya
kumaliza kuhudumia watejaegg alirudi
kklichokuleta alisema eg
leo nimekuja kishari nakwambia mwambie
fahima nikimkamata atanijuwa mm nani maana kaondoka na bwana angu wakaenda kujichimbia kusikojulikana sasa mpesalamu alisema
fatuma
"wewe koma weeee hahaahahaha kwanza.
nicheke unajikuta mjaaanja mbona umeibiwa
sasa hahahahhahh halafu unakuja hapa
kunibwekea kwani si umfate bwana ako
umwambie arudi? ukiona hadi bwana ako
kakukimbia ujue wewe gogo upo???? kama
ungekuwa asali babj usingekimbiwa alisema
agness
unajifanya unamdomo sana nawewe dawa yako inachemka naondoka lakini moe salamu alisema fatuma kisha akageuka na kuondoka
"kwend uko usinitishie maisha kenge ulielaaniwa wewe hhaahahaaail०००००००००० kaibiwaaaaa uyoooooooooooo alisem agnes
huku akimzomea fatuma mpaka akatokomea
mijiti ya hovyoo hahahhaaa na badooo yaani
utaibiwa sana tu na nikimuona fahima mbona nitampasha habari na kumpa hongera kwa kumkomesha mbwa huyu shenzi kabisa
alisema agness huku akikusanya chupa za bia
na kuweka kwenye kreti ya soda,
muda isonga hatimae jioni ilingia seven alirudi
kisemvule ambapo alimuacha fahima aliingia akiwa na mfuko mkononi fahima wala hakumpokea alivomuona seven tu akanyanyuka na kuelekea chumbanu kwakwe nae seven akamfuata nyuma fahima akaingia chumbani na
seven nae akafuata
"hivi hata kunipokea umeshindwa utaishi maisha hayo hadi lini? kama msamaha ushasema umenisamehe sasa kwanini unanichukia unataka nini? aliserna seven
nataka kukaa mbali nawewe seven sitaki
kuishi nawewe alisema fahima
"hivi umechanganyikiwa eee nani kakwmbia
unaishi namimi hapa nani alisema seven
sasa umekuja kufuata nini hapa alisema
fahima
kwahiyo kuja kukuona ni tatizo sio yani kulona sura yangu tu ni shida basi niueee niueeeeee
niko hapa niue nikabe nife ukanizike ili usinione tena duniani niueeeee aiseeee alisema seven
kwa hasira sana huku akimsogelea fahima.
karibu kabisa na kukamata mkono wa fahima na kuuweka shingoni kwake kisha akaanza kujikaba huku mkono wa fahima ukiwa shingoni kwake, Ikabidi fahima ajitutumue na kuutoa mkono huo
kisha akamzaba kibao seven.
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi