Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
Gonga94 Β· Stories

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka

**"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven

usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa dawa zipo itatosha sana"" alisema mzee fahad

sasa huko kuna usalama kweli? alisema seven

mh kwenye swala hilo ndo nataka nilifanyie kazi nataka nifanye jitihada nipange chumba mwanangu aishi humo sitaki akae pale kabisa"" alisema mzee fahad.

"""basi baba nakuomba kwenye suala la chumba niachie mimi nitamtafutia nyumba nzuri ya kuishi kama huko hakuna usalama maana bado anahali mbaya sana anatakiwa uangalizi mno nipe siku ya leo tu mpaka kesho nitakuwa nishaipata mzee wangu alisema seven

***dah asante sana kijana wangu asante sana mzee fahad alishukuru sana basi seven akawaambia waingie ndani ya gari awapeleke nyumbani wakaingia lakini upande wa fahima alikuwa amekasirika sana, lengo la kutoka hospitari hapo ni kuepusha mazoea kati yao na seven lakini alichukia maamuzi yake kwakuwa amefeli badala ya kuepusha mazoea ndo

kwaaanza yanazidili mpaka kufikia hatua ya kutafutiwa nyumba alichukia sana hakumpenda seven hata kidogo, basi safari lanza kuelekea nyumbani kwa mzee fahad

huku nyumbani kwa mama seven hali yake. ilikuwa sawa kidogo

seven kaenda wapi" alisema mama seven

amesema kuna mgonjwa wake hospitar ameenda kumuangalia" alijibu sarafina

mgonjwa? yupi?" aliuliza mama seven

hatujuu alijibu selina

mnabidi muwe makini sana na kaka yenu sasahivi hayupo sawa kabisa" alisema mama seven

"""sawa mama alijibu selina

vipi hao wengine aliuliza mama seven

***mama kwaasilimia zote nikweli cathe anatoka na devi kwanza hawana hata wasiwasi kabisa alisema selina

km hata mimi nimeona kwahiyo seven. kachukua uamuzi gani aliuliza mama seven

kaka seven amesema vilevile tu mama sijui anamaana gani alisema selina

bado hayuko sawa muacheni kwanza atakapokuwa sawa nitaongea nae mwenyewe kipindi hiki muacheni alisema mama seven

sawa na amesema atakuwa analala hapa alisema sarafina

"""ndomana nawaambia bado hayuko sawa ile familia sasahivi tuweni nae makini sana maana hata mimi siwaelewi tumepata hasara sana tu alisema mama seven,

sawa mama na daktari amesema hautakiwi kuwa na mawazo mama alisema sarafina "sawa" alisema mama seven basi wakaendelea kuzungumza story zingine

upande wa wazazi wa cathe muda huo jioni mama cathe alikuwa chumbani kwake na mumewe wakijadili kuhusu uchumba wa cathe na seven

"""lakini mume wangu mimi namuamini sana cathe hawezi kufanya hivo alisema mama cathe

sijakataa ila nakwambia tu usimuamini. catherine kumbuka bado kijana ujana mwingi mke wangu ndimana nakwambia usimuamini sana lolote linaweza mutokea si unajuwa mimi siongei sana alisema baba cathe

lakini sio kwa cathe nimelea mwenyewe mwanangu alisema mama catherine

*sawa vipi calor anarudi wiki hii au aliuliza baba catherine

*jana niliongea nae kasema wiki hii anaingia tanzania na sijui kama akaikuta hili balaa itakuwaje maana namjuwa calor alivyo mkotofi alisema mama cathe,

"""sasahivi ashakuwa anyways naenda posta apo mara moja alisema baba cathe basi waliagana na mkewe kisha wakatoka

huku nyumbani kwa mama fatuma alikuwa akipika huku akiimba nyimbo za hapa na pale ndipo fatuma akatoka ndani humo akiwa ampendeza sana alivaa kigauni kifupi mno kilichoweka wazi mapaja yake usoni alijipodoa akapodoka vizuri

"""haya safari ya wapi alisema mama fatuma *"marna bhana kuna inshu muhimu naenda kufatilia: alijibu fatuma

inshu au kwa bwana ako na ukirudi hapa nataka elfu 20 lasivyo usirudi'" alisema mama. fatuma

***mama jamani sasa kama hiyo ndo ananipa mimi je alisema fatuma

**"ndo utanipa yote alijibu mama fatuma

lakini mama so vizuti ah alisema fatuma huku akipiga hatua za haraka haraka kuondoka huku akimuacha mama yake akisema

nyooooo mtoto mbwa wewe et ah nyooo na usirudi bila pesa hapa alisema mama fatuma Jamani alipenda sana hela kwa pesa usimwambie, akaendelea kupika huku akiimba imba mara ghafla alikuja fatuma mbio sopidiiiiii &&&&& mpaka mama fatuma akataka kukimbilia ndani kwa mshtukoo

***weee mtotooooo weee niiiiini jaman tunashtuana kama hivo nini sasa ah**" alisema mama fatuma huku anahema

***mama nimewaona fahima baba na mkaka

mmoja hivi mzuriiiii he mungu wangu sijapata kuona wanakuja mama hapa siondoki tena

nataka

niiihiqueeee mpaka uvo mkaka kuona wanakuja mama hapa siondoki te nataka nijibinueeee mpaka uyo mka anitongoze he alisema fatuma mane yalimtoka mfululizoooo bila kupumzika man fatuma nae alishtukaa akataka kuşbu lak alishelewa tayarugeni ukaingia mzee fah fahima na seven aiseeeeeee mama fatuma alivyomuona sew kamoyo kakashtuka kidogo maana alikuwa kijana mzuri sana white boy mrefu me wake ulikaa romantic jamani hakuwa na nde hata moje sinyos vizuri nywele zake zili kutokana ma mafuta mazuri anayotumia kupa nywele siipendeza sana mkononi sims vyema fahima kitu ambacho kiliwakera sam mama fatuma na mwanae

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*


walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka

**"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven

usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa dawa zipo itatosha sana"" alisema mzee fahad

sasa huko kuna usalama kweli? alisema seven

mh kwenye swala hilo ndo nataka nilifanyie kazi nataka nifanye jitihada nipange chumba mwanangu aishi humo sitaki akae pale kabisa"" alisema mzee fahad.

"""basi baba nakuomba kwenye suala la chumba niachie mimi nitamtafutia nyumba nzuri ya kuishi kama huko hakuna usalama maana bado anahali mbaya sana anatakiwa uangalizi mno nipe siku ya leo tu mpaka kesho nitakuwa nishaipata mzee...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/real-love-sehemu-ya-kumi-na-moja

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi real-love-sehemu-ya-kumi-na-moja
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.15K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.1K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

368
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

233
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

209
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

64
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

25
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

10
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

3
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest