Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa zayd sawa vp uko powa . Yani kuna jinsi mpaka nilipata kigugumizi baada ya kumuona zayd. Zayd akanmbia tunaweza tukapanda juuu ata tuzungumze. Nikasema sawa. Basi akanishika mkono. Nikapnda nae juuu. Ananukia likaka hili .mipafyumu ya kiislamu ile. Basi nilivyofika nikakaa pale . Tulikuwa wawili tu .kwa meza tuliyokaa. Zayd akanmbia nikuagizie zaidi .nikasema hapana zayd mimi nimetosheka kiukweli.

Akanambia dah umezidi kuwa mzuri faridaah. Nikasema.asante na ww umezidi kuwa handsome. Akatabasamu. Akanmbia daah kaka ako jau yule ndo akakuhamisha kabisa. Akanipepelushia ndege wangu mzuri. Anayevutia . Nikacheka.nikasema yule wala sio kaka yangu. Ni mwanaume wangu. Ndo anataka kunioa na ndo kila kitu katika maisha yangu. Nilitaka kumvunja moyo mapema mana niliona kama anaonesha dalili mbaya. Akanmbia ooh nilihisi hilo tu . Mana jamaa na wivu sana ..nikacheka . Akanmbia ila mbona mkubwa sana kwako. Nikasema ndo nampenda sasa. Akanmbia ooh sawa bwana hakuna noma. Na hongera. Vp unaishi uku now.nikasema no nasoma muhas. Akanmbia kumbe nikasema yes. Akanmbia sawa si wengine tulikataa kuendelea na chuo tumeingia kwenye biashara

Nikasema sawa hakuna shida na hongera tu. Akanmbia naweza kupata namba yako ya simu. Nikasema sawa unaweza wala usijali . Na nikampa namba kweli. Basi tukaongea sana. Anavyoongea kisure sasa. Yni mkaka ana swaga uyu. Wala sikujutia kukaa nae pale. Basi mapka saa 8 tupo pale . Anaagiza tu wine za bei mbaya zile anakunywa taratibu nami nilikuwa nakunywa ila sio kama yeye..

Akanmbia tucheze basi kidogo. Nikasema ahaa mi ata siwez. Akanmbia twende bwana chini faridah unajua mm leo kukuona nimefurahi sana wala sikuwa tegemea kama ntakuona tena.TWENDE bwana tukacheze si unachngamka kidogo nikasema sawa. Basi akanishika mkono tukaludi chini uku ndo watu wancheza sasa kule juu ni kwa kupoa na kufanya maongezi . Bwana na sisi tukaingia kati kabisaa. Basi tukaaanza kucheza taratibu mziki uliponoga sasa . kaka alikumbatia aswaaa . Alinibambia mnoo. Kuna mda mkono wake unafika mpak kwenye maziwa na mie wala sikuwa namkataza . Nasikia rahaaaa. Mala kanishika kiunoni .mala aknikamatia matako.na vile nishastua kidogo. Wala sikuona shida. Basi tukacheza mpka saa 10. Nikamwambia nimechoka sasa . Nataka kuondoka.akanmbia sawa umekuja na rafiki yako yule sio. Nikasema ndio. Akanmbia ngoja niwaludishe basi. Kweli mie nikamstua angel. Bwana akatupeleka mpaka alipopark gar yake . Mkaka ana range safi kabisa nyeupe. Gari ya uwakika. Basi mie nikapanda mbele .angl akapanda nyuma

Kwanza tulimludisha angel kwake. Magomeni kisha sasa akanikudisha mie kwangu sinza. Akanambia amefurahi sana kuonana na mimi .nikasema asante .basi kaka akavuta pochi akanipa laki 5. Et hizo zitakusupport siku hizi 2 tatu. Mie nikachukua zile pesa nikasema asante nashukuru . Basi nikashuka kwenyye gari nikaingia ndani kwangu .nipo hoi. Nikijilaza . Nikaja kustuka saa 4. Ni vile ilikuwa ni j mosi hatuingii chuo wala sikuwaza. Nashika simu mlige kapiga mala 67. Ila mlige .🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌. Unapiga simu mala zote hizi jamani. Basi mie ndo nikampigia sasa. Aknmbia yani nilikuwa nataka kuja nakwambia .niache kazi zangu zote. Mama umezidiwa sana . Mbona ata hushiki simu. Nikasema hapana mume hizi dawa nimemeza jana zimenipa usingizi nililla tu. Basi akanipa pole sana . Akanmbia niende hospital sasa leo . Akanmbia nakutumia pesa apo. Ya hospital .na apo ndani nilikuwa na pesa katoka kunitumia juzi ya matumizi baba wa watu. Ila akanitumia tena laki 1 na 50. Niende hospital. Nikamwambia sawa. Na asante babay

Mie nikaweka simu pembeni nikajilalia zangu . Mana bado nilikuwa nimechoka jana si nimekesha nimekuja kustuka saa 8. Shoga ananipigia yani angel. Nyie angela akaniuliza ww dada unamfahamu kabaisa kumbe. Nikasema kabaisa ndo nani. Akanmbia si yule mkaka alotuludisha nyumbani . Ndo nikajua kumbe anamuongelea zayd. Nikasema.kheee kumbe ana jina lengine mnamuita kabaisa. Mm nilisomaga nae advance shule moja anaitwa zayd mbona. akanmbia daah mtoto una bahati ww. shoga uyu zayd anaogombaniwa sana na wanawake . Na si unaona alivyo handsome alafu ana pesa balaaaaa nakwambiaaa.

Oyaaaaa mi jana kupanda gari yake nimeona kama ndoto. Nikacheka nikasema makubwa so ww umemjulia pale pale club. Akanmbia ahaaa kabaisa anaendaga club nyengine na akiingia yeye club nzima mnachanganikiwa .alafu anaonekana kakukubali shoga usije ukaitupa bahati.nikacheka nikasema wewe tena ebu niache mie. Basi tukapiga umbe sna na shoga paleeee. Na nilipomaliza Nikaenda kuoga nikampigia sasa simu mlige. Na akapokea nikasema baby hellow. Akanmbia hellow mama vp umeenda hospital.nikasema ndio . Nna malaria na homa. Mlige akanmbia pole sana mke wangu. So ushaludi nyumbani .nikasema ndio ndo nimefika nyumbani apa akanmbia sawa basi pumzika . Baadaae ntakuchek.nikasema sawa .basi bibi mie. Nikakata simu. Ile nakata simu ya mlige na namb mpya inapiga. Mh mie nikapokea nasikia sauti ya zayd .akanmbia vp mrembo unaendeleaje.nikasema powa sijuh ww unaendeleajee. Akanmbia daah nipo powa ndo naamka now huwez amini. Nilichoka kinoma.

Nikasema dooh basi pole akanmbia sawa. Nasafiri naenda kenya leo jioni. nikiludi ntahitaji tuonane kidogo plsss. Nikasema sawa wala hakuna shida. Akanmbia sawa farida uwe na siku nje. Nimasema powaaa. Basi nikamalza kuongea na zayd nikaendelea na mambo yangu. Ila zayd mzuri nyie na bonge la handsome alafu ana pesa mnooo anaonekana . Mtoto mdogo anatembelea rangee. Acheni kabisa.tena kwa kipindi iko range ndo zinaingia hazijazagaa kama sasa hivi. Basi bwana. Bibie mie siku 2 najifanya kumdanganya mlige naumwa . Kuua soo tu. Mlige alinambia kabanwa sana mana form two wnafanya necta. Bila ya hivyo angekuja kuniona. Nikamwmabia wala usijali nishaanza kukaaa sawa. Akanmbia powa

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80



Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa zayd sawa vp uko powa . Yani kuna jinsi mpaka nilipata kigugumizi baada ya kumuona zayd. Zayd akanmbia tunaweza tukapanda juuu ata tuzungumze. Nikasema sawa. Basi akanishika mkono. Nikapnda nae juuu. Ananukia likaka hili .mipafyumu ya kiislamu ile. Basi nilivyofika nikakaa pale . Tulikuwa wawili tu .kwa meza tuliyokaa. Zayd akanmbia nikuagizie zaidi .nikasema hapana zayd mimi nimetosheka kiukweli.

Akanambia dah umezidi kuwa mzuri faridaah. Nikasema.asante na ww umezidi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-79-na-80

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.14K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.09K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

320
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

231
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

207
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

177
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

56
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

25
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

9
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

3

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.82K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest