Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
Gonga94 · Stories

MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Basi nilipomaliza kuvaaa. Akanipa vidonge viwili et meza jana nimepitiwa nimemwagia ndani. Na kweli game ya jana ilikuwa moto. Mlige hakukumbuka kumwagia njeee kabisa mabao mengine. Mie nikawa nishaelewa. Ni vidonge vya kuzuia mimba .nikachukua nikameza . Basi tukatoka sasa.tulivyopendeza wooow. Yani huwez hisi mlige ni kanipita miaka mingi sana. Yani ni tumeendana mnoo. Alagu mm mwli wangu ni mkubwa mkubwa na mtako wangu ndo kabisa naoneka mtu mzima kumbe binti wa kidato cha sita. Basi uko njiani ata haongei na mm. Mpka nikadhangaaa yani ni kanuna tu ni busy ana drive zake. Mh mi nilijua jana tushatombana ni yameisha kumbe bado . Mh mi nikajinyamazia kimya . Mpak tunafika kahama kwao . Ilikuwa ndo mala ya kwanza nafika kwao. Ila walikuwa vizur piah wala sio kama wenzetu na sie awaaa.

Basi mama ake aliponiona alinikaribisha vizur jamani. Yani alinichangamkia mno. Nilikalibishwa vizur. Nikapewa na nguo za kubadali. Mama alinipa dela lake zuri et ndo nilivae nisichafue gauni yangu. Basi nakwambia ilikuwa rahaaa. Nikapika na mama chakura kwa pamoja . Na tukala kwa pamona. Na shemeji jamali uo mda alikiwa kashakudi na yeye akanichangamkia sana. Yani sana. Tu . Akasema yani mama mi nakwambia ukwwli uyu faridah ata iweje anabaki kuwa mkweo. Dogo akimuacha tu mi namuoa. Mlige akawa anacheka sana pale yani kwao ndo akawa anajichekesha. Na anacheka na mama yake na ndugu yake..jamali Ni kama alikuwa anamtania ndugu yake. Baada ya yote. .mimi niliomba kuongea na mama tukiwa wawili. Weeee nilitaka kumwambia mama uhalisia wetu mi.maisha ya kununiana sikuwa nayataka kabisaaa.

Kweli mama akanichukua tokatoka njeee kabisa kwenye bustani . Kuna viti vya kupumzika ndo tukakaa mama mlige akaniuliza vp mtoto wangu kuna shida. Basi mie ile kuulizwa hivyo tu machozi yanashuka. Mama mlige akasema hapana naomba usilie kabisa . Tulia mwananangu . Na naomba tuongeee eheeeee nambie shida nn mwanangu mzuri. Umemfumania tena.nikasema hapana mama ila mm ndo nimemkosea . Mama akaniuliza shida nini. Bibie mie nikaanza kumuelezea mama. Ila sasa nikajifanya et zayd kile kipindi alinilazimisha akanibana ndo nikakisiwa . Ndo mwalimu akatukuta. Nilimuelezea maam kwa kuvutia kwangu . Ili asije na yeye akanihisi vibaya.nikasema mama tangu apo mpaka.sasa tuna miez 7 . Hatuongei vizuri . Hana mda na mimi. Kuna mda ananifokea tu . Yani ni ananinunia sana. Apo sikuacha mpaka kupigwaa na kulazwa nilieleza kuwa ana mwanamke anatembea nae ni madame shuleni kwake. Yani nilimueleza mma matatizo yetu yote na kunijibu kwake vibaya na kila kitu. .nilimuadithia mama.yote nia nilikuwa nataka tupate suluhu. Mama akanmbia uyu yupo kama.marehemu baba yake. Alikuwa yeye akikosea anataka asemehewe haraka mambo yaende. Ila ukimkosea ww hataki kuelewa . Tena ata mwaka ananuna naona ndo kachukua rohoo ya baba ake. We kukisiwa tu. Ndo anamind ye si kakucheat mpaka kazaaa na yule madame wake. Mbona ww umesamehe .au anahisi yeye ndo ana haki sanaa .ngoja kwanza..akaanza kumuita ellly wee elly . Eliamini. Mh mlige akatoka akaja. Et abee maam. Apo kaitikia uku ananingalia .si kashaona nilikuwa nalia

Basi mama yake akamwambia njoo ukae apa haraka. Akaja akakaa mama akamuuliza mlige wewe na uyu binti nani ni mkubwa. Mlige akasema ni mimi mama . Mama ake akamuuliza umempita umri gani uyu. Akasema miaka 18. Mama akamuliza so unahisi kati yenh nani anatakiwa kutuliza akiri zaidi na kukontrol aya mahusiano. Akanyamaza kimyam mama ake akamuuliza wewe hujapitia umli alokuwa nao faridah..ujapita ww. Hujui kuwa uyu faridah ni binti mdogo na mzuri lazima atasumbuliwa na vijana. Kwa nn unatumia hasira eeeh . Unajiona ww umekamilika sana..unahisi kuna mahisiano yanajengwa vizuri pasipo na kusameheana na kuelekezana ..mlige akakaa kimya .mama ake akasema we si ulimcheat uyu mpaka nikaja kukuombea msamaha. Tena.sio kucheat tu ulimpa na mimba yule mwanamke ..leo unahudumia mtoto. Mbona alikusamehe. Au uyu hana moyo. Au unatkaa akusujudie eeeh ebu nambie kwanza. Mlige akasema samahani mama nimekosea. Mama ake akasema kwaiyo uyu kukutwa kakisiwa tu. Na mtu akajutia akakuomba na msamha kwako ni issue kubwa sana . Nini huelewi kuhusu baleghe na umri kama huu. Eeeh mlige akanyamaza kimya

Mma akamwmabia sasa sikia usimpe jaka rohoo mtoto wa watum uyu mdogo sana kuanzia kulilia mapenzi. Unaelewa ww. Mdogo mnoo kuanza kufikilia mwanaume kaninunia .mwanaume haongei na mm. Unaelewa usimbebeshe mizigo yako. Sasa we si unataka kununa hasira yako haijaisha. Uyu binti miache kwanza apate vijana wenzake . Wachezeane. Wewe ukishatulia na ukajua umemsamehe ama vp utamfata sawa baba. Mh ila mama mlige asa ndo kujenga uku.akiniacha kweli jeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

Basi mlige akanyamaza kimya . Kanywea mno. Mama akasema wewe nilishakueleza kuwa uyu faridah ni mdogo sana . Kuna stage napitia lazima ujue jinsi ya kumtuliza na kumuelekeza ili muende sawa au unataka kujifananaisha ww na uyu. Uyu ni mdogo anatakiwa control unaelewa mkige . Sasa kujinunisha ovyo ndo kutasaidia nini. Sindo kwanza una mpa mwanya akipata mwnaume amkubali. We si una jinunisha . Aya nuna hivyo hivyo .mwanaume mzima unanuna nuna ntakuvesha kanga basi mm. Ila mama mlige🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌. Ahaaaa uyu mama anaongra bwana. Akasema na uyo madame milia ndo mwanamke wako si ndio. Akasema.hapana sio mwanamke wangu nilimpa lift tu . Ila faridah ahakuelewa. Mama ake akasema umaraya tu kama.baba yako mzazi.

Unampa.lift mwanamke ya nn. Unajijua una mwanamke wako. Unampa.lift mtu mwengine wa nn..sasa wewe na uyu faridah nani wa kununa. Nakuukiza ww..ameshakusamehe ulimcheat mpaka ukazaa na mwanamke. Bado amekukuta na mwanamke kwenye gari yako. Ambae unasema ulimpa lift tu nani anune apo. Akanyamaza kimyaaaa. Basi mama alimsema nakwambia . Yani alimsema mnooo. Yani kweli.kweli. alivyotosheka kwa mlige akanisema pia na mm. Akanielewrsha vizuri kuwa nijitunze .mimi ni binti na nijithamini. Kweli nilimuelewa na nilikubaki kuwa nilikosea. Basi baada ya vichambo sasa. Mama akatuweka sawa na tukaombana misamha pale .yani aaktusawazisha kabisa.kisha sasa tukaaga Tukatoka kahama saa 11 jioni ndo tukamuaga mama. Nikajua ntaemda kununiwa uku ama ata kupigwa namuogopa uyu baba tangu anidunde

Basi kwenye gari ni kimya. Yeye anaendesha gari tu. Nikajua aya bwana ata hajaelewa. Na kuchambwa kote na mama yake🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Nikamwmabia mimi nishuhse nyumbani naenda kwetu leo. Akanmbia unaenda na mm kwangu . Nimeongea na mama yako. Nimekuomba week 1 ukae kwangu kakubali. Mh nikasema sawa. .basi kweli breki mpkaa nyamsebehi kwake. Tukaingia mpaka ndani. Kufika ndani mie kwanza nikaenda kuoga mana nilikuwa nahisi kajito. Basi nimetoka namkuta kitandani amekaaa. Akanmbia kwaiyo ww ndo imemsimulia mama shida zetu sio.nikasema lakini nimemwambia kutafuta suluhu elly .sio kwa ubaya .mi sipendi unavyoninunia hivi naumia sana. Mlige akaningalia akanmbia njoo apa mke wangu. Basi nikaenda akanipakata. Akanmbia aya nambie ukiwa umekaa apa unatakaje. Nikasema nataka tuwe kama zamani .na unisamehe mume wangu. Akammbia okey nimekusamehe na yameisha nakupenda sana. Basia akatabasamu. Mh nikajua kumbe vidonge vilimkolea eeeh. Basi msamaha mwengine nikauombea kitandani ..kuanzia apo kesi ndo ikaisha. Akawa anaenda job mi ananiacha akiludi ni story .atanitania ..na kucheka mnoo. Yani amani kati yangu na uyu baba ikaludi..sikuamini mlige anajua kununa bwana na ana hasira sana..nashukuru tulimaliza shida zetu hii term. Ila ananipenda sana mlige yani sanaaaa.na.wivu ni uliongezeka. Basi mie niliakaa kwa mlige tu
Ata yusta alikuwa nakuja pale kuniona..mana mlige hakuwa anataka nitoke kabisaa . Yani hataki ata nitoe mguu nje ya geti

Basi likizo yote mie nikamaliza kwa mlige. Uku mama akinisihi sana nijitahidi kujikinga nisije kupata mimba. Uku anamdanganya baba kuwa nipo nyakanazi kwa mama mdogo na likizo ilipoisha sasa.mlige akanifanyia mazingira fresh . Mie nikalidi shulee. Apo tenaa amani ipo. Anapiga simu kama chizi kunijulia hali. Mpenzi wangu mke wangu za kutosha . Yani hatukuwa na shida tenaa. Na visitings zote anakuja kuniona shule na mazawadi kibao. Sio siri ata mimi nampenda uyu baba. Ahaaa mlige nampenda sana. Basi mie nikapambana mnoo shule . Mpaka.rikizo tena . Ila sasa najigawa week 2 nyumbani week 2 naenda kukaa kwa mlige uko ni kuichezea tu. Akijisahauu akmwagia ndani nameza vidonge maisha yanaenda mpkaa shoga yenu nikamaliza kidto cha sita sasa.

Apo nikawa nipo tu nyumbani. Nikapata mda kwa mlige. Na mlige alitulia sana .sana yani simu yake ananipa apo. Nitaichezea mpka . Haina ata makando kando. Na apo sasa akaninnnulia simu kubwa na nzuri . Na mm nikaanza kutumia. Na baada ya miez 2 .majibu yakatoka nikapasua mnoo. Nilipata one ya 3 . Yani one ya kwanza. Aseeee mlige alifurahi ile mbayaa .yani alifurahi kweli kweli. Alinambia yani furaha yangu ni kubwa sana kwako. Akaninunulia lap top ya kisasa nakwambia . Ilikuwa milion 3 . Tulinunua bukoba na nilienda nae. Basi nikaanza process za chuo sasa . Mlige akanmbia unaenda chuo sasa. Naomba ukawe makini sana .ila kabla hujaenda chuo . Mimi nataka kutambulika rasmi kwenu. Naenda kupeleka barua nyumbani . Kwa mama yako na baba yako nataka rasmi wote wanijue kuwa mimi ndo mchumba wako na ukimaliz chuo tu . Nakuoa. Mie nikasema.sawa sikuona shida mana nampenda sana mligee yani sanaaaaa.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75


Basi nilipomaliza kuvaaa. Akanipa vidonge viwili et meza jana nimepitiwa nimemwagia ndani. Na kweli game ya jana ilikuwa moto. Mlige hakukumbuka kumwagia njeee kabisa mabao mengine. Mie nikawa nishaelewa. Ni vidonge vya kuzuia mimba .nikachukua nikameza . Basi tukatoka sasa.tulivyopendeza wooow. Yani huwez hisi mlige ni kanipita miaka mingi sana. Yani ni tumeendana mnoo. Alagu mm mwli wangu ni mkubwa mkubwa na mtako wangu ndo kabisa naoneka mtu mzima kumbe binti wa kidato cha sita. Basi uko njiani ata haongei na mm. Mpka nikadhangaaa yani ni kanuna tu ni busy ana drive zake. Mh mi nilijua jana tushatombana ni yameisha...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-74-na-75

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 108
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 118
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
MY WANGU❤️ sehemu ya 111 na 112
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 109 na 110*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 109 na 110*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ *sehemu ya 114 na 115*
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 113
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 100
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Wenda mpangilio umekosewa endelea kusoma
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35

941
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

211
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

191
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

183
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

135
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

127
ACHA NIKUPENDE ❤️1

ACHA NIKUPENDE ❤️1

119
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.77K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.59K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Women’s Day from: Senator Koboko’s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE ❤️1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE ❤️1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest