Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia mimi naondoka nitunzie mhogo wangu sitopenda kushare na mwanamke yeyote yule tulikumbatiana baada ya hapo aliniitia usafiri mimi nikaondoka pale hotelini nikarudi nyumbani njia nzima nilikuwa nasmile tu nilikuwa nawaza juu ya ule utamu wa Hemed πŸ’‹πŸ’‹ tulifika nyumbani bado hata simu nilikuwa sijaiwasha nilitelemka kwenye tax ikaondoka mimi nilienda kugonga geit nilikuwa na kapressureπŸ™ˆπŸ™ˆ nimegonga geit pale akaja kufungua mama...... pendo😳😳 aliniita mama huku akiwa anarudishia lile geit alitoka nje ya geit alinivuta masikio yangu tukasogea pembeni hapo ndipo uoga uliponizidiaπŸ˜”πŸ˜” niliogopa sana....... mama unaniumiza jamani nilimuomba aniachie masikio yangu aliyokuwa ameyakandiza kwa nguvu alionekana kuwa na hasira sana...... pendo umetoka wapi?! Mimi nililala kwa paschal mama🀨🀨 una uhakika?! Ndiyo mama nililala kwake kweli...... kwa hiyo wewe na yeye ni yupi anayedanganya?! Yeye amekuja hapa nyumbani asubuhi sana amedai simu yako haipatikani usiku mzima na ana wasiwasi sana juu yako.....pendo mwanangu hii tabia ya lini mbona sikukulea hovyo?!

Haumhurumii hata mtoto?! Lilinishuka shuu baada ya kuambiwa kuwa paschal yuko pale nyumbani kwetu si mnakumbuka nilishawahi kuwasimulia vile mama yangu alivyomkaliπŸ™ˆπŸ™ˆ mama alinitukana sana aligomba mno aliniuliza ni aibu gani hii pendo unayotaka kutuletea nilimumba mama yangu radhi🀨🀨 lakini alichukia sana.....Mama alishanigundua hata kabla cjamwambia nilikokuwa aliniangalia kwa masikitiko sana😟😟 aliniuliza mtoto mzuri vile umeshindwa hata kuvumilia ukamnyonyesha?! Umeshindwa hata kumuwazia mwanao pendo mtoto mdogo huyo umeshaanza kuruka ruka😟 mama samahaniπŸ˜”πŸ˜” samahani kitu gani mpumbavu wewe au umeona kama ulichokifanya ni sahihi😟😟 mama alinichumia dawa Fulani hivi akanipatia nikaioge kabla cjamshika mtoto niliiweka ile dawa kwenye mkoba kimbembe ni vile nitakavyojieleza kwa paschal nililala wapiπŸ₯²πŸ₯² nenda unaogopa nini wewe si mwanamke uliyekamilika unajitia ujuaji unataka kunidanganya hata mimi?! Mama aliniambia hivyo kisha alifungua geit akarudi ndani mimi aliniacha pale nje ya geit... nilisimama pale nikawaza au nirudi tu kwa Hemed sa nitamwambia nini paschal hadi anieleweπŸ™ˆπŸ™ˆ nikiwa najishauri pale nje si geit likafunguliwa alitoka paschal kule ndani kwetu nilitetemeka😹😹 aliniita pendoπŸ˜‰πŸ˜‰ unafanya nini hapa?! Na umetoka wapi mida hii?! Aliegesha gari pembeni akatelemka alinifuata pale aliniuliza umetoka wapi pendo natumaini hakuna chochote kibaya ulichokifanya cha kuniumiza moyo machozi yalianza kumtoka ulilala wapi jana kwanini ukamuacha nice usiku mzima ulikuwa wapi mom niambie ukweli 😭😭jamani paschal aliongea kwa sauti ya chini sana iliyojaa maumivu machozi yaliendelea kumtoka alilia sana huku akiwa ananikagua mwilini kwangu..... roho iliniuma sana nilianza kujutia kile nilichokifanya usiku wa jana na Hemed sikuweza kujibu chochote kwa paschal alinivuta mkono wangu akanipakia kwenye gari alipanda akaondoa gari pale nyumbani kwetu alikuwa anatokwa na machozi kama mtoto 😟😟 niliumia mno kusema kweli...... boo aliendesha gari kwa kasi sana huku akiwa anayapangusa machozi usoni kwake.......

Alinipeleka nyumbani kwake alitelemka kwenye gari akatoka alisimama akaliegemea gari lake bado aliendelea kulia tu nilishuka kwenye gari nikamfuata Boo nilimsogelea nikayafuta machozi yake alinivuta mkono hadi chumbani alinirushia kitandani akafunga mlango aliniuliza finally umeamua kufanya kweli pendo.... kwanini umenisaliti mineπŸ₯Ήhapana sijafanya hivyo boo nililala kwa rafiki yangu nilienda kumuona tu nikalala kwakeπŸ˜”πŸ˜” kwanini hukuniaga?! Kwanini ulizima simu yako kwanini ulimuacha nice niambie ukweli ulilala wapi jana,!? Ni rafiki gani huyo uliyeenda kumuona ukamuacha mtoto usiku mzimaπŸ₯ΉπŸ₯ΉπŸ₯Ή hata simu nayo ulizima kwanini haukutoa taarifa?!

I'm sorry booo lakini kweli nakwambia nilikuwa kwa rafiki yanguπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilimdanganya nilijishusha nilipiga got chini nilitembelea magoti siku ile nilimbembeleza boo masaa kalibia matano bado halainiki tuπŸ₯²πŸ₯² alinifungia kule chumbani akatoka aliniambia kuwa kuanzia Leo utakaa hapa na mtoto hadi ndoa ipite alienda nyumbani kwetu kumchukua mtoto wake alimleta hata ile dawa aliyonipatia mama niioge ili kuzuia mtoto kuharibika kwa huo ujinga nilioufanya sikuioga kwa sababu mkoba niliuacha kwenye gari na paschal alivyotoka kule chumbani alinifungia na gari ndo hilohilo aliloondoka nalo na ule mkoba ulikuwemo kule ndani kila kitu hadi simu yangu vilikuwemo kule ndani...... alimleta mtoto akaniomba niende nikayakamue maziwa machafu yatoke then nije nimnyonyeshe mtoto wake niliingia bafuni nikawa nazunguka zunguka tu sitaki mwanangu aharibike nafanyaje ili nikaichukue ile dawa😟😟

Nikiwa natahamaki kule bathroom mtoto wangu alianza kulia njaa baba yake alikuja kunigongea akaniomba niwahishe mtoto wake ana njaa nilifungulia maji yakawa yanamwagika tu ili aamini kuwa ninaoga lakini wala hata towel nilikuwa cjaitoa kifuani kwangu nilikuwa nalia tu huku nikiwa najilaumu ujinga niliofanya jana usiku nimemkosea sana mtoto wangu nimemkosea na mme wangu mtarajiwa hii dhambi nitasamehewa kweliπŸ₯²πŸ₯²baada ya muda nilifunga yale maji ili nisikilize kile kinachoendelea chumbani kati ya baba na mwana sikusikia chochote zaidi ya kimya kingi niliamua kutoka kule bathroom chumbani hakuwepo paschal nilitoka hadi nje ya chumba nikamuita Isabella ... huyu ni dada wangu wa kazi mlezi wa nice..... nilimuuliza paschal yuko wapi aliniambia yuko huko nje anambembeleza mtoto..... nilimwagiza aende kule kwenye gari anichukulie mkoba wangu aliniambia tyr alikwisha utoa kipindi anatoa vitu vya mtoto walivyotoka navyo kule nyumbani kwetu..... aliniletea ule mkoba niliitoa ile dawa haraka nikaenda kukoga niliiweka ile dawa kwenye maji nikaioga nilitoka kule bathroom nikamkuta paschal karudi chumbani alinitizama sana mwilini kwangu oh my goodness kumbe shingoni kwangu nilikuwa na malovebite ya kutosha shingoni mgongoni ,na vile mimi ni mweupe zile lovebite zilikuwa zimejichora sana tu na zilikuwa zinaonekana hata kwa mbali pia....baada ya paschal kunitizama sana si ndo ilibidi nisogee kwenye kioo ndo nikawa nimeziona zile lovebite jamani jamaniπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ paschal alinisogelea akanikabidhi yule mtoto baada ya hapo aliondoka bila kunisemesha kitu chochote kile🀨🀨....

Nilimnyonyesha nice akatosheka nikamlaza niliichukua simu yangu nikablock namba zote za hemed nilifuta msg zote tulizowahi kutumiana yani niliondoa kila kitu kinachomhusu yeye kwenye simu yangu jamani nilijuta ile sikuπŸ₯²πŸ₯² nilishinda siku nzima bila kula nilimpigia sana paschal lakini hakupokea nilituma msg nyingi lakini hakujibu niliwapigia hadi wazazi wangu siku ile niliwalilia machozi nikawaomba waniombee radhi kwa paschal πŸ₯ΉπŸ₯Ή alipigiwa simu na kila mtu lakini hakupokea nilijiuliza hivi itakuwaje endapo kama ataamua kuhairisha ndoa kati yangu mimi na yeye?!..

Itaendeleaaaa.....

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜


Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia mimi naondoka nitunzie mhogo wangu sitopenda kushare na mwanamke yeyote yule tulikumbatiana baada ya hapo aliniitia usafiri mimi nikaondoka pale hotelini nikarudi nyumbani njia nzima nilikuwa nasmile tu nilikuwa nawaza juu ya ule utamu wa Hemed πŸ’‹πŸ’‹ tulifika nyumbani bado hata simu nilikuwa sijaiwasha nilitelemka kwenye tax ikaondoka mimi nilienda kugonga geit nilikuwa na kapressureπŸ™ˆπŸ™ˆ nimegonga geit pale akaja kufungua mama...... pendo😳😳 aliniita mama huku akiwa anarudishia lile geit alitoka...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-47

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜   N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.15K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.11K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

380
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

233
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

65
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

25
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

10
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

3
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest