Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Paschal aliendesha gari hadi nyumbani tuliingia ndani chumbani alifunga mlango si akaanza kunifokeaπŸ˜”πŸ˜” sasa mimi nina makosa gani jamani kosa langu ni kumfumania au kosa langu ni niniπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ nilinyamaza kimya akafoka wee alivyoona simjibu niko zangu nimekunja nne kitandani na simu yangu naperuzi aliamua kuwa mpole alijistukia.....mwenzie niliamua kuumia kimoyomoyo lakini naona sasa anataka kuzidi huyu nyauba kisa et nampenda ndo anafanya yote hayo kwani anajiamini nini au anajiona yeye peke yake ndo mwenye uwezo wa kunitia πŸ˜–πŸ˜– mzee wa kufoka alivyoona simjibu alitulia tuli akanifuata pale kitandani et akapiga magoti kuniomba tena msamaha wakati kaishafoka vya kutosha hadi kanitamkia et Lia hawezi kuondoka ofisini ameshakuwa mfanyakazi bora atakupisha tu kwenye ile secta yako atahamia kwenye secta nyingine mara ninachokitafuta kukaa namfuatilia kama mtoto nitakipata hehehee ila hawa wanaume wenye sura nzuri ni mtihani tunawapenda lakini ni maji ya moto hatari dkk zero yanakuunguza.... boo alianza kuniomba msamaha sikumjibu yani nilichokifanya niliplay audio ya yale maneno aliyokuwa anayasema kipindi ananifokea😝😝😝 alf nikawa kimya silii sijanuna na wala sicheki ......

Alijitilisha huruma pale niliamka nikamuacha kule chumbani nikaenda kumhudumia mtoto wangu nimemaliza kumhudumia nice nikashuka chini kwenda kuangalia kama msosi wa usiku tayari..... niliandaa chakula mezani baada ya hapo nilipanda juu kwenda kumwamsha paschal ashuke chini tukale my wenu niliita kwani anaitika sasa😝😝😝 kimya kama vile hakunapo mtu hapo chumbani niliamua kusogea hadi pale kitandani nikaenda mtikisa tikisa alijigeuzia upande mwingine akaziba na masikio kabisa nilivyoona kumbe yuko macho ni vile tu yuko na kisirani niliamua kuachana naye nilienda nikapakua chakula changu nikala baada ya hapo nilipakua chakula nikampelekea chumbani nilimpangia vizuri mezani baada ya hapo nilirudia kumwamsha lakini aliamka akahamia kwenye chumba cha wageniπŸ™„πŸ™„πŸ™„ akakiacha kile chakula bila kukigusa hivi huyu mzungu mweusi ananijua kweli huyuπŸ€·β€β™€οΈπŸ˜– ngoja nikuoneshe kitu paschal naona unajaribu kunichukulia kama grandmother wako 🀨🀨...

Usiku ule nilimtafuta Mr Hemed yule wa kule zanzibar nilimjulia hali baada ya hapo nilimuomba kikao cha mimi na yeye kuna mambo nilihitaji kuongea naye alikubali tulipanga sehemu tutakayoonana tulipanga kuonana nyumbani kwake...... nililala kesho yake mapema niliamkia kujiandaa kama mtu ninayekwenda ofisini nilimuandaa na mwanangu pamoja na kigari chake nikamweka kwenye gari haoo tukaondoka kuelekea nyumbani kwa Mr Hemed ..... paschal nilimuacha nyumbani bado akiwa amekaa zake sitting na computer yake nilifika nyumbani kwa Hemed alinipokea mimi na mtoto wangu akatukaribisha ndani aliniletea kiywaji baada ya hapo alimbeba nice alinitizama usoni kwangu kisha akaniambia hongera sana unazidi tu kuwa mrembo nilimshukuruπŸ™ˆπŸ™ˆ tuliendelea na maongezi ya hapa na pale baada ya hapo nilimwambia Hemed kile kilichonifanya nimtafute yeye nilitaka anifanyie mpango wa kupata kazi katika ile campuni aliyonitafutiaga kazi kipindi kile..... alismile then akaniambia ucjali sweetheart kazi utapata vipi si utakuja tuishi wote hapa nyumbaniπŸ₯°πŸ₯° oh no Hemed lakini nitajitahidi kuwa nakutembelea mara kwa maraπŸ™ˆπŸ™ˆ alinipatia ahadi ya kunitafutia kazi kabla hata ya wiki tatu kuisha aliniahidi ya kwamba kazi ni lazima atakuwa ameishaipata...... nilitaka kutafuta kazi sehemu nyingine kwa sababu nisingeweza kufanya kazi na lia katika ofisi moja.....

Siku ile mimi na mtoto wangu tulishinda pale nyumbani kwa Hemed anakaa mwenyewe mwenyewe tu...... kwanini usitafute mtu uishi naye lakiniπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ nyumba yote hii unawezaje kukaa peke yako?? Nilimuuliza Hemed.... oh pendo hata mimi natamani kuishi na mtu lakini huyo mtu ni vyema ungekuwa wewe hapoπŸ˜”πŸ˜” kiukweli niko mpweke sana yani nikishatoka kazini huwa sina mtu wa kuongea naye hata kupiga story nakaaga mwenyewe tu kuongea hadi nikishafika kazini siipendi hii hali natamani kuwa na mtu na huyo mtu natamani uwe wewe mi nakupenda pendo nakupenda wewe na mtoto wako wote nyie mnaishi kwenye moyo wangu nakuomba usiache kufikilia juu ya upendo wangu kwako ni wewe tu ndo mwanamke ambaye moyo wangu unatamani kuwa karibu na wewe pendo I love youπŸ’“πŸ’“ Hemed aliniambia hivyo huku akiwa anaipapasa mikono yanguπŸ™ˆπŸ™ˆ anaongea vizuri ana ile rafudhi ya kizanzibarπŸ™ˆ tatizo mie msabato yeye muslim lakini mbona kama vile naanza kumuelewa huyu mwarabu jomonπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ au ni kwa vile moyo wangu umeingia ganzi la maumivu aliyoanza kunipatia boss paschal🀨🀨 Hemed alivyoipapasa mikono yangu nilipata kama kishort fulani hiviπŸ™ˆπŸ™ˆ mvutano wa hisia ulikuwa ni mkali sana kati yetuπŸ™ˆπŸ™ˆ

tuliangaliana machoni huku kila mmoja akiwa anahema kwa hisia lakini ghafla simu yangu iliita alikuwa anapiga paschal sikupokea bado nilikuwa na hasira haiwezekani akosee yeye alf atake mimi ndo nimbembeleze yeyeπŸ˜’πŸ˜’ niliamua kuizima ile simu nikaiweka pembeni...... naomba nikuagizie chakula kipenzi niambie kitu utakachopendelea kutumia mida hiiπŸ«°πŸ’“..... hapana Hemed mimi nitapika mwenyewe naomba nipike tule then nitakubakizia na chakula cha kutumia usiku...... wow asante my love kiukweli nimemis sana chakula chako kitamu kama ulichokuwaga unakipika kule zanzibar...... hahahaa basi wacha niingie jikoni niandae kwa ajiri yako🫰🫰 Hemed alichukua maziwa akawa anamnywesha nice huku akiwa anamuimbia nyimbo za kumbembeleza mimi niliingia jikoni nikaenda andaa chakula lakini nilikuwa namchabo Hemed the way anavyombembeleza mtoto wangu kwa mapenzi mazito kama baba yake mzazi alimaliza kumnywesha maziwa akachukua kitowel kisafi akamsafisha baada ya hapo alimlaza kwenye kile kigari chake akaanza kumwendesha taratibu pale sebleni hadi nice akasinzia...... alimbeba akaenda kumlaza na baada ya hapo alikuja jikoni kunisaidia kupika......

Tulipika chakula kikaiva nilipakua mezani tukaketi mimi na Hemed tukala kwa pamoja baada ya hapo nilivisafisha vile vyombo then tulienda zetu kucheza game mimi na Hemed nilijikuta siku nzima nimeimalizia kule nyumbani kwa Hemed jioni mida ya saa 12 tuliondoka pale kwa Hemed kwa ajiri ya kurudi nyumbani mimi pamoja na mwanangu jomon Hemed hakutaka tuondokeπŸ™ˆπŸ™ˆ alibakia mpweke pale tulipokuwa tunaaga kwa ajiri ya kuondoka pale nyumbani kwake alitaka hadi kulia ...... nakumbuka vile ndo nimemkumbatia kumuaga hakutaka nitoke kifuani kwake alinipiga kiss kwenye lips zangu etπŸ™ˆπŸ™ˆ baada ya mimi kupanda kwenye gari aliushika mkono wangu hakutaka niondoke et alirudia tena kuniambia kuwa ananipenda sana....... nilinyamaza japo kuna tuvituvitu nilikuwa natuhisi mwilini kwanguπŸ™ˆπŸ™ˆ niliondoka pale kwa Hemed nikaelekea nyumbani kwangu nilifika nikamkuta paschal yupo nyumbani amefume😝😝 vile nimefika tu alinifuata pale kwenye gari alimshusha mtoto wake akambeba alinikata jichoπŸ˜ΉπŸ˜‰ najali kwani niliipark gari yangu vizuri nikatelemka nilitoa vya kutoa kisha nikafunga vioo na milango kisha nikaanza kutembea mwendo wa kujiachia kuelekea ndani nilitembea kwa pouz ili mtoto wa mama mkwe ajue kuwa yaliyomo yamo😎😎 nilimtikisia na vile siku hiyo nilivaa pigo fulani hiviπŸ˜‰πŸ˜‰ aliniangalia huyoπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† nilikuwa namcheki tu kwenye kioo vile anavyonicheki huko nyuma nilimuacha pale nje na mtoto wake nikaingia ndani nikavua nguo nikaingia bafuni......

Nikiwa kule bafuni nilimsikia paschal anafungua mlango wa chumbani aliingia na mtoto wake mwenyewe alikuwa busy kuongea na mwanae sangapi sasa simu yangu isiite😎😎 na nilisahau kuiweka silent etπŸ˜–πŸ˜– niliomba tu huyo anayepiga asiwe HemedπŸ˜†πŸ˜† paschal aliipokea ile simu nikasikia anaongea hello simu ikakatwa kwani alivumilia nimalize kuoga😹😹 alinifuata kule kule bafuni pendo huyu Boy ni nani?! Boy gani😝😝 huyu aliyekupigia alf napokea alivyoisikia sauti yangu amekata ni nani huyu kwa hiyo huyu ndo uliyekuwa naye leo siku nzima?! Hey boo live me alone huoni kama ninaoga☺️☺️ kwani nikiwa naye we unaumia kitu ganiπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ si ni kama vile tu wewe ulivyo na LiaπŸ˜‰πŸ˜‰ hehehe nyieee sangapi ki iphone changu kisidumbukizwe kule kwenye maji niliyokuwa nayaoga🀨🀨 Boo my phoneπŸ₯ΉπŸ₯Ή your phone?! Aliniuliza huku akiwa ananikunjaπŸ₯ΉπŸ₯Ή boy ni nani?! I ask you pendo who is boy?!

Itaendeleaaaaaaa
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜


Paschal aliendesha gari hadi nyumbani tuliingia ndani chumbani alifunga mlango si akaanza kunifokeaπŸ˜”πŸ˜” sasa mimi nina makosa gani jamani kosa langu ni kumfumania au kosa langu ni niniπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ nilinyamaza kimya akafoka wee alivyoona simjibu niko zangu nimekunja nne kitandani na simu yangu naperuzi aliamua kuwa mpole alijistukia.....mwenzie niliamua kuumia kimoyomoyo lakini naona sasa anataka kuzidi huyu nyauba kisa et nampenda ndo anafanya yote hayo kwani anajiamini nini au anajiona yeye peke yake ndo mwenye uwezo wa kunitia πŸ˜–πŸ˜– mzee wa kufoka alivyoona simjibu alitulia tuli akanifuata pale kitandani et akapiga magoti kuniomba tena msamaha wakati kaishafoka vya kutosha hadi kanitamkia...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-43

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

597
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

545
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

376
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

374
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

323
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

53
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

41
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

37

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.26K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest