Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Boo alikaa katika siti iliyokuwepo mbele yangu tena in the same side๐Ÿ˜๐Ÿ˜ basi tu kuna mda nilikuwa nainyosha mikono yangu natamani kumgusa kichwani๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† yani nilitamani ajue kama niko naye pale nina kisebengo mwenzenu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ boo wangu alionekana kama mtu mwenye mawazo sana..... pale kwenye siti ya jirani nilipokuwa nimekaa nilikaa na mbaba mmoja hivi wa kitanzania baba muongeaji yule cjy mzaramo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† si alianza kunipigisha story nikajikuta nimeanza kupiga naye story sangapi boo hajaisikia sauti yangu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น alf nilivyo na kiherehere kichwani tayari nilikuwa nimeshajitolea kile kimjitandio๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ boo aligeuka akaniona nilikuwa niko busy kuna kitu nilikuwa nakiangalia kwenye simu ya yule mzee ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† nilishtuka tu mtu ananiita ""mine๐Ÿฅน๐Ÿฅน you are here....""
""๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ mie lieeee""
""Pendooo๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน""
""Lieeeeeeeee๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ""

Vipi mbona ninyi wawili mnalia?! Aliuliza yule mzee cjy mchaga yule cjy mhaya..... mnafahamiana?! Ndiyo baba yangu nakuomba kama hautojali tubadirishane sit uje ukae hapa kwenye sit yangu mimi nihamie hapo kwenye sit yako..... boo alimuomba yule mzee aliyekuwa amekaa jirani na mimi ili waweze kubadirishana sit hakukataa alikubali walibadirishana boo wangu akawa amekuja kukaa pale jirani yangu alinikumbatia tulipeana mate kwanza๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ nilimmiss sana๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ i miss you mine kwanini uliamua kutokunishirikisha mapema pendo? Nisingekosa cha kukusaidia aliniambia huku akiwa anakigusagusa kitumbo changu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ naomba unisamehe mpenzi wangu kwa kukuficha juu ya kila kitu kilichonisibu juu ya hakim lakini ni kitu kizuri kwa kuwa tayari tumeshaonana tena nakupenda boo wangu baba wa kijacho wangu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ aliniangalia then akanimbia nilikutafuta sana pendo kila wiki nilikuwa narudi tanzania kuja kukutafuta wewe bilaa mafanikio tafadhari nakuomba usije tena ukaondoka mbali na mimi alinibusu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ baada ya hapo sasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ penzi likaanza upyaaaa๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ marekani sikwenda tena kwa Hemed nilienda kwa my babe ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿ˜น

MAISHA MAPYA NDANI YA USA๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ

Ilikuwa ni usiku mida ya saa saba nilikurupuka usingizini nikawa najisikia kula udongo pamoja na zabibu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† baby baeiiib nilimuita boo aamke usingizini ili aende akanitafutie udongo๐Ÿ˜†
""Mine vipi uko sawa?!""
""Niko sawa lakini nina hamu ya kula udongo๐Ÿ˜”"
""Muda huu?!""
""Ndiyo baby tafadhari nakuomba uamke ukaninunulie....""
""Basi lala mamangu tutanunua kesho asubuhi mapema angalia saizi ni usiku sana maduka yote yamefungwa๐Ÿค”๐Ÿค”.... yani kunijibu vile mimi niliona ni kama vile ananinyanyasa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† nyie hizi mimba.... sangapi nisianze kulia๐Ÿคฃ paschal kuona vile ilibidi aamke akabadir nguo akaanza kunibembeleza nikanyamaza tukaondoka huo usiku kwenda kutafuta udongo kwenye shop za marekani๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† tumezunguka sehemu zote kumefungwa nilivimba nikatamani kupasuka alf et nikawa namnunia paschal kama vile yeye ndo aliyeyafunga maduka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ nilimnunia sikutaka kumuongelesha tena akinisemesha nikawa nalia alichokifanya paschal๐Ÿ˜† alinipeleka kuna sehemu kulikuwepo na kichuguu tukakaa pale usiku huo mwenzenu naona ni kama mchanaโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ paschal si akaanza kumimina vimaji pale kwenye kichuguu kikaanza kunukia๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† akawa anachukua ule udongo wa kichuguu anaukanda then anautengeneza kama pemba ananipa ninakula๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nilikula huku nikiwa nimerilax kama nakula kitu cha maana vile...... nilivyotosheka kula udongo nikashushia na maji udongo mwingine tuliubeba tukaondoka nao๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nimefika nyumbani saa tisa usiku hapo tumbo likaanza kunivuruga mharo na kutapika vilikuwa vinapita vyote kwa wakati mmoja๐Ÿ˜† baby unataka kuniua mimi na mtoto wako๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† nilimwambia paschal huku nikiwa hoi bin taabani

Usiku huo ikabidi tena paschal anipeleke hospital nimefika hospital nikatundikiwa drip la maji nikapewa na dawa za kutuliza ile hali nilikuwa natibiwa huku baby wangu akiwa yuko pembeni yangu jamani raha ya ujauzito umpate anayekupenda ajue na kukudekeza๐Ÿคช๐Ÿคชnilikuwa nampa hekaheka mtoto wa watu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† kuna muda nilikuwa najihisi ni kama duniani hapa mimi pekee ndo ninayependwa na yule ninayempenda๐Ÿฅฐ paschal anajua kuhandle si utani....... kazini tulikuwa tunaenda pamoja katika campuni yetu ambayo na mimi nilikuwa nimeshapatiwa umiliki wa asilimia 50% kila sehemu tulienda huku tukiwa tumeongozana kwa pamoja nyie nampenda yani nampenda kiasi kwamba akijaribu kuniumiza nitapalalaizi mwili mzima๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…amu gona dai dai๐Ÿคฃ....... paschal ni mwanaume ambaye akipendwa vizuri anatulia๐Ÿ™ˆ yani hadi unaenjoy mwenyewe the way anavyocare.....

Ujauzito wangu ulipofikisha miezi saba paschal aliniambia kuwa kuna sehemu anatamani twende kabla cjajifungua..... nilimuuliza ni wapi aliniambia ni nyumbani kwenu..... kwetu hapana sitokaa nikawasamehe wazazi wangu kwa kile walichonifanyia๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ usilie mamangu lakini ni vyema kufanya kitu kitakachokupa wewe amani.....nakuomba uwasamehe wazazi wako kwa sababu wanahitaji sana msamaha wako..... nitafikilia juu ya hilo na usijaribu kunilazimisha๐Ÿ˜ž๐Ÿ˜ž wewe mbona hujamsamehe mika๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”.... nilimjibu paschal then nilisimama nikamgeuzia mgongo machozi yalianza kunitirika alisimama akanifuta machozi yangu kisha akaniambia nakuahidi nitamsamehe mika pale atakapohitaji msamaha wangu najua watu hukosea ili wajifunze nakuomba utoe msamaha kwa wazazi wako! Mika siku akihitaji msamaha wangu nitamsamehe na kumtoa gerezani na nitaishi naye kama ndugu yangu lakini sitokaa karibu naye........ ni kweli natamani kuwasamehe ili niwe na amani ya moyo nilijiwazia hivyo kichwani niliwaza kufanya kitu ni sawa baby nipe muda...... nilimtafuta jimmy nikamuomba anifanyie mpango ili niweze kuirudisha ile nyumba yetu mikononi mwa wazazi wangu sikutaka ijulikane kama mimi ndo ninayeinunua lakini nilitamani ijulikane baada ya kuwa tayari imeshakuwa kwenye mikono yangu......

Nilitaka kumuonyesha hakim nguvu ya pesa๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น jimmy alitafuta madarali walioenda kuongea na yule wakala wa hakim aliyeachiwa jukumu la kuitafutia mteja ile nyumba yetu! Madarari walielewana na yule wakala akasema mpunga anaoutaka nikautuma ikabakia mimi kwenda kutia saini kwenye makaratasi ya mauziano ya ile nyumba muuzaji ni hakim mnunuaji ni pendo patamu hapo๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ pesa walishalipwa tena mbele ya viongozi wa mtaa...... ila tu muuzaji na mnunuaji wote tuko nje ya nchi tulipanga kukutana tanzania kwa ajiri ya saini na makabidhiano...... nilianza safari kurudi tanzania mimi na baby wangu kwa ajiri ya kwenda kukabidhiwa ile nyumba kutoka katika mikono ya hakim.....hahahaaaa hiyo siku tumeenda kukutana katika ofisi ya mwenye kiti tulimkuta tayari hakim yuko pale alivyoniona๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† alisimama huku akiwa ameachama mdomo wazi pendo๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ aliniita kwa mshangao huku akiwa anapiga hatua kunifuata nyooooo pendo wa nyoko paschal alimuonya๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ alimwambia fanya kilichokuleta hapa acha shobo kwa wanawake za watu๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ

Itaendeleaaaa
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 36๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜


Boo alikaa katika siti iliyokuwepo mbele yangu tena in the same side๐Ÿ˜๐Ÿ˜ basi tu kuna mda nilikuwa nainyosha mikono yangu natamani kumgusa kichwani๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† yani nilitamani ajue kama niko naye pale nina kisebengo mwenzenu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ boo wangu alionekana kama mtu mwenye mawazo sana..... pale kwenye siti ya jirani nilipokuwa nimekaa nilikaa na mbaba mmoja hivi wa kitanzania baba muongeaji yule cjy mzaramo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† si alianza kunipigisha story nikajikuta nimeanza kupiga naye story sangapi boo hajaisikia sauti yangu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น alf nilivyo na kiherehere kichwani tayari nilikuwa nimeshajitolea kile kimjitandio๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ boo aligeuka akaniona nilikuwa niko busy kuna kitu nilikuwa nakiangalia kwenye simu ya...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-n0-36

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 34๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 37...38๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 35๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 33๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 39...40๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67

597
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65

545
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68

376
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

374
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

323
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13

53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11

41
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8

37

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.65K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.26K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.25K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest