AAAAH IMETOSHA BOSS ๐๐SEASON 03 N0 41๐๐
Baada ya kuzisoma zile msg kwenye cm ya boo nilishindwa kubakia kule chumbani nilitoka nikaenda chumbani kwa nice nikajifungia huko nikalala na mwanangu...... mwili wote ulikuwa unatetemeka mapigo ya moyo ndo usiulize๐๐ nilijihisi kufa mbona hamkuniambia kuwa kumpenda mwanaume kwa moyo wako wote ni makosa makubwa sana๐๐๐ mlitaka hadi nife ndo mje mniimbie parapanda ๐น๐น boo alivyotoka bafuni hakunikuta chumbani kwetu moja kwa moja alikuja hadi chumbani kwa nice akaanza kugonga huku akiwa ananiita majina matamu mke wangu nakuomba unifungulie tuongee please naomba msamaha wa dhati kutoka kwako na ninakuahidi nitafanya chochote unachokitaka na sitorudia tena kufanya kosa kama la leo๐ง๐ง...... boo im not your wife mimi ni mpenzi wako tu fikilia umeanza kunionyesha haya kwenye uchumba kwenye ndoa si utaoa kabisa au utahama nyumbani uniache peke yangu na mtoto wangu๐คจ๐คจ hivi kweli ni wewe ndo umefanya hivyo au naota nilishindwa hata kunyamaza nikaona nimjibu tu๐๐.... ni mbishi aliendelea kuweka msimamo wake ya kwamba alitingwa tu na kazi kule ofisini kwake ndo ikabidi azimalizie hadi huo usiku.... niliumia kwanini anqnidanganya na wakati mimi nilienda hadi ofisini nikakuta pamefungwa๐ฆ?!
Alizidi kunibembeleza akiniomba nimfungulie sikufungua paschal alilala palepale mlangoni๐๐..... niamka asubuhi nikafungua mlango kwa ajiri ya kwenda kumuandalia kifungua kinywa ale kabla ya kwenda ofisini si ndo nikamkuta pale mlangoni alichukua blanketi akajifunika na kusinzia pale kwenye mlango wa chumba cha nice..... baada ya kuufungua ule mlango boo alikurupuka kutoka usingizini aliamka pale chini akataka kunikumbatia nilimnasa kibao bado nilikuwa na hasira sana nilienda nikachukua ile shati yenye lipstick nikaanza kumpiga nayo nilimwambia boo I hate you๐๐ paschal hakuwahi kufikilia kama kuna siku naweza kumtamkia vile alikwisha jiaminisha kuwa ninampenda na siwezi kumuacha๐๐..... baada ya kumwambia kuwa ninamchukia nilimtupia ile shati nikamuonyesha na ile ile lipstick nilirudia tena kumwambia ya kwamba ninamchukia ameuvunja moyo wangu na sitokaa nikamwamini tena niliongea huku nikiwa nabubujikwa na machozi nilikimbia nikarudi kule chumbani kwa nice nikaendelea kujifungia huko paschal alimpigia baba yake simu akawa amekuja pale..... aliniita nikamwelezea kile kilichotusibu nilimwambia baba ya kwamba hiyo jana usiku baadaya paschal kuchelewa mimi nilikwenda hadi ofisini kwake kumtafuta lakini hakuwepo kwanini ananidanganya?!....
Paschal alikuwa hajui kama jana mimi nilienda hadi ofisini kumfuatilia..... baada ya kunisikia pale nikiwa namwelezea baba yake alishtuka๐๐ilibidi akiri tu kwa baba yake kuwa ni kweli kakosea alikiri kuwa ni kweli alinidanganya lakini alimuahidi baba yake ya kwamba tutasolve na hayatojirudia tena......
Baba paschal alituweka chini akatushauri sanaa baada ya hapo aliondoka akatuacha sisi pale nyumbani paschal alinipigia magoti๐คฆโโ๏ธ akaniomba msamaha nilichukua simu yake ili nimuonyeshe zile msg zilizotumwa usiku kwenye simu yake nilikuta tayari kaishazifuta bahati nzuri nilishaziscreen shot nikajitumia kwenye simu yangu niliichukua simu yangu nikamuonyesha zile msg nikamuuliza huyu ni nani ndo uliyekuwa naye jana siyo?! Alikaa kimya jamani niliumia maumivu ambayo sijui hata niyaelezee vipi yani nilitamani hata kujiua siku ile nililia huku nikiwa namuomba aniambie ukweli boo why unaniumiza sikuwahi kuzania kama ipo siku na wewe utakuwa hivi nini kimekubadirisha jamani..... hakuongea kitu alinigeuzia mgongo akaishiakuyafuta machozi yake lakini hakuongea kituโบ๏ธโบ๏ธ..... nilijiuliza huyu ana matatizo gani kwanini hanishirikishi..... nilimwambia kuanzia leo nahama chumba na ninakupatia siku tatu za kuniambia ukweli laa sivyo mimi hapa kwako nitaondoka na mtoto wangu...... nilienda fungua kabati langu nikaanza kutoa nguo ili nihamishie chumbani kwa nice boo alinizuia alinishikilia kwa nguvu akaniambia my love haiko kama unavyofikilia niamini basi nakupenda wewe hakuna chochote kibaya nilichokifanya japo ni kweli jana usiku nilikuwa na mwanamke hatukufanya kitu niiamini et ni kazi tu.... kaziโบ๏ธโบ๏ธโบ๏ธ kazi my foot๐๐ yani unawezaje kukaa na mwanamke hadi usiku mkubwa kiasi kile alf unanimbia et kazi๐ฟ๐ฟ kazi which?! Kazi ya kupigana makiss siyo๐ฐ๐ฐ nilimsukama paschal nikamwambia nakuchukia na sitokaa nikakwamini tena๐ฅฒ๐ฅฒ.......
Duh mapenzi yanaumiza๐ฅน๐ฅน usiombe hii ikakutokea yani ni zaidi ya maumivu๐ kwa kusema kweli nampenda sana๐๐ lakini kwa zile hasira nilijikuta tu memwambia hivyo kuwa namchukia mdomo kazi yake ni kuropoka tu moyo wangu unampenda sana Boo wangu nilitoka kule chumbani nikamuacha huku akiwa analia siku hiyo alishindwa hadi kwenda kazini tulishinda nyumbani hatuna maelewano mazuri.... mwisho wa siku niliamua kumpatia msamaha kwa sababu kila muda alikuja kunipigia magoti na kuomba msamaha.....yani nampenda kiasi kwamba nikimnunia mimi ndo ninayeumia zaidi๐น๐น๐น.... maisha yaliendelea ile nyumba niliyokuwa naikarabati kule tanzania ilikamilika tulirudi tanzania kwa ajiri ya kwenda kukutana na familia yangu tumalize tofauti zetu nilimwalika na dada yangu prisca ambaye anakaa nchini oman tukakutana tanzania kwa ajiri ya kwenda kumaliza tofauti zilizokuwepo kati yangu na wazazi wangu...... wazazi wangu waliniomba msamaha niliwasamahe nikairudisha ile nyumba yetu mikononi kwao tulifanya sherehe kubwa pale nyumbani walifurahi sana walilia machozi ya furaha๐น๐น maelewano mazuri na umoja kati yangu na familia yangu vikajirudi tena tulifurahi kwa pamoja...... nilibakia nyumbani kwetu kwa sababu boo alipanga kuja kunichumbia rasmi nyumbani kwetu๐๐ mr paschal alikuja nyumbani kwetu kunichumbia alinivisha pete ya uchumba rasmi mbele ya familia yangu achana na ile pete ya kisanii aliyonivishaga kipindi kile cha kwanza kule nyumbani kwake๐น๐น my boo alinilipia mahali kwa wazazi wangu kwa ajiri ya kunioa mimi ilikuwa ni furaha sana kwangu na familia yangu...... baada ya mahali tarehe ya ndoa yangu na mr paschal ilipangwa tulipewa baraka za kutosha baada ya hapo tulirudi nchini marekani kwenda kujiandaa na mipango ya harusi yetu!.... tuliandaa card na kuzisambaza kwa ndugu jamaa na marafiki..... nice tayari alikuwa ameshatiza miezi mitatu lakini nilikuwa cjaanza kwenda kazini nilipanga kuanza kazi baada ya ndoa tukishatoka honeymoon ndo nianze kwenda kazini rasmi kama Mrs Paschal๐๐..... boo wangu yeye alikuwa anaendelea kwenda kazini kama kawaida.....
Siku moja Ilikuwa ni asubuhi mida ya saa nne baada ya boo kuondoka kwenda kazini mimi na mwanangu tulibakia zetu nyumbani mida hiyo ya saa nne nilikuwa niko chumbani kwa nice napanga nguo zake kabatini pale nyumbani nilipata ugeni alikuja isabella kuniita akaniambia nje kuna mgeni anahitaji kuonana na mimi..... mgeni gani!? Nilimuuliza isabella..... madame mimi hata simjui ni mdada furani hivi cjawahi hata kumuona..... mdada๐ง๐ง nilijihoji kichwani nilitoka kule chumbani kwa nice nikaingia chumbani kwangu nilichungulia dirishani kwa kule nje niliona gari kali sana ikiwa imepakiwa nilijiuliza huyo dada atakuwa ni nani!? Mbona huku marekani bado cjaanza kutengeneza marafiki wa karibu sana kiasi cha kunitembelea nyumbani kwangu bila taarifa..... hebu wacha niende nikaonane naye..... nilianza kushuka ngazi taratibu huku nikiwa namuwazia huyo mgeni aliyeko nje ni nani huyo?! Niliifika chini nikaingia jikoni kwenye kabati nikachukua glass then nikaelekea kule zilipo wine nikachukua chupa ya wine niliimimina wine kwenye glass nikaibugia yote baada ya hapo niliongeza nyingine kwenye glass nikawa nimetoka kwenda kuonana na huyo mgeni aliyeko nje....
Nilisogea hadi jirani na ile gari ni gari ya pesa nyingi sana kule kwenye gari alishuka mlimbwende wa kizungu kidada chembamba alf kinaonekana kishari hatari....."hello" nilimsalimia.....hakuitikia alitelemka kwenye gari yake akarudishia mlango wa gari baada ya hapo alisimama akaiegemea ile gari yake aliishusha miwani yake akaanza kunicheki kwa dharau sana nilimuuliza wewe ni nani na una shida gani?! Alicheka kwa dharau sana kisha akaniuliza unataka kunijua mimi ni nani?! Mimi ni mke wa mr paschal..... alinijibu hivyo huku akiwa anatafuta kitu kwenye mkoba wake..... alitoa card akawa amenirushia ile card niliichukua nikaifungua ni card zetu zile za mwaliko wa harusi..... we malaya tutaona kama paschal atadumu na wewe utaolewa tu kwa muda lakini nitamchukua kutoka kwako..... aliniambia yule dada huku akiwa ananinyali sana mimi huwa ni mpole sana lakini sipendi dharau huwezi kuja kuniita malaya nyumbani kwangu...... nilicheka kicheko cha kinafiki sana baada ya hapo nilikunywa wine kidogo nilijigeuza kwa nyodo ili yule kahaba wa kizungu auone vizuri mwili wangu baada ya hapo nilimsogelea nikamvua ile miwani yake nikaitupa kule mbali nilimumwagia ile wine machoni kwake alianza kupiga kelele na kunifuata akitaka tupigane ile glass ya wine niliipigiza kwenye kioo cha gari yake mlinzi alikimbia kuja kutuachanisha alipiga simu kwa paschal akamwambia huku nyumbani kwako kumekucha mzee baba.....
Itaendeleaaaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi