Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilifika kule nyumbani kwetu nilikuta nyumba yetu imewekewa matangazo ya kuuzwa palionekana kama sehemu ambayo hakai mtu yeyote..... nilijiuliza wazazi wangu watakuwa wapi kipi kiliwakuta au hakim aliwaumiza wazazi wangu?! Sikuwa na cha kufanya zaidi nilirudi kule lodge nililala kesho yake mapema niliamkia makaburini kule alikozikwa mama yake na paschal nilipeleka maua kule katika kaburi lake nilienda nikakaa juu ya lile kaburi na kuanza kulia huku nikiwa namuomba mama paschal msamaha kwa sababu yale yote aliyoniomba kuyatimiza hakuna hata limoja nililolifanikisha...... nilijiinamia kwenye lile kaburi kama mtu aliyekata tamaa...... nikiwa bado naendelea kulia juu ya lile kaburi ghafla niliguswa bega nilipogeuka nilikutana uso kwa uso na baba yake na paschal nilimkumbatia aliyafuta machozi yangu..... aliniuliza kuhusiana na hali yangu nilimwambia niko sawa.... baba paschal alikuja pale makaburini kufanya usafi kwenye kaburi la aliyekuwa mke wake nilimsaidia kufanya usafi baada ya hapo tulirudishia maua pale kaburini tulisali na baada ya hapo nilimuaga yule mzee nilianza kuondoka pale makaburini lakini baba paschal aliniita akaniuliza vipi umeshapata sehemu nyingine ya kufanyia kazi?! Mmmhh niliwaza why kaniuliza vile nilinyamaza kwanza aniambia kama bado haujapata unaonaje tukaongozana sote kwenda marekani uende ukaendelee na kazi yako kama kawaida.... kwani baba mmesha ihamisha campuni tyr? Samahani mimi nilipata dharula kidogo nikawa nimeacha kazi kule katika campuni ya boss paschal.... sijasikia chochote mwanangu ni kipi kilichotokea kwani au uligombana na mwenzako?! Hapana baba nilipata dharula nyingine lakini mimi na paschal tuko sawa hatuna tofauti yoyote...... lakini unaonekana kama mtu unayejificha ni kama vile hutaki kuonana na watu je kuna kitu unachonificha pendo!?.....hapana baba niko sawa! Sisi tutaondoka hapa Tanzania kesho kutwa tunahamia rasmi nchini marekani lakini kama ukihitaji chochote usisite kuniambia na kama ukihitaji kurudi kazini usiache kunitaarifu hata kama kuna tofauti yoyote kati yako wewe na paschal niambie mimi nitaitatua ....... aliniambia baba yake paschal baada ya hapo alielekea kwenye gari lake alifungua mlango akachukua pesa akaja akanikabidhi pamoja na namba yake ya simu alinipatia pesa nyingi sana nilimshukuru baada ya hapo niondoka nikamuacha pale......

Nilirudi kule lodge nilikuwa nawaza tu jinsi nitakavyoijua sehemu waliko wazazi wangu ili niende nikachukue vitu vyangu nilipata wazo la kwenda kijiweni kwa yule dreva tax wangu ambaye ni jimmy nilikwenda kumtafuta ili nimuulize kama anaweza akajua sehemu waliko wazazi wangu nilibahatika kumpata jimmy aliniambia kuwa wazazi wangu wako kwa mjomba wangu na yule hakim baada ya kunikosa mimi ilibidi wazitaifishe mali zote za wazazi wangu ili kufidia deni walilokuwa wanadaiwa...... baada ya kuzipata zile taarifa kutoka kwa jimmy nilienda zangu kupumzika then jioni nilifunga safari kuelekea kule nyumbani kwa mjomba wangu ilikuwa ni siku ya ijumaa nakumbuka nilifika katika eneo jirani na kule nyumbani kwa mjomba nikawa nimekaa hapo ndani ya kama dkk 30 niliwaona wazazi wangu wakitelemka kwenye bajaji ni kama vile walikuwa wametokea kazini maskini hata gari hawanatenaπŸ˜₯πŸ˜₯....... waligonga getini wakafunguliwa wakawa wameingia kule ndani kwa mjomba nilipata uhakika kweli ya kwamba wanakaa pale nilipanga kurudi kesho yake kwa sababu siku ya jmosi wote watakuwa wameenda kanisani namimi nitapata urahisi wa kuvichukua vitu vyangu...... niliondoka sehemu ile nikarudi kule lodge nililala then kesho yake mapema mida ya saa tatu nilianza safari kuelekea kule nyumbani kwa mjomba wangu niligonga getini akaja kunifungulia amina ambaye ni binti wa kazi kule nyumbani kwa mjomba! Tulisalimiana kawaida kabla hajanifahamu kwa sababu nilikuwa nimeificha sura yangu nilimuuliza kama kuna watu alinimbia tayari wameshaondoka kuelekea kanisani..... baada ya kuniambia kuwa kule ndani hakunapo mtu nilijifunua sura yangu amina akaniona aliniita da pendoπŸ₯ΉπŸ₯Ή kumbe upo hai bora hata umerudi kila mtu hapa nyumbani alikuwa na wasiwasi sana juu yako karibu ndani......

Amina alinikaribisha ndani niliingia kule ndani amina aliniambia nibakie nyumbani yeye aende akawaite wale walio kwenda kanisani awapatie taarifa njema za kurudi kwangu niliwaza haraka haraka cha kumwambia yule binti ili kimuweke busy kwanza nifanye kile kilichonipeleka kule ndani nilifikilia haraka haraka nilimuuliza kuna juice gani huku ndani tayari alikuwa ameshanipatia chai nipo nakunywa ila kwa sababu sikutaka yeye atoke kwenda kuwaita wazazi wangu nilihitaji kumsumbua tu ili aendelee kubakia kule ndani nilimuomba simu yake nikajidai kuna mtu nampigia nilikuwa najidai kupiga lakini wala sikumpigia yeyote nilianza kulalamika kuwa simu ya amina haina network😣😣 yote ilikuwa ni kumzubaisha tu niendelee kubakia na simu yake asijewapigia wazazi wangu kuwajulisha kuwa niko pale nyumbani...... kuna juice gani? Nilimuuliza amina aliniambia kuna juice ya embe na parachichi..... nilimuomba aende akamenye machungwa ya kutosha anisagie juice ya chungwa peke yake nilihitaji kitu kichachu zaidi...... ukishamaliza utaniacha nikiwa nakunywa juice yangu wewe utakwenda kumuita daddy and mom....... amina alikubali alielekea jikoni na mimi nikamwbia kuwa naelekea chumbani kupumzika....

Muda ambao amina alikuwa yuko busy kumenya matunda kule jikoni mimi nilikuwa busy kuvipakia vitu vyangu ili niondoke navyo kutoka kule nyumbani kwa mjomba wangu...... nilipakia kila kitu baada ya hapo nilimpigia jimmy nikamuomba asogee maeneo jirani na kule kwa mjomba ili aweze kunichukua mimi na vitu vyangu baada ya hapo nilielekea jikoni kwenda kumuangalia amina kama tayari ameshamaliza au laah..... nilimkuta yupo anaichuja juice alimaliza kuichuja akanimiminia kwa glass akanipatia nikaanza kunywa..... jimmy alinitext akaniambia tayari yuko nje .... nilimuomba sasa amina akwende akawaite wale waliokwenda church lengo langu nilitaka tu anipishe ili niweze kuondoka..... amina aliniaga akatoka baada tu ya yeye kuondoka mimi nilitoa mabag yangu nje nikapakiza kwenye tax ya jimmy baada ya hapo nilirudishia milango ya kule kwa uncle nikawa nmeondoka .........

Nilirudi hadi lodge huku kamoyo kangu kakiwa kananienda mbio sanaπŸ™ˆπŸ™ˆ niliwaza kuondoka siku ileile kurudi zanzibar nilipumzika kidogo baada ya hapo nilianza safari yangu kutokea dar es salaam kuelekea zanzibar baada ya kufika zanzibar nilimkabidhi Hemed vyeti vyangu vyenye majina yangu halisi nilimuomba radhi kwa kumdanganya jina langu kipindi chanyuma nilipokwenda kuomba msaada kwake...... nilimwelezea mkasa mzima ulionipata mimi hadi nikajikuta nikiwa katika njia panda alinipa pole na aliniahidi kunisaidia......usiku ule alinifanyia mchakato wa kunitumia barua za maombi ya kazi katika sehemu tatu mbili usa moja zanzibar! Zilipita siku 14 bila majibu yoyote kutoka katika sehemu zote nilizoomba kazi ilibidi hemed aondoke zake kurudi kazini lakini aliniahidi ya kwamba hatochoka kunitafutia kazi endapo kama itapatikana basi nitakwenda nikaishi naye huko usa.....nilikaa zanzibar kwa takribani kama miezi miwili hiviii baada ya hapo hemed alinipatia taarifa njema juu ya mimi kupata kazi huko nchini marekani na nilitakiwa kureport haraka iwezekanavyo......

Ilikuwa ni jioni moja hivi niliondoka zanzibar kwenda kulala jijini dar kwa ajiri ya kupandia huko ndege nililala kesho yake asubuhi nilielekea airpot kwa ajir ya kuianza safari yangu kuelekea nchini marekani..... nilipanda kwenye ndege nikatulia zangu kwenye siti yangu sikuwa na kazi yoyote nyingine zaidi ya kujisnap na kuangaza macho yangu huku na kule.....zikiwa zimebakia dkk 18 za ndege kuanza kupaa nilimuona boss paschal akiwa anapanda ndani ya ile ndege niliyokuwa nimeipanda mimiπŸ™„πŸ™„πŸ™„ nilitoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango😹😹 bahati nzuri kwenye mkoba nilikuwa na mjitandio niliuchukua haraka nikajifunika kichwani na baadhi ya sehemu za usoni..... paschal alikuja akakaa kwenye siti ya mbele yanguπŸ™„πŸ™„πŸ™„ hakuniona na wala hakunigundua......

Itaendeleaaaaa......
Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜


Nilifika kule nyumbani kwetu nilikuta nyumba yetu imewekewa matangazo ya kuuzwa palionekana kama sehemu ambayo hakai mtu yeyote..... nilijiuliza wazazi wangu watakuwa wapi kipi kiliwakuta au hakim aliwaumiza wazazi wangu?! Sikuwa na cha kufanya zaidi nilirudi kule lodge nililala kesho yake mapema niliamkia makaburini kule alikozikwa mama yake na paschal nilipeleka maua kule katika kaburi lake nilienda nikakaa juu ya lile kaburi na kuanza kulia huku nikiwa namuomba mama paschal msamaha kwa sababu yale yote aliyoniomba kuyatimiza hakuna hata limoja nililolifanikisha...... nilijiinamia kwenye lile kaburi kama mtu aliyekata tamaa...... nikiwa bado naendelea kulia juu ya lile kaburi ghafla...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-n0-35

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-n0
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67

597
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65

545
MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

376
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

374
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

323
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

52
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

41
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8

37

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.26K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.25K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.23K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❀️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE πŸ’•πŸ’•πŸ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 16 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 16
@majario LIVE

Nikawa Sina budi kukubali nilivokumbuka ndoto ya Jana nikaogopa asije Freeman akafa kwasababu yangu Mimi, nilivokubali yule baba alifurahi akataka Hadi kunibeba ingawa alikuwa Hana nguvu akaniambia twende sasa na...

MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 61 na 62
@majario LIVE

Basi zai ndo wa kwanza akanambia we mbona umevimba macho ulikuwa unalia.nikasema.ndio kuna mtu kamwmabia kaka kuwa mimk.natembea na zayd ule mda nimekuja kukufata ww. Prisca akasema hao ni...

MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 59 na 60
@majario LIVE

Nikasema.achana nae bwana wala hana cha maan . Mi nimemwambia tu kuwa simtaki na asinifatilie mana atakuja kuniletea matatizo. Basi shoga akanambia sawa. Basi mie nikawa busy na mambo ya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 58 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 58
@majario LIVE

Mh zayd. Akasogea mpka nilipokaaa na yeye akavuta kiti akakaa karibu yangu. Ila uzuri tu ili darasa lilikuwa halina ata. Mtu. Akanambia eeh , ina maana faridah hukusikia salamu yangu....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest