Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha ibakie siri kama vile nilivyoificha aibu ya kile ulichokitenda..... hee😳😳 huo ndo ujumbe alioniachia mme wangu pale kwenye muto..... baada ya kuusoma nilihisi kuchanganyikiwa😴😴 hivi huyu mwanaume hana tena hisia na mimi kwa hiyo simvutii tenaπŸ€”πŸ€” si tuko honeymoon jamani ni kwanini asiyaweke pembeni makosa yangu tufurahie kwanza mapenzi ya ndoa yetuπŸ€”πŸ€” ataninyanyasa mpaka lini lakini mimi naye nilikurupuka sana kwenda kufanya mapenzi na hemedπŸ₯ΉπŸ₯Ήlakini tayari nilishakosea ataninyanyasa mpaka lini.... angalia adhabu ninayoipitia kwa ajiri ya ujinga wangu wa kujitakia...... hivi hii ndoa itakuwa ndoa ya aina gani et😟😟 nilipanda kitandani kwa hasira nikalala kesho yake mapema alfajiri niliamka nikaingia bafuni nikaoga nilivaa nikapendeza sana baada ya hapo nilichukua notebook nikamwachia paschal ujumbe...... nilikukosea sana huenda ni kweli sisitahiri kusamehewa na weweπŸ™πŸ™ sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuendelea kuact kama watu tulioko kwenye ndoa hii itatumaliza kisaikolojia sisi bado ni vijana wadogo ambao tunatakiwa kuishi katika ndoa halisi na siyo hii ya maigizo iliyopo kati yetu sisi hapa, paschal ukweli ni kwamba mimi ninakupenda sana wewe lakini ninaona kabisa moyo wako umeshanitema sioni kama kuna umuhimu wowote wa kuendelea kuwa karibu na wewe nitaondoka mimi na mtoto wangu tutaelekea sehemu yoyote ile ilimradi tu tupotee machoni kwako make naona ni kama ninakupa tabu sana ya kukaa unanikwepa kila muda ....... kwa heri mme wangu ubaki salama niliivua ile Pete ya ndoa nikaiweka juu ya ule ujumbe nilizitoa line zangu kwenye simu nazo nikaziacha pale nilichafukwa sikutaka kuondoka na line zikaja nishawishi kumtafuta au yeye kunitrac kimtandao ili kujua sehemu niliko ni wapi..... nilimuandaa mwanangu nikaitisha tax tukawa tumeondoka kule hotel tukahamia mji tofauti ambapo huko nililipia chumba hotelini nikakaa na mtoto wangu......

Haikuwa rahisi kwangu kuamua uamuzi mzito kama ule.....lakini ilinibidi tu hakuna kitu kinauma kama umtege mwanaume wako alf asitegeke yani ujiweke fresh kwa ajiri yake alf yeye akikukuta hivyo achukue nguo kukufunika kisha akuache na kwenda kulala kwenye chumba kingine😟 alf nilimkumbuka et niliyamis mapenzi yake😟sasa kaniowa ili iweje kama hataki kuniduu..... nilichokifanya nilimtafutia nice shule ni day care nilikuwa nampeleka asubuhi then jioni naenda kumchukua..... ilikuwa ni shule ya watoto wenye umri wa kuanzia mwezi mmoja hadi miaka miwili...... kwa kipindi hicho nice alikuwa na miezi 10 kuelekea 11..... nilimlipia nice huko kwa sababu sikuwa na mtu wa kumwangalia Isabella alienda kwao kusalimia baada ya kuwa sisi tumeondoka kuelekea paris kwa ajiri ya honeymoon...... mwanangu alianza shule nami nilitafuta kazi nilipata kazi katika super market moja ni katika kitengo cha cashier......ilikuwa ni kama bahati tu siku hiyo naenda kuomba kazi pale super market nilikuta wana uhaba wa cashier mmoja na nafasi ya kazi ilikuwa imebakia hiyo hiyo moja nilichukuliwa siku ileile na kuanza kufanya kazi.....

Nilikuwa natoka kazini saa 12 jioni naenda mpokea mtoto kwenye kituo cha school bus tunarudi hotelini kupumzika..... siku zilizidi kwenda mwilini kwangu nilianza kuona mabadiriko maziwa kifuani kwangu yalianza kunyauka hadi mtoto akaanza kukosa maziwa ya kunyonya mmhhh kizungu zungu cha hapa na pale uvivu nilianza kuwa nasinzia hadi kazini nilijiuliza hii hali ni kwanini inanikutaπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ sikuliwazia sana swala la ujauzito japo nilikuwa nimepitiliza siku zangu za period lakini tarehe zangu za period huwa zinabadirika kila mwezi nilihisi tu huenda ni stress za mapenzi ndizo zinazonichanganya...... siku moja nikiwa kazini nilidondoka kutokana na kuvamiwa na kizungu zungu kikali sana nilikimbizwa hospital nikachukuliwa vipimo majibu yalitoka kuwa mimi ni mjamzito nilishtuka sana kutokana na yale majibu ya vipimo😴😴niliyaona kabisa matatizo yanavyozidi kuongezeka katika upande wangu niliwaza kumbambikia paschal ule ujauzito lakini ni miezi sasa imepita bila kushiriki naye tendo.....nakumbuka tangu niliporudi Tanzania kwa ajiri ya ndoa sikuwahi kabisa kuduu na paschal na hata siku tuliyokuwa safarini kuelekea Tanzania mimi nilikuwa niko period na paschal alilijua hilo kumsingizia huu ujauzito siyo rahisi ni bora hata ningekuwa nimejamiaana naye kwa siku za hivi karibuni........

Habari za ujauzito nilizipokea kwa masikitiko makubwa sanaπŸ€¦β€β™€οΈπŸ€¦β€β™€οΈ kusema kweli nililia machozi nilikuwa najiona single mother wa watoto wawili ambao wana baba tofauti......hey miss mbona unalia ujauzito ni jambo la kheri unatakiwa kulipokea kwa furaha☺️☺️aliniambia Mom Elizabeth hahahaa ni kweli mom lakini ninalia machozi ya furaha etπŸ₯²πŸ₯² hospital nilisindikizwa na mama Elizabeth huyu ni boss wangu kule ninakofanyia kazi...... baada ya kuruhusiwa hospital jioni mida ya saa 1 Mom Elizabeth aliniuliza.....
""Vipi naweza nikakupeleka nyumbani kwako?!""
""Ni sawa Mom""
""Unakaa wapi na unakaa na nani?!""
""Nakaa Hotel Mom ninaishi na mtoto wangu mdogo....""
""Why kwanini usitafute nyumba😳😳""
""Nipo kwenye harakati za kutafuta nyumba Mom ndo najipanga et""
""Mwanao ana umri gani?!""
""Ana miezi 10""
""What😳😳 mwenza wako yuko wapi?! Samahani lakini kwa maswali najaribu kutafuta namna ya kukusaidia🀨🀨""
""Mwenza wangu tumetenganaπŸ₯ΉπŸ₯Ή""
""Ni sawa usilie basi mimi nitakupatia sehemu ya kukaa wewe na mtoto wako twende hotel umchukue mtoto wako na vitu vyako then nitawapeleka nyumbani kwangu mpumzike utakaa na mimi hadi pale utakapopata pesa za kujitegemea..... kwa hii hali yako unahitaji uangalizi wa mtu.....pole sana kwa matatizo yaliyokukumba kwenye mahusiano yako lakini hutakiwi kukata tamaa unatakiwa kuwa strong kwa ajiri ya watoto wako""

Mom Elizabeth alinipeleka hadi kule hotelini nilimkuta mwanangu yuko kule reception na wahudumu wa kule hotelini baada ya kuchelewa kwenda kumpokea nilipigiwa simu na uongozi wa shule nikawaelekeza wampeleke kule hotel pale hotel kuna dada nilikuwa nimeshaanza kutengeneza urafiki naye huyo ndiye aliyempokea mwanangu akabakia naye hadi huo mda niliorudi kutoka hospital ....nilimbeba mwanangu niliwashukuru kwa msaada wao niliwaomba radhi kwa usumbufu mom Elizabeth alikwenda chumbani kwangu akanisaidia kutoa mabag yangu na ya mwanangu alitupeleka nyumbani kwake alitutambulisha katika familia yake pale kwake nilimkuta kijana wake ambaye alijitambulisha kwa jina la Tristan.....Father house ambaye ni Mr philipe pamoja na wasaidizi wa kazi za pale nyumbani nilipokelewa vizuri nice alimchangamkia sana Tristan hahahaaaa alimbeba et Tristan alionekana kumpenda sana nice alimchukua akaanza kumbembeleza mom Elizabeth alinionyesha chumba vitu vyangu vikawa vimewekwa huko niliingia nikapanga nguo zangu na za mwanangu kabatin nilimshukuru sana mom Elizabeth kwa ukarimu wake kwangu...... baada ya kupanga vizuri..... nilijilaza kitandani nikapumzika make kimimba kilikuwa kinanipeleka siyo mchezo...... mlangoni nilihisi kama kuna mtu anagonga niliamka kwenda kuchungulia ni mama Elizabeth alikuwa kaniletea matunda ya kuongeza damu mwilini kwangu ni mazuri kwa wajawazito yatakupa nguvu mwilini kwako samahani kwa usumbufu lakini unahitaji kuyala haya😊😊 asante sana momπŸ™ nilipokea yale matunda nikarudi chumbani kwangu niliyala taratibu hadi nikayamaliza usiku mida kama ya saa 4 tulikutana dinning table kwa ajiri ya kupata msosi wa usiku

Hahahaaa kilichonishangaza ni vile ambavyo nice na Tristan walivyozoeana kwa karibu sana nice alianza kumuita Tristan daddy 😹😹😹 nilijikuta nacheka vile Tristan alivyogeuka kuwa mtoto kulingana na vile alivyotaka nice wacheze..... Tristan alimlisha mwanangu chakula huku akiwa anamuimbia nyimbo duhπŸ₯² nilijikuta kinanijia kisura cha simanzi usoni kwangu mawazo yalienda mbali zaidi nikaanza kumuwaza paschal vile alivyokuwa generous kwa mtoto wake baada ya chakula mimi na mtoto wangu tulikwenda chumbani kulala wanafamilia walibakia kule sitting room niliona niondoke pale ili angalau niwape muda wa kuniteta kidogo🀣🀣🀣 si mnajua mgeni lazima ajadiliwe kidogo adadavuliwe kama anastahiri kubakia au laa!

Itaendeleaaaaaaaaa.......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜


Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha ibakie siri kama vile nilivyoificha aibu ya kile ulichokitenda..... hee😳😳 huo ndo ujumbe alioniachia mme wangu pale kwenye muto..... baada ya kuusoma nilihisi kuchanganyikiwa😴😴 hivi huyu mwanaume hana tena hisia na mimi kwa hiyo simvutii tenaπŸ€”πŸ€” si tuko honeymoon jamani ni kwanini asiyaweke pembeni makosa yangu tufurahie kwanza mapenzi ya ndoa yetuπŸ€”πŸ€” ataninyanyasa mpaka lini lakini mimi naye nilikurupuka sana kwenda kufanya mapenzi na hemedπŸ₯ΉπŸ₯Ήlakini tayari nilishakosea ataninyanyasa mpaka...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-51-52

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 64πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 68...69πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜   N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 74...75πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 70...71πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 66...67πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 62πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 65πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 72...73πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 63πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50

1.14K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49

1.09K
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*

279
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

228
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

206
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

177
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

171
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

54
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

24
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

9

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.82K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❀️ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGU❀️ sehemu ya 108

MY WANGU❀️ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.69K
MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❀️ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❀️ sehemu ya 106 na 107

2.63K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikase​ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 50
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN😎* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN😎* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€πŸ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest