Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
Gonga94 ยท Stories

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia mke mwenzake. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.nikasema powa hakuna noma nitashukuru mno. Kweli mchumba akanipa milioni 10. Mi nikatafuta fremu maeneo ya chuo nikapata .nikalipia na nikanunua vifaa vyote vya stationery. Nikamuweka mtu . Awe ananishikia mda ambao mimi nakuwa class. Na nikiwa free nakuwa na kaa mimi. Aseee nilikiwa napiga kazi mnoo kwa siku faida ta elfu 35. 40 mpaka 50 ni kawaida tu si nilikuwa najulikana chuo na ninao soma nao wote wakawa wanakuja stationery kwangu . Apo fatuma nilimwambia kuwa nna stationery ila msingi kanianzima lemi. Na lemi mchongo anaujua so akampanga tu mke wangu. Na mke wangu akaamini. Aseeee nilimshukuru sana princess kwa hili wazo. Mana sasa maisha yakawa fresh vihela hela napata tu

Na baada ya mwez nikanunua kitanda sasa . Ikawa mm na mke wangi hatulali kwenye godoro. Apo uku penzi linaendelea kwa mke wangu na penzi linaendelea kwa princess. Sasa mi na princess unajua ikawa sasa kama watu wengi pale chuo wanajua.mana si mnajua penzi kama kikohozi lazima utakohoa tu. Kuna mda tunaondoka wote watu wanatuona kuna mda tunaenda cafe kula wote hivyo yani. Ila ata mm sasa nilikuwa namuelewa kweli ni princess mana alikuwa ananisaidia mambo mengi na sio pesa tu. Uyu demu ana capacity kubwa ya maisha yani huwa ananishauri mambo mengi sana. Kwaiyo nikawa namkubali fresh
Na vile hamsumbui mke wangu basi nikaona haina shida ata

Siku iyo sasa nimetoka zangu chuo. Nikapita stationery kwangu nikapiga sana kazi zawatu pale mpak.saa 3 . Princess nae akaja akanambia una kazi ipi na ipi nikusaidie baby kabla sijaenda nyumbani. Nikamwambia kapumzike bwna mi ntamalizia .akanmbia ndo ngoja nikusaidie uwahi nyumbani. Umemuacha mama k kule . Mh nikawa nacheka tu. Na kweli tuwa tupo waleili tu tunamaliza kazi za watu. Asa si unajua mkikaa wapenzi. mala nimeshika tajo. Mala nimemshikaziwa hivyo. Utani wa apa na pale uku kazi zinaenda . Aseeee si akaingia mke wangu uo mda ni usiku saa 4. Na hajawahi ata siku moja kuja chuoni kwetu au kazini nnapofanyia kazi. Aseeee mimi nilistuka mnoo. Yani nilituka kweli. Nilikuwa nimemshika princess kiuno haraka nikamuachia. Nyieeee fatuma alingalia kwa hasira mnooo.

Princess na yeye akamuangalia fatuma. Ila kwa jinsi alivyoona reaction yangu baada ya kumuona na yeye akajiongeza akajua uyu ni mkewe. Yania ta sijuh ilikuwaje fatma akamlukia princesss. Nyiee fatuma apo nakumbuka ana mimba ya miez 6. Yani ile kumlukia akamchania brauz yake yote. Princess akabaki na sidiria tu. Akaanzisha ngumi pale . Weeeee sisahau ile siku . Mi harka nikamshika mke wangu.nnikamwmabia fatuma tulia naomba utulie. Fatuma aksema nitulie nn.unazani mm sisikii habari zako kwa wanafunzi wenzako kuw una mwanamke apa chuoni. Si ndo uyu maraya unanambia unafanya kazi kumbe mpo kushikana matako. Aseeeee apo princess uku juu ni ana sidiria tu na yupo kimya mi nkambana mke wangu kisha nikavua shirt langu nikamlushia nikamwambia vaa ondoka apa. Kweli akavaa kawa mpole akawa anatoka.mke wangu akanza kumtukana matusi mkubwa ahaaa hii siku ndo nilimjua fatuma akichukia anakuwaje. Apo ni nimemshika akamwambia msenge wewe. Msenge mkubwa unajidanganya na ay matako yako kama ungekuwa mtamu si angekuoa ww sasa ntakukomesha maraya weee. Ila princess hakujibu kabisa akaondoka zake .nikabaki na kisanga chngu yani nnachoshukuru ile siku ilikuwa ni usiku .so hakukuwa na watu wengi. Ingekuwa mchana nilishadhalilika mimi.

๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30



Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia mke mwenzake. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.nikasema powa hakuna noma nitashukuru mno. Kweli mchumba akanipa milioni 10. Mi nikatafuta fremu maeneo ya chuo nikapata .nikalipia na nikanunua vifaa vyote vya stationery. Nikamuweka mtu . Awe ananishikia mda ambao mimi nakuwa class. Na nikiwa free nakuwa na kaa mimi. Aseee nilikiwa napiga kazi mnoo kwa siku faida ta elfu 35. 40 mpaka 50 ni kawaida tu si nilikuwa najulikana chuo na ninao soma nao wote...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-30

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 58
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 58
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 59 na 60
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 59 na 60
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

1.14K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

1.09K
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

315
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

231
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

207
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

177
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

54
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

25
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

9
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

3

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.69K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest