MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama akasema asije akakuomba ela. Ila mama mchoyo🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌. Mh mke wangu akaipola ile simu gafra .mpaka nikashangaa. Akamsalimia maam shikamoo mama. Kisha kamwmabia mama. Et mama nani uyo anataka namba za mume wangu. Mi sikuwa namsikia mamaa anamuelezea nn mana simu wala sikuw animeweka loud. Mke wangu akasema mama hapana usimpe namba yani usimpe namba kabisa. Mama unajua mume wangu now ana pes ana kaendelea watu wanamuonea donge. Wanataka kumzoe wamloge . Mama hapna mlinde kijana wako kiukweli. Bado sikusikia maongezi ya upande wapili ila nilihisi mama anamsupport mke wangu. Basi mke wangu akkazia sana kuwa uyo alex asipewe namba zangu. Baada ya apo akaagana na mama. Akanipa simu yangu
Nikamuangalia sana kisha nikacheka.nikamuuliza na ww siku hizi umekuwa mshirikina . Akanmbia no ayo mambo yapo mume wangu. Lazima nikulinde . Unazani kila mtu anapenda mafanikio yako. Kama vile umemjengea mama nyumba nzuri na ya kisasa vile kuna watu wengine hawapendi kabisa maendeleo ya wenzao mume wangu. Nikasema sawa . Mie nikaipotezea ila mada nikaendelea na ratiba yangu. Nakumbuka zikapita siku 3. Skku iyo mida ya usiku kama saa 1 nilikuwa mzumbe nna kipindi nafundisha. Baada ya kumaliza saa 2. Ndipo nikaingia kwa gari yangu ili niludi nyumbani. Nikaanza kudrive sasa .mala simu yangu inaita alafu namba ni ngeni . Mi huwa sipendi kabisa kupokea simu nikiwa na drive. Huwa makini sana bala balani. So kuongea na simu uku na drive hapana. Mi sikupokea kabisa ile simu
Kwaiyo sikupokea. Ila nilivyofika home tu nikaingia ndani. Nikamsalimiana na mke wangu. Mwanangu akanidandia nikambeba kisha nikakaa nae sebleni kwenye sofa . Nikaitoa ile simu .nikaipiga ile namba amabyo ilinipiga wakati naendesha gari. Haikuchukua mda akapokea simu na alikuwa ni mwanaume. Nikasema kak vp nani apo sijakupa.. yule mtu akanmbia haji mm alex mdinge. Ahaaaa ndo yule jamaa ambae alikuwa anaenda kwa mama kuomba namba zangu. Nikasma nambie alex kuna issue gani mana nasikia unanitafuta sana . Alex akanmbia kaka nma suala zito sana na ww.nahitaji kuongea na ww. Nasikia upo moro na mm nna siku 3. Nipo moro naomba sana tukutane kwa simu hatutaelewana. Nimasema alex kwani kuna nn kaka mbona kama unanitisha aseee. Nilishangaa gafra mke wangu kanyakua ile simu akaipasua chini kwa hasira. Haaaa nilipanik nikamuweka kwanza araina kwenye sofa. Nikamuuliza kwa nn umenipasulia simu yangu
Akanmbia yani kwa ujasiri kabisa ndani kwangu unaongea na maraya wako princess. Yani umeona kazini haitoshi unakuja kuongelea nae ndani. Daah mbona nilichoka.nikasema mke wangu mi wapi nimeongea na princess .mi naongea na yule jamaa anayeitwa alex wa home. Ni saa ngapi nimeskkia naongea na mwanamke .asee mke wangu akapanda akanza na kulia et kanisikia naongea na princess. Yani uyo princes sijaonana nae ela kuongea nae kalibia miaka 4 .kwanza mpaka nilishamsahu mimi . Basi nikapata kazi ya kumbembleza mke wangu. Simu kashanivunjia . Bado kanipa kisanga ilokiwa ni shida. Na mke wangu akikasilika yeye ni kulia tu. Yani hakuna kuongea hakuna kulika wala kulalika ni kulia tu. Nilimuelewesha sana yani sana. Akanmbia ukitaka nikuamini naomba badilisha laini . Sitaki utumie iyo laini. Nikasema sawa mke wangu. Nabadili kesho ni week tutaenda kusajili pamoja akanmbia saww . Basi apo ndo kesi ikaisha sasa .
Kesho yake baada ya chai tu. Tukamchukua na mtoto wote nikaenda kununua simu kwanza mana ile ilikuwa ina hali mbaya. Kisha sasa nikaenda kusiajili laini nyengine. Na nikawatoa tu out mana bado mke wangu kama hakuwa sawa . Basi tulivyotoka kula .nikawapeleka swimming tukaogelea sana . Nikacheza ssna na mtoto wangu. Basi mke wangu akanmbia sitaki ugawe gawe namba yako isije ikamfikia uyo princess. Nikamwambia swa wala hakuna shidaa. Basi usiku sana ndo tukalidi nyumbani. Ikapita week mimi nipo busy sana na pilika pilika .siku iyo sasa nimetoka kazini kwangu yani bank saa 8 mchana . Nikaingia mzumbe mana nilikuw ana kipindi cha jioni saa 12
Basi nimefika ofisini kwangu . Secretary akanmbia aha mr haji bwana apa kijana mgeni wako katoka kukulizia sasa hivi .mh nikamuuliza mgeni gani.akanmbia anaitwa alex guga. Mh nikaona uyu jamaa ata kuwa na issue ya muhimu sana . Mbona ananifatilia sana.nikasema ameacha namba yake. Akanmbia ndio kaacha pa. Nikachukua namba yake kisha nikaingia ofisini. Kusubili kipindi changu.
Basi nilivyoingia tu ofisini . Mimi nikampigia simu . Na akapokea . Nikasema alex ni mm haji nimeambiwa ulikuja kuniukizia apa. Nimefika. Alex akasema daah afadhaki . Nilishakata tamaa. Nakuja sasa. Hivi mana wala sikufika mbali .nikasema powa mtu wangu. Basi mi nikaagiza chakura. Na nikaagiza sahani 2 .mana nilishajua kuna mgeni anakuja. Nikaanza kupiga msosi taratibu. Na baada ya mda . Alex akaningia ofisini kwangu.na nikamkalibisha vizuri tu. Na nikamkalibisha chakura na juice. Basi tukawa tunakula uku salamu za hapa na pale zinaendelea.baada ya chkura sasa nikasema daah mr alex pole sana mbona unanitafuta sana mpaka unanipa hofu ni salama. Ila apo mawazo yalikuwa yanasoma kuwa jamaa itakuwa anatafuta kazi.
Akammbia mwanagu mi nna kipemgele kikubwa na mkeo. Mh nikastuka. Nikamuuliza fatuma akanambia ndio. Akanmbia mwanangu fatuma ana mtoto wangu. Ana mtoto wangu fatuma .mh nikashangaaa nikajiuliza kimoyoni kwani fatuma ana watoto 2 . Ama inakuwaje apa . Nikamwambia ebu nambie vizur . Akanmbia sikia mwanangu. Wewe ilivyoenda chuo. Mi. Fatuma alikuwa ni mwanamke wangu. Tena fatuma alinitongoza mwenyewe. Nikamuuliza si una mshikaji wako. Akanmbia mmeachana na kila mtu yupo busy na maisha yake. Fresh nikaanzisha nae mahusiano . Tumedate kama miez 3 fatuma akanmbia ana mimba. Si unaelewa . Mie nikasema ndio nakusikiliza kaka. Akanmbia na kweli mm nikamchukua fatuma tukaenda kupima kweli alikuwa. Na mimba ya kama mwez. Ila sasa mm kaka nikawa nasafiri safiri na mjomba. Anafanya kazi ya magari makubwa. So kuna mda naenda kongo na zambia uko. Ila mm ata kama nikisafiri mi namuhudumua fresh fatuma kuhusu suala la mimba. Nampa pesa kama kawa tena namlushia. Imeeenda imeeenda tripu moja mi nimeondoka .naludi nasikia fatuma kaoelewa. Alafu ana mimba yangu .
Sasa mimi nikamchek .nikamuukiza mbona nasikia umoolewa kimya kimya imekuwaje . Na una mimba yangu kwa uo mda kaka mi sijuwa nimejua kama ww ndo umemuoa fatuma..mana ndoa yenu yenyewe ilikuwa kimya kimya . Fatuma akanmbia yeye amehisi mda wake wa kuolewa umefika hivyo asingeweza tena kunisubir mm. Ila kuhusu mimba haina shida ni yangu. Mi mwangu nikanyongea nikamind nikazila na kumuhudumia fatuma.akawa ananipigia ananitAka anafosi anataka huduma. Ila kwa kua mm nilijua ana damu yangu roho ikawa inananisuta kutokumuhudumia.nikawa nikipata pesa namtumia.mpaka anajifungua na picha za mwanagu kanitumia..jamnaa akatoa simu yake akanmbia unaona brooo. Hizi picha mi nimezisave zina miaka 5 hizi. Daaa ni kweli ni picha za araina akiwa mdogo sana. Aseeeee nilijihisi chizi .nilichanganikiwa kinomaaa
Jamaa akanmbia mwanagu. Mimi nikawa nahudumia mtoto. Sijawahi kutupa damu yangu sababu uyu ni mtoto wangu na anafanana na mimi. Unaona haji apa nna hii alama ya weusi kwenye mkono. Na uyu mtoto. Si anayo.ni kwrli jamani anayo kabisa araina. Na ndo navita picha kwamba mbona kweli araina ana fanana na uyu alex. Nikajua kumbe ndo mana mke wangu alikuwa anazuia mm nisiongee na alex kumbe ni baba mtoto wake. Kumbe alainisaliti kile kipindi daah. Jamaaa akanambia sasa brooh baada ya mwaka fatuma kabadilika hataki mm nihudumie mwanangu na ananambia kabisa kuwa mm yule sio mtoto wangu. Wakati mi najua ile ni damu yangu.kaka. mimi apa sijakuja kiugomvi wala nn. Mi nataka mtoto wangu. Nataka damu yangu hilo tu brrooo. Daah kwanza nilichoka alafu nilipata uchungu mwanaume mpaka chozi likawa linanaishuka nasikia moyo unauma mnooo.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi