Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REAL LOVE  Chapter 13
Gonga94 · Stories

REAL LOVE Chapter 13

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


seven aliwasha gari na kuliondoa spidi njia nzima alikuwa akilalamika tu

mtu unaiona hali yako lakini unakubari tu

kufanya mikazi kwahiyo unataka kulazwa tena hospitari ishindwa kuomb hata sjmu kwa jirani umpigie baba? hujionei huruma wewe hata kama unanichukia lakini jipende mwenyewe mimi sio lazima kunipenda je nisingekuja ingekuwaje ah***" alisema seven kwa ukali sana aliumia sana kuona fahima anateseka hivo

sasa si upunguze spidi basi alisema fahima baada ya kuona gari linatoka spidi sanaaa

halafu?" alijibu mkato seven aiseee kwakweli alikasirika sana ikabidi fahima anyamanze tu maana akiendelea kuongea asije akaleta. matatizo basi seven akaendle kuendesh gari

upande mwingine nyumbani kwa mama seven asubuhi aliamka vizuri tu walikuwa mezani wakipata kifungua kinywa lakini siku hiyo. alitamani sana kikaa chini na mwanae seven il

kuzungumza nae

hivi seven kaenda wapi mbona leo. hajaniaga aliuliza mama seven

hata mimi hajanlaga mama au we sara kakuaga" alisema selina.

hapana dada" alijibu sarafina

"basi miacheni nitamsubiri akirudi nizungumze nae alisema mama seven kisha wakaendelea. kula chakula,

upande mwingine nyumbani kwa mama fatuma alijiuliza sana huyu kijana ni nani na katokea wapi mbona anamfatafata sana fahima kwani anauzuri gani lazm nifanye kitu awe anamke

awe hana ila nitafanya kila kitu amuoe mwanangu maana anaonekana anapesa sana"**" alisema mama fatuma kimoyomoyo ndipo

fatuma nae akaja

mama huyu kijana nimempenda jamani mzuri handsome mama nifanyie mpango basi uongee n baba anioe """ alisema fatuma.

nyoooo et akuoe wakat kufua nguo tu hujui alisema mama fatuma

mama bhana si nitajifunzaaa jamani*** alisema fatuma

ndo ujifunze sas ukishangaa atachukuliwa na fahima alisema mama fatuma

weeeee asubutu aone yani amchukue bwana angu heee nitamvunja vunja "" alisema fatuma

apa cha msingi tumtafute fahima afu tumbane aseme yule kijana anakaa wapi alisema mama fatuma

"si yupo ndani ngoja nikamuite alisema fatuma

"ukamuite wapi yani we mtoto chizii eee ko nachoongea hapa hukielewi fahima kachukuliwa na uyo kaka na anayejuwa walipo ni baba yake sisi hatujui alisema mama fatuma na kufanya fatuma abaki ameshangaa na kukodoa macho. tu

upande mwingine seven na fahima walifika mpama maeneo ya kisemvule katika mjengo mmoja wa kifahari haukua mkubwa sana yani ulikuwa simple tu alipiga honi ya gari kisha

mlinzi akaja kufungua gari likaingia ndani walifika na kushuka, seven alimshika mkono fahima ili aingie nae ndani lakini fahima alikataa

**"hapana nipo sawa tu nitaenda" alisema fahima

"kwahiyo nikikusaidia kwenda utazidi kuumia au alisema seven

seven si nimekwambia nipo sawa alisema fahima basi seven hakumjibu alimfuata mlinzi getini

kamanda nimekuja na mgeni wangu nitakuwa

nakuacha pamoja nahuyo mfanyakazi wa ndani naomba muwe mnamuangalia vizuri maana ni mgonjwa alisema seven

sawa boss wangu limeisha hilo alijibu mlinzi

huyo basi seven akarudi na kuongozana na fahima hadi ndani walifika na kumkuta dada wa kazi seblen akiandaa chai mezani aliwafata na kuwasalimia

""shikamoo kaka" alisalimia

"marahaba asu nimekuja na dada uyu apa muangalie vizuri anaumwa atakachohitaji utampa nakama kimeisha utaniambia sawa alisema seven

sawa kaka alijibu asu

haya mpeleke umuonyeshe chumba aoge na umpatie nguo nilizonunua awe safi kisha arudi

kula mezani nawasubiri nataka niende kazini"***"

alisema seven basi fahima akapelekwa kwenda kuonyeshwa chumba

upande mwingine catherini asubuhi hiyo alionekana katika hotel moja ndani ya chumba namba 200 akiwa na mbaba wa makamo

"yani we mtoto mzuri sana unanikoshaaaa kwa utundu wako alisema mzee huyo mwenye pesa chafu

"usione nakupa bure kumbuka makubaliano yetu akikuletea kesi ikunje kama karatasi ikiwezekana mgeuzie kibao seven afungwe yani

sitaki kabisa aje kunibuguzi nikiwa natumia mali zangu alisema catherini

Usijari mtoto mzuri kila kitu kitakuwa sawa nitafanya kama ulivosema kikubwa nizipate tu hizo hati na document zote alisema mubaba huyo aiseeee cathe alikuwa ni mwanamke hatari sana bila kujulikana, aliamua kuutoa utu wake kwaajiri ya pesa tu alikubaliana na hakimu huyo

kila kitu kuhusu mchakato huo hakutaka seven aishi kwa amani hata kidogo uyo ndo dada aliyeitwa catherin

turudi ofisini kwa devi story zao ziliendelea kusonga mbele na mr sanju huku wakicheka. vicheko mfululizo mara ghafla mlango wa ofisi hiyo ukafunguliwa akaingia john akiwa amekunja

ndita kwelikweli
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REAL LOVE Chapter 13



seven aliwasha gari na kuliondoa spidi njia nzima alikuwa akilalamika tu

mtu unaiona hali yako lakini unakubari tu

kufanya mikazi kwahiyo unataka kulazwa tena hospitari ishindwa kuomb hata sjmu kwa jirani umpigie baba? hujionei huruma wewe hata kama unanichukia lakini jipende mwenyewe mimi sio lazima kunipenda je nisingekuja ingekuwaje ah***" alisema seven kwa ukali sana aliumia sana kuona fahima anateseka hivo

sasa si upunguze spidi basi alisema fahima baada ya kuona gari linatoka spidi sanaaa

halafu?" alijibu mkato seven aiseee kwakweli alikasirika sana ikabidi fahima anyamanze tu maana akiendelea kuongea asije akaleta. matatizo basi seven akaendle kuendesh gari

upande mwingine nyumbani kwa mama seven asubuhi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/real-love-chapter-13

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi real-love-chapter
REAL LOVE*  Chapter 10
REAL LOVE* Chapter 10
REAL LOVE  Chapter 12
REAL LOVE Chapter 12
REAL LOVE* Chapter 9
REAL LOVE* Chapter 9
REAL LOVE*  Chapter 8
REAL LOVE* Chapter 8
REAL LOVE* Chapter 7
REAL LOVE* Chapter 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87

561
MY WANGU❤️ sehemu ya 88

MY WANGU❤️ sehemu ya 88

530
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘

472
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

376
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

288
REAL LOVE  Chapter 12

REAL LOVE Chapter 12

180
REAL LOVE  Chapter 13

REAL LOVE Chapter 13

98
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)

76
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.12K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.87K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.06K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.46K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘
@majario LIVE

Pendo🥹🥹 kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimi🥹 haujui ni kwa kiasi gani...

REAL LOVE  Chapter 13 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 13
@majario LIVE

seven aliwasha gari na kuliondoa spidi njia nzima alikuwa akilalamika tu mtu unaiona hali yako lakini unakubari tu kufanya mikazi kwahiyo unataka kulazwa tena hospitari ishindwa kuomb hata sjmu kwa jirani umpigie...

MY WANGU❤️ sehemu ya 88 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
@majario LIVE

Mlige akaipasua ile simu kwa hasira. Akanmbia nilijua tu . Umebadilika sana faridah kumbe una mwanume ana pesa kunizidi sio . Mie nikasema nisamehe mlige acha nikuelezee. Mlige akafoka .akasema...

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI) Post Mpya
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA 😭😭 Acha nilie alafu ninyamaze duku duku langu nilimalize maana najiuliza maswali magumu sana ivi serekali inajua hawa wahindi wanatufanyisha kazi za ndani raia wa nchi hii...

REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi mimi nilikaa home siku 3. Nikapigiwa simu ya kwenda kusaini mkataba katika iyo bank. Na kweli nilienda nikasaini mkataba wa miaka 2. Na mshahara ulikuwa ni mrefu sana ....

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Daaah yani sikuwa naelewa nifurahi pale . Ama ninune. Yani nilikuwa katika hali ambayo ata siielew. Basi zayd akanishika mpaka karibu na ile gari kabisa. Akafungua milango na nikaona...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘
@majario LIVE

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga🙈🙈 wenyewe walikuwa wako busy kubebishana😆 nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote...

REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest