Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
Gonga94 ยท Stories

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Aseeee akanmbia basi sawa hkuna shida. Ntajalibu kufatilia aseeee hii siku .nilipata amani ya moyo ambayo niliikoss kwa mda sana. Mana jamaa alinihakikishia kabisa kuwa ni wanangi na nimefanana nao. Aloooo nikaanza kumtafuta princess kwenye mitandao ya kijamii. Ila wapi sikumpata.nikaanza kuulizia washikaji. Kuna vidada vilikiwa na urafiki nae japo sio sna wote nikawwatafuta ila wao piah hawakuwa na namba zake wala habari zake zozote.

Aseeee kuanzia apo lemi akawa anamtafuta sana princess . Yani mnooo. Uku na mm nikiendelea kupambana sana. Aseee siku iyo lemi akanmbia sikia wewe. Uyu demu itakuwa kabadilisha namba za simu. Hakuna ambae ana namba zake. Sasa cha kufanya apo ongea na leacture yoyote anayemueza aongee na mzee wake yani baba yake na peincess. Amuombe namba za princess ata kwa kudanganyia kitu..mana baba yake bado alikuwa mbubge wa uku uku moro na anafahamika sana..na katika graduu za mzumbe mala.nyingi uwa yupo. Nikasema daah iyo nayo ni akiri sana hakuna noma kesho nikiingia mzumbe cha kwanza ndo kitakuwa hiko. Akanmbia powa kaka hakuna shida.

Basi kweli kesho yake nilipoenda kufundisha mzumba .nikamzukia leacturee majeed. Uyu leacturer alitufundisha uyu so nimemzoae sana na vile now nafanya nae kazi pamoja apa ndo kabisa.nikmpanga sana kuwa nahitaji namba za mtoto wa mbunge wa hapa yani princess. Akanmbia ahaa mbona mi namba za princess ninazo. Alinipigia kama miez 3 nyuma . Alinambia kuwa anataka kuludi kumaliza mwaka wake wa mwisho mana alipostpon hakumaliza chuo. Ila sikumuona tena .so sielewi nini kimetokea .nikasema sawa basi naomba namba zake. Leacture akaningalia akacheka akanmbia vp dogo unataka kukamata mzigo nn. Nikacheka sana nikasema hapana mm nna isssue zangu tu zengine akanmbia powaaaa

Aseeee nilifurahi baada ya kupata namba..nilimpigia lemi nikamwambia nimepata namba zake.akanmbia sikia sasa usimpigie . Tunahitaji kuonana nae live kwa live. Nitumie namba yake .kuna mwanangu ni mtamu wa mambo ya mitandao .amtrack kisha tutajua tunakutana nae vp.nikasema sawa na kweli nikamtumia namba yake. Apo nilikuwa na kiwewe sana cha kuwaona wanangu. Japo nilijua ntakuw na mziki mkubwa wa kujieleza kwa princess wallah. Basi mi nikawa nipo busy na mambo yangu.na lemi akanmbia sasa washafanikiwa kumtrack princesss. Na anaona root zake zote. Aseeee niliuliza wapi anakuwa sana uisiku. Akanmbia kibaha. Apo ndo sana nafikiri atakuwa anaishi kibaha. Ila sasa hatutakiwi sisi kwenda kwake. Kama ameolewa jeeee .nikasema ni kwli hilo nalo ni balaaa.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38


Aseeee akanmbia basi sawa hkuna shida. Ntajalibu kufatilia aseeee hii siku .nilipata amani ya moyo ambayo niliikoss kwa mda sana. Mana jamaa alinihakikishia kabisa kuwa ni wanangi na nimefanana nao. Aloooo nikaanza kumtafuta princess kwenye mitandao ya kijamii. Ila wapi sikumpata.nikaanza kuulizia washikaji. Kuna vidada vilikiwa na urafiki nae japo sio sna wote nikawwatafuta ila wao piah hawakuwa na namba zake wala habari zake zozote.

Aseeee kuanzia apo lemi akawa anamtafuta sana princess . Yani mnooo. Uku na mm nikiendelea kupambana sana. Aseee siku iyo lemi akanmbia sikia wewe. Uyu demu itakuwa kabadilisha namba za simu. Hakuna ambae ana namba...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-38

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 58
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 58
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 59 na 60
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 59 na 60
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

1.15K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

1.1K
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

374
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

233
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

64
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

25
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.

10
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda

3
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.69K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda Post Mpya
#TBT 2014 nilijiunga na SAHARA MEDIA GROUP LTD. January niliripoti ofisi za Adda
@majario LIVE

Estaste, Kinondoni baada ya HR Mkuu Mzee Shilatu na msimamizi Steven Diallo kuning'oa kutoka Ebony FM, Iringa. Nikapokelewa na Tom Chilala, Wiltrudies Mutembei @wiltrudiesmutembei kisha wakanikabidhi kwa "Semaji"...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest