Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37
Gonga94 ยท Stories

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote na mimba yake na wala mm sio muhusika wa ule mzigo kabisaa. Nilikataaa .si amenambia sio yangu basi fresh. Mi nikawa busy na shule sana. Na familia. Si unajua tena nna kabinti sasa. Asee mwanangu alikuwa mzuri kama mama yake . Na kanapenda kucheka sana. Yani mnooo. Alafu alikuwa ananipenda mnoo uyu mtoto . Yani ananipenda aswaa na ananijua mie baba. Mana kilivyofikisha miez 3 . Kalianzaa kutambaa .basi nikilidi anatambaa ananifata uku anacheka . Yani anajua kabisa kuwa baba anaingia sasa. Ilikuwa ni rahaa mnoo.

Basi bwana ikapita miez 3. Nina princesss tumbo limemchomoka kabisa. Na ikawa sio siri tena . Kila mtu anajua kabis kuwa princess ana mimba. Wengine wakawa wananihisi mm. Washikaji wananaitania kuwa mi noma mpaka nimemtia mimba princess. Mi nawaambia sihusiki itakuwa michael. Ila kwa kipindi iko sikuwa namuona tena na michael .ata princess namuona kwa nadra sana chuoni. Yani nimbahatishe sana. Na tukikutana hatukuwa tunaongeleshana kwa chochote ata salamu sisi hatukuwa nayo.kila mtu ni busy na maisha yake. Basi mimi nikawa napambana na maisha yangu na ile stationery ikawa inanisaidia sana . Apo nakimbiza sana chuo. Yani napasua mnoo. Unakuta napata mpaka madeals ya kufundisha njee uko wananipa maleacturer. So vihela nikawa napata. Ndani kwangu nikanunua vitu vyote vya ndani yani. Basi mke wangu akawa anapendeza .na ananenepa japo ana lea. Mana vipesa vipesa nilikuwa napata tu nashukuru

Basi bwana ikapita mdaa nikawa sijamuona princess pale chuo. Kama miezi 3. Sikumuona kabisa. Na kwa mda uo alikuwa mwaka wa 3 .so ulikuwa ni mwaka wake wa kugraduate. Ila sikuwa namuona akija kabisa chuo. Na mpaka wenzie waligraduate ila yeye hakufanikiwa kumalaiza chuo. Na kila mtu alijua na watu wengi walimzungumzia . So unajua ukiwa maarufu shuleni. Wengine wakaanza kumsema na vibaya kuwa aliendekeza sana mapenzi chuoni mpaka kapata mimba kashindwa kuendelea na masomo. Yani story zilijuwa nyingi sana. Kuna siku lemi alinambia kuwa ata kwenye simu now hamuoni. Yani hajipost ata. Nilitamani kumpigia ata nimuulizie tu. Kuwa ana shida gani ila nikaona ntakuja kuanzisha mawasilino nae baadae ikaniletea shida. Nikaamua kukausha tu.

Na finally nikaingia mwaka wa 3. Apo kabinti kangu kana miez 9. Na tuna furahaa. Sana.ni katundu na kashakuwa kanasimamia. Akiniona ananiita baba kabisa . Bsi maisha yakawa yanaendelea. Nikatulia mno zipu nilikuwa nafungia kwa mke wangu tu. Na mke wangu nae hakuwa na shida. Ana heshima sana fatuma ..na huruma na upendo mpaka rahaa. Basi nikapambana sana chuo mpaka nikaaingia mwaka.wa 3 yani mwaka wa mwisho wa masomo. Apo ndo nikakaza zaidi mana mzumbe chuo ni kigumu hakitaki lele mama..basi nikakaza buti.. na finally nilimaliza chuo. Yani apo sikuwa kabisa kuonana na princess wala kuongea nae . Na kichwani nilishamtoa kuwa sina plan nae tena . Yani nilishamove on na maisha yangu. Apo sasa nilishadevelop kimaisha nilipanga chumba na sebure. Na ndani nikiwa na furniture zote japo za kawaida ila nnazo. Na mtoto wangu alikuwa na miaka 2. Anatembea kabisa. Baada ya kumaliza . Mim sikuwa na plan za kuondoka mzumbe. Ile stationery ilikuwa inanisaidia sana. So nilimwambia mke wangu kuwa sie tutabaki uku na maisha yetu yatakuwa uku mpaka nitakapo pata kazi . Hatuna plan za kurudi babati. Mke wangu wala hakuwa na shida akakubalina na mm tu.

Basi nikatulia nasubiri graduu. Uku najishikiza katika vibarua vya kufundisha tutions. Mana tulifunga chuo na wengi waliludi makwao ata lemi ya aliludi kwa dar. Mi nikakausha nikawa napamabana na life. Basi bwana nikajichanga changa na finally mahafari yetu ikafika. Apo sasa mama na dada walisema wanakuja kwenye mahafari yangu na kutuona. Tukawakalibisha sana na tukafurahi sana . Asee mama na dada waktupongeza sana kuwa tumeweza na tumejitahidi. Mana ndani kwetu kulikuwa pazuru tu. Kila kitu cha muhimu mke wangu nilimuekewa. Basi ikawa rahaa sana hii siku walofika wazazi . Ilikuwa ni story tu. Hatukulala.. yulipiga sana story yani sanaa uku mama akicheza na mjukuu wake. Akamsifia sana kuwa arina kafanana sana na mama yake kwa kila kitu . Fatuma akawa anacheka tu . Na kesho yake ndo ilikuwa siku yangu ya kugraduate

Basi mapema sana mke wangu ndo aliniandaa .nilipiga suti ya atari .niliwaka sana . Apo chini nna kiatu kizuri ilikuwa unyama sana. Basi bwana asubuh na mapema mi nikaingia chuo uku familia yangu ikija nyuma. Na mpaka saa 4 graduu ikaanza bwana . Kulichangamka sana. Nashukuru nilikuwa best student wa chuo kwa uo mwaka.na pale pale nilipata offer ya kuajiliwa katika bank moja kubwa sana . Katika tawi lake la morogoro mjini. Nikapata schoolar ship ya kwenda china kuongeza elimi nikitaka. Nikapata chance ya kuwa leacture wa mzumbe kama nitahitaji. Bado kuna kampuni nyingi zilinipa offfer aseee nilikuwa na rahaa sana . Ilikuwa ni hatua kubwa sana kwenye maisha yangu. Nilimshukuru sana mungu. Na mimi ndo nilisoma hotuba pale. Ilipendeza sana jamani . Yani nilifanikiwa kumuona mpak baba mkwe si ni mbunge bwana wa moro mjini alijuwepo . Yani baba yake na princess. Akawa ananipigia na makofi kabisa. Nafikiri hakuwa anajua kuwa nilishawahi kudate na mtoto wake uko nyuma.

Basi baada ya kumaliza graduu chuo .nlipokeag sana pongezi ple.washikaji ndo usiseme. Yani nilipata raha sana. Basi mke wangu alinikumbatia kwa nguvu. Nikamkumbatia pia kisha nikamnyanyua mwanagu. mam na dada walinipongeza sana kwa htua kubwa ya maisha yangu niliyoipiga. Aseeee ilikuwa rahaa sana. Hatukukaa sana chuo tulikija kumaliza nyumbani kwangu. Apo ndipo nilikataaa keki..na tukala chakura kwa pamoja .mama akijivunaia sna mimi.

Na usiku nilishauliana na mke wangu . Nifate offer gani . Mke wangu anaelewa sasa ananmbia mi ata sijuh bwana. Nikasema.sawa nakubali kufanya kazi katika iyo bank iliyopo moro mjini . NA nitakiwa nasoma apa mzumbe kupata masters yangu. Mke wangu akanambia sawa. Basi wazazi walikaa kama week 1 nyumbani kwangu wakaaga..aaseee kabla ahawajaondoka niliwafanyia shopping kubw sana. Mana ile siku pia nilipewa kama milion 5 kama.zawadi. basi niliwafurahisha tu mama na dada yangu. Mana wamenipambania sana mpaka leo nafika apa. So niliona ata kwa iki kidogo wafurahi. Basi wakafurahi kweli na nikawasafirisha wakarudi babati sasa.

๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก

Maoni

You're not logged in


Tangazo - boss Enzo fully stories
boss Enzo fully stories
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 36 na 37



Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote na mimba yake na wala mm sio muhusika wa ule mzigo kabisaa. Nilikataaa .si amenambia sio yangu basi fresh. Mi nikawa busy na shule sana. Na familia. Si unajua tena nna kabinti sasa. Asee mwanangu alikuwa mzuri kama mama yake . Na kanapenda kucheka sana. Yani mnooo. Alafu alikuwa ananipenda mnoo uyu mtoto . Yani ananipenda aswaa na ananijua mie baba. Mana kilivyofikisha miez 3 . Kalianzaa kutambaa .basi nikilidi...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-36-na-37

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 58
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 58
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 59 na 60
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 59 na 60
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 54 na 55
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ  SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ SEHEMU YA 56...57
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 46 na 47
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 44 na 45
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 53
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 43
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50

1.09K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49

1.08K
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40

225
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.

204
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.

174
SHAMIRA Sehemu ya 47

SHAMIRA Sehemu ya 47

164
SHAMIRA Sehemu ya 46

SHAMIRA Sehemu ya 46

139
SHAMIRA Sehemu ya 48

SHAMIRA Sehemu ya 48

30
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*

26
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!

23

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.68K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.4K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.82K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.31K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.9K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.84K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.69K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.68K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.63K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.57K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *Sehemu ya 51 na 52*
@majario LIVE

Daaaah nilishangaaaa sana kwamba aya mambo yamekujaje kujaje, na mbona sielewi, nikasema mama sijaelewa yani kwamba umesema? , mama akanmbia nilishaongea sana na wewe millan, juu ya suala la wewe...

SHAMIRA Sehemu ya 48 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 48
@majario LIVE

Wassap;0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Akasema mimi pia nimekula njoga nikaoge basi chapi chapu. nikaseโ€‹ma sawa. Kweli mwanaume akaenda kuoga nikabaki nimetulia tu na baada ya mda akatoka akanifata...

Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station. Post Mpya
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
@majario LIVE

Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na Sky Woker 3 - Showtime bongo moja ya show za...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39  na 40 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

39 MPAKA 40 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Nilitukana kweli kweli kwemye gari umo. Ila barka hakunijibu alikuwa busy na kuendesha gari. Akawa ananipeleka mlandizi ukoo. Nikasema wewe mjinga unaenfa...

BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha! Post Mpya
BARUA ZA KAKA YANGU; Nikikupenda Mimi Inatosha!
@majario LIVE

Nikikupenda mimi inatosha, acha kuwa na presha, acha kuhangaika na ndugu zangu, kama wakikupenda ni ziada tu lakini haibadilishi chochote! Nani alikudanganya kuwa wanapaswa kukupenda! Mimi mwenyewe sina uhakika kama...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 50
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Basi bwana penzi likanoga mpaka mwezi ukakata, apo zena alikuwa na wasi wasi kuwa ntamuacha ,ila mi wala sikuwa na ayo mawazo kichwani kwangu ata kidogo, kila siku namuona...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 48 na 49
@majario LIVE

Daaah mchumba ndo kashanikatia simu mi nafanyaje sasa ,basi nikaweka simu pembeni tu, kisha nikapanda kitandani, nikavuta shuka , nikapumzika na asubih sana nikaamkia kazin na mwanangu lbraa,ibra akaniuliza...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38  na 39. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 38 na 39.
@majario LIVE

kipande cha 38 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Basi ndo hivyo . Nikaikosa ndoa na bwana barka.na nikawa busy na maisha yangu . Na mambo yangu. Na nikazidisha mapenzi tu kwa...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 36 na 37 namba zilikosewa endelea kusoma.
@majario LIVE

36 MPAKA 37 ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Maua akasema khaaa yani unanitukana mimi. Kwaiyo mimi naweza kuolewa na kaka yangu. Nikasema yaa unaweza sasa kisebengo cha nini. Nakuona sana tangu...

SHAMIRA Sehemu ya 47 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 47
@majario LIVE

Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Basi shost alivyotoka kuoga akanmbia shamira shoga yangu nisamehe kwa yale maneno nilokwambia basi. Nikasema yapi? Akasem si yale ya kukwambia ukatoe mimba...

SHAMIRA Sehemu ya 46 Post Mpya
SHAMIRA Sehemu ya 46
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Mwandishi; lissa wa huru media Nikaona aisha kakasirika akanambia sawa kama unataka kulea iyo mimba na kuzaa. Ile kulea mtoto ni gharama umae ukielewa hilo suala mapema . Mana sio...

*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47* Post Mpya
*AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž* *46&47*
@majario LIVE

Nakumbuka kuna kipindi ,nilisafiri na ibraa kikazi kwenda moro , apo nilishamuaga zena kuwa mm nasafari naenda moro kikazi, ntakaa siku 2, akanmbia hakuna shida, basi mm nikawa...

SHAMIRA 44 kwa 45 Post Mpya
SHAMIRA 44 kwa 45
@majario LIVE

๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€๐Ÿ€ Sehemu ya 44 Mwandishi; lissa wa huru media Aseeee tulichoka mno na shoga yangu asa mimi jamani.nafanya nini na hili tumbo na mwanaume hanitaki. Na ameshakana kuwa hii mimba sio yake...

MIRANDA (Binti Yangu)   SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

SONGA NAYO......... miezi kama miwili ilipita huku nikiishi Tanzania pamoja na wifi yangu kipenzi BLESS ๐Ÿฅฐ yes amekuwa wifi yangu badala ya mtoto wangu lakini nimemfanya kama bjnti yangu nampenda huyu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest