MY WANGU❤️ sehemu ya 88
Mlige akaipasua ile simu kwa hasira. Akanmbia nilijua tu . Umebadilika sana faridah kumbe una mwanume ana pesa kunizidi sio . Mie nikasema nisamehe mlige acha nikuelezee. Mlige akafoka .akasema utanielezea nn mimi wewe mpumbavu . Eeeh utanielezea nini mjinga mmoja ww na wakati kila kitu nishakiona faridah. Mtoto mdogo unanifanya kila siku nalia. Aseeee najutia vyote nilivyowekeza kwako. Faridah mbona umekuwa mwiba kwangu. Mbona najitahidi kukufanya ufurahi ina maana huoni. Nakupa kila kilicho ndani ya uwezo wangu faridah mbona huriziki. Unanisaliti kumbe mi nikawa nalia. Aseeeee mlige alinivaaaa akaanza kunipiga kwa hasira. Yani mpka ananisukuma ukutani weeee mlige akishakuwa na hasira huwa sio binadamu. Alinipiga aswaaaa ww. Nililia mnooo niliomba msamha aswaaa akanmbia kumbe umekutana na uyo msenge mwenzio ndo unafanya nae umaraya si ndio?. Uyo zayd si ndio.kumbe alikuwa bwana wako kweli kile kipindi ai ndio
Ndo uyu mwarabu sio. Ndo anakuchanganya ww faridah nambie . Akanikaba nakwambia sio masiharaa. Nyieeee mpaka nikawa nafurukuta. Nikaona kabia malaika israel ananmbia hiiiiiii . Weee nilipata akiri nikampiga kwenye sehemu zake za siri na goti . Mlige ndo akanicha ile anaugulia maumivu . Nilitoka kwa speed ata viatu sijavaaa. Wala sijabeba chochote. Nyieeee ile natoka njee nikadakia boda boda .nikamwambi nipeleke kigamboni cheka huu mda haraka. Kweli bodaa akadriveee fastaaa. Mie njia nzima nalia mwili unauma kinoma noma apa shingoni ndo usiseme. Basi bibi mie mpka cheka kwa baby na kama bahati nilimkuta yupo busy na kazi zake. Mana anafanyiaga sana nyumbani kuliko kwenda ofisini alivyoniona mpaka alichoka.
Nikamwambia kwanza akalipie boda boda . Kweli akaenda kulipa boda. Kisha kaludi ndani nikaanza kumsimulia uku nalia sana. Aknmbia tulia uyo msenge uyo ntakuja kumfunga anakupiga vipi. Anazaanje kukupiga kama hivi . Alafu anasema anakupenda .anayekupnda anakupigaje kama hivi. Basi sasa akampigia simu daktari wake . Akaja pale ndo akaja kunitibia tibia. Basi zayd akanmbia kuanzia leo hakuna kuludi kule unalewa. Nikasema ndio baby. Basi mie wala sikuludi kule . Nilikaaa kwa zayd week 1. Ata chuo sijaingia nahudumiwa vizuri na baby nadekezwa nakwambia . Mahaba yalijaaa yani zayd ndo alikuwa ananipendaaa aswaaaaa. Mda wote ananikanda kanda mana mligee mh kwa kudunda we ni motoo. Yani nilisema kama nisingekimbia ile siku mlige angeniua pale wallah
Basi bwana . Baada ya week tukaenda kufanya shopiing ya nguo na baby. Mana uku sikuwa na nguo. Tena tulienda maduka makubwa. Vitu orginal kabisa. Nakwambia. Nyieee kuanzia nguo pochi .viatu mpka mawigs. Baby akaninunulia . Na simu nyengine mpyaa. Na laini nikasajikiwa nyengine . Apana chezea mie. Ndo tukaludi nyumbni. Nadekezwa kweli kweli.nikiguna tu napewa . Chezea mm wewe.Basi bwana week ya pili shoga yenu ndo natia mguu chuo . Tena kanileta baby . Kanmbia ntakufata. Nikasema sawa ndo nikauzulia vipindi. Angel akanmbia kwani una nn week 2 hujaoneka chuo. Na hupatikni. Nikamwambia ntakusimulia tukitulia akanambia powa . Akanmbia ila kuna mkaka wa makamu anakujaga apa . Anakuulizia mnoo. Anaulizia mpaka wanafunzi wengine. Mh nikamuuliza jinsi alivyo akanielekeza .nikajua ni mlige kumbe hajaondoka ananitafuta . Kazk ipo . Basi bibi mie nikaendelea na vipindi mda wa kutoka sasa . Namkuta mlige getini ananisubir. Nilistuka nikataka kukimbia.
Mlige Akanmbia plsss usinikimbie nataka tuongee tu naomba . Mh hii siku alipoa. Nikasema utanipig mi sitaki. Akanmbia sikupigi mama . Sikupigi kweli . Nisamehe basi mke wangu . Naomba twende nyumbani tukaongeee . Nikasema hapana mi sitaki kwenda na ww . Wewe Uko unaend kunipiga. .apo mlige anongea analia mpka watu wanatushangaaa. Akanmbia sikugusi wallha mke wangu nakupenda faridah usiniache plsss ntakufa. Naomba sana tuongeee. Nikasema hapana una hasira utanipiga. Doooh na mda uo uo . Zayd anaingia na gari pale.. tena gari aliyoninunulia ndo alikuja nayo pale mbele kuna plate namba ya FARIDAH. Zayd wala hakushuka kanipigia tu honi. Ahaa mi sikutaka kumsikiliza ata mlige uyo nikaingia kwenye gari namuona mlige ata haaamini maskin😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi