Unatoka Golini timu yako ikiwa inaongoza bao 3-2 tena dhidi ya Real Madrid
Lengo ni nini !!? ....Kufanya Kitu kwa ajili ya timu yako ..
Mlinda Lango wa Benfica ameenda na kufunga bao ambalo limewafanya Benfica wawe na -2 na kumshusha Marseille mwenye -3 kwenye Msimamo katika Nafasi ya 24 ๐What a drama in Lisbon ๐ฅ
โ The Special One Jose Mourinho ๐ฅ๐ฅ๐
NB: Kubwa Jinga la Week ๐ฅถ๐ฅถ๐ฅถ๐.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni