MY WANGU❤️ sehemu ya 108
Mh na mimi nikaanza kulia. Aseeee hakukuwa na kuoga tena. Mana niliona mlige . Anazidi kulia na ata simuelewi tena..ikabidi mimi ndo nijikaze sasa. Nikafunga bomba. Nikachukua taulo nikamfunga chini . Nikamtoa mpaka chumbani. Ata simuelewi naona kabdilika . Nyie mshaona mwanaume analia kwa uchungu. Niliona leo aa nna kasheshe mimi farida. Kwaanza nikambeba rahul nikamtoa chumbani mna kuna kama kasebule.nikaenda kumuweka kwenye sofa nikamfunika kisha nikaludi chumbani sasa. Aseeee nikampigia magoti mlige. Nikamwmabia mlige plssss nyamaza naomba utulie tuongeee. Nilikuwa naogpa mtu analia .je akizuru mm. Na mm ndo namuumiza uyu baba. Mlige akanmbia kwani shida yangu ilikuwa nn .nmbie faridaah sijuh mapenzi. Au pesa mama . Nambiee faridah mi naishi maisha yasiyo na furaha sababu yako. Nambie shida ilikuwa nn . Faridah kwa sababu nilikuwa nakupiga. Mbona nilikuwa nakupenda faridaha nambiee mimi. Nielezee . Asa mm namwambia nn. Nilikuwa tu na mm nalia uku nimeshika miguu yake na kumuomba msamaha . Uyu baba mi kanisaidia mengi sana. Mligeeee nilijua nimemkosea na nimemuumiza sana. Na sio kumuumiza tu. Namuumiza bado . Ana kinyingo na mimi uyu kaka.
Aseeeeee ilikuwa ni shidaa. Nilibembeleza mwanaume mpaka saa 8 hatujalala. Mlige analia tu. Yani kaacha kulia kwa sauti.ni kwikwi. Yani nilikuwa na leso namguta machozi mpaka ikajaa maji. Naongea nn mbele yake. Hiii siku niliumia sana. Yani saa 8 . Naona ata simuelewi ananmbia kichwa kinamuuma sana . Mh nilielewa ni kulia . Basi harak mi nikatoka njee ya chumba nikaenda mapokezi kuomba dawa za kichwa mala moja.nikapewa zile dawa . Haraka nikaludi ndani . Namkuta mkuge kashika kichwa kabisa. Aseeee harka nikampa dawa. Nikampa na maji. Anambia kichwa kinaniuma san faridah. Mh basi nikachukua kitamba nikaanza kumkanda na maji ya baridi. Nyiee kama nusu saa . Ndo namuona kakaa vizuri. Yupo hoi. Nikamvuta kisha nikamlaza kwenye miguu yangu. Akanmbia faridah naomba nilale apa kwenye miguu yako leo na mimi. Nikasema sawa elly hakuna shida we lala tu. Na kweli akalala maskini. Moyo uliuma sana . Na nikaumia mnoo. Basi na mm nililala hivyo hivyo kwenye sofa mpaka asubuh yani.
Yeye ndo alikuwa wa kwanza kumka . Akanmbia aha faridah sory ujaumia mama. Nikamwambia hapana elly mi sijaumia. Akanmbia ssawa nataka kujiandaa nna kikao saa 3 kamili. Nikamshika mkono.nikamwambi elly naomba uwe sawa kipenzi uko unakoenda. Naomba usiyawwaze kabisa ya jana sawa. Mlige akaningakia kisha akatabasamu akanmbia sawa nimekuelewa . Akaingia bafuni kuoga. Mi nikamuacha aoge ila nilikuwa na mawazo sana juu ya uyu baba. Alipotoka . Mi nikamtolea nguo katika begi lake. Nikamuacha avae. Akavaa fresh ila akanmbia nisaidie basi kunifunga vifungo vya shati. Mie nikasema sawa. Nikamfunga vizuri . Apo ananiangakia sna. Akaleta mikono yake akanishika kiuno. Akaja mpaka kwenye makalio yangu akayabinya. Mh nilikumbuka mbali sana kipindi tuko vizuri ndo ilikuwa kawaida yake hiii. Mim nikatulia tu. Akanmbia sawa baadae naingia kazin Basi akavuta pochi akanipa elfi 50 . Akanmbia for emergeny ila apa nishalipia mpaka chakura watakuletea. Mi sitachelewa sana kuludi faridah . Naomba usije ukaondoka sawa . Nikasema hapana siwez nakungoja akanmbia sawa .kisha uyo akatoka zake . Mi ndo naenda kumuamsha rahul.. nikaenda kumuogesha na kila kitu . Na mimi nikaoga na break fast ikaja pale.nikala na mwanagu. Mh nikamtumia sms mlige.nikamujliza umefika salama .akanijibu ndio mke wangu nimefika salama Nyieeeee nilisikia karahaaaaa sitaki kuwaambia.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni