Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

REALLY LOVE* Chapter 19
Gonga94 · Stories

REALLY LOVE* Chapter 19

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta

""nakuona upo bize jamaa alisema seven

"yes boss nawasilisha apa alisema john

"ok sawa mimi naenda zangu nyumbani maagizo yote nishamuachia secretary hakikisheni wale wapuuzi hawaingii hapa si cathe wala devi wala mwanasheria alisema seven

sawa boss lakini vipi mbona sahizi mapema sana sio mida yako hii alisema john

ndugu yangu acha tu alisema seven nakumfanya johna acheke kidogo

sasa unacheka nini alisema seven

amna nimecheka tu nahisi itakuwa shem huko. anakukazia hataki masihara kabisa alisema john huku akicheka nae seven akacheka

shem gani bhana hebu acha zako alisema seven

""mh niache zangu tena haya bhana msalimie sana ila asiwe anakubania hivo duh sahizi saa kumi hii alisema john

"John we humjui fahima vizuri apa nimechoka ngoja niwahi sitaki kelele zake sasahivi hapa. ataanza kupiga simu alisema seven na kifanya john acheke sana

"haya bhana kesho basi alisema john basi seven akaondoka akimuacha john anaendelea na kazi,

upande wa mama fatuma huku alikuwa na majanga matupu tu alikuwa amejifungia ndani kwake baada ya kufuatwa na wanawake wa kausha damu maana alishindwa kulipa

"nakwambiaje jifanye tu kutukimbia unatujua

vizuri sisi hatukimbiliki nyauba wewe yani leo

hatuondoki yunakaa hapa hapa halafu tuone kama utajinyea humo na kujikojolea humo alisema kiongozi huyo aliyejulikana kama mama

zena

hawa vipi yani asubuhi mtoto wake kaja

kichukua nguo zangu jioni wanakuja wao kha yani sitoi ela mimi karna kukaa mtakaa humohumo tu sitoi pesa hata kidogo nakwanza. sina ela apa kha alijisemea mama fatuma,

huki nje bado vichambo viliendelea na muda. huohuo akatokea fatuma ambaye ndo alikuwa anarudi kwenye mizunguko yake

ehe sogea hapa wewe mtoto kahaba mkubwa wewe sindio umefumaniwa asubuhi na mwanangu halafu ukajifanya kukimbia unadhani tunakimbilika yani wewe na mama yako wote

pumbavu sasa ngojea alisema mama zena kisha akauchukua mkoba wa fatuma ambao

ndani yake kulikuwa na simu smartphone na pesa kadhaa, fatuma alianza kuwaomba

wamrudishie

jamani nawaomba mnipe kuna simu yangu

humo sasa mimi nimefanya nini jamani mnanionea tu nipeni alisema fatuma huku analia, mama fatuma haraka akasimama.

dirishani

"weeee msimpe mshenzi mkubwa huyo mimi apa asubuhi zena kaja kuchukua nguo zangu na jiko kwa kosa lake la kutembea na waume wal watu sasa safi sana chukueni na hata mkitaka

mumvue nguo abaki uchi sawa tu chukua shoga angu mama zena ko hapo hatudalani kabisa. mpaka zipite wiki mbili alisema mama. fatuma

apo shoga angu tutaelewana haina shida alafu wewe mtoto siku nyingine ukome kulala na mabwana wa watu alisema mama zena kisha wakaondoka na wenzie wakamuacha fatuma

analia tu chini, bila kujua lakufanya

upande mwingine catherin alikuwa chumbani mudawote analia tu hakupata amani hata kidogo alikumbuka maneno machafu aliyokuwa

anaambiwa na devi hakuamini devi yule.

aliyekuwa anampa maneno matamu leo hii

anamulta kahaba hakuamini alitamani siku zirudi nyuma angalau arudishe mapenzi kwa seven alijutia sana

mara mlango wa chumbani kwake ukafunguliwa na mama yake akaingia ndani humo "wewe vipi devi ushaongea nae alisema. mama cathe

"ndio mama amesema atailea tu alisema. cathe kwa kudanganya alijuwa akisema ukweli

tu atafukuzwa kwao

sawa na vipi kuhusu ndoa mnatakiwa mfunge ndoa kabla mimba haijakua alisema mama cathe

"hilo swala nitaongea nae kesho mama nataka nipumzike alisema cathe

""sawa na unywe dawa za maumivu umelia sana. leo hutakiwi kuwa na mawazo tena kwakuwa devi kakibari alisema mama cathe

sawa mama alijibu, basi mama cathe akatoka chumbani humo bila kujua kafichwa ukweli

seven nae ndo aliwasili nyumbani ikiwa saa 11 na nusu, aliingia ndani na kuwakuta familia yake

na baba fahima wakiwa bize kwelikweli kupiga story, basi alifika na kuwasalimia wote

"karibu sana mzee sikupata taarifa kumbe ulikuja alisema seven

ndiyo nilikuja mda tu wala usijari kabisa alisema baba fahima

sawa mzee vipi fahima simuoni hapa alisema seven

"wifi ameenda chumbani kuoga alisema sarafina

"halafu we sara wewe hukuagi huo mdomo wako wewe alisema seven na kufanya wote wachek

"sasa seven unataka akue mara ngapi hapo jiandae tu mwakani kupata shemeji alisema. selina

heee dada selina sio vizuri hivoo alisema sarafina

ila unavotoa siri za wenzio ndo vizuri alisema selina aisee ilikuwa ni kituko familia

hiyo ilizoea sana kutaniana sana tu basi seven akawaaga anaenda mara moja kuongea па

fahima, alifika mpaka mlangoni na kugonga hodi akafunguliwa na fahima akiwa amenuna. kwelikweli seven akajuwa tayari kishanuka

samahani nilikuwa na kikao ndomana nimechelewa alisema seven

sawa endelea na kazi zako alisema fahima huku akijifunga vizuri mtandio wake

""hivi fahima mbona sikuhizi umebadilika hivyo muda wote visilani tu alisema seven

unamuuliza nani sasa alisema fahima

"kwani hapa naongea na nani alisema seven

hebu nipishe huko alisema fahima kisha akampushi seven na kufungua mlango kutoka. na seven nae akamfuata huku anaongea

fahima ujue sipendi nakwambia rudi tuongee fahima fahima usinivuruge alisema seven na wakati huo walikuwa washafika tayari seblen

""kuna nini tena jamani alisema mama seven baada ya kuona hali hiyo.

"hamna kitu mama alijibu fahima

"mama hebu mwambie fahima mimi nilivyo na majukumu kazini anakasirika kiasi hiki kisa tu

nimechelewa sasa nilikuwa na kikao ningefanyeje sasa alisema seven aiseee

mama seven bado kidogo tu acheke akajikaza kwelikweli maana alijua tayari hawal wanapendana sana na fahima anawivu sana

kwa seven

hebu fahima mwanangu rudini kwanza

mkaingee ndani sawa haya ni mambo madogo sana hebu kaongeeni ndani kwanza alisema mama fahima, mzee fahad alikuwa

anamuangalia mwanae akitabasamu tu alipata sana amani ya moyo

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

REALLY LOVE* Chapter 19


muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta

""nakuona upo bize jamaa alisema seven

"yes boss nawasilisha apa alisema john

"ok sawa mimi naenda zangu nyumbani maagizo yote nishamuachia secretary hakikisheni wale wapuuzi hawaingii hapa si cathe wala devi wala mwanasheria alisema seven

sawa boss lakini vipi mbona sahizi mapema sana sio mida yako hii alisema john

ndugu yangu acha tu alisema seven nakumfanya johna acheke kidogo

sasa unacheka nini alisema seven

amna nimecheka tu nahisi itakuwa shem huko. anakukazia hataki masihara kabisa alisema john huku akicheka nae...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/really-love-chapter-19

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi really-love-chapter
REALLY LOVE* Chapter 17
REALLY LOVE* Chapter 17
REALLY LOVE* Chapter 18
REALLY LOVE* Chapter 18
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 100

MY WANGU❤️ sehemu ya 100

769
MY WANGU❤️ sehemu ya 103

MY WANGU❤️ sehemu ya 103

700
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102

605
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘

494
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55

444
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 51

436
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53

394
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

179
REALLY LOVE* Chapter 18

REALLY LOVE* Chapter 18

156
REALLY LOVE* Chapter 19

REALLY LOVE* Chapter 19

130

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.19K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.92K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.42K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.32K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.31K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REALLY LOVE* Chapter 19 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 19
@majario LIVE

muda ulisonga mbele hatimae jioni ya saa kumi ilifika seven akiwa ofisini alinza kujiandaa kitoka kisha akapitia ofisi ya john, aliingia na kumkuta yuko bize na compyuta ""nakuona upo bize jamaa...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 54 na 55
@majario LIVE

54 MPAKA 55 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee, nikaanza kuelezea mm. Akaja yeye. Ahaa akasema tu.mimi uyu sijazaa nae . Mh yupo serious. Akasema sijazaa nae kabisa. Kama alivyosema mwenyewe . Alinipa pesa nikatoe mimba...

MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON Post Mpya
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
@majario LIVE

Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa. Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya...

🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr. Post Mpya
🇧🇷❤️‍🩹 Brazilian Federation release statement to support Vinicius Jr.
@majario LIVE

“The CBF stands in solidarity with Vinícius Júnior, victim of yet another act of racism this Tuesday, after scoring for Real Madrid against Benfica in Lisbon." "Racism is a CRIME. It...

Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu.  Kutoka milima ya Anatolia Post Mpya
Kwa karne nyingi, dunia iliitazama Milki ya OTTOMAN EMPIRE kama ngome kuu ya Uislamu. Kutoka milima ya Anatolia
@majario LIVE

hadi milango ya Ulaya, kutoka Baghdad mpaka Cairo, bendera ya Uislamu ilipeperushwa juu ya majumba, masoko, na misikiti mikubwa iliyojengwa kwa fahari. Watu waliamini kuwa dola hii ingedumu milele...

REALLY LOVE* Chapter 18 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 18
@majario LIVE

huku sebleni walipo calor walisikia ugomvi wa wazazi wao wanagomben sana chumbani, calor alihisi kabisa itakuwa kuna tatizo tena sio dogo "kwani kun nini jaman cathe mbona kelel nyingi sielewi nimerudi hakuna...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 53
@majario LIVE

Basi bwana ikabidi nifate ushauri wa mzeee Kesho yake mapema sana .mimi niliamkia ustawi wa jamii posta. Makao makuu kabisa. Nilivyofika pale nikakuta na mwanamama pale . Anaitwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 103 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 103
@majario LIVE

Nimeingia natetemeka mnoo. Mh kulikuwa na taa ya chemli pale. Mlmi na yeye tulionana vizuri. Akanmbia njoo ukae apa nataka tuongee. Kweli mm nikasoge nikaenda kukaa pale. Akaningalia sana yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 101 na 102
@majario LIVE

Nikasema ni kweli yusta nimemfanyia mengi mabaya. Najutia na naumia . Ukipata mda mwambie anisamehe sana. Yusta akasema wee wala sitaki kumtibua mume wangu kipenzi. Yani mume wangu akisikia jina...

MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinícius Júnior Post Mpya
🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinícius Júnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. ⚠️🚫 Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! ‼️ VINI AKATAA KUCHEZA!! 😤❌

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa 😂 Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

𝐆𝐀𝐋𝐀𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐀𝐘 𝐌𝐀𝐊𝐄 𝐈𝐓 𝐅𝐈𝐕𝐄! ❤️💛🖐🏼  𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 𝐆𝐀𝐌𝐄! 🍿 Post Mpya
𝐆𝐀𝐋𝐀𝐓𝐀𝐒𝐀𝐑𝐀𝐘 𝐌𝐀𝐊𝐄 𝐈𝐓 𝐅𝐈𝐕𝐄! ❤️💛🖐🏼 𝐖𝐇𝐀𝐓 𝐀 𝐆𝐀𝐌𝐄! 🍿
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 65💘💘
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya😣😣 hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi😒😒 au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest