Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
18 Feb 2026
2 views
VYOTE NDANI GONGA94
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa.
Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya majukwaa hayo.
Katika taarifa yake kwa Vyombo vya habari, Mamlaka ya juu ya Mawasiliano (HAC) inasema kwamba imeona uenezaji wa mara kwa mara kwenye Mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidijitali ya maudhui yasiyofaa, kashfa, chuki na matusi ambayo yanadhoofisha utu wa binadamu.
Mdhibiti wa Mawasiliano anaamini kuwa mitandao ya kijamii inatumiwa vibaya, kinyume na sheria za Gabon na kanuni za Kimataifa. Machafuko ya umma, kuenea kwa taarifa potofu, unyanyasaji wa mtandaoni .
Nchini Gabon, WhatsApp, Facebook, na TikTok ndio mitandao ya kijamii inayotumiwa sana.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
๐จ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐: Mashabiki saba wa PAOK wamefariki kwa huzuni katika ajali ya barabarani nchini Romania. ๐
Walikuwa wakielekea Ufaransa kutazama mechi ya Alhamisi dhidi ya Lyon katika Ligi ya Europa walipogongana na lori. Mawa...
๐ง๐ฅ๐๐ก๐ฆ๐๐๐ฅ ๐ก๐๐ช๐ฆ, Uongozi wa Simba umemfuata Pacome Zouzoua nchini Ivory Coast kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili (2) wenye maslahi mazuri, inaelezwa kuwa Simba imeandaa mshahara mkubwa sana kwaajili ya kumnasa Pacome Zouzoua
. . Kwa sasa Pacome Zouzoua yupo nchini kwao Ivory Coast kwaajili ya mapumziko pamoja na uzinduzi wa nyumba yake mpya al...
MAMLAKA YAPIGA MARUFUKU MITANDAO YA KIJAMII NCHINI GABON
Mamlaka ya mawasiliano ya Gabon (HAC), imepiga marufuku huduma za Mitandao ya kijamii kote nchini humo hadi ilani nyingine itakapotolewa.
Uamuzi huo unalenga kuzuia unyanyasaji unaofuata na matumizi mabaya ya majukwaa hayo.
Katika taarifa yake kwa Vyombo vya habari, Mamlaka ya juu ya Mawasiliano (HAC) inasema kwamba imeona uenezaji wa mara kwa mara kwenye Mitandao ya kijamii na majukwaa ya kidijitali ya maudhui yasiyofaa, kashfa, chuki na matusi ambayo yanadhoofisha utu wa binadamu.
Mdhibiti wa Mawasiliano anaamini kuwa mitandao ya kijamii inatumiwa vibaya, kinyume na sheria za Gabon na kanuni za Kimataifa. Machafuko ya umma, kuenea kwa taarifa potofu, unyanyasaji wa...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mamlaka-yapiga-marufuku-mitandao-ya-kijamii-nchini-gabon
Maoni