Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

MY CRAZY BOSS 1 - 5
Gonga94 ยท Stories

MY CRAZY BOSS 1 - 5

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


MWANZO

"Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo ofisi hio bado haikufunguliwa

"Sijui itakuwaje leo kampuni kubwa hili halafu tupo kibao sijui tutapata kazi jamani?? Jua kali hili mtaani pagumu hatarii, tutapata tu mahi hata usiwaze, hayo ni maongezi ya wadada wawili walioketi pembeni yangu"

Ni wazi nao walikuwa wakisubiri interview kama mimi tua, niliishia kuwaangalia kisha nikatabasamu mithili ya mtu mwenye akili timamu na mwenye kujiamini sana๐Ÿ™Œkumbeee ni huzuniii

Ukiniangalia vyema nimekati huku miguu yangu nimeibana, kutokana na kutetemeka kwa muda mrefu na sikutaka nijulikane, si mara yangu ya kwanza kufanya interview ila nilishangaa sana kwanini naogopa sana leo

Tulikaa nnje kwa muda mrefu sana huku tukibadilishana mawazo ya hapa na pale

Ikiwa ni majira ya saa mbili na nusu tukiwa bado tupo nnje tumekaa, alikuja mdada mrefu, mweupe , smart mzuri, aliyevalia suti nyeusi pamoja na kiatu kirefu cheusi pia

"Habari zenu, nifuateni mkiwa kimya, dada yule alizungumza"

Wote tulishangaaa kwa kuangaliana kwa kiulizo na hataka sana tulinyanyuka na kumfata nyuma

Tulifika hadi nnje ya ofisi fulani ambayo tulipatiwa viti na kukaa mahali hapo

Tukiwa tumekaa kwa mbali alionekana kijana mmoja wa makamo, handsome๐Ÿฅฐsijapata kuona, mrefu, mweusi, ana kifua cha mazoezi japo alivalia tshirt na kipensi tu lakini wadada wote tulijikuta tukimtazama bila kuchokaa

Ni ajabu sana na tulizidi kushangaa pale tulipoona anakuja upande wetu๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

"Acheni kumshangaa hivo ni boss wetu huyo, yule dada aliyevaa suti alizungumza"

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณNi boss mbona ni ajabu hii nilibaki nikishangaa tu

Baada ya dakika kadhaa yule boss alifika hadi pale tilipoketi

"Mpo pouwa warembo?" Alitusalimia

๐Ÿคฃ๐ŸคฃBaadhi ya wadada walijichekesha na kuonesha shombo kama wana washwa washwa na upwiru

Mimi sasa hata sikuwa na habari nae nilijitia mkaxi siku hio
Kwa mbali nilimuona boss akiniangalia ila sikutilia manani

Alivoingia ndani tu ya chumba kilichoonekana kuwa ni ofisi yake , tukaanza kumsema sasa๐ŸคฃSi unajua mambo ya girlz umbea kunioga๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

"Jamani mzuri huyo hatariii, yaaani yupo fire, ila vaa yake sijaielwa hafai kuwa bwana angu๐Ÿ˜ณ,mara mwingine akasem, yaani huyu akikutomb*** unaweza ukapaa kabisa. Khaaa๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œmie nilibaki kushangaaa tu

Sijui ikawaje nikajikuta nimeropoka" mie natamani awe mume wangu jamani๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ"

Wenzangu waliangua kicheko mpaka basi,

Muda huo huo boss alitoka nnje na tilivomuona tu tukakaa kimya kama sio sisi vile

Boss huyo akaanza kutuangalia mmoja mmoja kuanzia juu mpaka chini, ni kama vile alikuwa akituthaminisha mavazi , muonekana pamoja na usmart

Alituangalia wote kisha akasimama na kutabasamu

"Wewe uliyevaa juu kijani chini nyekundu ndio utakuwa PA wangu nyie wengine nitawapa nafasi nyengine, boss aliongea hayo, kisha akasema nifuate mrembo"

Mie nikawa najiwazia tu uyo PA anabahati hatari ndo nshakosa mume mie๐Ÿคฃ

Nikiwa sina hili wala lile nikashangaa watu wote wananitazama mimi,tena sio kutazama kule ni kunikodolea mimacho kodoo

Friji langu likayeyusha barafu ikabidi niwaulize tu

Nyie vepee ?mbona mnanitazama hivyo??

Si umeitwa wewe na boss au sio wewe mwenye kijani na nyekundu?unajizima data au ndo kuringa kisa umechaguliwa?yule dada aliniuliza

Kheee ni mimi๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณnikabaki nikishangaa tu,ikabidi kwanza nijikague

Khee๐Ÿ˜ณkumbe ni kweli nimevaa kijani na nyekundu uwiii๐Ÿ™Œmbona kama hoho na nyanya si kachumbari hii jamani,yaani mawazo yangu yote nimevaa suti nyeusi ama kweli yanipasa kuhama mchikichini kwenye chumba cha giza mbwa mimi

Ikabidi niinuke haraka haraka na moja kwa moja nikaelekea kwenye ofisi ya boss

Ile naingia tu nikamkuta ana๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ........

We unahisi alikuwa anafanya nini??

Nilimkuta akivua nguoo nyie jamanii๐Ÿฅฐboss anakifua kizuri hatari

Nilijikuta nikimuangalia kwa mtindo wa kumkagua si tu kumuangalia nilijikuta hadi nameza mate jamani๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Mwanamke gani wewr unamuangalia mvulana akibadili nguo? Au unataka kunibaka wewe?? Boss alizungumza

Yaani mimi babe face hivi ni mwanamke na wewe mkubwa hivo ni mvulana una maanisha nini?? Niliuliza huku sauti yangu ikitetemeka

Unasemaje wewe?? Kwahiyo unataka kunambia mimi ni mwanaume, hapana sio kweli mimi ni bikra kama joseph wa bikira maria

Ni mwanaume mtakatifu sana

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณJamani huyu boss vipi mbona kazi ninayo mimi ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Nikiwa nawaza yangu kichwani nikasikia

"Njoo hapa uiname mbele yangu"

๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Itaendelea

STORY TAMU HIII USIKOSE MDAU WANGU
MY CRAZY BOSS 02
Niiname mbele yako kivipi boss mbona sielewi nini unamaanisha lakini? Nilijibu huku nikitetemeka akili yangu yote ikiniambia leo natatuliwa marinda sio bure๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ.

Chagua mawili kuja hapa uiname au uache kazi sina muda wa kubembeleza.

Lakini boss wewe๐Ÿฅฒ,huyo nikajisogeza kama sio mie nlokuwa naogopa nikajiinamisha binuu

"Kiuno chako ni kidogo kama cha dondora hauna tako kabisa , miguu ni midogo kama stiki huwezi kunishawishi hata nikifumba macho, boss aliongea." Sogea hapa nikuinamishe vizuri

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณUniinamishe kiaje na nimeinama?jamani๐Ÿ˜nilijikuta nimewehuka gafla๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ

Sogea hapa nimesema๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜กboss aliongea kwa kufoka hadi nikaogopa ,nikamfuata hadi aliposimama nikainama tena kama mbuzi anakula majani๐Ÿฅฒ

Gafla nikashangaa boss kaja mbele yangu kanisimamia;

" Nifunge kamba za viatu ndo nilichokuitia,alizungumza".
๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณNikabaki nakodoa kodo siamini nini nakiona

Unanichelewesha ,fanya haraka tuna safari".Boss alizungumza.

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณSafari siku ya kwanza kazini??๐Ÿ™Œeeh Mungu linda marinda yangu weeh,nikajiinamisha nikamfunga nilipomaliza nikainuka .

Nifuate na utembee vizuri ,siwezi kuwa na sekretari anatembea kama ana mabusha hivi๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜๐Ÿ˜jamani๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ.

Nilimfata nyuma nyuma kama mkia njiani wafanyakazi wote walikuwa wanamsalimia yaani nikajihisi natembea na bonge la jitu halafu mie kinzi maana hata sionekani
Tuliongozana hadi kwenye gari ,akanifungulia mlango kisha na yeye akaingia

"Tunapoeleka sihitaji mdomo mdomo kaa kimya na ufanye kikupasacho".

"Sawa boss".Nikaitikia

Safari ilisonga hadi nnje ya duka kubwa la nguo huko sinza mie tena hata sikupata tabu kupajua kutokana na uzururaji wangu.

"Shuka nifuate".Boss alizungumza

Tuliongozana wote hadi ndani ya duka hilo si haba ni zuri haswa,nikajiona nipo Marekani mwenyewe๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œna vile nimeshazoe mitumba ya bukubuku ilala aaaah hunambii kitu

"Mfuate huyo dada na umtii,boss alizungumza." Nami nilimfuata huyo dada kwa nyuma akaniingiza hadi ndani ya chumba hiko kikubwa halafu kina mapazia meusi

"Dada naomba usinibake wala kuniua mimi ni binti mtiifu tu hata kama umetumwa na boss naomba tafadhali usinifanyie hivyo mi nna familia".Nilijikuta najihami kila nikikumba nilivyoinamishwa naishiwa pawa uoga unazidi kunitawala

Yule dada akanisogelea karibu nikajikuta napiga yowee"mamamaaa yalaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!"

"Ni nini hiii??we unafanya nini kwenye biashara ya watu??" Si mwingine bali boss wangu alionekana akihema kwa kasi huhuhuhuhuhu

Nilivomuona tu boss,ukijumlisha hasira na jinsi nilivyopayuka nikamponyoka huyoo ,kilichoendelea sikijuii๐Ÿ˜

Itaendelea
MY CRAZY BOSS 03
SONGA NAYO

Njianj sasa akili yangu yote inawaza kuhusu kule kila nikiwaza nilivyoharibu naishiwa pawa๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ"Hivi ushawahi kumpiga mwalimu na jiwe akakuona halafu kesho yake ukaanza kuwaza unaendaje shule??".Wahuni najua mnanielewa vizuri

Yaani njia nzima nipo kama taila nikajikuta natembea kwa mguu kutoka sinza hadi mchikichini ,sielewi nilifikaje ila ndo hivo nikafika kwenye chumba changu cha giza moja kwa moja nikalala maana ilikuwa jioni tayari sikukumbuka hata kubadilisha kachumbari yangu mie nkalala tu

Nakuja kushtuka kushakucha jamani mimi!!!!!๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณitakuwaje sasa sijui nikoje jamani??ila kazi yenyewe nishaharibu acha tu niendelee na maisha yangu mbwa mimi

Basi nikajikongoja hadi kwa mamantilie hapo mchikichini nilipokuwa nafanya kazi mwanzo
Mama ashrafu shikamoo??
"Marhaba hujambo?"
"Sijambo mama nimekuja kusaidia vyombo"
"Karibu ila ile kazi yako vipi au ushamtongoza boss wako na wewe?"

Hee mama ashrafu hivi unaniona mimi ni wakutongoza kweli,kwanza boss mwenyewe wa kumtongoza yuko wapi?

"Ni mimi hapa,nifuate ".

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณKhee huyu nae kafuata nini hapa jamani,Mungu wangu sijui kasikia nilichoongea yelewiii nimeisha mie uwiiii
Nikapata wazo wakati boss anaelekea kwenye gari mie nikasimama huyoo nikaanza ๐Ÿƒ๐Ÿƒharaka huku nayashika matako yangu kwa hofu ya kutatuliwa marinda

Wakati nakimbia nikashtukia nimeshikwa mkono ila nageuka nakutana na boss๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
"Boss nisamehe jamani nitunzie marinda yangu ,mimi baba na mama maskini ndomana naishi mchikichini boss marinda yangu."

" Nifuate."Boss alizungumza

Sikuwa na ujanja tena zaidi ya kumfata tu maana hata kama ningekimbia lazima angenikamata ๐Ÿ˜”marinda yangu jamani marinda yangu mimi

Nikapanda gari huku boss akiwa kakaa pembeni yangu ananitazama kwa hasira balaa๐Ÿ˜กmie nazidi kuogopa kila nikiwaza huyu anaonekana sio mzima anaweza nifanya lolote nabaki hoii

Safari iliishia nnje ya jumba kubwa jamani linaonekana kuwa ni kasri la malkia elizabeth,mara nikamuona boss anashuka ananifuata nilipokaa nyie mie nkazidi kuogopaa uwiii๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ

"Shuka".alizungumza

Mie nikawa naogopa sana kila nikiwaza utekaji haramu kwenye tv kwenye haya majumba makubwa mie hoi jamani๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œnaogopa nikabaki nashangaa tu๐Ÿ˜ณnatetemeka kama jenereta bovu mwenzenu

"Mbebenj muingize ndani ,boss alozungumza".

Mara nikawaona vijana wawili wamejazia kama mudi mnyama wa harmonize wananifuata

"Boss natembea a natembe mwenyewe๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ!!!!!!!!!!!!!!." Nilipayuka sijui sauti ilitoka wapi

Boss akageuka akanizoom kisha akaingia ndani,nikajikaza kutembea kama kobe nanyata huku nazoom mazingiraa,jamani kuna swimming pool ya kipepeo halafu ni ya kijani huku kuna wanyama kibao nyani,mbwa, kuku .

Nilivoingia ndani sasa๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณyelewi ikabidi nisimame kwanza nishangae kumbe mbinguni ipo duniani??Nyie nyumba nzuri yaaniangekuwa mume wangu huyu๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—nikajikuta nachekacheka

"Bila shaka akili yako ina waza ngono,kaa hapa kuna kazi nimekuitia,boss alizungumza"

Nilikaa huku nikiwa naogopa moyo puuh puuuh boss mkali hata hacheki mmmmh

"Halafu sikujitambulisha mie mwenzenu naitwa JOYCE ADAM nimezaliwa Tanga ila wazazi wangu wote walifarikigi hivyo nikadandia magari ya mzigo hadi dar,kizuri nilisomaga hadi chuo ,nilivomaliza ndo yakajiri yalojiri hivo mi ni yatima na kwa sasa naishi mchikichini chumba cha mlango mbovu maana giza nimelizoea,ni hayo tu.

Itaendelea
MY CRAZY BOSS 04
SONGA NAYO

"Nataka unifundishe kutanua ni muda sana sijatanua ndomana nimekuita hapa, boss alizungumza."

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณKwanza nikashangaa jamani , kutanua?? Yaani mimi nimfundishe kutanua kivipi jamani natanuaje mbona ana balaa, niliniongelesha kisha nikasimama

"Sawa boss , niliitikia ". Ntafanyaje sasa nyumba kubwa sioni hata pa kutokea nini nifanye๐Ÿ˜”

"Pascal leta zile file nataka huyu anitanulie baadhi ya idea ". Kwanza unaitwa nani? Aliuliza.

"Joyce Adam , nilijibu."

Sawa, naitwa Erick

Hizi hapa boss, kijana mmoja alieonekana kuwa mlinzi wa boss Erick alifika na kumkabidhi file boss huyo

Boss erick alisimama na kuanza kuja upande niliokuwa nimekaa, nilibaki nikishangaa sana kwani sikuelewa nini lengo lake, alipofika karibu zaidi nilianza kurusi nyuma huku nikifumba macho kwa uoga.

"Siwezi kukufanyia kitu, ulivyomchafu na mdomo mweusi , em njoo hapa unitanuliea idea".

Ni kweli nna mdomo mweusi ila si mchafu ni maisha tu,nilijijibu kimoyomoyo kisha nkkamsogelea na kumsikiliza

Sijui nini kilijiri nilijikuta nimelala miguuni mwa boss giza likiwa limetanda nnje , nilikurupuka haraka haraka huku nikiangaza huku na kule, Nilinyanyuka na kutaka kutoroka haikuwa bahati yangu milango haikuwa wazi na sebleni palikuwa giza

"Utalala hapa leo kesho tutaongozana wote kazini sina muda wa kuja kukutafuta tena , boss alizungumza hayo kisha akarudi kulala kwenye kochi".Nilibaki nawaza sana amani sina kila nikiwaza kutatuliwa marinda, mwenzenu sio bikira ila marinda yangu nayapenda sina hela ya pampasi

Nilikaa macho hadi asubuhi ambapo boss akiamka na kunionesha chumba cha kujiandaa

"Fanyia mambo yako humu na iwe haraka".

Sawa boss niliitikia kisha nikaingia bafuni kuoga, nilipotoka nilikuta gauni nyeusi pamoja na heels, ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณMungu wangu tangu nizaliwe sijawahi kuvaa hivi si ntachekesha mimi lakini๐Ÿ˜ngoja nivae ntajua huko huko

Buana weeh nikatinga ๐Ÿ˜viatu na kagauni buana๐Ÿฅฐnikasogelea kioo anhaaaa nyieee butterfly mnazijuaa sile zinazokujaa ukijamba ushuzii zilee yaani kama unapaa ,mashallah jamani mie mzuri japo tako sina๐Ÿค—

Wakati najiangalia na kujisifia kwa mbali nilisikia hatua za viatu zikiingia chumbani kwangu,sikujali niliendelea kujiangalia hapa na pale

Nifuate,aliongea boss ambaye alionekana kunitazama kwa muda ,nami nilimfuata kwa nyuma

Hio tembea sasa๐Ÿ˜๐Ÿ˜kama nna busha katikati ya mapaja nyie hivi viskuna vina watu wake buana sio mie๐Ÿ˜

Nilijikaza hadi kwenye gari la boss ,tukaingia na safari ya kuelekea kazini ilianza,ilichukua muda mfupi tulifika ,nilianza kushuka mimi kisha nikamfungulia boss mlango

"Oooooh nimechoka embu nishikie hili koti kwanzA,".
Lakini boss ndani una vest tu sio proffesional kabisa nilizungumza

"Eti ehee kachumbari??๐Ÿ˜๐Ÿ˜alivojibu hivo ilinilazimu kukaa kimya kila nikiwaza nilivyo vaa juzi๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ".

Anyway nipe ,angalau niwe tofauti,nikamkabidhi boss koti kisha safari ya kuingia ndani ikaanza

Wakati tunaingia macho yote ya wafanyakazi yapo kwangu,kila mtu anakenua kila akiangalia tembea yangu๐Ÿ˜si wao tu ๐Ÿ˜ni huzuni

Mara nikashtukia nimebebwa juu juu si mwingine bali boss,wafanyakazi wote wakawa wananing'ona
"Boss nishushe mbona hivyo lakini,kazini hapa"
Nilijaribu kujitetea lakini boss hakunielewa aliongozana na mimi hadi ofisini kwake kisha akafunga mlango na kuniweka kitini


Nnje wafanyakazi wanasikika wakiongea,"yaani huyo dada ni wazi tu analiwa na boss mtu hana mvuto wala nini awe secretary we unahisi nini kama sio kugawa mnato"

Upande wa ofisini tulikuwa mimi na boss ambapo kila mmoja wetu alikuwa akimuangakia mwenzake hasa boss Erick alizidi kunitazama kwa hasira nilijikuta nikitetemeka sana kwa uoga

" Nisamehe boss nisamehe sana boss sirudiii tena".Niliona isiwe soo ni heri nijishushe yaishe

Unalijua kosa lako mrembo??boss aliuliza.
Huku akitabasamu

Nilikaa kimya bila jibu la kumpatia kabisa

" Anyway uvae raba kwanzia kesho ".Boss alizungumza hayo kisha akatoka nnje ya ofisi nami nikamfuata

" Leila njoo mara moja,boss alizungumza huku akimnyooshea mkono binti aitwaye leila".

Abee boss.

Em geuka nyuma mara moja nipe 360ยฐ

Leila alizunguka huku akijichekesha chekesha ni wazi alikuwa akimtaka boss

" Una mchumba?au umeolewa?.Boss aliuliza

Ha.......hapana.

Kwanini huna mchumba hadi umri huo na ushaanza kuzeeka?boss aliuliza.

Bado namsubiri boss,leila alijibu

"Anyway pengine atakuja ila usiwaze kuwa na mimi hauna maajabu yoyote wala uzuri wa ajabu sijui unapataga wapi muda wa kuwakosoa wengine." Nenda kaendelee na kazi zako

Tuliongozana mimi na boss hadi kwenye kikao huku nikiwa natabasamu kila nikiwaza boss alivyonikingia kifua leo

Upande wa leila alionekana akilia na kujawa na hasira huku akila kiapo cha kunikomoa maana mimi ndo sababu ya yeye kukataliwa na boss๐Ÿ˜

" Tulifika hadi sehemu kikao kinafanyika boss aliniamuru nikae pembeni yake kisha kikao kikaanza".

" Mauzo ya kampuni yameongezeka sana nj wazi tunahitaji kuboresha mbinu za mwanzo ili tuibuke vinara wa sekta hii.Alisema Kijana mmoja mtanashati alieonekana kuwa na cheo fulani".

" CEO Erick waweza kutoa maoni kwenye hili kama unaweza lakini?,yule kaka alimuuliza boss kwa dharau".

Nilimuangalia boss kwa macho ya uoga uoga ya kuibia ibia nikisubiri nini atajibu

" Kama utaweza kubananisha miguu yako hapo katikati na kufocus kwenye akili yako ya kichwani na si chini kampuni hii itazidi kuwa na mauzo".Boss alijibu

Watu wote walicheka sana ni wazi hakuna alieheshimu jibu lake.

"Nikimaanisha ili kampuni iende sawa zaidi ya kasi ya mwanzo , mbananisho wa ratiba , wafanyakazi na kila kitu kinatakiwa kiwe kwenye mpangilio unaoeleweka na mzuri, mfano muda muutumiao kucheka mnapaswa kuwa kazini".Am done boss alizungumza kisha akanyanyuka na kuondoka huku nikimfuata kwa nyuma

Wafanyakazi wote waliobaki kwenye kikao walionekana kuwa kimya huku kila mmoja akitafakari majibu aloyatoa boss

Nikiwa narudi ofisini na boss Erick nilijikuta nikiyatafari majibu yake aloyatoa japo jibu la kwanza lilinipa hatihati.

"Hivi boss una maana gani na kusema kichwa cha chini jibu lako la kwanza sikulielewa kabisa,niliuliza".

"Huwezi kulielewa kama unakichwa cha juu peke yake,mpuuzi kama Frank na wale wafuasi wake wengine wamenielewa ,by the way am their boss๐Ÿค—.
Boss alizungumza hayo huku akiingia ofisini nami nilimfuata

" Inaonekana una uwezo mkubwa sana wa kusoma akili ya mtu, hivi ukiniangalia unahisi nawaza nini? Boss aliniuliza."

"Unawaza mafanikio ya kampuni, nilijibu kwa kujiamini".

Hapana. " Nawaza ngono".Boss alijibu

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณNgono ??

Usishangae sana ,ni jambo la kawaida kwa binadamu wenye vichwa viwili mwilini mwao,puuzia hilo.

Itaendelea
MY CRAZY BOSS 05
Siku zilisonga huku nikiwa nazidi kujifunza namna ya kuishi na boss wangu nakucopy tabia zake

Kama ilivyokawaida ilikuwa majira ya saa 11 na nusu ambapo nilifika nyumbani kwa boss mikocheni B, sikuwa mgeni mahali hapo nilimuandalia nguo pamoja na vifaa vyote avihitajivyo kazini kama saa na kila kitu

Baada ya dakika tano boss alitoka akiwa amekwisha vaa hivyo nikamsaidia kumuweka sawa kisha tukaongozana hadi kazini

"Una kikao na wafanyakazi saa saba mchana ni lazima uwasili nilizungumza".

Kitu cha lazima kwangu ni kupata mke wa kuoa kwa sasa si vikao , alijibu.

Lakini boss?

Nimekutouch enhee? Anyway nitahudhuria unikumbushe , alijibu kisha akaingia ofisini kwake

"Nikiwa ofisini nafanya mambo yangu iligonga kengele kutoka ofisini kwa boss ikiashiria kuniita". Haraka nilinyanyuka na kukimbilia ofisini humo

"Nimekumiss, Joy em kaa hapa kwanza tupige story mbili tatu, boss alizungumza". Sikubisha nilikaa kama ivyoniamuru.

Hivi msichana ukitolewa bikra huwa mnajisikiaje? Eti nambie joy?

Maumivu . Nilijibu kifupi.

Ohooo kumbe basi leo nilikuwa najifunza kuhusu hilo tukiachana na magari nna mpango wa kugundua kipako maalumu cha kupunguza maumivu hayo, boss alizungumza


Kwanza bikira ni nini? Ukiachana na jina la maria nyie mna nini hadi mnaitwa mabikira?
๐Ÿคฃ๐ŸคฃKwanza ilinibidi nicheke maana nilivumilia nikachokaa

"Hivi boss unanitakia nini lakini na haya maswali mimi?" Niliuliza

Hapana nijibu tu , joy sasa kama si wewe ntamuuliza nani?

Okay, basi nikaanza kumuelezea hapo hadi nkachoka

"Anhaa kumbe ubikra ni ngozi? Ina maana mafuta yatafaa si ndio??"

Nilimuangalia boss๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณhalafu nikaondoka maswali yake ya kipuuzi yalinimaliza nguvu.


"Joy ina maana na wewe bado una hio ngozi? Nikiwa naondoka nilishangazwa na hilo swali" .

๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณJamani๐Ÿ™Œmaswali haya hapana jamani nikabaki naduwaa bila majibu kabisa

Okay inaonekana huna itakuwa rahisi sana kwangu sitaumia kama ulivyosema๐Ÿคฃ๐Ÿคฃuwiii

All in all huyo ndo boss buana ana sasampa la kwendraa akitoka nnje serious balaa ilaaaaah๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜

Itaendelea

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MY CRAZY BOSS 1 - 5



MWANZO

"Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo ofisi hio bado haikufunguliwa

"Sijui itakuwaje leo kampuni kubwa hili halafu tupo kibao sijui tutapata kazi jamani?? Jua kali hili mtaani pagumu hatarii, tutapata tu mahi hata usiwaze, hayo ni maongezi ya wadada wawili walioketi pembeni yangu"

Ni wazi nao walikuwa wakisubiri interview kama mimi tua, niliishia kuwaangalia kisha nikatabasamu mithili ya mtu mwenye akili timamu na mwenye kujiamini sana๐Ÿ™Œkumbeee ni huzuniii

Ukiniangalia vyema nimekati huku miguu yangu nimeibana, kutokana na kutetemeka...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-crazy-boss-1-5

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-crazy-boss
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100

587
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

508
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50

507
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51

314
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

170
REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

128
YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ

YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ

88
MALAIKA  SEHEMU YA 1

MALAIKA SEHEMU YA 1

65
MALAIKA SEHEMU YA 2

MALAIKA SEHEMU YA 2

50
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5

41

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.18K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.91K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.69K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.09K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.48K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.42K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.32K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.31K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MY CRAZY BOSS 1 - 5 Post Mpya
MY CRAZY BOSS 1 - 5
@majario LIVE

MWANZO "Nikiwa nimeketi kwenye benji mimi pamoja na wenzangu kama ishirini hivi nnje ya kampuni ya All Over iliyopo Mikocheni B , ikiwa ni majira ya saa moja kamili asubuhi ambapo...

๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior Post Mpya
๐Ÿšจ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Mechi ya Benfica dhidi ya Real Madrid IMESIMAMA kutokana na kisa cha kibaguzi dhidi ya Vinรญcius Jรบnior
@majario LIVE

AKIWA UWANJANI. โš ๏ธ๐Ÿšซ Mchezaji wa Benfica alimwita NYANI!!! โ€ผ๏ธ VINI AKATAA KUCHEZA!! ๐Ÿ˜คโŒ

WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
WEWE NI WANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO....... Kazi ya ualimu inahitaji moyo sana jamani, msione kwamba watoto wenu wanafaulu vizuri tu lakini upande mwingine huwa wanapitishwa ๐Ÿ˜‚ Sijui mnanielewa bandugu, yani kama sisi walimu wa...

๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ  ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ Post Mpya
๐†๐€๐‹๐€๐“๐€๐’๐€๐‘๐€๐˜ ๐Œ๐€๐Š๐„ ๐ˆ๐“ ๐…๐ˆ๐•๐„! โค๏ธ๐Ÿ’›๐Ÿ–๐Ÿผ ๐–๐‡๐€๐“ ๐€ ๐†๐€๐Œ๐„! ๐Ÿฟ
@majario LIVE

Juventus hoi huko kipogo Cha maana kabisaaa hichi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache...

REALLY LOVE* Chapter 17 Post Mpya
REALLY LOVE* Chapter 17
@majario LIVE

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu...

๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™ Post Mpya
๐Ÿšจ ๐Ž๐…๐…๐ˆ๐‚๐ˆ๐€๐‹: The Premier League is resuming its procedures for Ramadan. ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ๐ŸŒ™
@majario LIVE

Short pauses will be allowed during matches to enable Muslim players to break their fast. ๐‘น๐’†๐’”๐’‘๐’†๐’„๐’• ๐Ÿคฒโœจ

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 51
@majario LIVE

Daaah lemi akaja akanmbia relex. Ndo mala ya kwanza hawez kuelewa . Tulia mwanangu kila kitu kitakua sawa nikasema powa . Basi tukapanda gari tukaludi kwa lemi. Apo mm...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 100
@majario LIVE

Basi bwana . Mama akapika . Shoga yenu nilikula kidogo mnoo. Mama akamvuta mtot ndio akamlisha na rahul anawahi kuzoea watu . Anaanza kumuuliza mama . We nani . Sijuh...

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Baada ya paschal kuondoka pale Hemed alinichekiiii ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช kisha nayeye akaondoka akaniacha pale bila kuniongelesha chochote๐Ÿซฃ au ndo nimeachwa na woteโ˜บ๏ธโ˜บ๏ธ sa mbona hivi๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž aah haya mambo ya kumiliki njemba...

Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini, Post Mpya
Ramadhani 2026 huanza na masaa 12-15 ya kufunga; katika Kizio cha Kaskazini, siku hukua zaidi, huku katika Kizio cha Kusini,
@majario LIVE

hukua fupi Kufuatia mzunguko wa mwezi wa miaka 33, Ramadhani huhama siku 10-12 mapema kila mwaka - huzingatiwa mara mbili mnamo 2030, na kupindukia mnamo 2031 na 2047. Kupitia Shirika...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 49 na 50
@majario LIVE

49 MPAKA 50 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Basi nilimuacha kama mwez lemi anendeelee kumfatilia princess. Akanmbia kila j mosi anakuwa kunduchi beachi. Alafu anaishi kibaha. Na sehemu yake ya kazi ni mikocheni apo ni kutojana...

MALAIKA SEHEMU YA 2 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 2
@majario LIVE

ALIMJARIBU 'BOI' WA NDANI ILI KUHAKIKISHA KAMA NI TASA Hapo ndipo Malaika alipohisi dunia nzima imemuelekea yeye. Kila kona aliyopita ilikuwa ni masengenyo, dharau za ndugu, na minongโ€™ono ya majirani iliyomchoma...

MALAIKA  SEHEMU YA 1 Post Mpya
MALAIKA SEHEMU YA 1
@majario LIVE

โ€œMalaika! Malaika mwanangu!โ€ โ€œNaam mama... mbona unaniita kwa presha hivi, kuna nini tena?โ€ Mama mkwe aliingia ndani huku uso umemshuka kama amekula ndimu, yaani kuanzia asubuhi alikuwa na jambo lake limekaa kooni....

YENYE KIRUNGU  ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ   SEHEMU YA 09 Post Mpya
YENYE KIRUNGU ๐Ÿ’› ๐Ÿ’š โค๏ธ SEHEMU YA 09
@majario LIVE

MR AB TULIPOISHIA โ€œNdio, baba yangu alinipa mbinu za kumrudisha mtu aliyechukuliwa msukule arudi duniani kwa mara nyingine......nilijaribu kufanya hivyo ila wao hawakurudi maana mtaalam alisema kwamba hawakuchukuliwa misukuleโ€ โ€œYesu.....โ€ Nilipagawa huku nikiwaza...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest