Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜
Gonga94 Β· Stories

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani nachungulia kwa nje...... Boo alikuja akaketi kitandani kusema kweli alionekana kama mtu anayewaza namna ya kuanza kuniongelesha mimi..... niliona isiwe tabu hebu Acha mimi ndo nianza kumuongeresha niliweka sura ya hasira usoni kwangu then nilimfuata paschal aliyekuwa kaketi kitandani huku mikono yake akiwa ameshika tama nilikuwa siumii wala ila nilifanya maigizo ya hasira tu...... nilipaza sauti huku nikiwa naigiza kama vile nina hasira na kile kitendo alichokifanya......
""πŸ—£οΈπŸ—£οΈumefurahi ehπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ nakuuliza umefurahiπŸ₯Ή hivi paschal we ni mwanaume wa aina gani we ni baba wa aina gani☺️☺️ hivi katika kipindi chote hicho nilichokuwa mbali na wewe ni lini ulishawahi kunitafuta?! Hata hujali kuhusu mtoto wako?! Uko busy kubadirisha wanawake ndani ya nyumba yangu huu ndo upuuzi unaokufurahisha wewe siyo?!.. yani cjawahi kumuona baba mwenye mambo ya kipuuzi kama wewe😏😏""
""πŸ₯ΉπŸ₯Ήpendo tafadhari hebu nyamaza😰πŸ˜₯ hivi unajua haya yote yanasababishwa na wewe na wala hata hupaswi kunilaumu hivi unajua ni kwa kiasi gani nimekutafuta wewe na mwanangu?! Unawezaje kuniambia kuwa mimi siyo baba bora na ilihali wewe ndiye mtu uliyeyakatiza mapenzi yangu kwa mtoto wangu?! Wewe ndiye mtu uliyeamua kumpeleka mtoto wangu mbali na macho yangu ulitakaje pendo?!πŸ€·β€β™‚οΈπŸ€·β€β™‚οΈ lbda ulifikiria nini?!..... ulitaka nibakie kuwa mtu wa kulia tu kila siku 😧😧 ndiyo nilishalia sana tu lakini ilifikia hatua nikaona siwezi kuishi hivyo kila siku ni lazima maisha mengine yaendelee..... ni lia pekee ndo mwanamke aliyejitolea kunifurahisha mimi hata pale ulipoamua kujitenga mbali na mimi...""

""Kwa hiyo unakolezea siyoπŸ€”πŸ€”?! Kwa hiyo unanitambia kuwa wewe na lia mna mahusiano siyo?!""
"" nisikilize pendo haya yote yasingetokea endapo kama wewe usingeniacha mimi na kwenda kukutana na mwanaume mwingine usiku kucha ukalala naye alikuachia alama za lovebite mwilini kwako kila kona na bado uliona haitoshi ukaamua kuondoka kwangu bila kuaga ni wapi unakoenda ningejuaje sasa kama huko ulikoenda siyo kwa huyo hawala yako?!""
""Kwa hiyo umefanya maksudi kunilipizia siyo? Basi kwa kuwa mimi ndo mwenye makosa na yote haya yanayotokea ni kwa sababu yangu sina budi kuondoka kwenye maisha yako nikuache uendeleze mahusiano yako na lia..... nitakwenda mahakamani kudai talaka niachane na wewe .....baada ya kumtamkia paschal habari za talaka alijishusha akaacha kabisa kunipazia sauti......alipiga hatua akawa ananisogelea nilimuomba asije akanigusa kwa sababu bado hata alikuwa hajaoga na nilimkuta akiwa ananyanduana na lia.....oh unataka talaka siyo?! Basi nenda kafungue maombi ya talaka huko mahakamani nitakupatia ucjali..... aliongea kwa ustaarabu tu huku akiwa anachekaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ pendo wewe huwezi kuniacha mimiπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Acha kubishana na moyo wako alf kumbuka tyr mimi na wewe tuna mtoto hutokaa ukaenda mbali na mimi kila siku utakuwa unarudi kama hivi......

Nilichukia sana baada ya paschal kuniambia vile..... unajiamini siyo😏😏 nilimuuliza...... aliendelea kucheka nilimsukuma anipishe nipite huyu mwanaume kwa hiyo anafikilia ya kwamba mimi ninampenda kiasi cha kutomwacha mbona ana jeuri hivyo?! Na nitakuonyesha nakwambia 😏😏 nilimtamkia huku nikiwa natoka kule ndani..... alicheka kisha akaniambia wakati mwingine urakaporudi tena basi usiache kuniletea kipenzi changu nice ili aje kunisalimu daddy yake ...... kitu kingine nikuombe hapa ni nyumbani kwako na wewe ni mke wangu siku hasira zako zikiisha ukajisikia kurudi unakaribishwa.......

Nilipanda kwenye gari langu kwa hasira nikaondoka pale nyumbani kwa paschal kichwa changu kilikuwa kinawaka moto nilichukia vibaya mno..... nilifika home nikamcall hemed nilimuomba awahi kuja nyumbani tuongee..... aliniahidi kuwa ndani ya muda mchache atakuwa ameshafika.... cool down sweet heart ni kama vile hauko sawa nini kimetokea..... aliniuliza hemed kwenye simu alinigundua kuwa siko sawa kutokana na vile nilivyokuwa naongea naye kwenye simu sauti yangu ilidhihirisha wazi kabisa kuwa siko sawa basi alivyoniuliza hivyo baba watoto mie si nikaanza kulia😟😟 aliniomba nitulie yeye yuko njiani anakuja nyumbani tuongee tusolve kila kitu kinachonitatiza...... nilimwambia sawa mine nimeelewa alikata simu nikatulia nimuwait.... hemed alifika nyumbani nilimkimbilia nikaenda muwow alinikumbatia then alinichum.... nakupenda sana my baby mama nini shida kipi kilikufanya ulie et niambie ukweli et☺️☺️..

My baby daddy namm nakupenda na nimekubali kubadiri dini ili mimi na wewe tuweze kufunga ndoa cwezi kumrudia paschal nahitaji nibakie na wewe...... nakuomba unisaidie kupata talaka yangu kutoka kwa paschal.... baby kwa hiyo paschal ndo aliyekutoa machozi?!..... aliniuliza hemed.....ndiyo nilikwenda kule nyumbani kwenda kuonana naye lakini nilimkuta na mwanamke mwingine..... nazani hana tena mapenzi na mimi ni bora nimuache na maisha yake nimove abakie na yule anayempenda namm nibakie kwako.....

Kwa hiyo unataka kumuacha kwa sababu ya hasira za kumfumania na mwanamke mwingine au unamuacha kwa sababu umenichagua mimi?!.... aliniuliza hemed..... nimekuchagua wewe honey nilimjibu huku nikiwa najilaza kifuani kwake...... pendo najua fika unatambua mapenzi niliyonayo kwako unajua ni kwa kiasi gani vile ninavyokupenda...... moyo wako unaonekana unampenda sana mme wako kuliko mimi na huu uamuzi unaotaka kuufanya najua ni kwa sababu ya hasira tu......hapana baba watoto mimi sina hasira huo ndo uamuzi wangu na niko tayari kufunga ndoa na wewe kama huamini utaamini kesho asubuhi mapema nitakapoenda mahakamani kufungua madai ya talaka.....baada ya kumwambia hivyo hemed alismile then alinikumbatia natumaini huo ndo utakuwa uamuzi sahihi kwako na kwangu I love you mine and I'm ready to marry you......love you too chibaba wangu nilimwambia then nikamkumbatia.....

Siku ilipita nikiwa na hasira sana juu ya paschal usiku mzima nilikuwa nawaza tu kumkomoa yeye nilikuwa natamani kupambazuke ili nimuonyeshe kuwa uwezo wa kuishi bila yeye ninao na siwezi kumrudia tena..... na hatokaa akamuona nice maisha yake yote si ana jeuri nitamkomesha huyu mbwa niliwaza hivyo kichwani..... hatimaye kulipambazuka mimi ndo nilikuwa mtu wa kwanza kuamka...... darling hebu rudi kitandani uendelee kulala bado ni mapema sana saizi....... hemed aliniomba nirudi kulala pakuche kumbe niliamka saa 11 alfajir et...... nilitoa pazia dirishani nikachungulia kwa nje bado kulikuwepo na kigiza cha alfajiri nilijitupia kitandani huku kichwa changu kikiwa kinawaka moto hatari nilitamani hata nimpigie paschal simu ili nimwambie kitu nachotaka kukifanya juu yake lengo langu nilitamani tu kumharibia usingizi wake achanganyikiwe kama mimi..... nilinyanyuka pale kitandani nikaichukua simu yangu nikaanza kutafuta namba ya paschal booshit niligundua hata namba yake pia sina...... my love whats wrong with you nini kinakusumbua?! Aliniuliza hemed niliiweka ile simu pembeni nikarudi pale kitandani nililala nikamkumbatia alianza kunitekenya tekenya katika mwili wangu.... unataka nini baba watotoπŸ™ˆπŸ™ˆ utaja nijaza mimba tena et😚😚 hata ukiniongeza mapacha ni sawa sweetie heart ❀️ oh hebu kuwa serious mpenzi kwa sasa hivi sitaki kuzaa subiri nice na mdogo wake wakue kwanza..... naelewa my baby mamaa but I need you mamaaa 😩 hahaha πŸ˜† it's okay hubby 😘 nitakupatia tamu🫦....... alfajiri ile Hemed aliniandaa vyema then akanichombeza nilimpa yote tena nilifanya kwa kumkomoa paschal utafikir hata alikuwa ananionaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kulipambazuka asubuhi tulienda kuoga na baba watoto baada ya hapo tulijiandaa kwenda mahakamani kwa ajiri ya kwenda kufungua madai ya talaka..... Hemed alinisindikiza mahakamani nikafungua kesi ya madai ya talaka....nilifuata taratibu zote baada ya hapo nilipatiwa barua za kumpelekea Mr paschal zilikuwa ni barua ya wito mahakamani..... niliambiwa
nimpatie mwanasheria wake au wangu yeye ndo amfikishie lakini mwenzenu nilitaka kwenda na bei wangu nikamringishie....

Safari ilianza kutokea kule mahakamani hadi nyumbani kwa paschal nilikuwa na kimuhemuhe cha kukutana na huyo baba nice😏😏 baba watoto alipark gari nje ya geit then tulisogea pale getin tukagonga mlinzi alifungua kwa vile ananifaham alituruhusu tukaingia ndani mlinzi alikwenda kumuita paschal alitoka akaja kutusikiliza nilivyomuona paschal nilitembea kwa nyodo nikamfuata nilimkabidhi zile barua nilizopewa mahakamani..... shika soma kisha uniwahishie sitaki kucheleweshwa nataka kufunga ndoa yenye akili siyo hii ya maigizo😏😏

Itaendeleaaaa.......
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani nachungulia kwa nje...... Boo alikuja akaketi kitandani kusema kweli alionekana kama mtu anayewaza namna ya kuanza kuniongelesha mimi..... niliona isiwe tabu hebu Acha mimi ndo nianza kumuongeresha niliweka sura ya hasira usoni kwangu then nilimfuata paschal aliyekuwa kaketi kitandani huku mikono yake akiwa ameshika tama nilikuwa siumii wala ila nilifanya maigizo ya hasira tu...... nilipaza sauti huku nikiwa naigiza kama vile nina hasira na kile kitendo alichokifanya......
""πŸ—£οΈπŸ—£οΈumefurahi ehπŸ€·β€β™€οΈπŸ€·β€β™€οΈ nakuuliza umefurahiπŸ₯Ή...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaah-imetosha-boss-n0-61

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaah-imetosha-boss-n0
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 36πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 48πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 55...56πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 34πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 42πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 44πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 49πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 37...38πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 35πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 33πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 43πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 39...40πŸ’˜πŸ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜

526
MIMI SIKUACHIπŸ₯°*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41*

MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*

398
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43

283
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜

177
REAL LOVE  Chapter 14

REAL LOVE Chapter 14

130
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08

90

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.89K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.68K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.47K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.3K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.3K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜  N0 61πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSSπŸ’˜πŸ’˜ N0 61πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani...

REAL LOVE  Chapter 14 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 14
@majario LIVE

John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini "devi umefuata nini hapa alisema...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 43
@majario LIVE

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Mama mtu kuona nimesimama tu akaniongelesha kwa hasira "we mpuuzi mbona umesimama kama sanamu embu toa vitu kwenye gari haraka" Niliitikia sawa na kufungua buti nikaanza kushusha mizigo wao wakaingia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯°*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41* Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*
@majario LIVE

Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 59...60πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🀣🀣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yaoπŸ˜„πŸ˜„Tristan ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu. Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize...

MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 94 na 95
@majario LIVE

Nklimuangalia uyu mwanaume kwa hasira kisha nikamuuliza kwamba una maanisha nn wewe. Kwambia mm nikuache u.nifanye nyuma uniharibu. Akannbia sikia nikwambia mama. Kwani nani atajua kuwa mm na wewe tumefanya...

MY WANGU❀️ sehemu ya 93 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 93
@majario LIVE

Basi jioni tu ya siku iyo iyo bibi mie nikaruhusiwa. Nyieee ilikuwa shereehee. Yani uyo zayd ni furaha mdaaaa wote . Ni kufurahi tu .mda wote kamshika mwanae anambembeleza mtoto...

*MY WANGU❀️* *FINAL SEASON* *91-92* Post Mpya
*MY WANGU❀️* *FINAL SEASON* *91-92*
@majario LIVE

Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na...

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
@majario LIVE

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Utaniita shemeji ☺️aisee hii simulizi sijui nikae mkao gani ili niilete kwa usahihi bila kukwama wala kupunguza radha😊. Ila hii kitu imenionesha kuwa kweli watoto wa elfu mbili wameshindikana...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Nilibaki namuangalia huku nikijiuliza ana maana gani kusema vile ?,πŸ€”na nitakosaje amani eti kisa kutokuwa karibu yake πŸ€”na niukaribi gani anaoutaka kutoka kwangu na kwanini atake ukaribu na mimi?.πŸ€” Niliwaza...

MY WANGU❀️ sehemu ya 89 na 90 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 89 na 90
@majario LIVE

Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana....

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 57...58πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

PendoπŸ₯ΉπŸ₯Ή kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimiπŸ₯Ή haujui ni kwa kiasi gani...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest