MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana. Akanmbia achana nae na kama.anataka gharama zake mwambie aseme ntamludishia zote..nikasema sawa baby. Basi nikaenda kupika japo mdada wa kazi yupo ila nilitaka kumpikia mwenyewe baby tenaa . Nikampikia vizuri mpenzi . Penzi jipya tena. Na tukala kwa kulishana kweli kweli. Baada ya apo baby akataka mambo. Basi mchumba akanipeleka ghorofa ya 3 juu kabisaaa. Ukuta wa viooo tu. Na kina madirisha Makubwa full hewa . Tukatombana vizurii. Zayd nae mambo nayojua tena anavyopenda kunyonyana vikojoleo basi mpaka nachanganikiwa
Basi kesho yake baby kama kawa akanileta chuo kuendelea na ratiba zangu.nyieee mlige alikuja tena . Akaomba kuongea na mm. Alikuwa kakonda uyo .siku 2 tu.nilimuone a hurum ila sikutaka tena kuwa nae. Kwa sasa mi moyo wangu ulikuwa kwa zayd. Kwanza wa makamu yangu. Na ana pesa mnooo. Yani kwa sasa naishi maisha ya luxury mno ambayo mlige hawezi kunipa. Na bado zayd ni handsome mnooo. Na ananipenda sana tu.
Basi mlige akanmbia sikia mama. Kama shida ni gari nakununulia gari. Ntakopa ntaiba nipe week nakununulia ila usiniache nakupenda sana. Yani mlige alikuwa ata haeleweki alichokuwa anaongea . Anaongea uku ana tetemeka yani alikuwa kama kachanganikiwa .mi nilimwambia sikia mlige mi naelewa sana tumetoka mbali. Naelewa umenitoa mbali sana. Na elewa umenisaidia vingi. Usijali vyote ukitaka kulipwa utalipwa. Ila mm na wewe hatuwez tena mm nampemda zaidi zayd. Ndo namtaka nataka kuwa na kijna mwenzangu.kile kipindi mimi nilikukubali. Sababu sikuwa najielewa ni akiri za kitoto but now natka kuwa na ambaye naona moyo umemlizia.. nyie mlige alipiga magoti mbele ya watu wote. Mpka nikawa naona aibu. Akanmbia usinifanyie hivyo faridah nakupemda sana . Nisamehe mama kama nimekosea sehemu nakuomba sana nisamehe .nakuhitaji faidah..nimekungoja kwa mda mrefu kwa ajili yako leo unanambiaje hivi. Ila sielewi ni nn kilinivaa kwa uo mda mi sikuwa namtaka kabisa mlige. nilimwambia tu nielewe mi sikuhitaji kwa sasa tena..kisha nikavuta pochi yangu nikaondoka zangu. Nikamuacha kaliga magoti uku analia . Na watu wanamshangaa
Kuanzia apo . Aseeee mlige kila siku alikuwa anakuja chuo. Nahisi alikuwa dar kwa mwez . Mana kila siku namkimbia ila wapi. Ni mbishi mnoo kunielewa. Akiniona ni ananivuta ata mbele za watu anapiga magoti yani fujo tu. Mpaka sasa ikawa scandal chuoni. Wanafunzi wenzangu wananaioneshea mpka vidole akawa ananikwaza mnoo. Nikakata na kwenda chuo. Nimsikilizie kwanza yeye aondoke. Mpaka angel akanmbia kuwa sa hivi hamuoni.ndo na mm nikaludi chuo sasa. Kuendelea na masomo. Nyiee apo penzi limenogaa mnoo na zayd. Tena penzi limekoleaaa aswaaa. Mie niko busy na baby atari. Nna pesa kama zote yani kama mfanyakazi wa bank . Kumbe pesa za baby tu. Na walaa hakuwa na shida zayd alitulia tu. Apo siku kanipeleka zanzibar kula rahaa. Kesho kanipeleke arusha kutalii. Mala tumeenda wapi. Yani ilikuwa rahaaaa mnoooooo na tuliinjoy sanaaa na mwanaume wangu. Apo na kuendesha gari najua. Siku nyengine naingia nayo chuo mwenyewe na drive utanambia nn.Zayd pesa anayo na kuitumia haoni shida. Yani sio shida zake kutumia pesa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Basi bibi mie si nilibadili simu so ata mama hakuwa ananipata . siku iyo sasa ndo nikampigia mama yangu. Nyoeeee nilijuta. Mama alinisema alinisema mnoooo. Alinichambaa aswaaaa alinambia yani wewe mtoto ni nyoka . Huna aya wala vibaya. Mlige sio mzazi wako ila machozi yake yatakutafuna. Utatembe na lana ya yule baba. Nikasema jamani mama. Kwani kanioa si bwana tu . Mi nna mtu wa makamu yangu na ana pesa kwanza kumshinda uyo mlige na ananipenda sana mama . Mama akasema umechezea bahati . Wew mtoto mdogo wa kumliza mbaba wa waru. Analia kama mtoto. Na presha mpaka kulazwa . Faridaha mwanangu kimekupata nn. Eeeh farida kweli. Mama akanza na kulia eeh nikaona nikate simu. Mh nakata ananipigia mzeeee . Aseee baba ndo alinipa maneno makari sitasahau na akamalizia kwa kusema kuanzia leo mm sio baba yako na uyo mpumbavu mwenzio usimlete nyumbani kwangu na usiludi uku. We si umekengeuka akiri. Mh Jamaniiiiiii yani wote wanamtetea mlige kama vile ndo mtoto wao
Ahaa mi nikajua wana hasira sababu mlige kawajengea .wakati zayd anaweza kuwajengea ata ghorofa. Mie nikayapotezea nikawa busy na baby wangu na maisha yangu hivyo yani. Mlige hakunitafuta tena mpaka ukapita mda wa mwez mmoja. Siku iyo sasa Akanipigia simu shoga yangu yusta. Alinambia ndo kaludi sasa kutoka chuo na kapewa namba na mama yangu. Nikasema sawa nambie shoga. Yusta aliniuliza una shida gani mpka umeachana na mlige na unajua kabisa anakupenda sana na amekuwazia mengi mema. Nikasema nimeamua yusta natka kuwa na mtu wa makamu yangu na mlige atafute wa makamu yake . Yusta alinambia nakuonea huruma sana nakuonea huruma mnoo. Eheee basi yusta akaanza kunisema akinuikumbusha alokuwa ananifanyia mlige .nakwambia et sitapata mwanaume mzuri kama mlige. Nitakuja kumjutia nikiwa nishachelewa .ooh nymbani kote story za mm na za mlige . Et watu wananisema vibaya . Maneno kibao. Nikamwambia shoga . Wewe sio msahauri wa maamuzi yangu. Mie uyo mlige simtak . Nipo busy na maisha yangu kisha nikajikatia simu mie. Nikawa bussy na mambo nyngu.
Mda ukapita kama miez 4 hivi. Bado nna pendwa kweli kweli na zayd. Yani tuna amani ya kutosha penzini. Mh siku iyo nipo kwangu simu yangu initwa anayenipigia ni yusta. Nikapokea mana ata ushoga tulipunguza .nikamkaushiaga tu mana niliona anataka kunifatilia sana. Basi yista akanisalimia vizuri hii siku .akanmbia vp shemu zayd hajambo. Nikcheka nikasema umekubali sasa kuwa shemu wako ni zayd. Akanambia yaaa ukiamua ww nani ata pinga japo wengine wanaumia. Mie nikacheka nikasema nambie. Aknmbia kwaiyo ww humtaki kabisa mlige. Nikasema ndio simuhitaji. Akanambia sawa . Unajua tangu umechana na mlige . Hakuwa powa kabosa . Alikuwa kama kachangnikiwa na alikuwa na mawazo sana. Na mtu wake wa karibu sana amabe alikuwa namtuliza ni mimi. Mana nipo pale shule now nafundisha fundisha yeye ndo kanipa nafasi.Nikasema hongera. Akanmbia lakini sasa katika kumpa moyo na kumuweka sawa . Mimi na mlige tumejikuta tumetembea. Yani tumefanya mapenzi. Mh nikasema hongera . Akanmbia lakini mlige kanambia anataka kunioa . Nikaona kwanza nikupigie ww .mana ww ni rafiki yangu na ulishawahi kuwa na mahusiano na mlige isje ikaleta picha mbaya.na ukanifikilia vibaya
Nikasema oooh mi wala sina shida we olewa nae tu . Mi wala simtaki na sina mpango nae na soon nakuja kusimamisha kijiji naolewa na mtoto wa tajir mkibwa . Yani zayd. Yusta akasema wala mimi sijakupigia kwa ayo nimekupigia unipe ruksa tu. Mana ata mm namuona mlige ni mwanaume mzuri na tunaweza kufanya maisha. Ila sikutaka usikie kwa wengine ykaja kuhisi labda nilikuwa nakuzunguka kipindi ww upo na mlige.nikasema nawatakia maisha mema na ndoa njema.akanmbia sawa nakutakia maisha mema pia na zayd nikasema okey. Basi baada ya siku 2 mama kanipigia analia ananmbia we mtoto ni mjinga umetupa bahati leo mwenzako anaenda kuolewa na mwanaume mzuri . Faridha ebu amka. Nikasema mama wala usijali mm ntaolewa na zayd. Na nikimleta apo mwarabu wangu kijiji kizima kitashangaa we muache aolewr nae. Hajawahi kupata bwana mwenye pesa ndo mana anapagawa .
Eeeeeeh bwanaas eeeh uhui ndo mwisho wa s4 . Bado mambo ni motroo🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Tukutane s5. 0750411324 utaipata Nawapenda❤️❤️❤️❤️❤️📌📌📌📌📌📌📌📌
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi