Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI🥰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41*
Gonga94 · Stories

MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na ukweli ndo upo hivyo sasa kaka. Apo sasa mimi simuhitaji ata mke wako. Ila mm nahitaji mwanangu .nahitaji damu yangu. Na naelewa unapitia nini kama uliambiwa yule mtotot ni wako. Ila ni mwanangu haji. Sikufichi kaka labda na ww unifanyie ikatiri .ila ni mtoto wangu. Daah nilijikaza tu .nikamwambia alex nimekupata . We nenda . Mi ntakupigia .usiongee chochote na mke wangu . Akanmbia sawa . Now kwanza mkeo kaniblock. Na hatuna maelewano .na ata nikimpigia kwa namba zengine .akipokea Ananitukana tu na akinambia kuwa sina mtoto nae kabisa. Nikasema sawa alex..basi alex akaaga . Akaondoka aseee apo sasa ndo nilivurugwa zaidi. Mi binafsi nilijua kabisa kuwa ni kweli araina sio mwanangu. Nilihisi kabisa sio mwanangu. Mana ni kweli kafanana na uyu alex. Na kafanana na mke wangu. Mi sijafanana nae chochote.

Basi nikampigia simu lemi. Bado alikuwa mwanangu sana. Yani mshikaji wangu kinoma .yeye alipata kazi dar . Ndo alikuwa ukoo. Mimi ndo nikabaki moro. Nilimueleza lemi kila kitu. Uku nikiwa sipo sawa kabisa. Akanmbia tulia kwanza haji. Ayo ni mambo ya kawaida sana katika maisha na wala ww sio wa kwanza kuku kuta . Naomba utulize kichwa na utulie na usikulupuke. Nikasema.aseee uyu jamaa ni kafanana sana na araina. Nahisi kabisa ni mtoto wake. Nahisi tu. Lemi akanmbia haji tulia we ni msomi . Usihisi kuwa na uwakika. Leo fanya mpango chukua nywele za araina kesho kapime DNA. Kisha sasa ndo tutajua tunafanya nn. Nikasema sawa apo chozi. Mwnaume linanitoka kabisa. Kweli nilikuwa na kipindi cha jioni ila sikuweza tena kuendelea nikakikancel.unazani ntakifundishajeee.. thubutuu.

Basi bwana mimi nikaludi home yani sikuwa sawa. Uko bala balani ni mungu tu alinilinda mpka nafika nyumbani. Sikuwa sawaaa kabisa. Nimefika araina ananikimbilia .ata nguvu za kumbeba mimi sina. Nikamshika mkono tu. Nikaingia nae ndani. Nilimsalimia mke wangu nikaingia ndani. Mke wangu akaja. Akanmbia vp baba mbona leo kama haupo sawa.nikasema najisikia vibaya niache nipumzike. Aknmbia ahaa sawa .kisha akatoka njee.mimi nikaenda kupiga maji .nikaludi kupumzikaa. Ata alipokuja kuniamshaaa kwa ajili ya kula. nilimwambia nimeshiba. Aseee hii siku sikulala ni kupinduka tu.niliwaza mengi sana kichwani mengi. Nilumia sana . Roho na moyo viliuma sana.

Asubuh na mapema .niliamka zangu nikajindaa pale. Nilimuacha mke wangu kalala . Nikatoka nikaingia chumba cha mtoto. Nilimuangalia sana mwanagu ni binti yangu.nimemkuza mwenyewe nampenda sana uyu mtoto yani sana . Nilimkata nywele kidogo mwanangu. Nilipanga sasa kwenda kupima DNA. Ila nilikuwa naomba sana isiwe kweli. Kwamba araina sio mtoto wangu basi nikaelekea kazini . Ata kazini sikuwa sawa. Na nilipotoka job ndo nilienda kukutana na dr mmoja hospital moja ya private ipo pale pale moro mjinni. Kweli jamaa akachukua vilivyohitajika kwangu. Akanambia nije baada ya siku kupata majibu.

Basi mm nikaondoka zangu. Nikacancel vipindi vya week nzima vya chuo. Sikuwa sawa nikahisi siwez kwenda chuoni kufundisha . Nilikuwa naludi nyumbani mapema sana. Sikuwa na rahaa kabisa. Yani nikiludi nyumbani naingia chumbani kimya. Mke wangu ananaiuliza vp .namwambia mm naumwa tu. So niache nipumzike tu. Basi ikawa hivyo .akawa anahisi naumwa kweli. Mana ata akitaka nimtombe namwambia siwez sipo sawa. Ila sikuwa sawa kweli we mtoto nimemlea miaka 5 leo naambiwa sio mwanangu na nishategemea . Na nilikaaa kimya wala sikumuuliza chochote. Baada ya siku 3. Siku iyo nilipotoka kazini tu nilienda hospital. Na dr alinipa majibu ya DNA. nikafungu na nikasoma aseee sikuwa nimefanana na mtoto ata kwa asilimia moja. Yani mfanano wetu ni 0.0001. Aseeeeeeee sio mtoto wangu kabisaaaaa

Moyo uliuma sanaa . Rohooo ilikata aswaaa
Aseee sio siri nilichanganikiwa . Yule dr alinambia haji relax tuzungumze . Usipanic aya ni mambo ya kawaida kaka. Ila sikutaka ata kumsikiliza niliacha pale pale bahasha ya majibu.nikasepa zangu. Nikiwa ndani ya gari nilimpigia lemi nilimwambia kuwa uyu demu sio kabisa. Uyu demu ni jau kinoma noma . Kumbe mda wote ananibebisha zigo mimi mda wote najua nalea mwanangu. Kumbe nadanganywa. Nilipanik kisenge ..lemi akanmbia tulia na usipanic tulia kaka.nikasema siwez kutulia siwez. Mda wote najilinda kwa ajili yake .nampenda na kumuheshimu kumbe ananiona mm msenge aseeee uyu mwanamke ntamuuaaa. Nilishapanik .lemi.akanmbia tulia oyaa tulia kwanza usiende nyumbani tulia ww. Nikakata simu

Nikaanza kuendesha gari kwa fujo sana. Nilidrive kwa speeed nikiwa na hasira mnoo. Apo uku nalia. Aseeeeee sielewi ilikuwaje nakuja kustuka kuna gari kubwa ipo mbele yangu. Ata kuikwepa sijawahi tukagonganga uso kwa uso. Aseeeee nilipata ajali mbaya mno. Sikuelewa nn kimeendelea tena. Nilikuja kustuka siku ya 3 nipo hospital . Ata kuinuka siwez yani . Daaaah acheni kabisaa. Yani nimestuka namuona mama pale kwa pembeni na dada na mke wangu. Aseeee nilipomuona mke wangu nilitibuka kinoma najalibu kuinuka ata siwez. Maeneo ya kiuno nilikuwa napata maumivu makali sana na maeneo ya kichwa ma mkono wangu wa kuhoto.. Basi mama akamuita daktari. Na daktari akaja akanmbia haji tulia kwanza naomba utulie . Nilisema imekuwaje imekuwaje mbona sielwi. Daktari aliwaaambia watu wote watoke abaki na mm. Na kweli wakatoka nikabaki na daktari tu

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*



Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na ukweli ndo upo hivyo sasa kaka. Apo sasa mimi simuhitaji ata mke wako. Ila mm nahitaji mwanangu .nahitaji damu yangu. Na naelewa unapitia nini kama uliambiwa yule mtotot ni wako. Ila ni mwanangu haji. Sikufichi kaka labda na ww unifanyie ikatiri .ila ni mtoto wangu. Daah nilijikaza tu .nikamwambia alex nimekupata . We nenda . Mi ntakupigia .usiongee chochote na mke wangu . Akanmbia sawa . Now...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-season-two-sehemu-ya-41

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-season-two-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

613
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90

MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90

585
*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*

*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*

575
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

381
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘

313
MIMI SIKUACHI🥰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41*

MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*

221
MY WANGU❤️ sehemu ya 93

MY WANGU❤️ sehemu ya 93

217
REAL LOVE  Chapter 13

REAL LOVE Chapter 13

168
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07

67
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06

64

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.13K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.88K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.07K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.3K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

****

  • MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95 15-02-2026 17:40
Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Mama mtu kuona nimesimama tu akaniongelesha kwa hasira "we mpuuzi mbona umesimama kama sanamu embu toa vitu kwenye gari haraka" Niliitikia sawa na kufungua buti nikaanza kushusha mizigo wao wakaingia...

MIMI SIKUACHI🥰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41* Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*
@majario LIVE

Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘
@majario LIVE

0742133100 Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🤣🤣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yao😄😄Tristan ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu. Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize...

MY WANGU❤️ sehemu ya 93 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
@majario LIVE

Basi jioni tu ya siku iyo iyo bibi mie nikaruhusiwa. Nyieee ilikuwa shereehee. Yani uyo zayd ni furaha mdaaaa wote . Ni kufurahi tu .mda wote kamshika mwanae anambembeleza mtoto...

*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92* Post Mpya
*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*
@majario LIVE

Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na...

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
@majario LIVE

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Utaniita shemeji ☺️aisee hii simulizi sijui nikae mkao gani ili niilete kwa usahihi bila kukwama wala kupunguza radha😊. Ila hii kitu imenionesha kuwa kweli watoto wa elfu mbili wameshindikana...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Nilibaki namuangalia huku nikijiuliza ana maana gani kusema vile ?,🤔na nitakosaje amani eti kisa kutokuwa karibu yake 🤔na niukaribi gani anaoutaka kutoka kwangu na kwanini atake ukaribu na mimi?.🤔 Niliwaza...

MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
@majario LIVE

Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana....

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘
@majario LIVE

Pendo🥹🥹 kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimi🥹 haujui ni kwa kiasi gani...

REAL LOVE  Chapter 13 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 13
@majario LIVE

seven aliwasha gari na kuliondoa spidi njia nzima alikuwa akilalamika tu mtu unaiona hali yako lakini unakubari tu kufanya mikazi kwahiyo unataka kulazwa tena hospitari ishindwa kuomb hata sjmu kwa jirani umpigie...

MY WANGU❤️ sehemu ya 88 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
@majario LIVE

Mlige akaipasua ile simu kwa hasira. Akanmbia nilijua tu . Umebadilika sana faridah kumbe una mwanume ana pesa kunizidi sio . Mie nikasema nisamehe mlige acha nikuelezee. Mlige akafoka .akasema...

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI) Post Mpya
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA 😭😭 Acha nilie alafu ninyamaze duku duku langu nilimalize maana najiuliza maswali magumu sana ivi serekali inajua hawa wahindi wanatufanyisha kazi za ndani raia wa nchi hii...

REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest