Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
Gonga94 · Stories

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


SONGA NAYO.................

Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu.

Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize na mambo yangu ,akaniangalia mwisho akasema ""umeona nilichokwambia lakini?""

Bila kumuangalia nikamwambia "unaongea kuhusu nini??"

"Acha kujifanya unaweza kupambana na mateso ,we sema neno moja tu nimekubali baasi yote nitayabeba mimi sawa mrembo wangu "" aliongea na kunishika bega jambo ambalo lilinikwaza kupita maelezo.

Bila uoga niliinua uso wangu nikamuangalia usoni kwa hasira sana na kushika mkono wake ulio begani kwangu nikautoa kwa nguvu na kusema .

"Alvin iwe mwanzo na mwisho kwako kunishika na kuongea upuuzi mbele yangu, na ndio nimekataa kuwa karibu na wewe kama ni mateso nipe ila kunishika sehemu yoyote ile ya mwili wangu ni kosa .

Na kama utaendelea kufanya huu ujinga utajua upande wangu wa pili ukoje mshenzi wewe "

Niliongea kwa hasira sana ajabu aliniangalia na kucheka sana kisha akasema "wow nimependa vitisho vyako,, ila unajua nini?? sikulazimishi kukubali sawa ,we fanya mambo yako kwa amani.

Ila kama utaona unanihitaji njoo nipo kwaajili yako,, kwa hiyo yote yanabaki juu yako "

Aliondoka nikabaki namuangalia kwa hasira sana, unajua mimi ni bora mtu anitukane au hata kuniweka kofi nitavumilia ila si kunifanyia uzalilishani kwa kuuchafua mwili wangu.

Hapo siwezi kukaa kimya, sasa naona huyu Alvin anataka vita na mimi na kwa mikono miwili hii vita nimeipokea shenzi zake 😒.

Basi bwana niliendelea na kazi zangu siku ikaisha ,kesho yake tena kama kawaida nikaamka na kupiga kazi ilipofika jioni nikaingia chumbani na kupumzika kidogo.

Baada ya kupumzika nikaingia bafuni na kuoga nilivyo maliza nikatoka na kuanza kuangalia nguo ya kuvaa ,mara mlango ukafunguliwa.

Nilishtuka nikizania ni Alvin hivyo nikainama kujificha maana nilikuwa uchi, ila baada ya mlango kufunguliwa akaingia Shuu na shoga ake .

Walivyoona nimeinama Shuu akasema " embu inua milonjo yako hapo, eti unajificha unakitu gani cha maana hadi ujifiche?😏 "

Bila kuongea neno niliinuka na kusimama kusikiliza wanataka nini ,nikashangaa hawaongei zaidi wako bize kuniangalia , nikaona mmmh embu nijifunike mie maana dunia ishaota miguu.

Nikavuta shuka na kujifunika ndo nikaona Shuu anaangalia pembeni kwa aibu ,rafiki yake akamshtua kwa kumwambia aniambie kilichomleta ili waondoke .

Bibie kuambiwa hivyo akajifanya anakohoa na kusema " wewe leo mama atakuja na mgeni so upike chakula kingi na sio mama tu hata mimi nina wageni wangu sasa kazana kukaa uchi uchelewe kupika"

Niliitikia sawa wakaondoka ,me nikaendelea kuangalia nguo .

Sasa baada ya wao kutoka chumbani kwangu walienda hadi sebleni wakakaa ,mara rafiki yake Shuu akasema " mmmh ila Wardah anashape nzuri balaa, yaani tumbo kama hajawahi kula ,kifua sasa ni saa tano kasoro maana sio kwa dodo lile .

Unajua nimejikuta naganda kumtazama moyoni nikasema kweli kuna watu waliumbwa halafu kuna sisi hapa tukinywa maji glass moja tu tumbo linakuwa kama tumemeza puto. "

Shuu alichukia na kumwambia " kwa hiyo unataka kusema nini kwa mfano?"

"Nataka kusema nini ukimaanisha nini dada??,, halafu mbona kama umechukia 😁 "

"🙄Aliekwambia nimechukia ni nani 😏, na kwanini nichukie ile hali jitu unaloliongelea ni bovu kama hoho iliyooza"

"Weeee shoga angu pale huingii, kwa Wardah aaah uko nyuma sana hivi umemuangalia vizuri lakini au unamuangalia kwa jicho la husda.

Dada binti wawatu kanyooka kama rula,, si sura si rangi si kifua wala shundu vyote hakuna unachomzidi na hivyo unavyo muona ndo hajajua kuoga .

Ee jiji bado halijampokea subiri ajue kujitunza uone ,yaani utakuwa unapitwa kama kigagula wala wakukuangalia hatakuwepo .""

"Eeeh basi maana naona unajimaliza 😏"

"Niukweli sio kujimaliza pale hufui dafu dada"

"We nae sinimesema basi au ndo unataka tukelane basi 😡"

"Aaah haya dada nimefunga mdomo🤐" wote walikaa kimya , huku kwangu nilimaliza kujipaka mafuta nikatupia kijora changu cha elfu sita huyo mdogo mdogo kuelekea jikoni.

Nikapita sebleni bila hata kuongea neno kwa sauti ya chini nikasikia rafiki yake Shuu anasema " ona hapo liko kwenye dera ila unaona mzigo unavyoenda "

Shuu alimkata jicho na kusema " Sasa hiyo nayo ni shape ya kukufanya umlinganishe na mimi? Huyo anatako sio shape"

"We unalo 😁 aaah tusiende mbali shape sio tako ndio ila we unalo?😆 na usijifariji we kubali tu humfikii"

"Umetumwa eeh 😡maana unaropoka ropoka tu kama umempenda nenda kaongee nae unitolee uchuro hapa😏"

"Hahahah😆 haya nimekaa kimya🤐 "

Shuu hakutaka kuendelea kukaa akainuka na kuchukua pochi yake kisha huyoo akaondoka, rafiki mtu nae akainuka na kumfuata.

Wakatoka nje na kusimamisha bajaji wakaanza safari yao , karibu njia nzima walikuwa kimya mwisho Shuu akavunja ukimya na kumwambia rafiki yake.

"Hivi rafiki yako bado ana mawasiliano na yule dada anaeuza dawa za kuongeza shape ?"

Rafiki mtu kusikia hivyo alimuangalia Shuu na kumuuliza " ndio bado wanaongea kwani unamtaka ??"

"Achaga kuuliza maswali ambayo unamajibu nayo, we nipe namba za huyo rafiki yako nijue nampataje yule dada basi "

"Subiri kwanza ,,Shuu unataka kuongeza shape udugu wangu!!?"

"Kwani kuna shida gani au ni mwili wako"

"Kheee makubwa 😆yaani nilijua umekuwa ila bado akili za kitoto hazijaisha,, yaani kisa Wardah ndo unataka uanze kunywa midawa eti unaongeza shape?"

"Alafu Esma naona leo unataka kunitibua , kwani sangap nimesema nafanya hivi kwasababu ya yule mpuuzi😡 ?"

"Hakuna Shuu nakujua vizuri ndugu yangu ,hapo roho yako inakuuma kuona mwenzio anasifiwa ,labda ni kushauri kidogo tu jikubali na ujipende kwa jinsi ulivyo.

Hayo mambo ya wivu yatakuja kuua bure na usifikiri utaja kunywa au kufanya kitu ikafanana na yule binti ,yeye mwenzio kaumbwa vile hata ukisema leo ukamtoe lile shape lake bado kwa sura tu hutamfikia.

Haya nambie utaenda kufanya hadi surgery ya uso ?? Embu acha ujinga bwana "

"Esma narudia tena sifanyi kitu kwasababu ya mtu na kama hutaki kunipa namba za huyo shoga ako mchawi uache "

"Eeeh ukome kumuita shoga angu mchawi,mchawi ni wewe na roho yako 😏"

"Kwa hiyo umegoma kunipa namba ?🤨"

"Unanilazimisha 🤨!!"

"Eeeh ukitaka uache namba tu unataka kujifanya kama naomba figo😏"

"Ndo nishaacha ,dereva niache hapo hapo"

"Sasa unaenda wapi 🤨?

"Achana na mimi" dereva alisimamisha Bajaji Esma akashuka na kuondoka huku nyuma bibie Shuu akabaki anaita tu Esma hakuitika wala hakugeuka.

Kwa hasira Shuu akamwambia dereva bajaji ageuze ,, dereva hakuwa na neno akageuza kufika nyumbani akamlipa hela yake na kushuka huku akiwa amerefusha mdomo kama chuchunge .

Kwa mwendo wa haraka haraka aliingia ndani ya geti na kubamiza mlango kwa nguvu ,kisha akazunguka upande wa gardeni na kwenda kukaa.

Kwa mbali akaniona nikiwa bize kuanua nguo, aliniangalia kwa macho yaliyojaa hasira kali haraka akainuka na kutaka kunifuata mara honi ya gari ikasikika nje.

Akaishia kusonya na kwenda lilipo geti akafika na kusimama pembeni ,mlinzi akafungua gari likaingia na kwenda kunako maegesho .

Bibie akalifuata kufika tu mama mtu akashuka wakakumbatiana na kusalimiana kwa furaha ,maana mama mtu alikuwa hayupo nyumbani kama siku mbili hivi.

Basi mimi baada ya kusikia honi niliingiza nguo nilizoanua ndani chapu kisha nikatoka kwenda kupokea mizigo, nafika tu nakuta mama na mtoto ndo wanamaliza kusalimiana.

Nikaona mlango wa gari unafunguliwa akashuka mwanaume ambae kwa haraka haraka alikuwa kati ya miaka 30 hadi 35, Shuu alivyo muona mwanaume yule alikimbia kwa furaha na kwenda kumkumbatia.

Ajabu mwanaume yule hakupokea kumbato la Shuu akawa bize kuniangalia ,jambo ambalo niliona limemkwaza mama mtu Shuu nae kuona hajapokelewa aligeuza uso wake na kuniangalia kwa hasira sana.

Mtoto wawatu nikainamisha kichwa chini😔.
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07



SONGA NAYO.................

Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu.

Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize na mambo yangu ,akaniangalia mwisho akasema ""umeona nilichokwambia lakini?""

Bila kumuangalia nikamwambia "unaongea kuhusu nini??"

"Acha kujifanya unaweza kupambana na mateso ,we sema neno moja tu nimekubali baasi yote nitayabeba mimi sawa mrembo wangu "" aliongea na kunishika bega jambo ambalo lilinikwaza kupita maelezo.

Bila uoga niliinua uso wangu nikamuangalia usoni kwa hasira sana na kushika mkono wake ulio begani kwangu nikautoa kwa nguvu na kusema .

"Alvin iwe mwanzo na mwisho...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-07

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 88

MY WANGU❤️ sehemu ya 88

626
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘

515
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90

MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90

439
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40

330
REAL LOVE  Chapter 13

REAL LOVE Chapter 13

150
*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*

*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*

88
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06

20
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*

20
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07

16
MY WANGU❤️ sehemu ya 93

MY WANGU❤️ sehemu ya 93

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.13K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.88K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.06K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.3K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

****

  • MY WANGU❤️ sehemu ya 93 15-02-2026 08:00

****

  • MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95 15-02-2026 17:40
Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu. Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize...

*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92* Post Mpya
*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*
@majario LIVE

Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na...

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
@majario LIVE

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Utaniita shemeji ☺️aisee hii simulizi sijui nikae mkao gani ili niilete kwa usahihi bila kukwama wala kupunguza radha😊. Ila hii kitu imenionesha kuwa kweli watoto wa elfu mbili wameshindikana...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Nilibaki namuangalia huku nikijiuliza ana maana gani kusema vile ?,🤔na nitakosaje amani eti kisa kutokuwa karibu yake 🤔na niukaribi gani anaoutaka kutoka kwangu na kwanini atake ukaribu na mimi?.🤔 Niliwaza...

MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
@majario LIVE

Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana....

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘
@majario LIVE

Pendo🥹🥹 kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimi🥹 haujui ni kwa kiasi gani...

REAL LOVE  Chapter 13 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 13
@majario LIVE

seven aliwasha gari na kuliondoa spidi njia nzima alikuwa akilalamika tu mtu unaiona hali yako lakini unakubari tu kufanya mikazi kwahiyo unataka kulazwa tena hospitari ishindwa kuomb hata sjmu kwa jirani umpigie...

MY WANGU❤️ sehemu ya 88 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
@majario LIVE

Mlige akaipasua ile simu kwa hasira. Akanmbia nilijua tu . Umebadilika sana faridah kumbe una mwanume ana pesa kunizidi sio . Mie nikasema nisamehe mlige acha nikuelezee. Mlige akafoka .akasema...

🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5  ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI) Post Mpya
🔞 Aaaaaaah..imezama🔞1-5 ( NILIVYOMF🤫LA MUHINDI)
@majario LIVE

SEHEMU YA KWANZA 😭😭 Acha nilie alafu ninyamaze duku duku langu nilimalize maana najiuliza maswali magumu sana ivi serekali inajua hawa wahindi wanatufanyisha kazi za ndani raia wa nchi hii...

REAL LOVE  Chapter 12 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 12
@majario LIVE

kitendo cha fahima kushikwa na seven. kiliwakera sana walikasirika ghafla tu lakini fatuma hakusahau dhamira yake akatoka haraka mpaka kwa fahima na kumsaidia kumshika mkono mwingine lakini mzee fahad akamkemea kabisa "wewe...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Basi mimi nilikaa home siku 3. Nikapigiwa simu ya kwenda kusaini mkataba katika iyo bank. Na kweli nilienda nikasaini mkataba wa miaka 2. Na mshahara ulikuwa ni mrefu sana ....

MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 86 na 87
@majario LIVE

Daaah yani sikuwa naelewa nifurahi pale . Ama ninune. Yani nilikuwa katika hali ambayo ata siielew. Basi zayd akanishika mpaka karibu na ile gari kabisa. Akafungua milango na nikaona...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 55...56💘💘
@majario LIVE

Nilitoka kule ndani kwa Tristan bila hata kuwaaga🙈🙈 wenyewe walikuwa wako busy kubebishana😆 nilichukua usafiri nikaenda hadi maeneo ya kule nyumbani kwa Hemed ilikuwa ni mida kama saa tano sita...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
@majario LIVE

Basi bwana kuanzia apo rasmi mi nikavunja mkataba na princess kabisa. Nikawa busy na maisha yangu kabisaa. Lemi aliniulizaga we ndo unahusika na mimba ya princess nikasema hapana siusiki kivyovyote...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest