*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*
Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na mlige tena ndoa ya kiislamu. Mh niliona yusta ana furaha sana. Ila mlige wala sokuona furaha ndani ya macho yake. Mie namjua mlige sana tu..nikajua apa yusta ndo kafosi ndoa na watajijua wenyewe .mie nafanya mambo yangu. Na nipo busy na issue zangu mjini apaa. Basi mie ndo nikazidisha mahaba kwa zayd na zayd akazidisha mahaba kwangu. Penzi likachanua aswaaa jijini nikawa natamba mie . Faridah wa zayd. Basi ikawa nikimtumia pesa mama. Hamuwez amini mama hataki kabisa pesa zangu anazirudisha. Yani bado alinikasilikia . Zayd akanmbia tulia watapoa tu . Ukimaliza chuo nakupelekea barua.
Basi bibi mie nikawa busy na chuo. Ila nyie apa kati nikaanza kuumwa nakwambia. Nikila chakura akikai. Nikilala nahema usiku. Yani nasumbuliwa nikamueleza baby juu ya hali yangu. Na akanmbia hakuna shida namuita daktari wa familia atakuja kukuangalia shida nn . Ili tujue mke wangu. Nikasema sawa hakuna shida. Basi shoga yenu kuja kupimwa ni mimba ya mwezi mmoja. Mh mnajua zayd hayupo makini. Yani sio mtu wa kumwagia njeee sana. Ye anapenda utamu ukimnogea basi amwage uko uko. Ila mi sikupenda sikuwa nimeplan kubeba mimba jamni. Ndo kwanza nipo mwaka wa pili wa masomo alafu MD ni miaka mitano. Sio masiharaaa.
Basi zayd akafurahi sana akanmbia yani nimefurahi mnoo. Naona unaenda kuniheshimisha mm. Wooow . Nainjoy sana kuwa na ww jamani . Najivunia sana ww mpenzi wangu. Akanmbia kwa jinsi umenifurahisha ntakupeleka nyumbani sasa .kwa baba akakuone. Apo nilikuwa najua kuwa zayd yeye wala hana mama. Bali ni ana baba tu. Na kaka zake wengine 3. Yani kwao wote wwanume hawana dada na mama yao alifariki mda sana alieleza ayo. Na alinambia bba yake mzazi anaishi masaki ila hakuwahi kunipeleka .ila bada ya kimbebea mimba mwanaume akatangaza kunipeleka kwao. Nilifurahii jamani sitaki kuwaambia . Yani nilifurahi mnoooo. Nilipta rahaaa sanaaa.
Na kweli shoga yenu kesho yake. Baby akanipeleka ukweni . Apo kwenda ukweni baby alinipa mbaibui wa maana ndo nivae. Si unajua waarabu wanakuwa na kma na asiri ya dini ya kiislamu.ndo alinambia ata baba yake ana dini sana so lazima nijistir. Kweli akanipeleka mpkaa masakii. Mh awa wana mawe bwana. Yani hii ni zaidi ya hekalu bonge lanyumba. Nyumba nzuri na ina vutia mnooo. Basi zayd akanmbia apa ndo nyumbani mke wangu. Kikitokea kitu chochote basi unakuja apa ndo anaishi mzeeee. Mh nyumba kubwa .nikamuuliza baba hajaoa tena kwani. Akanmbia mh baba alimpenda sana mama yetu .alivyofariki hakuoa tena . Yupo tu umj na wafanyakazj na sisi tukija kumtembelea mala moja mojaa ndo maisha yake. Basi akaniingiza mpaka ndani na nashukuru nilimuona baba Yake asee uyu baba ni mwarabau aswaa yani manywele yamemjaa mno. Kavaaa kanzu yake safi na tasbiihh yake . Mh anaonekana anajua dini kweli kweli.
Basi zayd alinitambulisha kwa baba yake kuwa mm ni mwanamke wake .ananipenda sana na anaihitaji sana. Na nipo chuo ila nikimaliza tu ananioa. Na apo nilipo ni mjamzito. Nyiee uyu mzee aknifurahia sana. Na akanikaribisha vizuri. Akamwambia zayd fanya haraka umuoe mwenzio bwana. Msizini tu. Kaanza kutuambia na vifungu vya mungu juuu ya zinaa. Mh anajua dini mana apo mkononi tu alikuwa kashika tasbih yake . Basi tukakaa sana na tukala pale chakura cha mchana na usiku sna ndo tukalidi kwetu. Basi bibi mie nikafurahi mpaka nimetambulishwa kwa mkweee aka nikajua mie ndo mke bwana.
Basi nikawa napambana sasa na mimba na chuo. Apo wazazi wamenikasilikia toka issue ya mlige jamni. Tena bola kidogo mama kuna mda nampigia namsalimia ila pesa zangu hataki ila baba hataki ata kunisikia mie. Basi mie nikawa busy tu na mambo yangu. Basi bwana nikaanza sasa kuumwa. Mimba inanisumbua sana. Ata chuo nikawa nashindwa kwenda . Apo ata mama mi sijamwambia kama na mimba naogopa. Na mama anajua mimi nasoma . Kumbe nakaa zangu kwa bwana chuo naenda kwa kusikilizia. Aseeeee mimba ilinisumbua hii.nnilikiwa naumwa mnooooo. Yani mpka inafika miez mitatu ndo inakangamaa sasa. Ndo naacha kuumwa . Ila uzuri zayd ni alikuwa bega na bega na mm mpaka nakaaa sawa.
Yani ile ndo nakaa sawa ndo tunafanya mitihani ya mwisho chuonii. Sikuwa nimesoma na nilikuwa natega sana chuo sababu ya kusumbuliwa na hii mimba. Nyieee sawa nilifanya mtihani . Ila nilifeli mnooo tena nilidisco kabisa chuo. Yani sikuwa na uwezo wa kuendelea tenaaa. Niliumia sana . Ila zayd akanmbia kaa nyumbani tulia na uzae .ukishazaa nakupeleka chuo cha private wala usiwe na shaka mke wangu. Basi bibi mie ndo prresha ikaisha .nikawa nipo tu nyumbani nalea mimba. Apo miguuu inauma mda mwengine. Yani hii minba ni naumwa . Kuna mdaa nakaa sawa. Ikiniamuliaa naumwaa tu ndo maisha yangu ayooo.
Basi apo baba mkwe ananipigia ananisalimia na kunijulia hali sana wala hana shida baba wa watu . Na alishanambia ikitokea zayd kanisumbua basi mie moja kwa moja niende kwake kupeleka kesi. Basi nikaona yes baba mkwe nnae bwana na nnatamaba nae .utanambia nn. Basi nikapambana na mimba yangu mpaka ikafika miez 9. Mama sijamwambia kabisaaa. Apo uyo yista kama ndo sifa. Ni anamposta sana mlige. Sijuh mume wangu. Sijuh rohoo yangu. Mda mwengine alikuwa anajipost yupo nae chumbani et mlige kavaa singlend yeye ana nguo ya kulalia wamepakatana khaaa. Namie namkomesha kwanza nna picha kama zote tena zaa maana sio kama zake. Nampost baby wangu. Ila sikuwa nimepost za sasa hivi naficha mimbaaa . Naju yust akiona ataenda kumwambia mma bule. Ila mlige muelewa hakuwah kunitafuta tena. Ila kuna mda nammis yani mlige ana vitu flan hivi unique sna. Ila kwa kua niliaamua kumove on basi nafanya maisha yangu mm
Basi bibi mie nikakazaa nakwambia mpkaa nikaumwa uchungu . Nikaeingia leba. Nilipelkwa aghakhan hospital.nilizaa kisure. Yani manurse kama wote wananibabaikia mke wa boss chezea mm wewe. Mpaka njaifungua. Jamani nashukuri nilijifungua mtoto wa kiume mashallah alikuwa mzuri jamani kama baba yake. Yani katoto kangu kanavutia mnoo. Mtoto nimemzaaa kakiume ila kazuri kama kakike . Kanavutia mnooo mashallha. Alimfanaa sana zayd kwa kila kitu mashallah❤️
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi