Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43
Gonga94 · Stories

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na amani kaka. Na unaendelea vizuri kwa sasa wala haukuumia sana. Pole bwana. Daah ndo nakumbuka nilivyolivaa lile gali. Nikauliza hali ya gari lngu . Daktari alinambia halitamniki.ata wewe kyokuumia sana una mungu sana ww kijana.Basi bwana nilikaa pale hospital week.nzima. ila.sikuongea kabisa na mke wangu. Na akinishika nilikiwa namwambia niache. Yani sikutka aniguse na wala sikuwa najibu chochote aliponiongelesha yani

Daah mpaka mama na dada walikuwa wanashangaa. Waaniuliza mbona umekuwa mkari kwa mwenzio mie kimya wala sikusimulia. Na baada ya week nikaruhisiwa kuludi nyumbani. Nilikuwa na maumivu sana maeneo ya kiuno. Ata kutembea nilikuwa natembea na fimbo. Basi tumefika home . Mi nikaingia chmbani kwangu kupumzika. Lemi akanipigia akanambia daah unaendeleaje mwanangu pole sana . Nimeambiwa unaendelea powa .sikia ntakuja kukuona hii week end mana shemu kanmbia usharuhusiwa upo nyumbani. Nikasema sawa lemi hakuna shida . Lemi alinambia tulia usipanic na wala usifanye maamuzi ya hasira kka.nikasema sawa hakuna shida ntafanya hivyo.

Basi mke wangu akja sasa chumbani . Ananiogopa ile mbaya mana nilikuwa namnyamazia kabisa kule hospitali .so nahisi ata yeye . Alishajua kuwa kuna kitu kanikosea. Akaniuliza mume wangu kuna kitu nimekosea. Nikasema.yaaa kikubwa sana . Kwann unamnyima alex mwanae. Au unahisi mm nisingejua kuwa uyu mtoto sio wangu ila ni wa alex. Ahaa mke wangu alistuka mno. Akapata mpaka na kigugumizi. Nikasema kwaiyo ile siku umenipasulia.simu kulinda uchafu wako.usijulikane sio. Nambie ww mpumbavu. Unajifanya jnaniektia umesikia naongea na princess kumbe unalinda uchafu wako sio. kumbe ulikuwa unalinda usenge wako sio. Sasa nimejua kila kitu . Kuwa ww ni msehnzi na ulikuwa unanaisaliti na wala haukuwa unanivumilia kama.nilivyokuwa nahisi. Na alex anataka damu yako .so.mpigie mzazi mwenzako mumalize shida zenu.

Asee mke wangu akaanza kulia akapiga na magoti..akanmbia nisamehe mume wangu. Tulisex mala.1 tu.ndo nikapata mimba nisamehe.asee nilifoka nikasema.kelele mpumbavu ww. Mda wote napamabna n kila kitu. Nikijua ww ni mwanamke mzuri kwangu. Kumbe muongo mmoja ww. Aseee nilikuwa na hasira .ni vile sikuwa sawa .ila kama ningekuwa powa ile siku ningemdunda uyu mwanamke mpaka angejishangaa wallah. Ila sikuwa sawa kiuno hakikuwa sawa kabisaa. Na mkono wa kushoto mpka nilifungwa pio pio. Yani ulivunjika.na sehemu za kicwani nilifungwa bandage so sikuwa na power ya kumpiga zaidi ya kufoka.nilimfokea kwa hasira mpaka machozi yanatoka.na yeye akwa analia uku anaomba msamaha .mala mlango ukafunguliwa akingia maam na dada. Akasema nini nn mbona kelele ni nyingi. Kuna nn kwani . Nikasema mama yule alex alokuwa anakuja kwako kuomba namba zangu ndo baba yake na araina .mama akasema nini . Sijaelewa ama. Nikasema ndio ipo hivyooo

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡
Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43


Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na amani kaka. Na unaendelea vizuri kwa sasa wala haukuumia sana. Pole bwana. Daah ndo nakumbuka nilivyolivaa lile gali. Nikauliza hali ya gari lngu . Daktari alinambia halitamniki.ata wewe kyokuumia sana una mungu sana ww kijana.Basi bwana nilikaa pale hospital week.nzima. ila.sikuongea kabisa na mke wangu. Na akinishika nilikiwa namwambia niache. Yani sikutka aniguse na wala sikuwa najibu chochote aliponiongelesha yani

Daah mpaka mama na dada walikuwa wanashangaa. Waaniuliza mbona umekuwa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mimi-sikuachi-sehemu-ya-43

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mimi-sikuachi-sehemu-ya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 36 na 37
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya  28 na 29
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 28 na 29
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘

526
MIMI SIKUACHI🥰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41*

MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*

398
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43

284
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘  N0 61💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 61💘💘

178
REAL LOVE  Chapter 14

REAL LOVE Chapter 14

130
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08

90

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.89K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.3K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘  N0 61💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 61💘💘
@majario LIVE

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani...

REAL LOVE  Chapter 14 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 14
@majario LIVE

John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini "devi umefuata nini hapa alisema...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Mama mtu kuona nimesimama tu akaniongelesha kwa hasira "we mpuuzi mbona umesimama kama sanamu embu toa vitu kwenye gari haraka" Niliitikia sawa na kufungua buti nikaanza kushusha mizigo wao wakaingia...

MIMI SIKUACHI🥰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41* Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*
@majario LIVE

Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘
@majario LIVE

0742133100 Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🤣🤣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yao😄😄Tristan ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu. Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize...

MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
@majario LIVE

Nklimuangalia uyu mwanaume kwa hasira kisha nikamuuliza kwamba una maanisha nn wewe. Kwambia mm nikuache u.nifanye nyuma uniharibu. Akannbia sikia nikwambia mama. Kwani nani atajua kuwa mm na wewe tumefanya...

MY WANGU❤️ sehemu ya 93 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
@majario LIVE

Basi jioni tu ya siku iyo iyo bibi mie nikaruhusiwa. Nyieee ilikuwa shereehee. Yani uyo zayd ni furaha mdaaaa wote . Ni kufurahi tu .mda wote kamshika mwanae anambembeleza mtoto...

*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92* Post Mpya
*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*
@majario LIVE

Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na...

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
@majario LIVE

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Utaniita shemeji ☺️aisee hii simulizi sijui nikae mkao gani ili niilete kwa usahihi bila kukwama wala kupunguza radha😊. Ila hii kitu imenionesha kuwa kweli watoto wa elfu mbili wameshindikana...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Nilibaki namuangalia huku nikijiuliza ana maana gani kusema vile ?,🤔na nitakosaje amani eti kisa kutokuwa karibu yake 🤔na niukaribi gani anaoutaka kutoka kwangu na kwanini atake ukaribu na mimi?.🤔 Niliwaza...

MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 89 na 90
@majario LIVE

Basi bwana zayd akaendesha gali mpaka kwake . Akanmbia kumbe uyu boya bado hajaondoka na anakufatilia . Nikasema ndio mi mpaka namshangaa yani sijuh ata anataka nn. Mi simtaki bwana....

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 39 na 40
@majario LIVE

Nikasema ooh alex. Mama bwana uyo jamaa si tumesoma nae mpama form 4. Sijamzoea sana ila huwa na mazoea nae mama. We mpe tu namba zangu wla hakuna shida. Mama...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 57...58💘💘
@majario LIVE

Pendo🥹🥹 kwani nilikukoseaga nini mamangu?! Mbona adhabu uliyonipatia haiendani na mwonekano wako?! Kwanini ulinipatia penzi lako kama ulijua ya kwamba utaenda mbali na mimi🥹 haujui ni kwa kiasi gani...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest