MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
Nklimuangalia uyu mwanaume kwa hasira kisha nikamuuliza kwamba una maanisha nn wewe. Kwambia mm nikuache u.nifanye nyuma uniharibu. Akannbia sikia nikwambia mama. Kwani nani atajua kuwa mm na wewe tumefanya nyuma. Si ni mm na wewe. Na mm nakupenda mke wangu na siwez kukuharibu najua ntakulindaje we nipe mke wangu lohh . Ila uko mm ndo napapenda nimejikaza sana mke wangu. Lakini nimeshindwa na ndo mana mi huwa natoka nje ukikuta sms unakasirikia . Ila mi napenda sana uko wallah nipe mke wangu.natulia kabisa . Wala sitaangaika tenaa. Khaaaa lione lilivyo sheteni . Muislamu mzima na baba yake shekehee anaongea usenge..nikaliangalia mnoo.mbona nyege apo apo zikakaingia ndani. Nikavuta tuulo langu nikavaa. Niktoka ndani.na moja kwa moja nikaelekea katika chumba cha mtoto
Nikafunga na mlango kabisa mie nikawa nkmetulia na mwanangu. Yani usiku huo saa 6. Nasikia anatoka . Nikajua basi anaenda kutafuta washenzi wenzake .wanaompaga nyuma. Sio siri nilimshangaa sana zayd. Hizi tabia kazianza lini mana teali nna kama miaka nae 4. Ndo kwanza namsikia leo. Nikamkaushia kimya ..asubuh mie nikawa busy na mambo yangu . Na wala hakuwa kaludi yani alivyotoka usiku jana akaenda kulalal uko uko. Na mm wala sikumpigia simu kumuuliza vp mbon hajaludi wala.
Akaludi usiku kama.saa 3 usiku. Alafu ananuka pombe .mi nilichukia nikamuuuliza kwaiyo ndo ulienda kwa ao wanawake wanaokupa nyuma..akanmbia yaa ndo nilienda . Si nimekuomba ww mwanamke wangj umenikatalia mi nafanyaje sasa utajijua mwenyewe. Akapanda ndani akaenda kulala. Mie pia wala sikulala nae hii siku.nikalala kwa mwanangu. Basi tukawa hatuna maelewano mazuri na kuanzia apo ndo akanioneshea ufirauni wake live sasa. Yani kuondoka kukaaa njee ata week kwake ni kawaida .mie naangaika na mtoto.na mwanzo alikuwa ata akiondoka anaach pesa. Ila now hakawa aachi. Ni vile nna pesa ndani natumia akiba kwa mambo madogo madogo.
Nikilala nae . Ni serious anataka nimpe nyuma.yani ata nikishiriki nae unaona anaanza kinichezea uko. Yani nikawa namsukuma mpaka ikawa ugomvi ndani. Akawa ananambia ooih mi ntakucha kama.vp.. mi sieez kuwa na kaaa na mwanamke ndani alafu hunipi nnapopenda mi mbele sina vibe nako.nipe nyuma uone.nyie uyu baba ni atari. Mi nikawa namkatalia kata kata..aseeee kwa iki kipindi mi zayd nklimchukia sana. Hizi tabia zake hapana kabisaa .sikupend a kabisa siku iyo mimi nilimpigia simu baba yake mzazi. Basi yule mzeee akaitikia tena huwa anatikia kwa salamu ya dini ya kiislamu. Basi mi nikamwabia bab samahani mm na zayd kwa sasa tuna shida ni kama miez 5 sasa hayupo sawa. Yule baba aksema khaa jamani. Mnakaa ndani hamupo sawa kalibia miezi5. Na upo kimya na mm baba yako nipo tu . Ebh nieleze shida ni nn
Nilimwambia baba ashakumu sio matusi. Lkini namba nikueleze juu ya tabia za mwenzangu . Mana amekuwa na tabia za ajabu. Siku hiz zayd haludi nyumbani ata week . Analala njee uko. Analudi kalewa . Mi naumia mana nampenda sana baba. Na mbaya zaidi . Amekuwa na tabia mbaya ananiomba mapenzi kinyume na maumbile. Niliona nimueleze tu baba ake . Ajue ananisaidiaje. . Na kama mzeee basi atumie busara zake . Kukaa na mwanae kuongea . Yule mzee akanmbia dooh kwaiyo anatoka nje sababu uko nje anaenda kupewa uko anapopataka . Nikasema ndio baba. Khee namsikia baba ake zayd anacheka kisha al
Akanmbia kwani kuna shida gani. Kidini inasema kila anchokitaka mumeo unatakaiwa uumpe kama mumeo furaha yake uko nyuma weee mpa tu shida nini sass. Nyieeee nilishangaaa yani uyu baba alivyo mtu wa dini. Kumbe ana huu upumbavu
Yule baba akanmbia tatizo nyie mabinti ni wajinga na washamba sana. Mkiona mtu ana mali mnapagawa sana. Hizi mali zina siri .sio mnatumia tumia tu. Sasa leo unaombwa mkundu hutaki kutoa unajipigisha simu shenzi kabisa mpe tu mumeo. Nyieeeeeeee nikakata simu . Presha ipo juuui .mnajua nilichanganikiwa yani kama baba yake tu anongea hivi .we unazani inakuwaje . Mh niliona apa mbona sio sehemu ya kukaaa. Ila ata nikisema naondoka. Nyie mi naenda wapi. Niludi nyumbani na mtoto naona aibu mnoo na mbwembwe zote za mjini. Ama nipange . Na saa hvi mi sin pesa. Bwana hanipi pesa kabisaa. Kwaiyo sina hela. Ila nilishaon dalili mbaya juu ya hiii familia na mali zao. Mh mala ukaingia ujumbe kwenye wattaap yangu nyie nilichokiona mbona nilitupa simu mimi. Et babab mkwe kanitumia pich yake ya utupu . Kalishika na dudu lake kabis. Nyieeee niliona ni nn iki. Uyu baba kachanganikiwa mnooo . Niliogopa sana . Mnajua niliogopa.nikawa najiuliza hii familia ni ya aina gani . Mbona hawafannii na mambo yao jamani.
Basi nikazima na simu ule uogaaa jamni . Usiku mwanaume akaludi nakwambia . Kaludi kavimba sio powa. Ata hakumshika mwanae iyo siku kama kawaid yake. Ila aknmbia njooo chumbani tuongeee. Kweli mm nikaingia chumbani . Naona mwenzangu kafura .akanmbia kwaiyo we umechukua siri za chumbani kwetu unaenda kumwambia baba yangu mzazi . Ndo adabu ya wapi hii eeeh . Ebu nambie kwanza ndo kwenu mnaelekezwa hivyo. Mie nikabaki kimyaa .akanmbia huna mdomo. Mie kimya . Akaninasa kofi nakwambia.mie nikaaanza kulia mna kofi liliningia aswaa. Nikasema basi zayd nisamehe. Akasema yani unamueleza kabisa mkweo usenge unamtak baba yangu nn. Nambie bwana mie nikanyamaza kimya uku nalia. Akanmbia kwani nishawa kukufosi kukufanya hivyo. Ndo nn unaenda kumueleza baba angu usenge usenge. Nikasema kwani mm baba ako nimemwambia kitu gani kibaya jamani. Mi sipendi tabia zake . Jamani et akakaksilika kumjibu hivyo. Nikaona katoka njeee
Kheeee akaludi na mkia wa taaa nyieeee. Mbona nilieleza . Baba alinipigaa uyu . Alinidunda kisawa sawa. Si nilikuwa nawaambia mlige anapiga. Kumbe alikuwa ananichezea bwana . Sasa uyu ndo anapiga. Nyieeee. Uyu baba alinipiga kweli kweli. Nilipigwaa na ule mkia . Nililia mnoo. Mpka alipolizika ndo akaniacha tena uku anatukana kweli kweli nakwambia. Mpaka mama yngu ananitukania nyieeeee .ndo nilijua uyu mwarabu ni mwehu na ni mzuri . Ila ana sura mbaya jamani. Alivyomaliza kunidundaa. Akaniachaa nakwambia akasepa zake usiku huo huo. Mie mwili wote sio wanguu. Unauma mnooo. Mwili unuma jamnii. Umevimba yani nimetutumuka kweli ule mkanda kuna sehemu mpaka umenichubua nyiieeee acheni. Basi na mtoto kaingia analia naelewa mwanagu . Basi rahul ananifuta machozi kama mkubwaaaaaa . Ndo jina la mtoto wangu ilo rahul. Basia ananionea huruma kabisa. Nikaona ninyamaze tu mwanangu asinyongeeee jamani
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi