AAAAH IMETOSHA BOSSππ N0 62ππ
""Nini hiiπ€¨π€¨?""
""Aliniuliza paschal baada ya kumpatia zile barua""
""Fungua usomeππ""
""Nilimjibu kwa kumnyali""
""Pendo umewaza nini hadi kwenda kufungua madai ya talaka mahakamaniπ€¨π€¨""
""Ulitaka niwaze nini Mr paschal ππ""
""Kwa hiyo huyu mshenzi ndo ambaye amekushawishi kufanya hivyo?.... aliuliza paschal kwa hasira huku akiwa anamnyooshea hemed kidoleπ π ...... kanishawishi juu ya nini?! Uliyenishawishi ni wewe hapo na lia wako we si ulifikiri mimi siwezi kukuacha wewe natamani unionyeshe kiburi chako cha jana ππ huyo mwanaume unayemuona hapo anaitwa hemed ni mme wangu mtarajiwa pia ni baba wa watoto wangu nice na shazilπ€ͺπ€ͺ unaongea juu ya nini pendo kwa hiyo unamaanisha kuwa tayari una mtoto na huyu mpuuzi hapaππ paschal alimfuata hemed akamkunja walianza kupigana et mimi nilikaa pembeni kwa sababu wala hata sikuwa na nguvu za kuwaamulia ugomvi waoππ walipigana sana tu hadi wakatoana damu aliyekuja kuwaamulia ni yule mlinzi lakini naye alichalazwa ngumi za kutosha.... baada ya mlinzi kuwaachanisha wawili wale nilienda nikamkumbatia hemed wangu nilikuwa nafanya yote hayo ili kumuumiza mwanaume ambaye moyo wangu unampenda kuliko kitu chochote kile...... pendo kwanini unanifanyia hivyoπππ aliniuliza paschal huku akiwa anapiga magoti chini alilia machozi aliniambia pendo najua bado nina nafasi ndani ya moyo wako please nakuomba usiniache mamangu......
Sikujali maumivu ya paschal ndo kwanza niliendelea kudeka kifuani kwa baba watoto nilimtizama paschal kwa dharau sana wala hata sikujali vile anavyoumia juu yangu...... nakuacha na hutokaa ukamuona mwanangu mwambie lia akuzalie...... nilwambia kisha nikamuomba baba watoto tuondoke pale paschal alilia mno aliniambia ukisikia nimekufa hata usije ukasikitika sioni kama nitaweza kuendelea kuishi kwenye maumivu makubwa kiasi hiki....... nilishtuka baada ya paschal kunitamkia vile nilisimama nikawaza kurudi nimnyanyue pale chini lakini hemed alinivuta mkono wangu hadi kwenye gari panda tuondoke darling aliniambia hemed...... nilipanda kwenye huku macho yangu yakiwa yanatizama nyuma kule tulikomwacha paschal.....njia nzima moyo wangu ulikuwa unaniuma tu ni kweli nilipanga kumuadhibu lakini nimefanya kupita kiasiπ₯²π₯² tulifika nyumbani hemed akaniambia nitakutafutia mwanasheria mzuri atakayekusaidia katika maswala yako ya talaka..... hapana baba watoto nahitaji kufikiria vizuri juu ya swala hiloππ unaongea kuhusu nini pendo?! Naongea kuhusu talaka nataka kupata muda mzuri wa kuwaza juu ya hilo..... kwa hiyo bado unampenda mmeo siyoπππ hemed naye alianza kutoa machozi. ....
Cjamaanisha hivyo baba watoto hakuna haja ya wewe kuniwazia hivyo ni kweli nampenda lakini siwezi kurudiana nayeπ°π° kwa hiyo mimi hunipendi pendoπ₯Ήπ₯Ή nakupenda hemed lakini nahofia vipi kama paschal akijichukulia adhabu mbaya atakuja kujiua naogopa etπ§π§.... pendo kama unanipenda basi kubali kupewa talaka na paschal ili mimi na wewe tuweze kufunga ndoa......niahidi ya kwamba utafanya hivyoπ¦π¦..... ni sawa kipenzi changu lakini siyo haraka kama unavyofikiliaπ€π€...... kwa hiyo pendo kule mahakamani ulinipeleka kunichoresha tu na kule nyumbani kwa mme wako umenipeleka nikafanye nini kama ulijua hutoweza kupokea talaka yakeπ€¨π€¨ hemed sikuwahi kumuona akiwa amechukia alikasirika sana siku ile alinyanyuka akapanda kwenye gari akaondoka...... mmmhh hapa nisipoangalia nitaharibu sehemu zote.....niliwaza tu
Nilimtumia hemedi msg nilimwambia usiwe na hasira mme wangu niko tyr kuachana na paschal kwa ajiri yako........
Wivu ulianza kumtafuna hemed vibaya mnoππ nilimtuliza hadi akanielewa akarudi Nyumbani nilimpikia chakula kizuri kisha tukaenda kupumzika chumbani nilimpatia mwili wangu akautumia vile atakavyo ili kupunguza hasira zake mawazo yangu na akili zangu bado vilikuwa vinamuwaza paschal atakuwa na hali gani saizi nilitamani hata kumpigia lakini sikuwa na namba yake..... nilijilaza kifuani kwa hemed baada ya kuwa tumemaliza kufanya mapenzi....... mkononi kwangu nilikuwa nimeishikilia simu yangu nikiwa natamani hata nimpigie yule mlinzi ili nimuulize kuhusiana na hali ya paschal.....nikiwa neduwaa hapo simu yangu ilipigiwa na namba ngeni mmmmhh nani huyuππ nilipokea kisha nikaweka sauti ya chini sana ilisikika sauti ya paschal aliniita mke wangu pendo naomba unisamehe mke wangu mwenzio nakupenda etπ°π° nilinyamaza tu sikuweza kuongea chochote pale mbele ya hemed..... nililazimika kuikata ile simu nilizuga nikatoka kule chumbani nilitoka nje ili niweze kuongea na paschal..... alipiga nilipokea bado alikuwa anaendelea kulia na Kuniomba nisije nikamuachaπ₯Ήπ₯Ή nilijikuta namm nalia kiukweli nampenda kuliko kitu chochote kile.... paschal aliniambia kuwa pendo nakupenda usiniache nakuomba ufute hiyo kesi ya madai ya talaka kwa sababu haipo siku nitakayokupatia talaka..... tuliongea vingi alinibembeleza mno aliniomba tuonane ili tuweze kuongea live huku tukiwa tunaonana nilimwambia sawa nitakujurisha nikipata muda....
Ilipita kama wiki moja nikiwa nimelikalia kimya swala la talaka kila siku hemed hakuacha kunikumbusha lakini niliendelea kuvunga tu π mawasiliano kati yangu na paschal yalirudi tena ilikuwa ni kama vile ndo tunatongozana make penzi lilikuwa π₯π₯π₯ siku moja paschal aliniomba nimpelekee mtoto wake akamsalimie nilijiiba siku hiyo nilitoka asubuhi kuelekea kazini nilivyofika kazini niliomba ruhusa nikarudi nyumbani sikumwambia ata hemed nilifanya kwa siriπ€£π€£π€£ siku hiyo nilijiiba nikampeleka nice kwa baba yake alikuwa na siku nyingi sana zilizopita bila kumuona daddy ake hadi mtoto alikuwa kmzoea hemed kuwa ndo baba yake baada ya kwenda kuonana na paschal tulitolewa out ya nguvu siku hiyoππ₯ tuliongea vingi mimi na boo wangu tulisameheana makosa yote nilimuweka wazi juu ya mtoto wangu shazil aliniambia huyo mtoto hana kosa lolote na kama ni makosa tayari ulishakosea natumaini hautoyarudia makosa uliyokwishanitendea hapo nyuma..... nayy aliniahidi kuwa hatorudia makosa yake ya nyuma aliyowahi kunitendea nice alipata muda wa kucheza na baba yake japo alishamsahau etπ©π© alikuwa kamzoea hemed kuliko baba yake.....
Jioni tuliwahi kurudi nyumbani kabla ya hemed ili asijegundua kuwa tayari nishaanza kuwa naenda kuonana na paschal kwa siri..... mwenzenu si nilijikuta kufanya siri sangapi nice asiniumbueπ€£π€£π€£ vile tu hemed amerudi taarifa ya kwanza ilikuwa ni hiyo daddy leo mama kanipeleka kwa daddy yangu mwingine katupeleka out katupeleka shopping katupeleka launch tumecheza naye tumeinjoy yule daddy alinikumbatia mimi na Mom akatuchum alimkumbatia mom wakakiss kama vile ambavyo huwa unamchum weweππ alimnunulia mom zawadi nyingi nzuri hata mimi alininunulia kila kitu nilichokipenda.......hemed alinitizama yeye ni mtu mzima alimwelewa nice alimbeba yule mtoto wakaingia ndani aliendelea kumhoji mom leo katoka kazini sangapi nice akajibu ni mapema asubuhi alikuja kunichukua shule akaniambia kuwa anataka kunipeleka nikamuone daddy yangu..... yani yule mtotoπ€£π€£π€£ sa nitajiteteaje yani aliendelea kunifunga bila yeye kujua...... usiku baada ya kwenda chumbani kwetu hemed alininunia hakutaka kunisemesha na wala hata usiku wa siku ile baada ya nice kumwambia zile habari hakuweza hata kula.......
Nilivunga tu kwa kweli make ukweli wote ndo kaishasanuliwa na nice na ukweli nilifanya hivyo sikuona kama kuna umuhimu wa kujitetea kwa lolote.... nilisubilia tu aamue chochote kilicho kichwani kwake kama ananiacha au laaa......
Itaendeleaaaa.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
