Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
Gonga94 · Stories

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SONGA NAYO..................


Haraka nilijilaza na kujifanya nimelala, aunt Vero ambae ndo alifungua mlango aliingia na kufika anasimama bila kuongea wala kufanya kitu akaniangaliaa karibu dakika tatu.

Kinyonge akashusha pumzi na kuondoka , baada ya kuondoka nikainuka na kukaa kitako , mawazo na maswali vilikuwa vingi kichwani mwangu na hakuna jawabu nililopata .

Mwisho nikajilaza na kuanza kuusaka usingizi, haikuchukua mda nikalala n kuja kuamka kesho yake alfajiri nikaingia jikoni na kuanza majukumu yangu ya siku.

Mda ulienda ikafika saa mbili Alvin akaja jikoni na kufika anasimama pembeni yangu, mimi kimya akawa ananiangalia mwisho akasema .

"Hatmae umeshinda mtihani wangu" alivyo sema hivyo nilimuangalia na jicho la upande kisha nikaendelea na kazi zangu, akatabasamu na kunambia .

"Bwanaee tusichukiane me nilikua naipima akili yako nione kama inakutosha , naona kweli inafanya kazi vizuri sana na kwa maana hiyo umefanikiwa kuwa rafiki yangu"

Bila kuinua uso nikamwambia " ingekuwa vyema kama ungechukua kilichokuleta ukaondoka maana unanitia uzito tu"😏

"Eeeh usijifanye matawi sasa, me kuja kukwambia nilikuwa nakupima kusifanye ukaniona boya sawa ?"

"Kwani unashida gani?"🧐

"Ukiniangalia naonekana nina shida? Msichana embu acha kiburi kwanza nina habari mbaya juu yako ,fanya unavyojua mwezi huu uwe wamwisho kuwa hapa.

Maana mipango inayopangwa juu yako si rafiki kwa kesho yako , sasa jitie kiburi upuuzie ukianza kunyooshwa tu hakikisha unalilia uvunguni."

Maneno yake yalinifanya nikamuangalia kwa mshangao na kumuuliza " una maanisha nini kusema hivyo?"

"Achana na kumaanisha nini we kaa ukijua sehemu hii si salama kwa kesho yako kwa hiyo anza kujikusanya taratibu kisha potea kama mchawi ."

Aliongea nikataka kumuuliza ila nikasita baada ya kusikia sauti ya Madam boss akisema " nyie ndo upuuzi gani mnafanya ?"

Wote tuligeuka na kumuangalia , Alvin bila uoga akasema "kumbe kuongea nako ni upuuzi ? "

Madam akamjibu " ushaanza madharau yako ya kijinga ,we huoni kama anafanya kazi huyo ?"

"Naona ndio ila inayofanya kazi ni mikono si mdomo ndo maana unaona anaongea huku akiendelea, kwanza achana na gubu naona uko na dada mpya?"

Madam alisonya na kumwambia " embu tupishe huko, na habari za kuingia jikoni kama mtoto wa kike ukome "

Alvin hakujibu kitu akaondoka na kutuacha wenyewe, madam baada ya kuona Alvin kaondoka akaingia nikamsalimia akaitikia na kunambia.

"Kama kuna kazi ambazo hujafanya muelekeze mwenzako afanye "

Niliitikia sawa huku nikimuangalia yule binti ,madam hakuongeza neno akageuka na kuondoka na kuniacha na binti yule.

Bila kuchelewa nikamuonesha baadhi ya kazi ambazo zilikuwa hazijafanywa kisha nikarudi kuendelea na chapati zangu, ilivyo fika saa tatu na nusu nikaanda meza.

Na kuwaita watu wote mimi kama ilivyo kawaida yangu nikarudi zangu jikoni na kuchukua kikombe cha chai kisha nikakaa chini tayar kunywa chai.

Ajabu nikiwa nimepiga pafu moja tu madam alikuja na kunambia kwanzia leo nitaanza kula nao mezani ,nilishangaa mbona ghafla au ndo kashaanza mipango yake?.🤔

Nikaona acha nianze kupangua mapigo mapema ,kwa upole nikasema " Asante madam ila nafurahi kupata chakula huku jikoni "

Nilivyo sema hivyo alikunja uso na kusema " sijaja hapa kukuomba hii ni amri ,haya amka haraka na hii iwe mwanzo na mwisho kukuona unakaa jikoni wakati wengine tukiwa mezani."

Sauti aliyoitoa hakuruhusu mimi kubaki nimekaa wala kuongeza neno ,haraka niliinuka na kutangulia mbele ,sasa yule binti mpya akataka na yeye kuja maana tulikuwa wote jikoni.

Ile anataka kuinuka tu akatulizwa " 👉we baki hapo "🥺masikini kinyonge akainamisha kichwa chini sisi hao tukaenda mezani.

Nafika tu Shuu akaachia sonyo na kusema " mmeshaanza kutia meza nuksi, sasa kulikuwa na haja gani ya kuileta hii simbilisi mezani ?"

Alvin kwa hasira akamjibu " alafu we👉 choko wewe nilishakuonya kudharau watu eti simbilisi hivi umejiangalia vizuri? Lione sura mbaya kama mtoa roho za watu."

Shuu alitaka kujibu ila akakatishwa na madam na kuwataka wakae kimya🤐 , basi nikavuta kiti na kukaa bila kuinua uso wala kupepesa macho yangu pembeni nikaanza kunywa chai.

Kimya kilitawala hadi tukamaliza kunywa chai,Shuu akawa wakanza kutaka kuinuka mara mama yake akamwambia " we Shuu utampeleka Wardah salon , uhakikishe anaoshwa nywele na kusukwa vizuri.

Akimaliza kusukwa utampeleka kwa yule kaka wa kucha nimeshampa maelezo yote "

Maneno ya madam yalimfanya Shuu akasimama kama amepigwa shoti na kwa sauti iliyojaa mshangao akamuuliza " umesemaje!!?"

"Kwani siku hizi unamatatizo ya masikio ? "

"Aaah kusikia nimesikia ila sijaelewa ,yaani hii taka taka ndo unataka niipeleke salon ili iweje na kwanini?"

"Shuu nadhani unanijua vizuri, sasa endelea kujitoa ufahamu na ninatoka nikirudi nimkute yuko hivi uone moto wake "

Shuu alichukia na kuondoka kwa hasira , madam nae akataka kuinuka Alvin akamuwahi kwakumuuliza " kwani mama mnataka kumpeleka wapi Wardah ?"

Madam bila kujibu aliinuka na kupiga hatua mbili Alvin akamuita " Mama " kwa hasira madam alisimama na kumgeukia Alvin na kumuuliza.

" Kwani Alvin unashida gani?"

"Shida yangu nataka kujua kuna nini mbona ghafla tu unataka kumjali mtoto wawatu "

"Kumbe unajua kuwa namjali sasa kujali nako ni tatizo ? Na kwanza mambo yangu hayakuhusu kwa hiyo funga domo lako na uishie kutazama "

Alvin alitabasamu akainuka na kusema " natumai hauna mpango wa kumpeleka kwenye uchafu wenu ?"

"Uchafu wetu!!? Okay tusema ndio nataka kumpeleka kwa hiyo utafanya nini au inakuhusu nini wewe?"

"Nilijua tu huwezi kukaa na amani kuona mtoto wa mwanamke mwenzio akiishi maisha mazuri.

Sikia mama kwa heshima yote ninaomba msimuingize mtoto wawatu kwenye maisha yenu ya kipuuzi , Shuu umemuharibu inatosha ila huyu muache kama alivyo "

"Umesema!!?"

"Umenisikia , Wardah hutaenda kokote unanielewa?"

Nilishindwa kuelewa niitikie ndio au nikae kimya maana sikuwalewa wanazozana kuhusu nini ,naona akili yangu bado ilikuwa gizani.😥

Basi madam baada ya Alvin kusema hivyo alicheka na kusema " naona umeonesha ni kiasi gani unanidharau ,labda nikukumbushe kitu kidogo tu Alvin , mimi ni mama yako na hapa ni nyumbani kwangu.

Kwa hiyo maamuzi au kitu chochote ninachotaka ni lazima kifanyike kama ninavyotaka unanielewa we mpumbavu "

"Huna haja ya kunikumbusha ila katika hili nahofia kusema kwamba niko mbali na wewe ,Wardah hataenda kokote na kama umeona hafai kufanya kazi za humu ndani mrudishe kwao ."

"Alvin narudia tena m......"

"Ndio wewe ni mama yangu ila umama wako kwangu hauna maana yoyote kiasi cha kunifanya nikae kimya huku ukitaka kuharibu maisha ya mtoto wawatu.

Na nikuulize we ni mwanamke uliezaa kwa uchungu au ulitutoa kwa kupiga chafya? Kwasababu kila ninapokuangalia naingia katika tafakari yenye maswali yasiyo na majibu.

Mama kwa umri wako unapaswa kumtumikia muumba wako na kuwa mfano bora kwetu ila hamna zaidi uko bize kuwapeleka watoto wawatu kuzimu .

Au mwenzetu unachembe chembe za ushetani labda ndo maana hushtuki? "

"Alvinnnn🗣"

"Haendi kokote😡"

"Ha ha ha ha ha ,Vero unamuona huyu chizi aaah unamuona 😠, eee Mungu nitaua mtu mimi wallah Alvin 👉 nakuita tena Alvin!! "

"Tuliza koo lako usije kupasua mishipa ya shingo maana imeshikilia laana hadi haina sehemu ya kupitisha damu "

Maneno ya Alvin yalimchefua madam akarusha mkono akitaka kumpiga kofi Alvin akaudaka kwa hasira na kumwambia " nakuheshimu kama mzazi laa ningeuvunja huu mkono kama kijiti cha kuzuia mimba , we Wardah inuka hapo"
Nikiwa nimejawa na hofu taratibu nikarudisha kiti huma ili niinuke mara madam akanambia " wewe👉ole wako uinuke hapo 😡"

Alvin nae akasema " Wardah nimesema inuka hapo 😡" eeeh hii sasa kali 😥sasa hapa nisikilize yupi niache yupi?😢

Tangazo - For this week only
For this week only
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09


SONGA NAYO..................


Haraka nilijilaza na kujifanya nimelala, aunt Vero ambae ndo alifungua mlango aliingia na kufika anasimama bila kuongea wala kufanya kitu akaniangaliaa karibu dakika tatu.

Kinyonge akashusha pumzi na kuondoka , baada ya kuondoka nikainuka na kukaa kitako , mawazo na maswali vilikuwa vingi kichwani mwangu na hakuna jawabu nililopata .

Mwisho nikajilaza na kuanza kuusaka usingizi, haikuchukua mda nikalala n kuja kuamka kesho yake alfajiri nikaingia jikoni na kuanza majukumu yangu ya siku.

Mda ulienda ikafika saa mbili Alvin akaja jikoni na kufika anasimama pembeni yangu, mimi kimya akawa ananiangalia mwisho akasema .

"Hatmae umeshinda mtihani wangu" alivyo sema hivyo nilimuangalia...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/utaniita-shemeji-sehemu-ya-09

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi utaniita-shemeji-sehemu-ya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 06
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘  N0 61💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 61💘💘

390
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43

336
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45

245
REAL LOVE  Chapter 14

REAL LOVE Chapter 14

162
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

142
REAL LOVE  Chapter 15

REAL LOVE Chapter 15

91
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

41

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.89K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.47K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.31K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘
@majario LIVE

""Nini hii🤨🤨?"" ""Aliniuliza paschal baada ya kumpatia zile barua"" ""Fungua usome😏😏"" ""Nilimjibu kwa kumnyali"" ""Pendo umewaza nini hadi kwenda kufungua madai ya talaka mahakamani🤨🤨"" ""Ulitaka niwaze nini Mr paschal 😝😝"" ""Kwa hiyo huyu mshenzi ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Haraka nilijilaza na kujifanya nimelala, aunt Vero ambae ndo alifungua mlango aliingia na kufika anasimama bila kuongea wala kufanya kitu akaniangaliaa karibu dakika tatu. Kinyonge akashusha pumzi na kuondoka ,...

REAL LOVE  Chapter 15 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 15
@majario LIVE

"unafanya nini wewe unataka kujiua" alisema fahima kwa uchungu *ndio tena uniue wewe ambaye hunipendi si nakukera sana niue nipo hapa" alisema seven. sikia mimi kukuua siwezi na kuishi hapa sitaki alisem...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Mama aksema nini iki nasikia . Ni nn unaongea haji. Nikasema mam mimi uyu mwanamke kanifanyia mambo mengi mazuri ila kwa hili hapna. Mda wote nalea mtoto kwa upendo na...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘  N0 61💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 61💘💘
@majario LIVE

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani...

REAL LOVE  Chapter 14 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 14
@majario LIVE

John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini "devi umefuata nini hapa alisema...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Mama mtu kuona nimesimama tu akaniongelesha kwa hasira "we mpuuzi mbona umesimama kama sanamu embu toa vitu kwenye gari haraka" Niliitikia sawa na kufungua buti nikaanza kushusha mizigo wao wakaingia...

MIMI SIKUACHI🥰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41* Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*
@majario LIVE

Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘
@majario LIVE

0742133100 Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🤣🤣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yao😄😄Tristan ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 07
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Taratibu nilifuta machozi na kuinuka nikatoa vyombo na kuendelea na ratiba zingine, sasa wakati nikiwa bize na kazi Alvin akaja na kusimama pembeni yangu. Sikutaka kumsemesha ndo kwanza nikawa bize...

MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
@majario LIVE

Nklimuangalia uyu mwanaume kwa hasira kisha nikamuuliza kwamba una maanisha nn wewe. Kwambia mm nikuache u.nifanye nyuma uniharibu. Akannbia sikia nikwambia mama. Kwani nani atajua kuwa mm na wewe tumefanya...

MY WANGU❤️ sehemu ya 93 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
@majario LIVE

Basi jioni tu ya siku iyo iyo bibi mie nikaruhusiwa. Nyieee ilikuwa shereehee. Yani uyo zayd ni furaha mdaaaa wote . Ni kufurahi tu .mda wote kamshika mwanae anambembeleza mtoto...

*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92* Post Mpya
*MY WANGU❤️* *FINAL SEASON* *91-92*
@majario LIVE

Basi bwana .mie nikawa busy na maisha yangu. Ile namba za yusta nilisave ila wwala hatukuwa na ushost tena. Na kama baada ya mwez niliona status yusta kapost kaolewa na...

*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5* Post Mpya
*UTANIITA SHEMEJI.* *1-5*
@majario LIVE

*______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Utaniita shemeji ☺️aisee hii simulizi sijui nikae mkao gani ili niilete kwa usahihi bila kukwama wala kupunguza radha😊. Ila hii kitu imenionesha kuwa kweli watoto wa elfu mbili wameshindikana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest