REALLY LOVE* Chapter 17
alisema mama cathe kwa
mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana
mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu sana umetutia albนนนนนนนนนนนนน alisema mama cathe jwa
hasira sana,
mtoto talla sana wewe mtajuwana na mama yako nakama unamimba untagute haraka baba wa huo ujauzito aje apa tukuozeshe sitaki kulea.
mjukuu asiye na baba nimemaliza alisema baba catherin kisha akanyanyuka kutaka
kuelekea ndani lakini ghafla mlango ulifunguliwa. akaingia calor mtoto wao wa kiume aliyetoka masomoni ndo anafuka muda huo alikuja kwa tabasam sana lakini aliwashangaa wazazi wake walivyo kasirika hakuna aliyeenda kumpikea. wote walimpita na kuelekea ndani na kumuacha cathe akilia sana pale chinu
ikabidi calor sende kumnyanyua cathe na kumuweka kwenye sofa na kumbembeleza asijue chanzi chake ni nini
upande mwingine katika apartment ya devi alikuwa amechanganyikiwa sana tena sana tu
"dah ninani huyu aliyeharibu mpango wetu au john uyu john leo nitakula sahani moja
anachezea sana maisha yangu sasa ngoja alisema dwvi kisha akavaa haraka haraka kutoka kuelekea kazini kwa john alitoka kishari
kwelikweli
upande mwingine kwa seven walimaliza kula chakula vizuri sana walikisifia chakula kilivyo kitamu sana
kwahiyo mkwe wangu ndo umeamua kuturoga kwa kutupikia mapishi matamu kama. haya ili tulale hapa sindiyo alisema mama. seven kwa utani
hahaaha hamna mama alijibu fahima uku akitabasam muda wote seven jicho lake ilikuwa
jwa fahima tu hakupepesa oengine zaidi ya kwa fahima, seluna na sarafina nao muda wote walikuwa wakimchunguza kaka yao bila kujua
huku wakicheka kimya kimya
"unaitwa nani mwanangu alisema mama
seven
fahima alijibu
jina zuri mmezaliwa wangapi aliuliza mama
seven
mimi nimezakiwa peke yangu tu, niko na baba
yangu tu mama ashafariki mda sana nimelelewa sana na baba alisema fahima kwa huzuni
pole sana mwanangu ila kwasasa hautakuwa na huzuni tena ushampata mama yako ambaye ndiyo mimi nitakupenda kama binti yangu na kukufariji pia alisema mama seven
asante san mama nashukuru alijibu fahima alifurahi sana
mimi ndiye mama yake seven nimewazaa
watatu tu wakwanza huyu selina anafata seven kisha sarafina mziwanda wangu huyu cha kudeka alisema mama seven walicheka kwell
masana sarafina ni mtu wa kudeka sana akiwa
na mama yake,
ila naomba sana muishi vizuri hatujui kama
mna mahusiano au la maana mimi seven
hajaniambia kitu hayo mengine unayoyasikia hapa ni utani tu, ila kama mnapendana msikae naomba mugane haraka alisema mama seven
sawa mama aliitikia seven,
mama mimi leo nitalala hapa alisema selina
"kwani nani amesema anaondoka alisem
mama seven walicheka namani familia likuwa
kituko sana, basi wakaendelea kupiga story
mara simu ya seven ikaingia unumbe kutoka.
kwa john ikimuomba afike kazini,
mama mimi nawaacha kidogo alisema.
seven
unaenda wapi alisema fahima, na kufanya dada wa seven wafinyane walikuwa wambea
kwelikweli
subiri kwanza nimalizane na mama wewe tutaenda kuzungumza ndani alisema seven.
wapi sasa kazini au aliuliza mama seven
ndiyo mama nataka sasa nikaimarishe
nitakuwa bize kidogo maana siku zijazo nina kikao kikubwa sana kwahiyo nataka niweke
mambo sawa alisema seven
sawa mwanangu nakuombea dua tu isema
mama seven, basi seven akamwambia fahima waende wakazungumze ndani, wakaongozana
hadi chumbani,
unaenda wapi aliuliza ten fahama
kazini alijibu seven
utarudi saa ngapi alisema fahima
"Jamani fahima mbona hivo lakini mi sijui mda
wowot nitarudi alijibu seven
saa kumi uwe nyumbani lasivyo hapatatosha unaondoka unaniacha na wageni pekeyangu
alisema fahima, seven akamsogelea karibu sana
akashika shavu lake na mkono wake
"am sorry najuwa hilo ila nimetumiwa mesej
najohn kuna jambo muhimu sana sitachelewa
kurudi alisema seven
sawa alisema fahina huku akiwa amenuna,
seven akamsogelea na kumkiss shavuni,
nakupenda sana natumai wewe ni mwanamke
bora kwangu uliyeweza kunisimamisha tena na
leo ninazawadi yako nzuri sana alisema seven
kwa tabasam nae fahima akajikuta anatabasam
alijihisi amani sana alipomtazama seven,
sawa zawadi gani alisema fahima
sikutaji alisema seven
tabia mbaya hiyo alisema fahima
hebu nipige busu apa huwenda nitabadilika na kuwa na tabia nzuri alisema seven
nakusababisha fahima acheke alikuwa anamfurahisha sana bibie, basi seven alimuaga na kutoka zake aliwaaga na kuondoka
akiwaacha wakizungumza,
muda huohuo ndio devi aliingia katika kampuni
hiyo alikuwa kam kachanganyikiwa tu allenda mpaka ofisini kwa john walinzi walimzula lakini
alileta fujo,
muachen wakamuachia alisema John, walinzi
"hivi wewe unataka nini katika maisha yangu eee unatak nini weweeee mbona unanifatilia
sana alisema devi kwa hasira mno
nani akufatilia mwehu kama wewe hata
mende
chooni hawezi kufanya ujinga kama huo unanini haswa mpaka nikufatille bro isema john kwa dharau sana
sikia john niwe nakitu au sina kaa mbali na
maisha yangu nimekuja kukuonya kaa mbali
umesababisha nimefukuzwa kazi narudia tena
kaambali alisema devi
aisee wewe chunga mdomo wako nitakuzingua sasa hivi mjinga wewe nani
aliyekutuma ukalale na mke wa biss tena ndani
kwake umalaya wako na tamaa zako ndizo
zimefanya ukose kazi sasa unakuja hapa
kunibwekea kama mbwa oya bro siko kwenye
mood kabisa leo alisema john
kwahiyo mimi mbwa sio: alisema devi
sasa kwa unyama uliomfanyia mwenzio utasema wewe mtu kweli yani sio mbwa tu ni
shetani kabisa wewe alisema john aiseee kauli hiyo ilimuuma sana devi akasogea na
kumpiga ngumi john najohn hakukubari
akarudisha wakaanza kukamataka na kupigana Ikabidi maaskar wawashike kuingilia kati ugomvi
huo,
niacheni hata kidogo tu nimuonyeshe mbwa.
wewe sema john
"niachienii nasema niachieeee alisema devi
wote walikuwa na hasira sana
kuna nini hapo ilisjkika sauti ya seven hapo
watu wote wakajiweka sawa muda huo ndio
aliwasili hapo
uku nyumbani kwa mama cathe chumbani alikuwa akisemwa sana na mumewe
nishakwambia kabisaaa ole wake mimba
Isiwe na baba alisema baba cathe
baba cathe jaman hata sipumui lakini sasa mimba itakosaje baba jamani alisema mama.
cathe
wewe sa hivohivo sasa ole wake ikataliwe hakai hapa hakai alisema bab cathe.
baba cathe tusifikie huko jamani mume
wangu alisem mama cathe
keleleeee kwahiyo unataka lishe tu kirahisi wewe na mwanao wote wapuuzi tu alisem
baba cathe kwa kufoka sana
sasa unanilaumu mimi kosa langu nini nahuyu mtoto tutamtupia nani kashakuwa mzigo
wetu alisema mama cathe
mzigo wako sio wetu narudia tens mimba.
Ikikataliwa sitaki kumuona happppaaaaaa alisem baba cathe cathe
ITAENDELEA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni