AAAAH IMETOSHA BOSSππ N0 63ππ
Usiku mzima Hemed hakuniongelesha kitu chochote namm sikutaka kumuongelesha nililala zangu kimya nikajikausha mpaka asubuhi niliwahi kuamka nikamwandalia kiamsha kinywa then nilirudi chumbani kwa ajiri ya kujiandaa kwenda kazini.... nilivyotoka bafuni nilimkuta hemed bado yuko chumbani alikuwa anamalizia kuvaa ... darling nimeandaa break fast kwa ajiri yako nina imani utaenjoy nilijipendekeza kumuongeresha make usiku kucha tulilala bila kuongea na hata asubuhi nilipoamka nikamsalimia aliitikia ilimradi tuπ©π©baada ya kumtaarifu kuhusu chakula nilichoandaa kwa ajiri yake aliitikia thank you.... hiyo thank you ilijibiwa like sitaki natakaπ©π© mbona hivi baby nini shida kwani niliamua kujifyatua akili nikamuuliza hivyoππ alinikata jichoππ nilirudi kinyume nyume nikaenda endelea na mishe zangu za kuvaa niwahi kazini.....
Hemed hakula hata kile chakula nilichoamka kumwandalia ili ale kabla hajaenda kazini duhπ€¨π€¨ kwa hiyo kasusaππ anyway atajijua mwenyewe hata akinuna saizi paschal yuanibembeleza cjali minuno yake mimi limtu nimeamua kuacha usingizi wangu ili nilitengenezee kiamsha kinywa lakini limethubutu kuondoka bila kulaπ€¨π€¨ ....nilichukia lakini sikuwa na cha kufanya zaidi ya kuonja onja kile chakula kwa juu juu baada ya hapo nilimuaga kipenzi changu shazil kwa kipindi kile alikuwa kaishafunga miezi tisa..... niliondoka zangu kwenda kazini.......baada ya kufika kazini ilipita muda kidogo hemed alinitumia msg samahani sweery heart β€οΈ nilisahau kukila kile chakula ulichoandaa kwa ajiri yangu lakini nina imani hata usiku nitakikuta na nitakula darling I'm very sorry..... it okay baby nimekuelewa lakini kile kilikuwa ni kwa ajiri ya asubuhi tu na siyo usiku.....basi sawa my love wakati mwingine ukiandaa nitakula.....mhhhπππ niliona tu ni kama usumbufu asiendelee kuniharibia siku huyu naye nilizima simu nikaweka pembeni nikaendelea na kazi.....nilifanya kazi hadi mida Fulani hivi ya mchana nilikuwa na vihasira vilivyonifanya niendelee tu kufanya kazi make nikiwaga na hasira huwa napenda kujipa ubusy ili nisiendelee kuwaza.....
How are you pendoπ€π₯° oh mercy I'm fine ππ you're welcome bestieππ are you okay?! I'm fine bestπ₯°π₯° ni mercy alikuja ofisini kwangu.... huyu mercy ni rafiki yangu sana tunafanya kazi ofisi moja alikuja kuniambia kuwa kuna mgeni wangu yuko hapo mapokezi anahitaji kuniona..... ni nani jina lake nilimuuliza mercy.... his name is paschal.... wow π π paschal mruhusu aingie ofisini kwangu tafadhari kabla cjasahau mercy paschal ni shemeji yako huyo ni mme wangu ooh I'm happy for you bestieπ₯°π₯°π€ mercy alikwenda kumpatia paschal ruhusa wa kuingia ofisini kwangu nyieee kumbe mkikosana kwa muda alf mkaja anza kupatana kumbe penzi ndo linakuwa la moto vileπ₯π₯ yani ilikuwa nikama vile mimi na paschal ndo tunatongozana etππ baada ya mercy kuondoka nilikimbilia washing room nikaenda jicheki kama usoni kwangu niko poa niliikoleza make up yangu ikakaa poa nikaongezea na kilipstic kidogoπ₯π₯ nilinoga sana baada ya hapo nilirudi ofisini kwangu nikaket kwenye kiti then kichwa changu nilikilaza kwenye meza lilikuwa ni pozi mideko si nishaambiwa mahabuba wangu yuko chini reception ilinibidi nianze kudeka kabla ya yote......
Baada ya dakika chache mlango uligongwa nilikaribisha kwa sauti ya chiniππ aliingia paschal kule ofisini kwangu hi baby alinisalimia huku akiwa ananichumu chumu shingoni kwangu nyieeeeπ nilitamani kunaniliuπ€£πau basi ππ nilimkumbatia alinikiss etπ pole na kazi my lovely wife..... thank you hubbyπ₯° umechoka et?! Yeah of course I'm very tired π« ...... pole mama nimekuja kwa ajiri ya kukujulia hali nikupeleke lunch pia.....nimekupigia sana ukawa hupatikani lakini kwa vile ulishanielekeza ofisini kwako nimeona tu wacha nije kukuona.....please usipende kuwa unaiweka simu yako off unanipa wasiwasi etπ£π£..... pole hubby basi nitaiweka on..
Paschal aliniomba tutoke kwa ajiri ya lunch ππ nilikubali alinishikilia mkono niliosha kule ofisiniπ€£π€£ nisingeweza kuacha kuwatambishiaπ«°π«° niliondoka na baby daddy tukaenda kupata lunch π kilikuwa ni chakula Fulani hivi amazing ππ tukiwa zetu pale tunaendelea kula nilipigiwa simu na mercy.... hello BFF your another husband is hereππ whoπ§π§?! Nilimuuliza..... his name is Hemed..... hemed is there in the office?!ππ?! Yeah bestie he is here......duh kimeumana nilimwambia mercy amwambie hemed kuwa nimetoka nje kwenda kutafuta chakula ohshit na gari langu nililiacha parking kule ofisini kibaya zaidi kule ofisini kuna mgahawa wa kila aina ya chakulaπ©π©π© haikupita muda hemed alinipigia where are you baby nimeleta lunch kwa ajiri yako nimekupigia sana ili nikutaarifu kuwa ninakuja lakini haukuwa hewani uko wapi?!.... pole mpenzi nilitoka mara moja lakini nitarudi muda siyo mrefu..... ulitoka ukaenda wapi na gari yako naiona hapaπ€¨π€¨ uko na paschal rightππ?! Hapana baby niko na rafiki yangu tulitumia gari yakeππ... naomba location ya sehemu uliko...... duh nafanyaje sasa ningali bado naendelea kuongea na hemed kwenye simu paschal alinifuata make nilitoka pale katika meza ya chakula nikasogea pembeni kidogo kuongea na simu......
Baby chakula kinapoteza mvuto wa kuliwa kikishapoa kitakuwa kiporo please π weka simu yako pembeni twende tukamalizie kwanza kula......its okay darling we kaendelee kula nitakujoin my..... nilichokifanya niliizima ile simu then nikaenda kuendelea kupata chakula......baada ya chakula tulipumzika kidogo pale si mnajua shemegi yenu ana mambo ya kizungu π€£π€£π€£ baada ya chakula unatakiwa kupumzika angalau nusu saa siyo unamaliza kula safari zinaanza kiguu na njia tulirest kwanza huku tukiwa na vinywaji vyetu kwenye glass zile ndefuπ story za hapa na pale mapendo kama yote nampenda yule kijana wa mama mkwe aakhiiiiπ©π© lakini kila nilipokumbuka kuwa hemed naye yuko ofisini na vile nimetoka kuwatambishia kuwa paschal ndo mme wangu hivi wataniwaziaje si wataniona kidada kisomi kumbe kidangajiππ hapa ni kuwapiga wote hawa marufuku kuwa wananifuata ofisini kwangu watajanichafulia cv zangu.......paschal alinirudisha ofisini imagine bado hemed alikuwa kaganda zake nje ya zile ofisi alikuwa kapark gari lake pale kisha kasimama zake kaegemea kwenye gari...... tulifika kule ofisini paschal alimuona hemed alitelemka kwenye gari akasimama nayy akaliegemea gari lake duh niliogopa hadi kutelemka kwenye gari nini kitatokea hapa mungu wangu wasije wakaanza kupigana et......
Nilishuka kwenye gari nikamuomba paschal aondoke pale wasije wakaanzisha fujo...... please honey leave tutawasiliana et sitaki muanzishe drama hapa ofisini mkajaniharibia kazi yanguπππ.... pendo wewe ni mke wangu natumaini unalitambua hilo siwezi kuendelea kuvumilia kumuona huyu mwanaume akiwa anakufuata nyuma nyuma kila sehemu nina moyo pendo ninaumia ujue...... hemed alisogea pale huku akiwa anapiga makofi.....hey stop itβοΈπ nilimzuia sitaki drama et..... oh hutaki drama siyo it's ok pendo kabla hemed hajaongezea neno paschal alimsogelea akamwambia ninaweza kukushtaki ujue huyu ni mke wangu hakuna sheria inayokuruhusu wewe kuishi nyumba moja na mke wa mtu achana na mke wangu kabla cjakuchukulia hatua...... hahahaaaa nazani wewe mshenzi ndo unayetakiwa kutoa talaka kwa mwanamke wangu ili niweze kufunga naye ndoa ulimuacha kwa muda gani?! Unajua aliishije kwa kipindi chote hicho hivi unajua kama sisi wawili tayari tuna mtoto,?!..... move on broo ulishaachwa mimi ndo mme mtarajiwa wa mkeo na ni baba wa mtoto wako pia...... hemed aliongea mbovu sana paschal hakupenda hakutaka kuleta drama ila alipanda kwenye gari lake kwa hasira akaondoka mahali pale......
Itaendeleaaaaaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi

Maoni