MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
Basi mi nikanyamaza . Nikainuka nikaenda kuoga .nikaja kupumzika na maumivu na mtoto wangu. Yani mtoto ananingalia ananambia pole mama. Pole mama yangu. Basi namwambia usijali sijaumia lala mwanagu. Yani hii siku ata kula sikutaka. Nikajilalia zangu mapema sana. Basi bwana hakuludi nyumbani week 2. Nyieeee yani kama aliama .iyo week ya pili ndo namuona. Kaja tu kachukua nguo zake uyo kasepa .mi wala sikuta kumuongelesha wala kumzuia . Na vile kanidunda ile siku mi wala sikuongea nae kabisaaa. Na vile kanidundaaa. Sikutaka shida nae kabisaaa. Ikawa hivyoo. Basi bwana akawa haeleweki kabisaa. Yani alinibadilikia sana zayd. Yani akawa busy na mambo yake na akiludi ni busy na mwanae. Mie ata kunigusa hataki. Na alishanambia mi sikuingilii mpaka siku amabyo utanipa nyuma na kwa ridhaaa yako. Apo mimi ndo nitatulia na amani italejea kabisa ndani na ntaacha kutoka njeee. Mh mm sikutaka kabisa. Sababu mm nimesomea udaktari japo sikufanikiwa kumaliza chuo.naelewa madhara ya aya mambo. Basi nikakaza kuwa sitaki . Na bwana akanizila kabisaaa
Nyieee nilikonda mawazo . Kwanza sikuwa na rafiki deeply wa kumueleza mambo yangu. Nabaki nagugumia ndani. Bwana akawa hanipi tena pesa. Yani ata ile 100 yake. Hanipi. Ndani aleti chochote. Kuna kipindi Alinifungulia account za bank ila kwa sasa akazifungia zote na akanambia hatanihudumia mpaka nitakapomlizisha kwa anachokitaka. Yani mambo yalikuwa hayaeleweki jamni. Yani shida tupu . Nilijikaza nafanyaje sasa na naenda wapi. Nikawa nayavumilia tu. Siku akichanganikiwa . Nikimjibu kidogo ni ananipiga na mkia wa taaa mpka nakoma . Yani mwili wangu ulikuwa na alama tu. Nilikuwa naumia sana. Apo sasa naona yusta anamplst sana mlige. Sijuh baby . Sijuh mume wangu. Sijuh baba k.wangu. nikahisi shoga sasa ana mimba na kwa muda huu niliona mlige ni kanenepa na yupo kawaida tu. Ana relex maisha yake. Kiukweli nilikuwa namjutia sasa. Aseee mi mlige kweli alikuwa ananipiga ila akinifumani . Ila sio ile tumekosena mdomoni anipige no. Wala hakuwa na hasira hizo. Hivi ushawahi kupigwa lakini unajua uyu ananipiga ila ananipenda ndo mlige. Ananipiga ndo hasira zake . Ila baadae akipoa alokuwa anajutia sana . Na atanibembeleza na huduma ntapewa .ila sio uyu baba ananipiga kikakautili sana zaydd. Anakuwa ananiumiza mnoooo. Aseeee moyo ulikuwa unaniumaa mimi. Nilikuwa naumia sanaaa . Yani sanaa. Ila naanzia wapi kwa uo mdaaa nakwambia nilibaki na viakiba vichache.
Nikapambana mnooo. Apo bwana ata kunigusa hataki na halali nyumbani yani kama kanisusia nyumba. Uyo baba mkwe namuogopa mnooo. Baba mkwe kanitumia sehemu zake za siri nae ni baba mkwe uyo . Nilivumilia ila nilishindwa na iyo siku mm nilimpigia simu mama yangu . Uku nalia..mama akapokea simu .akaniuliza unalia nn faridah na una shida gani.nikasema mama mi nataka kurudi nyumbani. Mama akaniuliza umesahau nn binti yangu uku. Hapana usiludi wewe pambana uko uko na mwanaume wako mzuri mwenye pesa. Na mmeshazaa jamani. We pambania ndoa. Uku ije barua.
Tusherehekeee ndoa yako mi nangoja mahari. Nashangaaa kimya. Nikamsema mama nisamehe .mimi uyu mwanaume anainyanyasa sana. Mama akanmbia wala sio hapa. Mimi nyumbani kwangi wala sikutaki. Yani sikutaki kabisa wewe pambana na mwanaume wako ulete ndoa ya heshima kama ulivyosem kisha mama akanikatia simu . Daaah nililia tu. Nyieeee nikawa navumilia . Niliisha shoga yenu. Niliisha mnoooo. Yani mpaka nikawa namkumbuka mlige ..natamani kumpigi simu mana namba yake naijua vizuri kichwani .ni Miaka 4 imepita ila haijawahi kutoka. Ila naogopa naanzaje mm. Nikaona niendele kupamabna uku uku tu . Nikifanya mpango ata wa kuiba pesa nitoroke apa .sikutaka tena kuendelea kuishi apa. Sikuwa naona rahaa ya maishaa kabisaa mimi
Basi nikawa naendelea kupambana uku naficha pesa. Ila sasa ata iyo pesa nnayoficha nyieee. Uyu baba hakuwa ananipa tena pesa. Ni atamnunulia tu mwanae chakura. Mimi hana mda na mimi. Zayd alikuwa na wanawake jamani. Mpaka nachanganikiwa . Yani ukishika simu yake.unahisi kuwa chizii. Moyooo unauma mnoooo. Na alivyo mshenzi. Anaposta mpaka anawapa wanawake zawadi za magari kama alivyofanya kwangu. Nilikuwa naumia sana na moyo ukawa unauma mnooo. Nafanyajeee
Kuna siku alimpost mwanamke mzuri jamani uyoo. Mimi siingia ata mala 100. Ana mtako huoo wangu cha mtoto. Nyieee. Alikuwa amemzawadia nyumba ni amepost kabisaaa. Tena anajua kabisa naona Na wala hafichi. Kisha akanitumia sms akanambia siku ukinipa iko unachokikatazia na kwa jinsi nakupenda ww nakununulia nyumba kari zaidi ya hii. Mi wala sikumjibu zaidi ya kulia
Na ayo ndo yakwa maisha yangu..aseeee nilikiwa ni mtu wa kujuta sana . Nilikuwa ni mtu wa maumivu sana. Apo sasa mwanangu alikuwa na miaka 4. Anaongea tu vizuri. Basi siku iyo nilikuwa namuogesha mwanangu. Akawa ananambia mama uku kunawasha. Mh nikashangaa mana ananionesha sehemu za matakoni. Nyieeeee nilistuka .nikamuuliza uku ndo kunauma. Akanmbia ndio mama. Kuna uma ila baba atanichapa. Nyieeeee nusu nife. Nikamwanbia kwa nn bana akuchape. Anakufanyaga nini. Nambie mwanagu. Akamyamaza kimya . Nyieeeee nilishaelewa na nikahisi mm kabisa . Zayd anaihalibia mtoto. Nilimuangalia nakwmabia ila naona kupo kuwaid ila mwanangu ananmbia kuna washaaaa nyieeee na anajikuna kabisaa
Nilimvalisha haraka harka..na mimi nikavaa nimamchukua mtoto . Mpaka hospitali. Nilimulezea dr. Kuwa amuangalie mwanangu mana ananmbia anawshwa uku nyuma shida nn. Kweli dr akampima na kumuangalia. Akanmbia kwan nyumban mnaishi na nani . Nikasema mm na baba yake na dada wa kazi. Akanmbia mh uyu mtoto anachezewa nyuma alafu anamwagiwa uchafu. Nyieeee nilistuka mm . Nikasema.eeeh akanmbia ndio. Yule dr akamwambia rahul nani anakushikaga uko. Mwanangu Akaniangalia aksema baba atanichapa nikisema.nyieee nilijibwaga chini nilipiga kelele kweli kweli.nililia miimi yani mpka anamlawiti mtoto kweli. Mtoto wa miaka minnee anamfanyia hivyo na ni mtoto wa kiume. Anataka kumfanya mwanagu awe shogaa . Msengee uyuuu . Nilimind kweli kweli. Yani nilikasilika aswaa mimi.
Yule dr akanmbia tulia na utulize presha . Uyu wala hajamualibu . Hakuwa anamuingiza kwa ndani . Nafikili alikuwa namcheza uku juu na kumwagia uchafu wake. Nilimind uyu msnge. Mi sikutaka maelezo . Yani nilichukua simu nakwambia kwa hasira . Nikampigia simu mda uo uo. Nikamwambia we msenge ushazoe kufira sana. Si ndio. Unataka kunihalibia mtoto mimi. Zayd unataka kumuharibu mwanao wa kumzaa . Ina maana kote una pofira huriziki wew. Unataka kumfanya mwanangu aje kuwa shogaa. Msenge. we kuma la mama yako.kama.we bingwa mfire baba yko mzazi. Msenge wewe.nyiee nikijisahau kama nipo kwa dr. Aseee dr alinambia plsss dada hapa hayaruhusiwi matusi plsss. Aseee ndo nikakata simu nna hasira mnoo naongea mpaka natetemke mimi. Yule dr akanmbia nakupa dawa utakuwa unampaka uko nyuma mtoto mana ameoata fangasi. Aseeee niliumia sana. Yani katika siku zayd aliniumiza basi hiii ilizidi. Kumbe kila siku akiludi anenda kumsalimia mtoto Chumbani kwake kumbe anaenda kumchezea . Niliumia sana. Alafu mtoot wa kiume. Nikaona uyu kama hana huruma na mwanae .ata mimi hawez kunione huruma kabisa.
Basi nilivyotoka hospital nashika simu nakuta kanijibu. Et kama wwe unipi unatka nikamfanye nani. Aseeeee nikampigia tena akwa hajapokea.nikamtumia sms za matusi kweli kweli . Nilimtukana mnoo. Akanipigia akanmbia wewe nikiludi nyumbani leo nakuua.nikamwmabia msennge wew. Sio wewe unajifanya unajua sana kufirea ata wewe utakuwa unafnywa nishakuona..nilimind nikamkatia simu wala sikuongea tena . Mi nikatoa laini katika simu.nikaivunja pale pale.kisha sasa nikajiangalia mkononi nna kama laki 2 tu..nikasema hili jiji mimi limenisha naludi nyumbani kwanza . Yani ata mama sijumwambia nikajua ntaenda kujua uko uko. Siwez kuangaika na nyumbani kupe. Apo nimetoka nna nguo ya kawaida na mwanangu ana nguo ya kawaida tu. Ila mm nikaenda mpaka stand ya mabasi nipanda gari ya kageraa. Weeee sikutamani tenaaa kuhishi na zayd bola nikadhakilike yu nyumbani.ila kwa uyu mwanaume hapana kwa kweli . Hapna kabisaaa.
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi