Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*
Gonga94 · Stories

*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴


Basi bibi mie nikaanzaa safari ya kagera uo mdaa ulikuwa jioni . Nakumbuka gari ilitoka pale stand jioni saa 12. Nilikuwa na mawazo mnoo. Rahul ananiuliza mama tunaenda wapi. Namwamboa tunaenda kwa bibi na kwa babu . Mh nilikuwa na mawazo sana. Yani nilikuwa nawaza mnooo. Na mawazo yalinijaaa aswaaa . Nawaza vingi. Kwanza naludi nyumbani nipo kama chizi. Nimeishaa . Nimekondaaa mnoo. Mwili wangu sasa ni umezorota kwa mawazo. Na nimejawa na alama mwili mzima za kupigwa na mkia wa taa. Nilikuwa mnyonge sana wala sikuwa sawa. Yani sikuwa powa kabisaaa. Mpaka usiku saa 4 . Tukaingia msamvu. Apo ndo nikashuka nikae da kumnunulia chakula rahul. Nikpamda nae katika gari. Wala sokula mm. Yani sikula kabisaa. Mwanangu akalla. Nikamfunika na mbebeo yake. Na tukaendelea na safari.

Kesho yake saa 8 mchana mm ndo nashuka nyantakara. Nyieee nimeshuka mchana watu kama wote. Shoga yenu nilichukua mbebeo ya mwanangu nikajifunika mpka usoni kabisaaa yani . Ile watu wasinione.nikaanza kutembea kuelekea nyumbani. Uku nimembeba mwanangu. Naangalia mbele tu. Nakwambia . Naona aibu watu wataniona. Ila kuna baazi waliniona ila wala sikusalimia nikafika mpka nyumbani. Nikakuta mlango umefungwa na hakuna mtu . Ila dalili ya watu kuwepo niliiona nikahisi wazee watakuwa wameenda shambani Sasa mala zote mama huwa anaficha funguo chini ya kanyagio. Mi nikainua lile kanyagio pale kibalazani kweli nikakuta . Nikachukua funguo.nikafungua . Na nikaingia ndani. Mh ni miaka 5 ndo naludi nyumbani. Mh acheni tu

Basi bwana. Mie nikawa naangakia mazingira ya nyumbani. Bado kuna vitu alivyonunua mlige. Ila sofa ndo zimeanza kuchakaa. Ila ni kusafi sana na mama yangu ni msafi sana. Nikaingia mpaka chumbani kwangu. Mwanangu alichoka sana. Mi nikachukua maji nikaenda kumuogesha . Nilivyoludi nikamlaz kitandani kwangu. Hakuchukua mda akapitiwa na usingizi. Mi nikasogelea kabati langu nikawa naangalia yaaa nna nguo nikiziacha na zote alininunuliaga mlige. Nilijikuta nimekaaaa na nikaanza kulia . Moyo unaniuma snaaa. Hivi nikikutana na mlige mm namuangaliajee . Moyo unauma sanaa. Naangalia kwenye kabati naona vitu vingi kweli alivyoninunulia kipindi ikoo. Naangaliaaa mpaka begi langu la shule kipindi nasoma. Nililia sana na nikijutia sana. Yani vitu vilivyokuwa kwenye kabati ndo vilinikumbusha mbali.nilikumbuka furaha yangu kipindi nipo nae.

Nilikiwa ni mtu mwenye amani sana. Nikakuta mpka boksa zake. Kuna mda nilikuwa nikienda kwake. Nakuwa nazivaa naludi navyo. Matshirt yake yote yakikuwepo. Aseess moyo uliuma sanaaa . Nilijikuta nimekumbuka mbali. Mala nikasikia mlango wa sebleni kama umesukumwa . Nikajua ni mama sasa ndo kaludi . Basi mie nikatoka sas. Ndo namuona mama yangu. Nyie mama alinishangaaa sana nikaona machozi yanamtoka . Akanmbia faridah ndo umeisha hivyo mwanangu. Kweli wewe mkataa pema. Nyieee nilipiga magoti nikaanza kutambaaa nikimfata mama. Nikamwambia mama nisamehe mwanao.nisamehe mama. Ni majalibu tu yakinipata nisamehe mama yangu siludii. Nisamehe mama nimeshajifunza mimi. Mama alinambia faridah mm wala hujanikosea yupo uliomkosea sana ww. Ulipatwa n nn.

Mi sikumficha mama nikanza kumuahadithia maisha niliyokuwa naishi uku nalia. Asee mma mpka akawa ananifuta machozi. Akanmbia wewe ni mjinga sana faridaah . Yule baba alikupenda mnoo. Ila ukamuona mjinga . Ukababaika na watu wenye pesa zaid. Mbona ata mlige hayupo vibaya . Vihela anavyo. Ukamuona mjinga ukamuona hafai. Kisa mwarabu mwanangu ulipagawa na weupe. Umemsahau mwanaume aliyekusomesha . Amekusaidia mambo mangapi. Faridaaah nilijua lazima laana itakuludia . Baba wa watu kaja apa analia kama mtoto mpaka preshaaa. Amelazwa week nzima . Ikawa story yake tu .yaani apa. Mpaka akawa anataka kuhama na shule. Umemdhalilisha sana na kumtia aibu. Leo unadhalilika wewe faridah. Ona ulivyoisha ata tako hakuna. Umekuwa kama bibi . Yani wewe na mm mma yako mie mzuri. Zote ni tamaa faridaah na kujifanya unajua sana. Unataka vijana wenzio. Ukamuona mlige mkubwa aya kiko wapi.

Leo mwenzako kaolewa. Anatembela gari yusta. Ana maisha mazuri. Wazazi wake wanainjoy . Wewe unaludi na mtoto . Ata degree umeshindwa kumalizaa. Angalia mwenzako yusta anatembelea gali. Mlige kamfungulia maduka kibao apo balabalani yote anayasimamie yeye. Ana maisha mazuri . Kapendeza na kunenepa . We mpumbavu upo kuangaika loooh . Kiko wapi leo mwanangu . Eeeh nambie kiko wapi. Mwenzio yusta kashamzalia watoto wawili mlige. Kawapiga double double. Unahisi ni mjinga yule . Unazani haoni kama mlige mkubw . Ila mwenzio ana akiri ya maisha . Leo wazazi wake wana injoy apa kijijini . Mie nachekwa kwa ajili yako napata aibu kwa ajili yako .nadhalilika kwa ajili yako faridah. Ila nilishajishukulia sababu ww nilishakuona ni fungu la kukosa . We mtoto ni fungu la kukosa faridaah .ndo ipo hivyo.

Mimi nilibaki nalia tu. Mama aknmbia polee. Yusta mwenzio mwalimu anafundisha apo apo na mume wake. Mwnaume anapaki gari kushoto. Yeye anapaki gari kulia . Pole yakoo. Nyieeee moyo unauma . Nikawa nalia. Mama akanmbia na alivyo mwema yule baba nikikutana nae mapaka pesa ananipa mie ndo naona aibu nakataaa. Looh mtoto wewe. Leo kiko wapi mungu kakupiga kofi . Umeludi umekonda kama kuku . Muone kwanzaaa. Loooooh ata mie mama yako apa nalipa kuliko wewe. Loooh nyie mama alinichamba sana. Alinipa maneno kweli . Nilibaki kulia na majuto tu. Mala mwanangu ndo akatoka. Akja akanikumbatia . Ananifuta machozi. Mh mama akamchukua akatoka nae njee. Mi nalia jamni pale. Basi baada ya apo . Nikaingia chumbani . Na baada ya mda mama akaja . Akanmbia hongera mbegu umepata mwaya nimeenda nae dukani watu wote wanamsifia mwanao mzuri. Mh nilibaki kimyaaaa

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴


Basi bibi mie nikaanzaa safari ya kagera uo mdaa ulikuwa jioni . Nakumbuka gari ilitoka pale stand jioni saa 12. Nilikuwa na mawazo mnoo. Rahul ananiuliza mama tunaenda wapi. Namwamboa tunaenda kwa bibi na kwa babu . Mh nilikuwa na mawazo sana. Yani nilikuwa nawaza mnooo. Na mawazo yalinijaaa aswaaa . Nawaza vingi. Kwanza naludi nyumbani nipo kama chizi. Nimeishaa . Nimekondaaa mnoo. Mwili wangu sasa ni umezorota kwa mawazo. Na nimejawa na alama mwili mzima za kupigwa na mkia wa taa. Nilikuwa mnyonge sana wala sikuwa sawa. Yani sikuwa powa kabisaaa. Mpaka usiku saa 4...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/my-wangu-sehemu-ya-98-na-99

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi my-wangu-sehemu-ya
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 47 na 48
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU❤️ sehemu ya 51 na 52
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU sehemu ya 40
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 44 na 45
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU❤️ sehemu ya 71 na 72
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU sehemu ya 38 na 39
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 49 na 50
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 76 na 77
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 46
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 74 na 75
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 53 na 54
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU sehemu ya 41 na 42
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 94 na 95
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU❤️ sehemu ya 73
MY WANGU sehemu ya 43
MY WANGU sehemu ya 43
MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33
MY WANGU❤️ sehemu ya 32 na 33
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35
MY WANGU❤️ sehemu ya 34 na 35
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
MY WANGU❤️ sehemu ya 59 na 60
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
MY WANGU❤️ sehemu ya 55
MY WANGU❤️ sehemu ya 55
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
MY WANGU❤️ sehemu ya 61 na 62
MY WANGU sehemu ya 36 & 37
MY WANGU sehemu ya 36 & 37
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 88
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
MY WANGU❤️ sehemu ya 93
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘

536
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47

467
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45

437
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97

424
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38

218
REAL LOVE  Chapter 15

REAL LOVE Chapter 15

188
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99*

*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*

112
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09

68
REALLY LOVE* 16

REALLY LOVE* 16

68

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.16K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.9K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.69K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.08K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.48K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.31K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.3K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.26K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.17K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
*MY WANGU❤️*   *sehemu ya 98 na 99* Post Mpya
*MY WANGU❤️* *sehemu ya 98 na 99*
@majario LIVE

🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴🔴 Basi bibi mie nikaanzaa safari ya kagera uo mdaa ulikuwa jioni . Nakumbuka gari ilitoka pale stand jioni saa 12. Nilikuwa na mawazo mnoo. Rahul ananiuliza mama tunaenda...

REALLY LOVE* 16 Post Mpya
REALLY LOVE* 16
@majario LIVE

waliondoka wakiwaacha familia ya cathe wakiwa na majonzi makubwa sana hawakuamini kabisa kilichotokea walitamani iwe ndoto upande mwingine kwa mama fatuma alikuwa akimshangaa mumewe tangu asubuhi yuko ndani tu hakutaka kula...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 38
@majario LIVE

Aseeee akanmbia basi sawa hkuna shida. Ntajalibu kufatilia aseeee hii siku .nilipata amani ya moyo ambayo niliikoss kwa mda sana. Mana jamaa alinihakikishia kabisa kuwa ni wanangi na nimefanana...

MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 96 na 97
@majario LIVE

Basi mi nikanyamaza . Nikainuka nikaenda kuoga .nikaja kupumzika na maumivu na mtoto wangu. Yani mtoto ananingalia ananambia pole mama. Pole mama yangu. Basi namwambia usijali sijaumia lala mwanagu....

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 46 na 47
@majario LIVE

Aseeeee nililudi mpka kwangu. Uko njiani ni fatuma tu ndo ambae ananipigia kweli kweli . Mi.wala sikuangaika nae na nilipoona usumbufu umezidi . Nikablock namba yake . Baada ya kufika...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 62💘💘
@majario LIVE

""Nini hii🤨🤨?"" ""Aliniuliza paschal baada ya kumpatia zile barua"" ""Fungua usome😏😏"" ""Nilimjibu kwa kumnyali"" ""Pendo umewaza nini hadi kwenda kufungua madai ya talaka mahakamani🤨🤨"" ""Ulitaka niwaze nini Mr paschal 😝😝"" ""Kwa hiyo huyu mshenzi ndo...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 09
@majario LIVE

SONGA NAYO.................. Haraka nilijilaza na kujifanya nimelala, aunt Vero ambae ndo alifungua mlango aliingia na kufika anasimama bila kuongea wala kufanya kitu akaniangaliaa karibu dakika tatu. Kinyonge akashusha pumzi na kuondoka ,...

REAL LOVE  Chapter 15 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 15
@majario LIVE

"unafanya nini wewe unataka kujiua" alisema fahima kwa uchungu *ndio tena uniue wewe ambaye hunipendi si nakukera sana niue nipo hapa" alisema seven. sikia mimi kukuua siwezi na kuishi hapa sitaki alisem...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 44 na 45
@majario LIVE

Mama aksema nini iki nasikia . Ni nn unaongea haji. Nikasema mam mimi uyu mwanamke kanifanyia mambo mengi mazuri ila kwa hili hapna. Mda wote nalea mtoto kwa upendo na...

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘  N0 61💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘 N0 61💘💘
@majario LIVE

Baada ya paschal kunifungia kule chumbani mwenzenu ata sikuumia😁😁 nilifurahi namimi nimepata kitu cha kumnyong'onyesha paschal..... baada ya kumfukuza lia paschal alikuja kule chumbani alikonifungia mie nilikuwa zangu nimesimama dirishani...

REAL LOVE  Chapter 14 Post Mpya
REAL LOVE Chapter 14
@majario LIVE

John allikasirika kwelikweli alimuangalia devi kwa hasira sana kisha akamuangalia mwanasheria kwa hasira sana alijiuliza uyo ni mwanasheria wa seven imekuwaje kawa hapa na kafata nini "devi umefuata nini hapa alisema...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 43
@majario LIVE

Daktari akanmbia tulia haji. Ulipata ajari mbaya sana. Ila.unaendelea vizuri umepata michubuo sehemu chache tulia asee umeumia maeneo ya kiuno ila itachukua mwez tu utarecover kbisa so kuwa na...

UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08 Post Mpya
UTANIITA SHEMEJI* SEHEMU YA 08
@majario LIVE

SONGA NAYO................. Mama mtu kuona nimesimama tu akaniongelesha kwa hasira "we mpuuzi mbona umesimama kama sanamu embu toa vitu kwenye gari haraka" Niliitikia sawa na kufungua buti nikaanza kushusha mizigo wao wakaingia...

MIMI SIKUACHI🥰*  *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 41* Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 41*
@majario LIVE

Daaaah alex akanmbia pole sana kaka. Najua inaumiza sana najua mnoo. Ila ndo ukweli. Mi siwez acha damu yangu. Na ndo mana nimekutafuta mnoo. Ili tuje kuliongelea ili suala. Na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 59...60💘💘
@majario LIVE

0742133100 Baada ya hemed kupata likizo tulisafiri kuelekea ufaransa kwa ajiri ya kwenda kumchukua mtoto wangu nice, mom Elizabeth alimkatalia nice 🤣🤣 hata mimi hawakutaka niondoke kwenye familia yao😄😄Tristan ndo...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest