Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
16 Feb 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Msanii maarufu “Toss”, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na aliyewahi kuwa mchumba wa marehemu rapa wa Afrika Kusini, AKA.
Mrembo huyo si mwingine bali ni Nadia Nakai, ambaye mbali na kuwa rapa pia ni muigizaji na DJ maarufu nchini Afrika Kusini. Taarifa zinaeleza kuwa wawili hao wamezama rasmi kwenye penzi jipya ambalo linaonekana kuchanua kwa kasi kubwa.
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Cristiano Ronaldo anafikiria kuondoka kwenye Ligi Kuu ya Saudi msimu ujao. Ronaldo kwa mujibu wa ripoti yuko tayari kulipa kifungu cha euro milioni 50
zilizo kwenye mkataba wake na kuondoka Saudi kutokana na kile anachoona kama upendeleo kwa Al-Hilal. Ronaldo anasemekan...
Toss amrithi A.K A, Aingia kwenye pezi jipya na Nadia Nakai
Msanii maarufu “Toss”, anayefahamika kama hit maker wa Umlandu, kwa sasa anaripotiwa kuingia kwenye uhusiano mzito wa kimapenzi na aliyewahi kuwa mchumba wa marehemu rapa wa Afrika Kusini, AKA.
Mrembo huyo si mwingine bali ni Nadia Nakai, ambaye mbali na kuwa rapa pia ni muigizaji na DJ maarufu nchini Afrika Kusini. Taarifa zinaeleza kuwa wawili hao wamezama rasmi kwenye penzi jipya ambalo linaonekana kuchanua kwa kasi kubwa.
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/toss-amrithi-a-k-a-aingia-kwenye-pezi-jipya-na-nadia-nakai
Maoni