Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
25 Jan 2026
63 views
VYOTE NDANI GONGA94
Nicki Minaj aliandika kwenye Twitter: “Inashangaza kuona baadhi ya watu bado wamekwama mwaka 2003
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
wakiongelea ‘real rap’ huku wakiomba blog ziwaandike.
Mageuzi yanauma pale unaposhindwa kwenda na kasi, nadhani 🤷♀️💅”
50 Cent akaona na kujibu:
“Nicki, tulia. Nilijenga huu mchezo kabla hujapata wigi lako la kwanza la pinki.
Kama chati zingekuwa kila kitu, basi McDonald’s ingepewa Grammy.
Nenda kawapigie kelele mashabiki wako tena, huko ndio ‘safe space’ yako.”
Nicki akarudisha mapigo:
“Samahani mzee… wewe unauza kumbukumbu na caption.
Mimi nauza rekodi, tours, na influence.
Unaongelea utamaduni kana kwamba hukuji-retire kwenda kuishi kwenye comments za Instagram.”
50 Cent akamalizia:
“Niliretire nikiwa tajiri.
Wewe bado unabishana online saa tisa usiku na akaunti ya Barb inayoitwa ‘Queen4Life.’
Nenda kalale kabla hujaanzisha beef nyingine utakayolazimika kuieleza kwenye Twitter Spaces.” 😅🔥
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
NINI KITATOKEA ENDAPO FAR RABAT ATAFUNGWA NA YANGA ATASHINDA MCHEZO WA MWISHO? MAANA YAKE WATALINGANA ALAMA
. Kwa mujibu wa kanuni za CAF yafuatayo yatatazamwa kwa hatua. 1- Aliyekusanya alama nyingi kutoka kwa mwenzake walipoku...
Nicki Minaj aliandika kwenye Twitter: “Inashangaza kuona baadhi ya watu bado wamekwama mwaka 2003
wakiongelea ‘real rap’ huku wakiomba blog ziwaandike.
Mageuzi yanauma pale unaposhindwa kwenda na kasi, nadhani 🤷♀️💅”
50 Cent akaona na kujibu:
“Nicki, tulia. Nilijenga huu mchezo kabla hujapata wigi lako la kwanza la pinki.
Kama chati zingekuwa kila kitu, basi McDonald’s ingepewa Grammy.
Nenda kawapigie kelele mashabiki wako tena, huko ndio ‘safe space’ yako.”
Nicki akarudisha mapigo:
“Samahani mzee… wewe unauza kumbukumbu na caption.
Mimi nauza rekodi, tours, na influence.
Unaongelea utamaduni kana kwamba hukuji-retire kwenda kuishi kwenye comments za Instagram.”
50 Cent akamalizia:
“Niliretire nikiwa tajiri.
Wewe bado unabishana online saa tisa usiku na akaunti ya Barb inayoitwa ‘Queen4Life.’
Nenda kalale kabla hujaanzisha beef nyingine utakayolazimika kuieleza kwenye Twitter Spaces.” 😅🔥
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nicki-minaj-aliandika-kwenye-twitter-inashangaza-kuona-baadhi-ya-watu-bado-wamekwama-mwaka-2003