Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MFALME KIPOFU  27
Gonga94 · Stories

MFALME KIPOFU 27

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.










Sehemi..ya............ 27 (FINAL)
Whatsapp.............0748697173

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Nawauliza Princess Nailet yupo wapi?
alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake.......

ENDELEA NAYO......
Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo
"Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince Yao aliongea"
Mfalme alipogeuka alimwona Prince Yao tena akiwa anaona kabisa hapo ndipo ukichaa ulipompanda.

"Yani umeniulia mwanangu alafu unanipa pole,wewe sasa ivi unaona mwanangu amelala usingizi wa milele?"
"Nimakosa yangu Mfalme na nipo hapa kuomba msamaha, na Nailet aliniomba nije nimuombe msamaha kwa kushindwa kukusikiliza"
"Unafikili itasaidia,mimi tayali sina mtu wa kulithi kiti changu mwanangu peke niliyekuwa namtegeme hayupo"
"Nisamehe mfalme".
"Msamaha peke hautoshi lazima ulipe kwa kusababisha nikampoteza mwanangu".

"Nifatieni karatasi ndani tuandikishane hapa",
"Tuandikishane nini???"
"Subri utajua tu"

Mfalme aliandika maandishi kwenye karatasi mbili na alipomaliza kuandika alimpa karatasi moja Prince Yao asome kilichoandikwa.

Prince Yao hakuamini baada ya kusoma kile kilichukuwa kimeandikwa na Mfalme Tengu.
Kwanini lakini unanifanyia ivi Mfalme??,Prince Yao aliongea baada ya kusoma kilicho kuwa kimeandikwa.

Nasoma kwa sauti kila mtu asikie na Mahiti ya binti yangu ikiwa kama shahidi namba moja kwa haya makubaliano, Mfalme Tengu aliongea.
"MTOTO WA KWANZA UTAKAYEMPATA KWA MWANAMKE WAKO WA NDOA ATAKUWA MLITHI WA FALME HII YA YUNDI"
"Umekubaliana na ninachotaka???".

Prince Yao hakuwa na cha kupinga na ukizingatia Princess Nailet alikuwa na upendo wa kweli kwake alikubaliana na Mfalme Tengu na taratibu za mazishi ziliendelea kufanyika.

**************
Upande wa General akiwa amekaa chini ya mti akitafakari njia sahihi ya kuuteka ufalme wa ADELI mawazo yakiwa yamemshika.

"General kimbiaa!! kimbia!!!!"
ilikuwa ni sauti ya asikari wake ikimtaka General kukimbia.
"Huyu amepata ukichaa mpaka anakimbia peke yake"
ila alisikia kitu kikimgusa mgogoni mwake alipogeuka hakuamini kile alichokiona.

Alikuwa ni nyoka mkubwa na General alivuta upanga wake ili amshambulie nyoka huyo lakini alikuwa ameshachelewa kwani alizungukwa na yule nyoka mkubwa na kubanwa kila sehemu ya viungo vyake baada ya hapo alimezwa mzima na yule nyoka.
Na huo ndio ukawa mwisho wa General, ndoto zote za kuwa Mfalme wa ADELI ziliishia tumboni mwa Nyoka yule.

*************

Katika Jumba la kifalme Mfalme Kojo anapata ahueni baada ya kulala kitandani kwa mda mrefu,
Malikia andwaa alifurahi kumuona Mfalme ameanza kurudi kwenye hali yake ya kawaida.

"Nani aliyenitibu mpaka nikapona??"
Binti Amma alikuwa maeneo yale alikuja mbele ya Mfalme na kupiga magoti na kumfanya Mfalme Koja kumshangaa mana ndiyo ilikuwa mara ya kwanza kumuona ,
Amma alisimulia kila kitu kilivyotokea kuanzia pale General alivyo mlazimisha baba yake atengeneze sumu mpaka pale alipouliwa baba yake kwenye mazingira ya utatanishi.
Na ata Princess Yanite ambae alikuwa na chuki na mtu aliyetengeneza ile sumu alimsamehe kwa moyo mmoja Amma

"Mfalme ila kuna habari njema ambazo ni lazima uzijue???",Malikia Andwaa aliongea.
"Habari gani izo???"
"Prince wa kweli tumeshampata".

Mfalme alijikuta akikaa kwenye kitanda kwa tarifa zile zilizokuwa ni tarifa njema kwake.

"Natamani nimuone Prince ameenda wapi??",Mfalme Kojo aliuliza baada ya kupewa tarifa zile mpya.
"Nipo hapa baba"
Prince Yao alikuwa amesharudi kutoka YUNDI.
"Mmmh unaona???"
"Ndio mfalme naona"
"Nani kakufanya uone???"
"Ni huyo binti aliyepembeni yako baba"
Mfalme alionyeshwa Amma kwa mara nyingine tena licha ya kumtibu yeye bado alimtibu mwanae,

"Binti sina cha kukulipa kwa ulichofanya kwenye familia yangu ila njia pekee ambayo mimi kama mfalme ningependekeza wewe kuolewa na kijana wangu ili uwe Malikia wa hili taifa kwa hapo badae, kama utakuwa tayali ila kama utaona haifai napo sitapinga maamuzi yako".,Mfalme Kojo aliongea.

Mfalme pia alimhurumia Amma baada ya kugundua hana ndugu yoyote kwenye hii dunia kwani ameshawapoteza wazazi wake wote wawili.

Amma alikubali kuolewa na Prince Yao na utabili wa yule mzee ukatimia kuwa Amma atakuja kuwa mtu mkubwa kwenye taifa la ADELI.

*************

MWAKA MMOJA(1) BADAE
Baada ya mwaka mmoja kupita Prince Yao na Amma walifanyikiwa kupata watoto mapacha na wote walikuwa wa kiume,
Prince Yao alimuelezea mke wake Amma makubaliano aliyokuwa nayo na Mfalme Tengu na Amma hakuwa na kipingamizi.

Prince Yao alitekeleza ahadi yake kwa kumchukua mtoto aliyetangulia kutoka ambae ni kulwa na kumpeleka kwa Mfalme Tengu na pia alifarijika sana kuona Prince Yao ametimiza ombi lake,

na kuanzia siku hiyo ukawa mwanzo mzuri wa falme zile mbili (ADELI NA YUNDI) kutengeneza mahusiano mazuri .

Kutokana na uzee wa Mfalme Kojo alimkabizi Prince Yao kiti cha kifalme na yeye kubaki kama mshauli wake pindi anapofanya maamuzi yasiyo sahihi bira kusahau upendo katika jumba la kifalme uliongezeka mara dufu na furaha ilirejea tenaaaaaaaaa.

MWISHOOOO

Shukrani zangu kubwa ni kwenu ndugu wasomaji mlipoteza mda wenu kufatilia simulizi hii na hatimae leo imefikia tamati
Sina chochote cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea afya njema zaidi nawapenda sana ndugu zangu, TUKUTANE TENA WAKATI MWINGINE. Next ni FARASI MWEUPE itakuwa hewani siku ya Jumatatu.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MFALME KIPOFU 27











Sehemi..ya............ 27 (FINAL)
Whatsapp.............0748697173

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Nawauliza Princess Nailet yupo wapi?
alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake.......

ENDELEA NAYO......
Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo
"Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince Yao aliongea"
Mfalme alipogeuka alimwona Prince Yao tena akiwa anaona kabisa hapo ndipo ukichaa ulipompanda.

"Yani umeniulia mwanangu alafu unanipa pole,wewe sasa ivi unaona mwanangu amelala usingizi wa milele?"
"Nimakosa yangu Mfalme na nipo hapa kuomba msamaha, na Nailet aliniomba nije nimuombe msamaha kwa kushindwa kukusikiliza"
"Unafikili itasaidia,mimi tayali sina mtu wa kulithi kiti changu mwanangu peke niliyekuwa namtegeme hayupo"
"Nisamehe mfalme".
"Msamaha peke hautoshi lazima ulipe kwa kusababisha nikampoteza mwanangu".

"Nifatieni karatasi ndani tuandikishane hapa",
"Tuandikishane nini???"
"Subri...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mfalme-kipofu-27

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mfalme-kipofu
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............01  Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............01 Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU  Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa  mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story.....................MFALME KIPOFU Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
MFALME KIPOFU 12 na13
MFALME KIPOFU 12 na13
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
MFALME KIPOFU 11
MFALME KIPOFU 11
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU 9
Story.....................MFALME KIPOFU 9
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Story.....................MFALME KIPOFU 8
Story.....................MFALME KIPOFU 8
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
MFALME KIPOFU  21 -- 22
MFALME KIPOFU 21 -- 22
MFALME KIPOFU  19 -- 20
MFALME KIPOFU 19 -- 20
MFALME KIPOFU  25 -- 26
MFALME KIPOFU 25 -- 26
MFALME KIPOFU  17 -- 18
MFALME KIPOFU 17 -- 18
MFALME KIPOFU  23 -- 24
MFALME KIPOFU 23 -- 24
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

363
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

333
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

316
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

173
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

63
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

37
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

30
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

29
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

28
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

27

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest