Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Gonga94 · Stories

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Ilipoishia sehemu iliyopita....
Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa......

ENDELEA NAYO........
Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe katika ufalme wake hakuwapa ata mda wa kujiandaa na walinzi walipewa maagizo ya kuwa sindikiza na kuhakikisha wameondoka katika ufalme wa YUNDI.

Princess Nailet hakuamini kama baba yake anaweza kumfanyia maamuzi kama yale bira kumpa nafasi ya kumsikiliza,
"Nakuchukia sana baba!!!! nakuchukia!!"
"Sawa ata unichukie ila nafanya ivi kwa ajili yako huwezi kuwa karibu na kipofu na wewe ni binti wa kifalme"
Alikimbia huku akilia kuelekea chumban kwake.

"akikisheni mnakuwa naye karibu huyo asitoke kwenda popote"
"Ndio mfalme"
Yalikuwa ni maagizo ya mfalme juu ya kumuangalia Princess Nailet

Yunde alijiona mkosaji baada ya kusikia tarifa zile za Yao na Lindiwe kufukuzwa kwa wivu wake wakijinga.
"Nimefanya nini mimi Yunde,natengana na mwanaume niliyekuwa nampenda kwa ujinga wangu mwenyewe, alijutia nafsi yake"

***************
Katika kijiji cha Nyengweli kilicho ndani ya ufalme wa ADELI,
Binti Amma akiwa polini anatafuta dawa za matibabu kwa ajili ya wagonjwa alikutana na yule mzee aliyepiga magoti mbele yake ile siku aliyomtazama kwenye mkono wake.

Kwa mara nyingine tena mzee yule alipiga magoti mbele yake kama kutoa heshima kwake.

"Leo ni mara ya pili unapiga magoti mbele yangu kwani kitu gani kinachokufanya upige magoti?"
"Wewe ni mtu mkubwa sana kwenye hii falme ya ADELI lazima nikupe salamu yako kama inavyostahili"
"Hapana nahisi umechanganya mzee wangu mimi ni tabibu tu"
"Ni ngumu kuelewa ila mda mwafaka utafika na utaelewa"
Mzee yule alisimama na kuondoka zake na kumuachia Amma maswali mengi kwenye ubongo wake.

Amma baada ya kumaliza kuchimba dawa alirejea nyumbani kwao na kumkuta baba yake, alimweleza kila kitu kuhusu yule mzee juu ya kumpigia magoti kwa mara nyingine walipokutana huko polini.

"Unajua binti yangu mama yako aliwahi kusema ivi, ukiona mtu mkubwa anakuheshimu ujue kuna vitu vya maana vipo ndani yako".
"Umeongea kuhusu mama na umenikumbusha,ivi yupo wapi mama yangu???"
"Ni simulizi ndefu binti yangu"

Amma alisimuliwa kila kitu kuhusu mama yake na alihuzunika sana kusikia kwamba alishafariki zamani, pale yeye alipozaliwa .

***************
Asikari kutoka katika ufalme wa YUNDI baada ya kuwafikisha mpakani Prince Yao na Lindiwe waliwaacha wenyewe waendelee na safari yao na waliwakumbusha kuwa hawatakiwi kuonekana tena katika ufalme huo.

"Mama huku tunaenda wapi???"
"Usijali huku tunakoenda ndio nyumbani na sio huko tuliko toka"
"Unamaana gani kusema ivyo??".
"Utafahamu kila kitu tukisha fika Prince"
"Umeniita Prince?????"
"Kwasababu unafanana na prince"
"Mmmh",Prince Yao aliamua kuguna tu kwa majibu yale ya mama yake.
Lindiwe aliamua kupindisha baada ya kuona anaelekea kulopoka kila kitu kuhusu Prince Yao.

****************
Ndani ya ufalme wa ADELI mambo yalikuwa yameharibika kila kitu kilienda ndivyo sivyo mfalme Kojo alikuwa kwenye kipindi kigumu sana,

"Mfalme naomba ukae umesimama mda mrefu sana, Malikia andwaa aliongea kumtuliza Mfalme Kojo.
"Emu niache ni siku mbaya sana kwangu, General katoroka alafu nimemtambulisha mtoto ambae sijui ata limetokea wapi hilo litoto??".
"Ni sawa mfalme tutatafuta njia ya kumtafuta Prince wa kweli,hakukuwa na njia nyingine ya kufanya zaidi ya hii mfalme".

Walipokuwa wakiongea maongezi yale, kuna mtu alikuwa akiwasikiliza.

"Mnasema Prince mliyemtambulisha sio Prince wa kweli??? ilikuwa ni sauti ya Yanite"
"Tatizo jingine hilo"
"Baba mimi kuuliza nilichosikia imekuwa tatizo????,Princess Yanite aliongea.
"Ongea na mama yako akwambie kila kitu",Mfalme aliondoka kwa hasira chumbani na kuwaacha Malikia Andwaa na Yanite............ITAENDELEA

Lindiwe na Prince Yao wanaelekea wapi baada ya kufukuzwa na Mfalme Tengu?? na je?Malikia Andwaa atamweleza ukweli Princess Yanite kuhusu Prince Yao???,sehemu ya 15 inamajibu zaidi

Story.....................MFALME KIPOFU
Mtunzi...................Zooper
Sehemi..ya............15
Whatsapp.............0748697173

Ilipoishia sehemu iliyopita......
Baba mimi kuuliza nilichosikia imekuwa tatizo????,princess Yanite aliongea
"Ungea na mama ako akwambie kila kitu"
Mfalme aliondoka kwa hasira chumbani mle na kuwaacha malikia andwaa na Yanite.....

ENDELEA NAYO....
Hakukuwa na siri tena Yanite alisikia maneno yote waliyokuwa wakizungumza.
Malikia Andwaa aliona ni wakati sahihi wa kuweka kila kitu wazi mbele ya Princess Yanite hakuona haja ya kuendelea kumficha tena.

"Maongezi uliyoyasikia niya kweli yule sio Prince halisi tuliye mtambisha".
"Mama una chosema ni cha kweli?"
"Ndio mwanangu"
"Na Prince wa kwel yupo wapi???"
"Prince wa kweli anaitwa Yao na ni kipofu, alizaliwa akiwa na tatizo la macho tuliamua mimi na mfalme akalelewe mbali kisiri,na wenye hii siri ni mimi na mflame tu".

Malikia andwaa alimkalisha Yanite chini na kuanza kumpa historia nzima jinsi ilivyokuwa mpaka Prince Yao wakaamua kuchukua mamuzi ya kumuondoa.

Yanite alihuzunika kusika story ya kaka yake.
"Ni makosa yenu haikutakiwa kumtenga Prince na sizani kama atarudi hapa ila mimi nitaenda kumtafuta mwenyewe kaka angu".

Alinyenyuka na kuondoka, jumba la kiflame sasa amani ilikosekana ilikuwa siku mbaya kwa Mfalme Kojo na Malikia andwaa baada ya siri nyingine kugundulika.

******************
Cheki yeye alikuwa anazunguka tu katika jumba la kifalme kutazama uzuri wa jengo lile na kupishana na wafanya kazi mbalimbali wa kike na wakiume.

"huku kuna wanawake wazuri kuliko ata Yunde niliyemuacha YUNDI huku sitoki na acha aolewe na yule kipofu,alisema na nafasi mwenyewe".

Walinzi waliokuwa kwenye ile mipango ya kumtafuta Prince feki walimuona nakuanza kumteta bira yeye kujua.

"Huyu jamaa anabahati sana kupata nafasi ya kuwa prince"
"Ongea taratibu kumbuka hii ni siri tunajua sisi tu"
"ata kama ni siri lakini jama kapata bahati sana natamani iyo na nafasi ya Prince feki angenipa mimi mfalme"

Kipindi wanaongea rafiki yake na Nzegi alikuwa anasikia kila kitu na hapo alitambua siri nyingine katika jumba hilo la kifalme.
Aliondoka taratibu bira kusikika na kwenda msituni kuwatafuta General na Nzegi ili awape tarifa zile.

Haikumchukua mda mrefu mlinzi yule kuweza kufika msituni kwa ajili ya kutoa tatifa ile aliyoisikia kuhusu Prince aliyetambulishwa.

Wakiwa mafichoni general na nzegi walisikia mluzi ukipigwa na ilikuwa ni ishara Nzegi anayoitambua walisogea maeneo husika ya sauti ile ilipokuwa inatoka.

"Kuna tarifa mpya na nzuri kutoka katika jumba la kifalme"
"Tarifa gani izo?"
"Inasemekana Prince yule aliyetambulishwa sio Mwana wa Mfalme wa kweli".
"unasema kweli????,Nzegi aliuliza wakati huo General yupo kimya tu akisikiliza mazungumzo yao"
"Ndio na uhakika na ninacho ongea".

"Wewe rudi katika jumba la kifalme na umshawishi huyo kijana kuja nae hapa,tumeshapata mtu wa kusaidizana nae tayali"
"Sawa General"
Asikari yule aliondoka na kuwaacha General na Nzegi.

"Mda wa kukaa sasa umeisha leo usiku waziri mkuu tunaanza nae hana ulinzi wa kutosha lazima afe usiku wa leo,
General sasa alipanga kuingia vitani lasimi na Waziri mkuu ndie atakaye anza nae"
.
*********************
Tangu Prince Yao na Lindiwe waondoke Princess Nailet aliamua ajifungie chumbani kwake na Mfalme alianza kupata mashaka baada ya ukimya wa binti yake.

"Fungua mlango Princess"
Baada ya kuona hakuna mwitikio wa mlango kufunguliwa Mfalme Tengu alitoa amri,
"Vunjeni mlango haraka".Mfalme aliongea akiwa na wasiwasi mkubwa juu ya usalama wa binti yake.
Walinzi walifanyikiwa kuvunja mlango na mfalme kuingia ndani akiongozana na walinzi wake,

ilikuw ni kama bahati tu walimkuta anataka kujinyonga hapo ndipo mfalme alijua kuwa binti yake amezamilia kweli.

"Kwanini unanifanyia ivi binti yangu??"
"Nimechagua kufa kuliko kuona Yao anaenda mbali na maisha yangu".
"Unajua kabisa wewe ndie mtu peke uliyebaki kwenye familia yangu unataka huu ufalme ubaki mikononi mwa nani???"

"Mimi ilo sijali, baba naomba uniambie una mrudisha Yao au humrudishi??"

Lilikuwa ni swali gumu sana kwa mfalme tengu na ukizingatia ndie mtoto pekee alienae,

"Asikari",mfalme tengu aliita kwa hasira
"Nendeni mka warudishe haraka"
"Mfalme tayali wameshavuka mpaka"
"Nimesema nendeni mkawarudishe",Mfalme aliongea kwa hasira na mboni za macho yake zilibadilika na kuwa nyekundu hali iliyo waogopesha walinzi wake.
Hawakuta kupoteza mda tena waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea .............ITAENDELEA.

Asikari wa Mfalme Tengu watafanyikiwa kuwapata Prince Yao pamoja na Lindiwe??,na Je?Yanite atachukua uamzi gani juu ya tarifa alizopewa na Malikia andwaa kuhusu kaka yake???,tukutane sehemu inayofata.

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14



Ilipoishia sehemu iliyopita....
Huyo hawezi kuishi bira wewe mana haoni na nafasi ya mwisho ni kuondoka katika huu ufalme nisione sura zenu tena hapa......

ENDELEA NAYO........
Mfalme Tengu aliwafukuza Prince Yao na Lindiwe katika ufalme wake hakuwapa ata mda wa kujiandaa na walinzi walipewa maagizo ya kuwa sindikiza na kuhakikisha wameondoka katika ufalme wa YUNDI.

Princess Nailet hakuamini kama baba yake anaweza kumfanyia maamuzi kama yale bira kumpa nafasi ya kumsikiliza,
"Nakuchukia sana baba!!!! nakuchukia!!"
"Sawa ata unichukie ila nafanya ivi kwa ajili yako huwezi kuwa karibu na kipofu na wewe ni binti wa kifalme"
Alikimbia huku akilia kuelekea chumban kwake.

"akikisheni mnakuwa naye karibu huyo asitoke...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mfalme-kipofu-sehemi-ya-14

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mfalme-kipofu-sehemi-ya
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............01  Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............01 Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE

417
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15

270
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14

177
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba

9

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.05K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.73K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.92K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.69K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.12K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.04K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.91K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.88K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.78K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.72K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 141 - 144 MWISHO WA SEASON THREE
@majario LIVE

:141 Nikamwambia kwa ujumbe “Boss ni usiku sana, nenda nyumbani, tutaongea kesho naomba nipumzike.” Akanijibu “sitaondoka hapa mpaka uje kunisikiliza.” Nikamuonyesha Dorice, Dorice akasema “kamsikilize Labda ni muhimu.” Nikamwambia Dorice “kusema kweli mimi roho...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 15
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Simu ilikatwa,nilichanganyikiwa,iv nimeskia kweli au ni mawenge yangu?keanu ananisaliti?yani maneno yake makavu yote aliyoniambia hayakua na maana sikuyajali kabisa nilijali mwanamke alieongea.nikasema hapana ngoja,nikapiga simu iliita ikakatwa,nilipiga tena ikakatwa,nikapiga...

Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba Post Mpya
Kinachomtisha Mgosi ni kuwa Edna Lema anawachezaji walioonekana wa kawaida Simba
@majario LIVE

ila sasa wapo kwenye kiwango cha hali ya juu kiasi cha baadhi kuitwa timu zao za taifa. Diana Mnally Ritticia Nabbosa Precious Christopher Wincate Kaari Aisha Djafar Edna Lema...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 14
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Mmmh nilihisi utumbo unacheza, kwa nn haruhusiwi ndoa sasa? Au ameoa? Nilijiuliza sana, keanu akasema sijakuelewa kwa nn siruhusiwi kuoa sasa? Akasema kuna mashart katika kila kanisa ili...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 18
@majario LIVE

Mida ya jioni vipindi vilipoisha tuliongozana na Glad hadi kwa kaka yake ilikuwa ni saa kumi na moja za jioni hivyo alikuwa kasharudi toka kazini tulimkuta nyumbani 🏡. Karibuni...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 8 -- 10
@majario LIVE

SEHEMU YA 08 "Kwanza haoni ajabu kukufukuza,na akisema hakutaki ujue hakuna was kukutetea hata mama hataongea .... kwaiyo muangalie hivyo hivyo kauli yake moja tu inakuondoa........... Nicole aliposema hivyo nilimuogopa sana...

Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii Post Mpya
Iran rejects peace plan and mocks Trump Akhtar Makoii
@mjukuu LIVE

Screengrab from video put out by Iranian state media Tasnim News of an Iranian missile with Trump's name on it, in response to the great gift from Iran Trump claimed...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 131 - 140 SEASON THREE
@majario LIVE

:131 Nikawa natoa ile bahasha. Vile natoa, namuona Boss Yule anakuja. Ni wazi alisikia kengele au aliniona kwa juu. Nikasema kwa ndani “niondoke?” Ataona Kama namkimbia, Nikajikaza pale kusubiri. Basi kweli alifika,...

MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest