Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

MFALME KIPOFU  19 -- 20
Gonga94 · Stories

MFALME KIPOFU 19 -- 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Sehemi..ya............19
Whatsapp.............0748697173
Ilipoishia sehemu iliyopita......
Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake...

ENDELEA NAYO.......
Aliendelea na safari ya kumtafuta mwanaume wa ndoto zake licha ya upofu aliokuwa nao mwanaume anaye mpenda ila bado aliamini ndie mtu sahihi kwake.

***************

Ni majira ya jioni Cheki akiwa anamtafuta mlinzi ili ampe tarifa kuwa yupo tayali kufanya kile alicho kuwa anakitaka,
"Nimekutafuta sana kumbe umekaa huku", Cheki aliongea.
"Nilijua utakuja tu,na nilikusubiri hapa kwa hamu".
Walianza kuondoka kutoka katoka jumba la kifalme.

Na safari ilianza ya kuelekea msituni kuwa tafuta General na Nzegi na mwongonza njia alikuwa rafiki yake Nzegi au asikari wa jumba la kifalme,
"Nisehemu gani hii unanipeleka au unamipango mibaya na mimi??"
"Jiamini wewe ni mwanaume".
Cheki alianza kupata wasiwasi baada ya kuona wanazidi kuingia msituni na walipofika sehemu husika asikari yule alipiga mluzi kama kawaida yake kuwaita General na Nzegi.

"Umefanya kitu cha maana sana kumleta Prince"
General aliongea na kumfanya Cheki aanze kujiona kweli watu wana mtambua kama Prince wa ADELI.
"Wewe sio Prince na ndio mana uko hapa"
Kibao kiligeuka na kumfanya Cheki atambue kuwa ata General anajua kuwa yeye sio Prince.
"Nikweli mimi sio Prince ila mnashida gani na mimi???".
"Vizuri kama umekili mwenyewe , tunataka ufanye kazi ndogo tu na utapata malipo mazuri zaidi ata ya yale ambayo Mfalme amekuahidi kwanza kabisa, utaendelea kuwa Prince wa hili taifa, na kitu cha pili hautotoka kwenye jumba la kifalme ata kama mfalme akiwa mwingine".

Cheki aliyetafakari maneno aliyoambiwa na General ...

"Mnataka nifanye kazi gani???"
"Kazi yako ni kushika kichupa hichi,humu kuna sumu kali itakayo weza kumu angamiza mfalme taratibu ndani ya siku tano ili watu wasi shituke zaidi, mfalme anapenda sana kunywa kahawa, basi kazi yako ni kuvizia na kuichanganya sumu hii kwenye kahawa ya mfalme".General aliongea.
"Ni hatari sana kwa upande wangu hasa niki kamatwa".
"Wewe ni mwanaume utaangalia jinsi ya kuepuka hili"

General alifanyikiwa kumshawishi cheki nae haku pingana na kazi aliyopewa, alipatiwa kichupa nakuelekea katika jumba la kifalme,
Kazi ilibaki moja tu ya kuichanganya ile sumu kwenye kahawa ya mfalme.

***************

Lindiwe pamoja na rafiki yake wakiwa wanapiga stori mbalimbali baada ya kupotezana kwa miaka mingi sana.
"Rafiki yangu baba wa huyu handsome wako ulimtoa wapi nikamwambie na mimi anizalishe???"
"Yu....le alikufa miaka iliyopita".
Lindiwe alipata kig'ug'umizi kidogo cha kujibu swali la rafiki huyo na hakutaka kuendelea na stori zinazomhusu Prince Yao,

"Kuna habari gani katika jumba la kifalme??", Lindiwe aliamua kubadilisha mada.
"Hakuna habari za maana zaidi ya sisi kutambulishwa Prince siku kadhaa zilizopita"
"Kwani mfalme alikuwa hajamtambulisha Prince miaka yote iyo???"
"Wapi sasa, huku Prince mwenyewe inasemekana amekulia nje ya jengo la kifalme na mfalme ana watoto wa kike tu wawili,wananchi walipo lalamika kuwa wanataka wamuone Prince mfalme ndio akakubali kumtambulisha".
"ila makosa yote ni ya kwangu".
"Makosa ni yako kivipi ??,
Lindiwe alikulupuka kutoka kwenye mawazo baada ya kujisahau na kutamka kuwa yeye ndie mwenye makosa na kumu weka njia panda rafiki yake huyo ambae nae alimuuliza swali ila Lindiwe aliamua kupindisha mada.

Lindiwe alitambua sababu iliyo mfanya mfalme amtambulishe mtu mwingine kama ndio Prince badala ya Prince Yao.

******************
Ndani ya ufalme wa ADELI Cheki anaingia katika kasili la kifalme akiwa na chupa ndogo yenye sumu ndani yake alielekea jikoni na kumkuta mpishi mkuu wa kifalme,alipewa heshima mana bado alitambulika kama mwana wa Mfalme,

"Mfalme umeshampelekea kahawa yake??:
"Hapana Prince bado tunaiandaa hapa".
"Jambo zuri fanya haraka umpelekee, alafu nimekumbuka kitu Yanite aliniambia umpikie chakula ila nimesahau nichakula gani nenda ukamliza yupo chumbani kwake".

ilikuwa ni njia ya kumtoa mpishi maeneo yale,alipotoka tu Cheki akaichanya sumu kwenye kahawa ya mfalme na kuondoka zake.

"Prince kaniagiza nije nikuulize ulimwambia unataka upikiwe chakula gani binti mfalme??"
Mpishi yule alimuuliza Yanite
"Mbona sijamwagiza chochote!!!".

Mpishi alishaga aliamua kurudi jikoni kwake kuendelea na kazi yake ila alichukia sana kwa kitendo cha Cheki kumfanya kama mtoto mdogo.

Mfalme akiwa ametulia kwenye kiti chake akitafakari mambo yanavyo endelea kwenye utawala wake,
Mtumishi wake alimletea kahawa kama ilivyo desturi ni lazima aonje kwanza ndio mfalme nae anywe alionja bira kujua kama kuna sumu na mfalme nae baada ya kijihakikishia ipo salama kahawa ile..........ITAENDELEA.

Je? Mfalme Kojo atakunywa ile kahawa au atagundua kuna sumu ndani yake? Sehemu inayofata si ya kukosa
[12/12/2025, 6:40 AM] zooper simulizi2: Story.....................MFALME KIPOFU
Mtunzi...................Zooper
Sehemi..ya............ 20
Whatsapp.............0748697173

Ilipoishia sehemu iliyopita........
Mtumishi wake alimletea kahawa kama ilivyo desturi ni lazima aonje kwanza ndio mfalme nae anywe alionja bira kujua kama ina sumu na mfalme nae baada ya kujihakikishia ipo salama kahawa ile....

ENDELEA NAYO.............
Baada ya kujihakikishia ipo salama kahawa ile nae alikunywa bira kujua kama itaanza kumzulu baada ya masaa manine yajayo.

Cheki hakuwa mbali alikuwa anafatilia kila kitu alichokuwa anafanya Mfalme, na alivyoona mfalme amekunywa ile kahawa alifurahi na kuona mipango yao imeenda sawa kama alivyopewa maagizo na General Tengeli.

"Wewe mbona unamchungulia mfalme??"
Alikuwa ni Princess Yanite aliyemkuta cheki maeneo yale,
"Aaaah nafikilia jinsi ya kwenda kuongea na baba tu".
"Emu rudia tena, umemwita nani, baba??".
"Mfalme ni baba yangu na mimi ndio Prince lazima uniheshimu kama kaka yako",Cheki aliongea bira kujua kama Princess Yanite ameshafahamu ukweli wote.
"Tangu lini ukawa Prince wewe??"
Yanite aliondoka na kumuacha Cheki kwenye mawazo juu ya kile alicho kisema.

"Hapa lazima niungane tu na wale jamaa tarifa zimeshavuja tayali nisipokuwa makini nitakosa kila kitu" .

****************

Princess Nailet anafanyikiwa kufika kwenye ufalme wa ADELI na anakuwa na kazi kubwa ya kumtafuta Prince Yao pamoja na Lindiwe ni wapi walipo.

Upande wa ufalme wa YUNDI,
Mfalme Tengu, jumba la kifalme linashindwa kukalika kutoka na upweke aliokuwa nao juu ya kuondoka kwa binti yake,
Uvumilivu unamshinda Mfalme wa kumuacha binti yake afanye anachotaka anaita walinzi nakutoa maagizo,

"Nendeni katika ufalme wa ADELI mkamrudishe Princess Nailet awe anataka au hataki".
"Sawa mtukufu Mfalme"
"Hakikisheni mnatekeleza maagizo yangu sitakuwa na msamaha na mtu yoyote atakayefanya makosa"

Kundi la vijana wa Mfalme Tengu linaondoka na kwenda kumtafuta Princess Nailet.

**************
Lindiwe aliona hakuna sababu tena ya kuendelea kuificha ile siri aliona ndio mda mwafaka wa Prince Yao kujijua yeye ni nani na rafiki yake pia alikuwepo kwenye yale maongezi,

"Yao mwanangu,hii siri nimeficha mda kwa mrefu uliopita ila leo ndio mda mwafaka wa kukwambia najua huwezi ukakumbuka vzuri kwa sababu ulikuwa bado mdogo sana".
"Mmmh siri gani iyo rafiki yangu uliyomficha mwanao??".

Lindiwe aliwaelezea kila kitu Prince Yao pamoja na rafiki yake na hii kuwafanya wote wasiamini walichokisikia.

"Unataka kuniambia wazazi wangu walinitenga kisa mimi ni kipofu????"
"Hapana sio kama unavyofikilia Prince Yao wanakupenda sana na......"
"Wananipenda kivipi yani wanipeleke mbali kisa mimi kipofu alafu useme wananipenda??"

Alinyenyuka kwa hasira na kusahau kuwa haoni alipo jaribu kutembea alijikuta anajikwaa na kuanguka chini ila hakutaka mtu yoyote amshike siku iyo.

"Wewe Prince Yao unaenda wapi huko huoni na huwezi kutembea peke yako???",Lindiwe alimuongelesha.
"Niacheni sitaki mtu yoyote anifate na wala sitatumia fimbo leo kutembea".

Alikuwa na hasira ambazo zilimfanya Lindiwe ajute maamuzi aliyoyafanya ya kumwambia ukweli ule.

"rafiki yangu naomba ukaonge nae wewe huenda atakuelewa".
"Hatutakiwi kukaa hapa inatakiwa tumfatilie kuangalia usalama wake mana haoni yule".

Walinyenyuka na kuongozana kumfatilia Prince Yao sehemu aliyoenda.

******************

Baada ya masaa manine kupita mfanyakazi aliye ionja kahawa kabra ya mfalme kuinywa alikuwa kwenye hali mbaya iliyopelekea, watumishi wenzake wambebe na kumpeleka katika chumba cha kupumzikia.

Upande wa Mfalme Kojo nae akiwa anaongea na Malikia Andwaa gafra alianza kutapika damu hali iliyopelekea Malikia kupiga kelele.

Watumishi mbalimbali walifika na kumwita daktari wa jumba la kifalme aliyefika na kuangalia tatizo la mfalme,
Alifika mtumishi mwingine nakutoa tarifa kuwa kuna mtumishi amepatwa na hali mbaya kama aliyo nayo mfalme.

"Hii inawezekanaje watu wawili waumwe ugonjwa unao fanana tena kwa pamoja??", Dakitari aliuliza na hamna mtu aliyemjibu.
"Daktari fanya unavyojua mfalme apone"
Malikia aliongea huku machozi yakimtoka.

Uchungunzi ulifanyika katika jumba la kifalme na iligundulika ni sumu kali ambayo ina msumbua mfalme pamoja na yule mfanya kazi wa jumba lile la kifalme,
Na waligundua baada ya kupima kikombe alichotumia Mfalme kunywea kahawa.

"Hii sumu aliyopewa mfalme ni kali sana na inaonekana imetengezwa na watalamu wa dawa za hasili".
"Dakitari hatuwezi kupata tiba ili mfalme apone???".
"Tiba pekee nikumtafuta mtu aliyetengeneza hii sumu na yeye ndie anayejua njia ya kumponyesha".

Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote..............ITAENDELEA.

Je? Malikia Andwaa atapata tiba ya kumtibu Mfalme na vip kuhusu Nailet atafanyikiwa kumpata Prince Yao ??? Huu mkasa sio wa kukosa

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

MFALME KIPOFU 19 -- 20

Sehemi..ya............19
Whatsapp.............0748697173
Ilipoishia sehemu iliyopita......
Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake...

ENDELEA NAYO.......
Aliendelea na safari ya kumtafuta mwanaume wa ndoto zake licha ya upofu aliokuwa nao mwanaume anaye mpenda ila bado aliamini ndie mtu sahihi kwake.

***************

Ni majira ya jioni Cheki akiwa anamtafuta mlinzi ili ampe tarifa kuwa yupo tayali kufanya kile alicho kuwa anakitaka,
"Nimekutafuta sana kumbe umekaa huku", Cheki aliongea.
"Nilijua utakuja...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mfalme-kipofu-19-20

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending 🐓 Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mfalme-kipofu
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............01  Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............01 Anza nayo...... Ni katika ufalme wa ADELI,majira ya usiku katika jumba kubwa la kifalme
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............08   Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............08 Ilipoishia sehemu iliyopita........ "Tarifa gani???" "Inasemekana baada ya siku tatu Prince
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............04  Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............04 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Farasi ilifika Lindiwe pamoja na prince Yao walipanda na safari ikaanza kutoka katika jengo
Story.....................MFALME KIPOFU  Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa  mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story.....................MFALME KIPOFU Ilipoishia sehemu iliyopita.. General Tengeli anataman kuwa mfalme na ndio sababu ilimfanya atengeneza jeshi
Story MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............02   Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
Story MFALME KIPOFU Sehemi..ya............02 Ilipoishia sehemu iliyopita... "Mbona unazunguka mtabili emu niambie mwanangu niliyemzaa leo anatatizo gani???
MFALME KIPOFU 12 na13
MFALME KIPOFU 12 na13
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............06     Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............06 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Chukua majani mawili ya mti wa ajabu nenda kayanyunyizie maji ya mto ADEYU
MFALME KIPOFU 11
MFALME KIPOFU 11
Story.....................MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU Sehemi..ya............10
Story.....................MFALME KIPOFU 9
Story.....................MFALME KIPOFU 9
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
Story.....................MFALME KIPOFU 8
Story.....................MFALME KIPOFU 8
MFALME KIPOFU  27
MFALME KIPOFU 27
MFALME KIPOFU  Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU Sehemi..ya............14
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
MFALME KIPOFU  21 -- 22
MFALME KIPOFU 21 -- 22
MFALME KIPOFU  25 -- 26
MFALME KIPOFU 25 -- 26
MFALME KIPOFU  17 -- 18
MFALME KIPOFU 17 -- 18
MFALME KIPOFU  23 -- 24
MFALME KIPOFU 23 -- 24
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE

363
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)

333
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE

316
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7

173
LETICIA Sehemu ya 19 na 20

LETICIA Sehemu ya 19 na 20

63
MFALME KIPOFU  27

MFALME KIPOFU 27

37
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17

30
MFALME KIPOFU  19 -- 20

MFALME KIPOFU 19 -- 20

29
MFALME KIPOFU  21 -- 22

MFALME KIPOFU 21 -- 22

29
MFALME KIPOFU  25 -- 26

MFALME KIPOFU 25 -- 26

27

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

12.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.69K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.9K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.65K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

3.09K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

3.03K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.85K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.74K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MFALME KIPOFU  27 Post Mpya
MFALME KIPOFU 27
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 27 (FINAL) Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Nawauliza Princess Nailet yupo wapi? alipotazama Pembeni hakuamini kuona mwili wa binti yake....... ENDELEA NAYO...... Mfalme Tengu alilia kama mtoto mdogo "Pole sana mfalme kwa kipindi kigumu unachopitia Prince...

MFALME KIPOFU  25 -- 26 Post Mpya
MFALME KIPOFU 25 -- 26
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 25 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno ya Lindiwe yalimfanya Princess Nailet kutabasamu nakutulia kuwaacha waongonzane watu watatu tu Malikia,Prince Yao na Amma mwenyewe kwenda kutafuta iyo dawa...... ENDELEA NAYO.......... Malikia andwaa aliongoza msafara wa...

MFALME KIPOFU  23 -- 24 Post Mpya
MFALME KIPOFU 23 -- 24
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 23 Whatsapp.............0748697173 ilipoishia sehemu iliyopita....... Maneno yale yalipenya kwenye masikio ya Amma na baadhi ya watu waliokuwa pale wakitazama tu badala ya kutoa msaada,Babaaaaa............ ENDELEA NAYO.......... "Baba amka",Amma alimwita baba yake, Aliye kuwa tayali amepoteza...

MFALME KIPOFU  21 -- 22 Post Mpya
MFALME KIPOFU 21 -- 22
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............ 21 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita........ Malikia alichanganyikiwa baada ya kusikia maneno yale ya dakitari Malikia aliita walinzi na ,kuwapa maagizo ya kuwakamata matabibu wote...... ENDELEA NAYO....... Walisubili pakuche msako uanze wa kuwakamata matabibu...

MFALME KIPOFU  19 -- 20 Post Mpya
MFALME KIPOFU 19 -- 20
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............19 Whatsapp.............0748697173 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Ni mapenzi ya ajabu aliyokuwa nayo Princess Nailet kwa Yao licha ya kumfahamu kwa mda mfupi tu lakini aliteka sehemu kubwa ya moyo wake... ENDELEA NAYO....... Aliendelea na safari ya...

MFALME KIPOFU  17 -- 18 Post Mpya
MFALME KIPOFU 17 -- 18
@mjukuu LIVE

Sehemi..ya............17 Ilipoishia sehemu iliyopita...... Lindiwe alitege sikio vizuri na kweli alisikia sauti emu njoo huku alimvuta Prince Yao pembeni na kujificha sehemu ni ngumu kuonekana. Namu sura ya General haikutoka machoni mwake alimuona...

MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17 Post Mpya
MFALME KIPOFU MtunziZooper ...................Sehemi..ya............16 & 17
@mjukuu LIVE

Ilipoishia sehemu iliyopita...... Asikari",Mfalme Tengu aliita kwa hasira "Nendeni mkawarudishe haraka" "Mfalme tayali wameshavuka mpaka" "Nimesema nendeni mkawarudishe" Waliondoka na kumuacha Mfalme akiendelea ..... SEHEMU YA 16 ENDELEA NAYO...... Waliondoka na kumuacha mfalme akiendelea kuongea na binti...

LETICIA Sehemu ya 19 na 20 Post Mpya
LETICIA Sehemu ya 19 na 20
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍 Nikasikia madam prisca anasema nyie uko jikoni mbona kama mnajibizana sana ,polela akasema amna madamu ,kisha akaondoka basi mwenzenu polela akawa ananisumbua kila siku ,yaani kila akiniona nipo peke yangu...

NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA 121 - 130 SEASON THREE
@majario LIVE

:121 Nilishtushwa na maumivu yake kabla sijafanya kitu, mama akawa anaingia, nikamzuia mama, mama alinitazama kisha Dorice, nikamuonesha mama Ishara asiseme kitu na badala yake atoke. Mama yangu ana upendo sana, alitii...

ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5) Post Mpya
ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
@majario LIVE

MPYA MPYA MPYA ⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️ ⚪️⚪️ Sehemu ya 1 na 2 Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha...

NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA: 109 - 120 SEASON THREE
@majario LIVE

109 Mwenzenu nimechambwaaa, nishanangwa siamini kama ndiyi nilifunguliwa mlango mimi, nikapelekwa mtoko mimi, na nikawa natumiwa ujumbe. Leo hii kwa ukali nafokewa macho yametoka mpaka natetemeka. Nilikuwa nimechoka sana. Sijui nini kiliendelea,...

CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7 Post Mpya
CHAGUO LA MOYO ❣️ 6 -- 7
@majario LIVE

NO 06 Niliamka na kwenda sebleni nikakuta johari haha amka naona itakuwa nimeamka mapema sana ilibidi nikae nimsubiri maana sikuwa najua vifaa vya usafi vinatoka wapi .........nilikaa...

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema “wewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.” Nikacheka nikisema “upoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

💥Kamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahçe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17 Post Mpya
💋ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO 💋 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu 📱 hapo hapo nilishikwa na machungu 😔 sana nilifuta namba yake kwa hasira😡nikaanza kulia 😭 kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest