ZARA❤️ MPYA ( 1 MPAKA 5)
⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️⚪️
⚪️⚪️
Sehemu ya 1 na 2
Ilikuwa ni siku ambayo nna raaha kweli kweli, nikiagana na rafiki zangu shuleni, ni siku ambayo tayali wanafunzi wa kidato cha nne tulishamaliza mitihani yetu na mwisho, na kesho mapema sana kila mtu alitakiwa kuondoka na kuelekea nyumbani, na mimi tayri nilishaongea na baba na akanimbia ananitumia dereva wa kuja kunifata na kunirudisha nyumbani mana yeye amebanwa sana, nilikiwa na rahaaaa sana, nilimmis sana mama yangu, yani sanaaaaaa, nilikuwa na kihere here sana na ada nimimis dada amanda, uyu ni dada amabe amenilea tangu nikiwa na mika 10 mana wazazi wangu mimi ni watu wa kazi so wanakuwa busy sana , na dada amanda ni dada amabe anatusaidia kazi nyumbani , yani nilikuwa natamani kupambazuke haraka niludi nyumbani jamaani, ahaaaaaaaaaaa, basi hii siku mm na rafiki zangu hatukulala kabisaaaa ni story tu dom mwanzo mwisho, yani ni rahaaaa tupu, apo nilishapanga kila kitu changu katika mabegi, yani nilikuwa nipo stand bay kwa kuondoka, aseeeee tuliongea mnoo , usiku mzimaaaaa yani mpaka.saaa 10 ile alfajir mimi binafsi ndo nalijiona nimechoka sana , nikapanda kitandani na nikapumzika , na asubuh na mapema tukaanza kuamshana likuwa ni vibessss mnooo, jamani kuondoka nyumbani rahaa nyieeee , mwaka mzima nipo shule especiallay huu mwaka wa nne, hatukurudi likizo kabisaaaaaa ni tuligongeka kweli kweli, so nilichoka maisha ya uku shule na nilikuwa natamani sana kwenda nyumbani
So tulikuwa na rahaa sana.na ndo siku ambayo tulikuwa tunamaliza kidato cha nne, yani tulishafanya mitihani kabisaaa, na hii siku sasa ndo baba alikuwa kanitumia dereva anifate uku arusha niliposoma na aniludishe tabora isevya ndo nyumbani kwetu, na baa yangu mm ni mwalimu wa chuo cha ualimu ngazi ya diploma na yeye ndio mkuu wachuo, na mama yangu mm ni daktari mkubwa katika hospital kubwa ya tabora , so kwefu sisi jamani mpunga upo , ila nashukuru tu kwa kweli, so ata mm nimesoma arusha marian girls private school na ada nilikuwa nalipia milion 4 kwa mwaka mmona, na nimeanzaa tangu primary mm kukaa bweni na kusoma shule za private mpaka namaliza form four, so kwa kiasi flni sijakulia katika mazingira ya shida kabisaaaaa,
Jamani mm naitwa zara jackson nyalugwe, mm ninmtoto wa pekeee kwetu, yani kwa baba yangu na kwa mama yangi, mm ni binti nnayependwa sana na wazazi ,asa baba jamani, yani uwiii baba ananipendaa mnoo,yani baba ananilea kwa kunidekeza kweli kweli, nnachokumbuka mpaka huu mda mm namaliza kidato cha nne, baba yangu hakuwahi kunipiga ata siku moja, ata mma sikumbuki lini ni alinipiga labda kunisema tu, mimi bwana ni mnyamwez wa uko tabora isevya na ndio tunapoishi ila mama yangu ni msukuma wa geita, na mimi ni binti wa kawida tu, siwezi kusema.mm ni mzuri sana wala ni mbaya sana, ni binti wa kawaida , na ni mweusi pia , mie shepu wala sikujaliwa ,ila nashukuru nipo kazuri tu, na mimi bwana ninapenda kudeka sanaaaa, yani napendaa kudeka mnooooo asa kwa baba yangu
Badi bwana , kwakuwa kulishakucha haraka nikaanza kujiandaa kwa ajili ya saferi yngu ya kurudi nyumbani, mana nilishajua dereva wetu lmzee lazak atakuwa kashafika kunifata mana ni mtu makini sana ,basi nilipotoka kuoga nikavaaa traks zangu, na nikapendeza mnoo, baada ya apo sasa, nikatoka njee na mabegi yangu, nikakuta na.wenzangu kila mtu yupo assemble na mabegi yake kusubili wazazi,mana sisi shuke yetu , ni lazima tulikuwa na rahaaa mnoo, basi kila mtu akawa anafatwa na wazazi wake , mie nikawa nimetulia sasa namngoja dereva we tu mzeee lazaki ili anipeleke nyumbani, jamanii nilikaaaa kuanzia asubuh mpaka saa 5 sijaona gari ya nyumbani, yani wenzangu ni wazazi wao wanafika wanachukuliwa wanaondoka mm ni nimetulia tu ata sioni dalili , aseeee nilichukia nikaenda kuomba simu kwa mwalimu kwanza kisha nikapewa
Nikampigia simu baba , nikasema baba shikoamoo, baba aksema.marhaba mrembo wangu vp ameshafika dereva, nikasema.baba kwani imekuwaje mbona mpka.sasa sijafatwa wenzangu wote ni wanaondoka kwa nn unanaifanyia hivi, mi nishachoka kukaa shule jamani, bab akanambia ahaa sory jamani mtoto wangu, sikia ni hivi mzeee alfani kwa sasa amestafu kazi, kuna dereva mpya tumemuajili ndo anakufata ,ila alinambia njiani kulikuwa kuna shida kuna sehemu alikuta kuna ajali nahisi apo ndo kumemsimamisha na kumchelewesha , ila atakuwa anakalibia kufika punguza hasira malkia wangu sawa, nikasema no dady ebu lipigie ilo dereva lako jipya liambie liwahi kufika nimechoka sana baba, kukaa uku arusha nna hamu sana na mama yangu ,sasa mpaka.sasa hivi hajafika apa.unazani inakuaje baba, si ntafika uko usiku sana lakini
Baba akanmbia muhimu kufika binti yangu, ata ukifika usiku kuna shida gani na unarudi nyumbnai na mma atakuwa anakungojea kwa hamu ebu tulia nampigia simu sasa hivi kumuulizia amefika wapi sawa, nikasema.sawa dady ,basi nikamrudiiashia simu mwalimu kisha sasa nikarudi kutulia na wenzangu nikiendelea kusubir , aseee jamni nilikaaa mpaka saa 7 mchana sioni dereva wa bab wala nini nilimind mnajua nilichukia yani tulibaki wachache mnooo, mpaka hamu ya kurudi nyumbani ikaisha kabisaaaa, aseeee nilikuwa na hasira sana , nikaw nimenuna pale kweli kweli, yani saa 8 mchana ndo naona gari yetu ya nyumbani inaingia, naifahamu ni harrier nyeusj, na hii ndo kama.baba alininunulia mm na huwa naendeshwa nayo sana nikiwa nymbani, pale kisha akashuka kijana wa mkamu, alikuw ni mkaka mkubwa tu nikamkadilia umri anafika mika 30 uyu kaka, apo mm nilikuwa na mika 17, basi yule kaka alivyofika nikaona kaingia kwaenye ofisi ya walimu
Na baada ya mda akatoka mwalimu sasa, akaja kuniita akasema zara tayali dereva wa baba yako kashafika naomba ubebe mabegi yako usogee pale ili muweze kwenda nyumbani nikasema.sawa, ila nilikuwa nimechukia sana kwa nn achelewe kufika nyumbani mpumbavu uyu, basi nikavuta mabeg yangu mawili mpaka pale alipopark.gari, nilipofika nikayabwaga njeee yale mabeg pale, nikamwambia naomba uingize hizo begi ndani ya gari harakaa, yani niliongea ile kauli ya mamlaka kweli kweli, basi yule.kaka akaja akaninua mabegi yangu kisha akaweka kwenye buti ya gari , alafu akapnda nadani ya gari, apo mm tayari nilishapanda na nilikaaa mbele nikiwa nimevuta mdomo kweli kweli yani nilichukia mnoooo , basi yule.kijana akanambia ahaaa hujambo , wala.sikumjibu , sijuh alitegemea natamuamkia na hjvi kanitibua nilimkalia kimyaaa, yule kaka aksema okey mm naitwa melvin ndio dereva mpya pale kwenu zara ,samhani kwa kuchelewe nilikuta na ajali kubwa maeneo ya babati imasababaisha foleni kubwa ndo mana nimechelewa samahani sana
Nikasema.ww bwana ebu endesha gari unajiongelesha nn, umeshanichelewesha nimekaa apaa kutokea asubuh mpka.sa hizi saa 8 ndo unafika ,.kisha umefika badala unipeleka nyumbani, unaanz akuniongelesha ujinga ebu niendeshe mimi niende kwetu nikapumzike nimechoka san, yule kaka akaningalia tu kisha akasem sawa madame, na taratibu akaanza kudrive sasa, nilikuwa nimenuna mnooo, yani nimenuna kweli. Nikalaza siti na nikajipumzisha , basi uyu dereva akawa kimya na yeye ana drivee tu ,
Mpaka saaa 11 jioni tukawa tushaingia babati na tukaanzq kuitafuta singida, nikamwambia wewe naomba utafute sehemu nzuri nipate kuchukua chakuraa mana nasikia njaa sasa , uyu kaka akaningalia kisha akatabsamu alafu akanmbia
Zara unajua ww ni kabinti kadogo sana mm apa nnavyoongea na ww nna miaka 30, ila.ata siku mona sijawahi kiumzaliau mtu na huwa naongea ana kila mtu kwa heshima na kwa aadubu ata awe mdogo au mkubwa ,wote mm nawaheshimu, kwa nn wewe hauna heshima na wakati umetoka.shule.sasa uko shule.ww umejifunza nn , au kwa nn unaniongelesha vibaya mimi., aseee hii tabia unayo ionesha kwangu sio tabia nzuri, kama.issue ni kuchlewa kukuafata nimekueleza vizueri kuwa ni bahati mbaya nimechelewa sababau nilikutana na ajali plssss nakuomba uwe na adabu na mm, mana mm nyumbani nma wadogo zangu wakubwa kukupita ww na wananiheshimu kweli.kweli , hivi mnamsikia uyu mpumbvu nyoko nn, nikasema khaaaaa sasa nimekuzalau nn we mjinga nn, alafu maskini sijuh mnakuwaje na hizi akiri zenu ebu nipeleka mm nikapate chakura njaaa inaaiuma, uyu kaka aknmbia ahaaa sawa tajeer sasa mm sijupeleki kula kokote mpka utaponiongelesha kwa heshima, na ukifanya masihara utafika mpaka tabora hujala.ww, mi nikamsonyaaaa uyu kaka, khaaaaaa ,yani ndo kwanza tumeonana leo ila tayari tulishatibuana kabisaaaa
Itaendeleaaaa.......................
Aseeeeeeeee ni shidaaa hii kazi, mtainjoy sana watu wangu❤️💎🔴 , njooo inbox na buku tu ujipatie❤️
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
Maoni