Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17
Gonga94 ยท Stories

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

SEHEMU YA 16
Denis hakujibu kitu alikata simu ๐Ÿ“ฑ hapo hapo nilishikwa na machungu ๐Ÿ˜” sana nilifuta namba yake kwa hasira๐Ÿ˜กnikaanza kulia ๐Ÿ˜ญ kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu mtu anayemchumbia ni mtoto wa mama yangu wa kambo ada bado sijamaliza sijalipa na kodi inaisha mbona patamu wahenga walisema siku ya kufa nyani miti yote huteleza .

Niliwaza hadi nikapitiwa na usingizi nilikuja kuamka asubuhi muda wa kwenda chuoni uzuri sikupanga mbali sana nilijiandaa taratibu nikaenda chuo.

Nikiwa nawahi maana nilichelewa sikuliona gari ๐Ÿš™ lilikuwa linakuja nalo chuoni maisha bhana wengine wanakuja na magari basi bhana lilinigonga likanidondosha pembeni nikawa nimechubuka kidogo kwenye mguu alishuka mdada mmoja ambaye nasoma nae na sinaga mazoea naye hata siku moja anaitwa Gladness akaja hadi nilipoangukia huku na watu wengine wakisogea sogea.

Sorry umeumia sana nikupeleke hospitali ๐Ÿฅ yule dada aliniuliza huku akinipa mkono nisimame . Hapana sijaumia nilitaka kusimama lakini nilishindwa . Ngoja tu nikupeleke tu hospitali๐Ÿฅ , watu walinisaidia kuniingiza kwenye gari ๐Ÿš™ yake akanipeleka hospitali kutibiwa.

Tulifika hospitali nikapokelewa na wauguzi nikapelekwa kwenye chumba mara akaja mkaka ilionekana wanafahamiana na Glad , Ushafanya maafa gani tena umenitoa kikaoni sasa hivi. Kaka nimemgonga mwanafunzi mwenzangu bahati mbaya i need your help , Sawa yule kaka alinitibia mguu ulikuwa umeteguka . Utaendelea vizuri shida haikuwa kubwa apumzike tu na wewe G naomba siku nyingine uwe makini nitakupokonya hilo gari ๐Ÿš™ utaniletea kesi kwa baba wakati alinikataza nisikupe. Samahani kaka halitojirudia , Sawa mnakula nini niwaletee .

kaka chips na kuku tu Glad alijibu yule kaka aliondoka .
Tunasoma darasa moja ila sijawahi kuwa karibu na wewe mbona kama una stress maana nilipiga honi hujanisikia una shida gani ๐Ÿค” Glad aliniuliza , Asante kwa kujali naomba unisaidie nipate kazi ili niweze kumudu maisha yangu sina msaada wowote ule nadaiwa ada na kodi sijui hata natoa wapi ? Pole aliyekuwa anakulipia mwanzo imekuaje ๐Ÿค” amekataa kulipa tena ana majukumu mengi sasa hivi.

Aisee pole ngoja nijaribu kukutafutia kazi unaitwa nani mwenzangu . Naitwa Nelly , ooh jina zuri mimi ni Gladness aliyekuhudumia ni kaka yangu wa tatu kuzaliwa akitoka yeye ndio nafuatia mimi yeye ni daktari wa hapa imekuwa kama bahati anahusika na mifupa . Nimefurahi kumfahamu mara chakula kililetwa tu na mtu na hivi nilikuwa sijala toka asubuhi ๐ŸŒ„ nilikula sana . Mida ya jioni niliruhusiwa Glad alinirudisha hadi ghetoni kwangu ile nimeshuka tu mwenyenyumba ๐Ÿก alikuwa amekuja kudai kodi yake maana ilibidi nimpe toka jana muda huo Glad alikuwa hajaondoka bado.

MWISHO WA KIONJO

17

Nimekuja muda kweli sijakukuta na leo ndio ulinihaidi unanipa hela ya kodi . Dada ni kweli ila naomba unipe siku mbili nitakupa hela yako nilipatwa na matatizo nimetoka hospitali sasa hivi si unaona nina bandeji kwenye mguu.
Hilo mimi sijali mama yangu anaumwa anahitaji pesa ya matibabu halafu na wewe unanipa sound huna hela toka nipangishe mwingine . Mtoto wa mwenyenyumba ๐Ÿก alikuwa mkali kama kalamba pilipili kichaa Glad alishuka kwenye gari ๐Ÿš™ , Dada samahani lakini si umemuona mwenzio ni mgonjwa . Sijakupangisha wewe kaa kimya, mhh Glad aliguna kwani, unamdai kiasi gani dadam? Glad aliuliza namdai kodi ya miezi minne laki mbili .Sawa nitajie namba yako nikurushie kwenye simu sina cash yule dada alitaja namba yake Glad akamtumia hiyo hela. Nadhani tumemalizana mpe mkataba wake , nilipewa mkataba mpya mbele ya Glad nilimshukuru sana nikamuhaidi nikipata kazi nitamrudishia hela yake. Usijali Nelly ugua pole Glad aliniaga kisha akaondoka zake nilikuwa siamini kama nimelipiwa kodi na mtu niliyezoeana nae kwa siku moja tena kwa majanga
.

Kesho yake asubuhi ๐ŸŒ„ niliamka nikajiandaa kwenda chuo taratibu nilifika nikaenda darasani kukaa, Sikuwa na furaha nina mawazo kichwani namfikiria Denis mwanaume aliyenifungulia dunia ya mapenzi akanijali na kunipenda leo hii hila ya mama yangu wa kambo na mama yake mzazi imefanya tuachane na kwenda kumchumbia mtoto wa mama yangu wa kambo kwangu ilikuwa ngumu kulipokea hili nikiwa katikati ya mawazo mara akaja Glad mahali nilipokaa , naona unaendelea vizuri mgonjwa wangu hadi umepata nguvu ya kuja shule. Naendelea vizuri namshukuru ๐Ÿ™ Mungu nilimjibu , Jambo zuri mrembo wangu nina habari njema kwako nahisi utafurahia , niligeuka nikamuangalia vizuri Glad habari gani njema hiyo, Habari gani hiyo Glad ๐Ÿค” nilimuuliza niliongea jana na

kaka yangu kuhusu kazi nikamuelezea na hali halisi ya maisha yako ya sasa kanikubalia ukamfanyie usafi kwenye nyumba yake ili upate hela ya kujikimu kwahiyo leo tutaenda wote tukitoka chuo ukapaone then uanze kazi .Wow nimefurahi sana kusikia hivyo sijui nikupe nini Glad zaidi ya shukrani kwako, Usijali maisha ni kusaidiana leo kwako kesho kwangu. Nilitamani ningeonana na Glad toka muda mrefu ila kila kitu na makusudio yake .

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17


SEHEMU YA 16
Denis hakujibu kitu alikata simu ๐Ÿ“ฑ hapo hapo nilishikwa na machungu ๐Ÿ˜” sana nilifuta namba yake kwa hasira๐Ÿ˜กnikaanza kulia ๐Ÿ˜ญ kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu mtu anayemchumbia ni mtoto wa mama yangu wa kambo ada bado sijamaliza sijalipa na kodi inaisha mbona patamu wahenga walisema siku ya kufa nyani miti yote huteleza .

Niliwaza hadi nikapitiwa na usingizi nilikuja kuamka asubuhi muda wa kwenda chuoni uzuri sikupanga mbali sana nilijiandaa taratibu nikaenda chuo.

Nikiwa nawahi maana nilichelewa sikuliona gari ๐Ÿš™ lilikuwa linakuja nalo chuoni maisha bhana wengine wanakuja na magari basi bhana lilinigonga...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ila-boss-anajua-kupeleka-moto-16-17

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending ๐Ÿ“ Follow the ommy khan Tanzania channel on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VbCg0JyFsn0hCN1ByD44

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ila-boss-anajua-kupeleka-moto
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
*ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO* *1-5* *
 ๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 8,9,10
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹  11....15
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 6 na 7
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89

1.7K
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO

558
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“

252
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹  11....15

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15

171
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17

63
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 15

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15

59
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 13

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 13

43
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 12

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 12

42
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.

42
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108

42

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.99K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.67K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.9K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

3.07K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

3.02K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.87K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.84K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.73K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.7K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108 Post Mpya
NAKUPENDA BILA MIPAKA SEASON THREE 101 - 108
@majario LIVE

:101 Nimeingia tu chumbani, rafiki yangu alikuwa amejilaza akakaa ananitazama, ni kweli alionekana kama vile katoka kulia. Hakunipa nafasi hata akasema โ€œwewe mtoto, unanukia kama kajini kakitajiri.โ€ Nikacheka nikisema โ€œupoje jini la...

mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan. Post Mpya
mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi hao ni Muhtasham na mkewe, Ihsan.
@majario LIVE

๐Ÿ’ฅKamera zilikuwa zikiwanasa mara nyingi wakiishangilia kwa pamoja katika klabu ya Uturuki ya Fenerbahรงe, na wakawa kama moja ya kielelezo cha mapenzi ya kweli ndani ya mchezo wa soka, Wapenzi...

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO ๐Ÿ’‹ 16 -- 17
@majario LIVE

SEHEMU YA 16 Denis hakujibu kitu alikata simu ๐Ÿ“ฑ hapo hapo nilishikwa na machungu ๐Ÿ˜” sana nilifuta namba yake kwa hasira๐Ÿ˜กnikaanza kulia ๐Ÿ˜ญ kilichokuwa kinaniumiza zaidi ni kuachwa bila kutarajiwa halafu...

Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika ๐Ÿ˜‚ Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ Post Mpya
Anaitwa Ramadhani Chobwedo (MBEUMO) wa Kubanika ๐Ÿ˜‚ Chezaji la Kukamia Mechi Kubwa. ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ
@majario LIVE

Binafsi bado sijaona cha kunishawishi kwa huyu mwamba tofauti na wengine wanavyompa Hype. Niliangalia mechi zote mbili walizocheza TRA United na timu za Kariakoo, kiufupi mwamba alikuwa Anajitutumua ili aone...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 90 MWISHOOOO
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Na kama ni kweli zena kanizungukia namshukuru mana nilikuwa nishapotea sana lakini yeye ndo kaniludisha kwenye mstari, yani imetulia.sana.na ninawaza maendelea tu na familia yangu , mpaka sasa...

BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“   SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“ Post Mpya
BILLIONS OF LOVE๐Ÿ’“๐Ÿ’“ SEHEMU YA "14_15"๐Ÿ’“
@majario LIVE

( alikuja kama muuza chai kumbe ni Billionea) nikalala wee kukakucha mapema sanaaa Nikakusanya ndoo zangu zilizojaa bites huyoooo site kwangu Nikafanya usafi pale nikapanga kabati langu nikaweka mzigo nikakaa...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 88 na 89
@majario LIVE

Basi nikajikuta usingiz umenipitia kabisaa, nahisi ni ile kuchoka na mawazo sana, nikaja kustuka ni mida ya usiku hivi, kwa pembni naona wanangu , arshaina ndo wa kwanza akananza kunipandia...

๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹  11....15 Post Mpya
๐Ÿ’‹ILA BOSS ANAJUA KUPELEKA MOTO๐Ÿ’‹ 11....15
@majario LIVE

Sawa mke wangu kipenzi nashukuru kwa kunijali, Denis aliondoka hadi gari ๐Ÿš™ lilivyokata kona na mimi nikaingia ndani nilibadilisha nguo nilizovaa nikaenda sokoni kununua nyama na mchele nikaja kupika chakula...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 15 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15
@mjukuu LIVE

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 15 (๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Alex anazidi kumshindua kungwi kwa raha zake mpaka na yeye akakojoa... Alex alikaa kwa kungwi...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 14 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 14
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Mke wangu umeenda kijijini kumpa mwanangu mimba?. ( Yani aliongea uku amemkwida mama asma...na hapo akatokea msamalia mwema akamshika...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 13 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 13
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) Siku ambayo kwakweli nilifanya mapenzi na asma kwa raha sana nilimlamba kila Kona na kiu aliitoa na yeye...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 12 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 12
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) ๐Ÿ‘‰ Asma akasogea yupo tayari kuvuliwa nguo nimpe utamu, Dah yani....๐Ÿ‘‡ Kidume sikutaka kuchelewa maana penzi la wizi wizi hili, Nilimvua...

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11 Post Mpya
๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹KIJIJI CHA UTAMU๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 11
@mjukuu LIVE

(๐Ÿ”ž) (HII NI SIMULIZI YA WAKUBWA TU NA WAKUBWA WENYEWE WALE WAPENZI WA CHOMBEZO) ๐Ÿ‘‰ Unajua mbwana yule mjumbe anatoa...๐Ÿ‘‡ Ushilikiano kitandani utasema kijana yani uno kama lote mpaka nasema kimoyoni enzi ya...

IN LOVE WITH ZURI*   *Chapter 9&10* Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* *Chapter 9&10*
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Upande wangu nilikuwa zangu chumbani, nikijiandaa kwa ajiri ya kutoka kwenda kurefresh kidogo, nikiwa najiandaa mara Ethan huyu hapa alikuwa mnyinge kweli "Vipi tena??" Nilimuuliza baada ya kumuona amekuwa mnyonge gafla "Acha...

IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8 Post Mpya
IN LOVE WITH ZURI* Chapter 8
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Ethan akazungumza "Hakuna cha kukata tamaa, kwani we nani amekwambia kuwa ameolewa..??" "Ni mama.." Nilimjibu huku nikiwa nimekata tamaa zaidi "Sasa mama wewe unamuamini vipi??, kama amekuongopea?? We cha kufanya anza kumtoa mtoto...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest