Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1
Gonga94 · Stories

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

NAKUPENDA BILA MIPAKA:46
Nilimwambia “nina kichukulio?, Dorice natamani unielewe huyo mwanaume alivyo kwanza Hapana sitaki, na unajua mimi kwasasa akili ni mwanangu tu na hata hivyo hawezi kunitaka mimi. Kwa kipi Labda, yeye na huyo dokta wanaendana.”

Dorice alinitazama na kusema “una shida gani sijui.Mwanaume mmoja kukuumiza basi unachukia wote. Na Nani amekuambia kuwa huna uzuri. Tuachane na yote ni Nani amesema kuwa mama ndiyo mwisho wako hakuna wa kukutongoza.

Sikia nikuambie kipenzi, umri wa huyo muanko usikutishe Hana üzee kwanza wenye pesa hawazeeki kila mtu anataka nafasi ya kuishi vizuri. Kuzaa ni baraka, tunakosea tunainuka tena.

Watu wameolewa na hawana watoto kukicha wanakesha kwa waganga, wengine watu wazima hawana hata namna ya kupata mtoto sikia mshukuru Mungu usikute bila huyu mtoto hata hii kazi usingepata.

Hata hivyo huyo dokta mpaka amekuwa mkubwa kwetu hajaolewa ana kazi ya kumendea tu mpuuzi kabisa, mimi tu na umri huu 30 sina hata huyo mtoto Kama wako sio Kama sitamani Ila ndiyo nabembeleza penzi.”

Halafu alianza kucheka akisema “wewe si amesema usiende kazini tuliaaa tulii, maombi yangu Leo mama huko awasumbue wakome wajue umuhimu wako.”

Nilitabasamu na kusema “tena ni kazi rafiki yangu, si unajua mtu mzima yule, umtoe kitandani umuweke kwa kiti, umbadilishe nguo zake, hawezi chochote.”

Dorice alinitazama na kusema “nakuelewa Ila wewe ndiyo kazi yako sasa jikaze.”

Nilitabasamu na kumtazama mwanangu, Dorice alisema “anaita huko wacha niende.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:47
Nilitabasamu na kusema “hakuna shida kipenzi, kesho nitakuja ukitoka kazini.”
Dee alitabasamu akisema “uje ndugu yangu maana na wewe sasa ushakuwa adimu.”

Nikacheka nikisema “unafiki tu kazi siku 2 nishakuwa adimu.”
Tukacheka huku akitoka.Alipofika mlangoni akasema “Sikia binti, huo upole wako na unyenyekevu achana nao wewe sio sista unanielewa. Huyo Muanko akijaribu tu hata Kama hajasema wewe kubali.”

Nilijikuta nacheka nikisema “hivi una kichaa.”
Alicheka akisema “Nani hataki kuwa wa kishua sasa, changamka mjini hapa na mimi niwe na ndugu tajiri Labda utaniambukiza.”
Nilijikuta nacheka, anawaza vitu ambavyo kichwani hakuna kabisa.

Alitoka, mimi nipo tu hapo na kiswaswadu changu naangalia ule ujumbe halafu nasema “sasa itakuwaje mimi sina pesa zaidi ya hii ya Leo. Anapenda sana kuharibu mipango huyu Dokta.”
Nilimtazama mtoto wangu na kusema “Usiku mwema Priya wangu. Utakuwa sawa.”
Nikajiandaa nikaoge maana kusema kweli nilikuwa nimechoka sana. Kazi ya kumtunza mama sio rahisi kumbuka ni mtu mzima halafu hajiwezi Kwahiyo ni mimi tu uzuri vitu vyake ni vya kisasa sana, vinanisadia muda mwingine bila hivyo ilikuwa ni ngumu sana.

Baada ya hapo nilirudi zangu kitandani, Nikajikaza Kama mzigo nilikuwa nimechoka. Sasa hapo nipo nawaza tu kuhusu maneno ya Yule mama halafu nasema “Mungu, sasa nitajua vipi. Nikipata nafasi ya kukutana naye nitamuuliza maswali zaidi.”
Nilijilaza.

Nililala usingizi huo Kama siamki tena. Mama alikuja niamsha akisema “mwanangu, mwanangu amka kazini huendi Leo?”
Huku nalalamika nilisema “mama lakini, Niache mwenzako nilale kidogo nimechoka sana unajua. Kazini Leo mapumziko.”

NAKUPENDA BILA MIPAKA:48
Mama aliniuliza “mapumziko?, kwani Leo juma ngapi?. Kama huendi kazini amka basi tusaidiane kazi maana Leo Ukiachana na kuuza kuna mahali wana shughuli wanataka maandazi Kwahiyo bado tutapika mpaka basi Leo.”

Nikalalamika nikisema “mama lakini?”
Mama alinivuta shuka akisema “wewe kulala tu, amka upesi.”
Basi niliamka, Nikamtazama Priya bado alikuwa amelala na nikamsalimia mama.Mama aliendelea kuongea Kama unavyojua tena mama zetu, ooh mtoto wa kike mvivu, kalienda kakarudi mimi nilinyamaza tu kimya.

Tulifanya kazi kwa kusaidiana, Baada ya muda mwanangu na yeye aliamka nilimpa dawa na kumuhudumia kwa chakula na kuoga. Namshukuru Mungu mwanangu aliamka na Afya njema tofauti na ulegevu wa Jana. Wakati mama anaendelea na mambo yake niliandaa chai na mimi nilikaa ili ninywe. Vile nakunywa chai kaka Baraka alifika.

Nilimwambia kwa upendo “karibu kaka yangu.”
Aliniambia kwa furaha “dada yangu kipenzi, nina njaa balaa.”

Nilitabasamu nikisema “wewe tena na kula.”
Akacheka kidogo, alikaa nikaandaa chai na kusema “haya karibu.”

Alikunywa na kusema “ankali wangu anaendeleaje?”
Nilimtazama na kusema “anaendelea tu vizuri Namshukuru Mungu.”

Akanitazama halafu aliniambia “sister kusema kweli naona aibu, najua una vipengele vyako lakini Leo nimekwama. Nina shida na elfu 5 tu.”

Nilimtazama na kusema “lakini kaka?”
Aliniambia “dada usiseme kitu najua, najua umeanza kazi Jana tu hapo, najua mtoto anaumwa na unajua huwa sio tabia yangu tafadhali.”


Nilimtazama na kusema “najua kaka, lakini kaka yangu Baraka. Jitazame ulivyo mzuri, jitazame ulivyo na afya njema, jitazame kaka yangu. Mimi ni mdogo wako, unajua nakupenda na najivunia sana kuwa na kaka Kama wewe.

NAKUPENDA BILA MIPAKA:49
Tafadhali kaka, muonee mama huruma, tuonee huruma. Tangu baba alipofariki wewe ndiyo mwanaume tupo naye. Unaonaje ukatafuta kazi, tukasaidiana majukumu. Mimi nikileta unga wewe unaleta mboga.

Haitoshi kaka kesho na kesho kutwa umepata mtoto, huyu ni baba unataka mtoto wako ajivunie. Naomba usikasirike kaka Nakupenda sana. Tazama marafiki zako, Kama mnakaa mnajivunia tabia mbaya badilisha kaka.

Wewe ni baba yetu, mwanangu baba Hana ana wewe tu, huoni Hilo lakini. Natamani ungejua mama anavyokuwa anakuombea, unataka kusema Mungu Hana maana ameshindwa kubadilisha kiumbe alicho kiumba?”

Kaka yangu machozi yalikuwa Kama yanamtoka, na mimi pia. Nilimwambia “usinijibu kitu kaka, tule halafu tukimaliza tuongozane mpaka kwa wakala.”
Kaka yangu kweli alinyamaza, hakusema kitu chochote kile alikaa kimya.

Hatukula hata vizuri, niliondoa vyombo nikamwambia kama yangu “twende kaka.”
Kwa upole maskini maneno yangu yanaonekana yalimgusa. Nikamwambia “nisubiri naingia ndani sasa.”

Nikaingia, nikachukua simu na kutoka. Sasa simu yangu nilikuta na missedcalls Kama 10 hivi, kutazama namba mpya. Moyoni nikajiuliza “sijui hata atakuwa Nani namba mpya hii.”

Kwakuwa kaka yangu alikuwa ananisubiri Ilibidi niongozane naye. Mama aliita akisema “mnaenda wapi Tena wanangu?”
Nikacheka nikisema “hapo anataka kujua roho inarukaruka.”
Baraka alicheka na kusema “tunarudi mama.”

Mimi Nikacheka tu na kusema “muangalie mjukuu wako, mimi na kaka yangu tunatoka.”
Niliona tabasamu la mama yangu, ni kila mzazi anapenda kuona watoto wake wanaelewana.

NAKUPENDA BILA MIPAKA:50
Basi nilifika kwa wakala, nikatoa pesa na kumpa kaka yangu elfu kumi. Alinitazama na kusema “Mungu akubariki sana dada. Sitaki kuzungumza sana. Lakini dada nakuahidi nitabadilika.”

Nilijikuta namkumbatia nikisema “nakuombea kaka yangu kipenzi.”
Alitabasamu akisema “wahi nyumbani sasa, Mimi naenda mishe.”
Nilitabasamu na kusema “kuwa makini kaka yangu.”

Alitabasamu na kunipungia mkono. Ukiona sasa alivyo vaa kipensi kimechanika ovyoovyo, kaka yangu mzuri sana Ila sasa alivyo ukimuona unajua tu huyu muhuni, ukimuona unajua kabisa huyu ni bamtu.

Ilikuwa mida ya saa 6 mama bado anachoma maandazi mimi nikaona nioge kwanza nipate nguvu.

Nikawa nimeingia bafuni, nimerudi chumbani ile nakaa tu ile namba inapiga tena. Nilitazama na Kisha nikapokea. Vile napokea tu nikasikia naitwa “Nazwi!!”

Nilishtuka, hii sauti sijaisikia Mara nyingi lakini Nina uhakika ni boss. Niliitikia kwa upole “Abee.”

Aliniambia tena kwa kunyooka “Unaongea na Mr Gallen, Tafadhali fanya unavyofanya nahitaji ufike hapa haraka sana.”
Nilishusha pumzi na kusema “lakini!!!”
Kabla sijamalizia alisema kwa kumaanisha “Hakuna cha lakini, nakusubiri.”

Simu ilikata, nilishusha pumzi na kusema “ni nini tena mbona nazungushwa Kama mtoto mdogo. Leo Nikienda huko wana majibu ya kunipa sitaogopa.”

Nilijikuta nimechoka, unajua vile unaambiwa Leo usije mahali umeshaandaa akili yako na mambo mengine halafu ghafla unaambiwa tena uende hiyo sehemu wakati hukuwa na akili hiyo. Basi nikawa tu najiuliza maswali na kujijibu. Ndiyo natakiwa niende maana kazi kuitaka naitaka Ila bosi wangu sasa ni huzuni.
NAAAAAAAAAAAAM
HAPA NDIYO MWISHO WA SEASON ONE
SEASON TWO INAPATIKANA

Maoni

You're not logged in


Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1


NAKUPENDA BILA MIPAKA:46
Nilimwambia “nina kichukulio?, Dorice natamani unielewe huyo mwanaume alivyo kwanza Hapana sitaki, na unajua mimi kwasasa akili ni mwanangu tu na hata hivyo hawezi kunitaka mimi. Kwa kipi Labda, yeye na huyo dokta wanaendana.”

Dorice alinitazama na kusema “una shida gani sijui.Mwanaume mmoja kukuumiza basi unachukia wote. Na Nani amekuambia kuwa huna uzuri. Tuachane na yote ni Nani amesema kuwa mama ndiyo mwisho wako hakuna wa kukutongoza.

Sikia nikuambie kipenzi, umri wa huyo muanko usikutishe Hana üzee kwanza wenye pesa hawazeeki kila mtu anataka nafasi ya kuishi vizuri. Kuzaa ni baraka, tunakosea tunainuka tena.

Watu wameolewa na hawana watoto kukicha wanakesha...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nakupenda-bila-46-50-mwisho-s1

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nakupenda-bila
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
NAKUPENDA BILA MIPAKA 1 - 12
NAKUPENDA BILA MIPAKA  36 - 45
NAKUPENDA BILA MIPAKA 36 - 45
NAKUPENDA BILA  13 - 25
NAKUPENDA BILA 13 - 25
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
NAKUPENDA BILA MIPAKA 26 - 35
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

1.3K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

1.1K
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

824
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

218
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

122
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12

118
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1

75
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

68
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "11"💓😽

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "11"💓😽

36
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,

15

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.86K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.58K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.86K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.38K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.98K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.98K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.76K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.64K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290. Post Mpya
🚨😱 imebainika kwamba shati ya kocha mkuu wa Manchester City, aliyoivaa Kwenye mchezo dhidi ya Real Madrid, ina thamani ya Euro 290.
@majario LIVE

kwa makadirio ya kubadilisha fedha, Euro 290 ni takriban shilingi za tanzania (TZS) 750,000 hadi 780,000 (kulingana na kiwango cha ubadilishaji cha sasa cha karibu TZS 2,600–2,700 kwa dola 1). hii...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "11"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "11"💓😽
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" "(Alikuja kama muuza chai)" “Twende huko na wewe mi siyo mchawi nilikuwa najilinda tu Faster boda akaongeza speed ili asilipoteze lile gari Yule jamaa akaendesha mpaka huko mjini zaidi...

 Increase Earnings from Pakistan → Get +10% Bonus!  Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan 🇵🇰 Post Mpya
Increase Earnings from Pakistan → Get +10% Bonus! Hello Partner! This week the spotlight is on Pakistan 🇵🇰
@majario LIVE

. If you increase your earnings from this GEO by 25% or more compared to last week, we’ll reward you with a +10% bonus on top. How Your Earnings Can Grow...

Fainali ya SIMBA 🆚 RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA Post Mpya
Fainali ya SIMBA 🆚 RS BERKANE ilipopagwa tu Zanzibar nilijuwa ni mipango ya huyu jama FAOUZI LEKJAA
@majario LIVE

ona sasa anaanza kuumbuka kwa kuendesha mpira wa Afrika kwa Upendeleo FAOUZI LEKJAA yeye ni ✅️Makamu wa Rais CAF ✅️Mwenyekiti wa Fedha CAF ✅️Waziri wa Fedha Morocco 🇲🇦 ✅️Mjumbe wa kamati ya...

NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1 Post Mpya
NAKUPENDA BILA 46 - 50 MWISHO S1
@majario LIVE

NAKUPENDA BILA MIPAKA:46 Nilimwambia “nina kichukulio?, Dorice natamani unielewe huyo mwanaume alivyo kwanza Hapana sitaki, na unajua mimi kwasasa akili ni mwanangu tu na hata hivyo hawezi kunitaka mimi. Kwa kipi...

Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86 Post Mpya
Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86
@majario LIVE

Mwigizaji na gwiji wa sanaa za mapigano Chuck Norris amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86, huku taarita zikieleza kuwa alikuwa akiugua kabla ya kifo chake. Kwa mujibu wa familia...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
@majario LIVE

Mwandishi:lissa mwalla Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwiiii mm nafanyaje jmn?mimba hii nafanyaje mamangu na baba wakijua je?nawambia nn kuwa babake amekimbia au...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️ Post Mpya
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya ‘Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; ‘Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest