Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
20 Mar 2026
44 views
VYOTE NDANI GONGA94
BILLIONS OF LOVEππ SEHEMU YA "11"ππ½
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
"BY BABIE LOVE"
"(Alikuja kama muuza chai)"
βTwende huko na wewe mi siyo mchawi nilikuwa najilinda tu
Faster boda akaongeza speed ili asilipoteze lile gari
Yule jamaa akaendesha mpaka huko mjini zaidi
sasa cha kushangaza si akaingia sehemu moja imendikwaβ¦β¦ hospital .
πMmh anaumwa au ? Nikajiuliza
βPack hapo tuone itakuwaje nikamwambia boda
βSister eee hela inaongezeka hapa ujue , hii ni root ya pili tusijepigana makofi muda wa kulipana hela yangu alisema yule bodabodoπ€£π€£π€£π€£
βUmeniona mi maskin sana kwamba siwezi kukulipa au ? Acha wenge wewe mtoto wa kiume
Nikajifanya nimechachuka π€£π€£ hayaa ngoja tuendelee kichapo kikianza nitaimba haleluya π€£π€£π€£
Yule jamaa kwenye gari akashuka , huyooo akaingia ndani huko hospital
Na mm nikashuka nikamfuata kwa nyuma utasema nina mtu wangu humo naenda kumuona ππ
Namba ya whatsap natumia hii 0742133100 isev kabisa ili usipitwe na uhondooooo
Basi bhana nikaingia kumfuata anakoenda , hata sijui niliwaza nn mimi kumfatilia yule jamaa jmn
Nikaona anaingia chumba kimoja hivi kimeandikwa VIP β¦.. si mnajua maana ya VIP ( Very Important Person)
Mmh nikanyataaa hadi kwenye dirisha la hicho chumba kwa nyuma β¦β¦nikaanza kuchungulia kama mwizi
Yule jamaa akafika akakaa
Basi sasa huko ndani alooo kuna sofa kali vibaya mnoo , ni zile room za mambele ambazo mtu mwenye mahela ndo analazwa humo , ni mule kwenye vitanda vya rimot na umeme , sasa mimi na wewe akina kajamba nani tunalazwaga wapi π€£π€£π€£ taja tu unakolazwaga hahahaahah
Kitandani alikuwepo mtu kwingine kalala sikujua alikuwa ni nani , nikatege misikio yangu mikubwa kusikiliza wanaongea nn β¦.
βAm back boss alisema yule jamaa
βOoh β¦ fine how was your day ?
Ile sauti kutoka kitandni ilikuwa ayamotooooo π₯
Oyaa sauti ya kiume imejaa vibaya mnooo
Yaan yule aliyelala ktandani anaongea hukj anaunguruna kama simba π€£π€£ kichupi kikaanza kuloa πππhata mtu sijamuona
βWas fine boss unaendeleaje? Akajibu yule jamaa
βAm Okay ,
ππππππ
Mnajua nini ? Hata mimi sielewi kilitokea nini pale akili ikaanza kuchemka bila kutarajiaaaaa
βhope kila kitu kinaenda sawa ofisini alijibu yule aliyekuwa kitandani kalala
βExactly boss , na leo utapata vegetablesa as you requested , alijibu yule jamaaa
Sasa sikuwa nawaona nilikuwa naskia sauti tu
Ndo nikajua anhaa kumbe huyu kaka alichukua vegetables kwaajili ya boss wake!!!!! ππOyaaa
βAnd i miss eating those sambusa , how can i get it ? Yule wa kitandani akauliza tena π
Nyie ndo nikajua huyu jamaa kumbe ananunuaga misambusa mingi vile boss wake anapenda kuitafuna hahahahahahah
ππππ
MPENZI MSOMAJI WANGU MZURI β¦..
OFAA FULL STORY NAKUUZIA KWA SHILINGI
1000 tuππππ...
LIPIA SASA KWA NAMBA HII
π
Mpesa 0742133100 Diana John..
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 12
Mwandishi:lissa mwalla Kichwa kilinigonga ina mana hayaki mtoto au imekuaje?mbona sasa hapatkan na amenikatia simu uwii...
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Mwandiishi; LISSA Basi sasa mm na mke wangu tukatafuta mahari t...
π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦π¦ Nikasema sawa kama umemfahamu zena sasa, nimemuoa sasa na yeye n...
βTwende huko na wewe mi siyo mchawi nilikuwa najilinda tu
Faster boda akaongeza speed ili asilipoteze lile gari
Yule jamaa akaendesha mpaka huko mjini zaidi
sasa cha kushangaza si akaingia sehemu moja imendikwaβ¦β¦ hospital .
πMmh anaumwa au ? Nikajiuliza
βPack hapo tuone itakuwaje nikamwambia boda
βSister eee hela inaongezeka hapa ujue , hii ni root ya pili tusijepigana makofi muda wa kulipana hela yangu alisema yule bodabodoπ€£π€£π€£π€£
βUmeniona mi maskin sana kwamba siwezi kukulipa au ? Acha wenge wewe mtoto wa kiume
Nikajifanya nimechachuka π€£π€£ hayaa ngoja tuendelee kichapo kikianza nitaimba haleluya π€£π€£π€£
Yule...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/billions-of-love-sehemu-ya-11
Maoni