Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
20 Mar 2026
views
VYOTE NDANI GONGA94
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho ,
Liverpool imecheza mchezo huu kikubwa sana ,kiwango bora kuanzia safu ya ulinzi pamoja na kiungo kilikuwa imara sana kule mbele changamoto zilikuwa ndogo sana lakini walijaribu kusimama vema ,
Hivi ndivyo Liverpool imezoeleka kucheza ,hivi ndivyo watu wanataka kuona Liverpool ikicheza , Matokeo mazuri sana , Tunaisubiri Robo sasa.
Boniphace Shabani 🇹🇿
Maoni
You're not logged in
X
Login
X
signup
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
Enzi zetu Radio Free Africa ilikuwa ndiyo bonge moja la station yani unapata full vibe hakuna kubadilisha station.
Binafsi nilikuwa napenda sana vipindi vitatu pale RFA , 1 - Sindano 3 za moto, asubuhi na Fredwaa...!! 2 - Sitosahau na...
A timeless tribute — a vision where some of Indian cinema’s most cherished legends stand together, symbolising an era that shaped the heartbeat of our films.
In this imagined gathering, Dharmendra ji stands surrounded by icons like Rishi Kapoor ji, Dev Anand ji, Rajesh Khanna ...
MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?* *___________* *SEHEMU YA 01...02* Jamani maisha haya sometimes yanatufanya tufanye kila jambo ilimradi tu tuzipate hizo sasampa😁😁
Mwenzenu mimi nilitamani sana nisome ili nije kuyabadirisha maisha ya kwetu maana maisha yetu yalikuwa ni magumu kupita...
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho ,
Liverpool imecheza mchezo huu kikubwa sana ,kiwango bora kuanzia safu ya ulinzi pamoja na kiungo kilikuwa imara sana kule mbele changamoto zilikuwa ndogo sana lakini walijaribu kusimama vema ,
Hivi ndivyo Liverpool imezoeleka kucheza ,hivi ndivyo watu wanataka kuona Liverpool ikicheza , Matokeo mazuri sana , Tunaisubiri Robo sasa.
Boniphace Shabani 🇹🇿
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/full-time-at-anfield-stadium-liverpool-4-0-galatasaray-4-1-agg-szoboszlai-ekitike-gravenberch-mo-sal
Maoni