Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
Gonga94 · Stories

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa Forest Vitor Pereira akionyesha nia kubwa ya kumtaka Miroshi.

Kuhusishwa huko kunakuja baada ya kuwa na kiwango bora tangu atue Uturuki kwenye ligi ya Turkish Süper Lig ambako kwa sasa klabu yake iko nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi.

Miroshi amecheza michezo 23 kati ya 26 ya Ligi ambayo timu yake imeshuka dimbani na amefunga magoli 5 na assist.2 akiwa muhimili mkubwa sana katika eneo la ulinzi wa kati na kushoto.

Miroshi alijiunga na Göztepe msimu wa 2024/25 akitokea Shaktar Donetsk ya ambako alionyesha uwezo mkubwa na kuiwezesha timu hiyo kutwaa ubingwa wa ligi 2023/24 na kucheza michuano ya Ulaya (UEFA) yeye akwemo.

Msimu huu ameiwezesha Göztepe kushika nafasi ya 5 kwenye msimamo wa Turkish Süper Lig huku wakiwa na rekodi bora ya kuruhusu magoli machache (20) iliwa ndo timu ya pili baada ya Galatasaray (18) kwa kuruhusu magoli machache.

Mechi ijayo Göztepe watamenyana na Galatasaray huku kukiwa na vita ya Miroshi na Osimhen 🔥🙌

Miroshi alijiunga na Göztepe kwa mkataba wa miaka 4 hadi June 30, 2028 ba kwasasa thamani yake sokoni ni €3.5m

Takwimu zake akiwa na Göztepe msimu huuu
Mechi 25 (17 kaanza)
Dakika alizocheza 1,625
Magoli 01
Assist 01
K.Njano 07
Av. Rating 6 84

NB; Miroshi ni EPL material na kama akienda kule atakua mtanzania wa pili kucheza EPL baada ya Mbwana Ally Samatta.

Follow Kijiweni24 Tv kwa taarifa za kimichezo
#göztepe #turkish #Osimhen #galatasaray #AFCON2025 #tanzania

Maoni

You're not logged in


Tangazo - from bangi to baby fully stories 1 to 21
from bangi to baby fully stories 1 to 21
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa Forest Vitor Pereira akionyesha nia kubwa ya kumtaka Miroshi.

Kuhusishwa huko kunakuja baada ya kuwa na kiwango bora tangu atue Uturuki kwenye ligi ya Turkish Süper Lig ambako kwa sasa klabu yake iko nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi.

Miroshi amecheza michezo 23 kati ya 26 ya Ligi ambayo timu yake imeshuka dimbani na amefunga magoli 5 na assist.2 akiwa muhimili mkubwa sana katika eneo la ulinzi wa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/novatus-dismas-miroshi-kutua-nottingham-forest-inayoshiriki-ligi-kuu-uingereza-epl

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle #BeautyBattle #AfricaVsWorld #Tanzania #Kenya #Congo #Rwanda #Burundi #SouthAfrica #USA #VoteNow #DebateTime #Trending <br>

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi novatus-dismas-miroshi-kutua-nottingham-forest-inayoshiriki-ligi-kuu-uingereza-epl
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 73

1.17K
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75

1.04K
SHAMIRA 114 mwisho ni 115

SHAMIRA 114 mwisho ni 115

636
SHAMIRA 112 na 113

SHAMIRA 112 na 113

604
LETICIA 7-----------14

LETICIA 7-----------14

231
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76

215
BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "9_10"💓😽

BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "9_10"💓😽

190
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11

120
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?

61
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*

57

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.85K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.57K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.86K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.36K
MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGU❤️ sehemu ya 119 na 120.

2.97K
MY WANGU❤️ sehemu ya 108

MY WANGU❤️ sehemu ya 108

2.96K
MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

MY WANGU❤️ sehemu ya 116 na 117

2.8K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.75K
MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

MY WANGU❤️ sehemu ya 106 na 107

2.68K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.63K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 76
@majario LIVE

🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈🦈 Basi mm nikaingia ndani ya gari yangu, nikiona tabasamu la mke wangu,na akanifungulia geti, uku akiwa ana tabasamu pana tu mke wangu, basi mi apo niktoa gari na ndo nikaanza...

JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11 Post Mpya
JOGOO WA KIENYEJI sehemu ya 11
@majario LIVE

🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓🐓 Mwandishi:lissa mwalla Sikumsukuma wala,na sikujiskia ile vibaya wala,nikasema tu jmn Keanu si uniachie watu watatuona,akaniangalia akasema okay kweli watu watatuona,akasema nakutakia usikumwema,nikacheka aniaksema sawa asante nawe pia.akasemaingia ndani mm ndio nitaondoka,nikasema...

Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) Post Mpya
Novatus Dismas Miroshi kutua Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL)
@majario LIVE

Nyota wa kimataifa wa Tanzania Novatus Dismas Miroshi anayekipigia katika klabu ya Göztepe S.K anahusishwa na kujiunga na klabu ya Nottingham Forest inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza (EPL) huku kocha wa...

*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5* Post Mpya
*IN LOVE WITH YOU ZURI❣️❣️* *1-5*
@majario LIVE

*_________________________________________* *SEHEMU YA : 01* ANZA NAYO.... Ni katika jiji la Dar es salaam katika familia moja ya kitajiri sana, tunamuona binti mrembo, mrembo sana ambaye alikuwa na macho kama gololi na umbo...

◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM  Liverpool 4-0 Galatasaray  ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️ Post Mpya
◾️FULL TIME AT ANFIELD STADIUM Liverpool 4-0 Galatasaray ( 4-1 Agg ) Szoboszlai ⚽️ Ekitike ⚽️ Gravenberch ⚽️ Mo Salah ⚽️
@majario LIVE

Liverpool inatinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa kishindo kabisa nyumbani, ushindi ambao wali stahili kuanzia dakika ya kwanza ya mchezo mpaka mwamuzi anapuliza kipyenga cha mwisho , Liverpool...

SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa? Post Mpya
SWALI: Je, vipi Idi ikiaangukia kuwa ni siku moja na Ijumaa ? Inapasa Waislamu wasali sala zote mbili jamaa?
@majario LIVE

JIBU: Hili ni swala lenye khitilafu baina ya ‘Ulamaa. Wako walioona kwamba Muislamu aswali Swalaah zote mbili; ‘Iyd na Ijumaa kwa Jamaa’ah, na wako walioona kuwa akiswali Swalaah moja baina...

Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF, Post Mpya
Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) linasema kombe na medali za AFCON 2025 'hazitaondoka nchini' na linapanga kupinga uamuzi wa CAF,
@majario LIVE

- Viongozi wamesisitiza kuwa pambano hilo halijaisha, huku baadhi ya wachezaji wakituma ujumbe mzito mtandaoni na kauli za 'njoeni mpige picha na kombe', Senegal inaita uamuzi huo kuwa si wa haki...

STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO. Post Mpya
STATEMENT ON THE DECISION BY THE CONFEDERATION OF AFRICAN FOOTBALL (CAF) TO WITHDRAW THE AFCON 2025 CHAMPIONSHIP FROM SENEGAL AND AWARD TO MOROCCO.
@majario LIVE

March 18, 2026 In football, the Laws of the Game are clear: the referee on the pitch is the final authority on decisions made during the match. Once play is allowed...

MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI Post Mpya
MATUKIO YA TIMU KUSUSIA MCHEZO NA KUTOKA UWANJANI
@majario LIVE

Mwaka 2007 , Wachezaji wa Lille walitoka uwanjani baada ya Gigs kufunga goli kwa mpira faulo [ Alipiga haraka ] muda ambao Lille walikuwa ndio wanaweka ukuta 2013, Kelvin Prince...

SHAMIRA 114 mwisho ni 115 Post Mpya
SHAMIRA 114 mwisho ni 115
@majario LIVE

( MWISHOOO ) 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀🏀 SHAMIRA Sehemu ya 114 Wassap; 0742443214 Mwandishi; lissa wa huru media Aseèe nilikuwa sinanngibu kabisa nikasiki malngo unavunjwa apk mimi jilikuwa napata maumivu makari mno ya tumbo yani sama...

AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75 Post Mpya
AFANDE MILLAN😎 Sehemu ya 74 na 75
@majario LIVE

Daaah apo na mm nilishachanganikiwa ,nikabaki nimemshika mkono zena sasa, nimemshika tu mke wangu kumtuliza, ila.wapi zena ana hasira ana lia tu, ananambia anataka twende viwege, akahakikishe uko kuna nani,...

LETICIA 7-----------14 Post Mpya
LETICIA 7-----------14
@majario LIVE

💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍💍 LETICIA Sehemu ya 7 na 8 Mwandishi; LISSA Basi hata hatukukaa sana wazazi wakarudi saa 3 ,na wakawa wanalalamika wamechoka walipitiliza kuoga na kulala ata chakula hawakula ,mama alisema wamekula uko walikotoka.​ Mimi...

wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. Post Mpya
wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya.
@majario LIVE

Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya. K sal ft ferooz Mwana mkiwa Hii ngoma ilivuma sana miaka ya 2000, baadaye K sal akatoa ngoma ingine aliofanya na Mandojo...

BILLIONS OF LOVE💓💓   SEHEMU YA "9_10"💓😽 Post Mpya
BILLIONS OF LOVE💓💓 SEHEMU YA "9_10"💓😽
@majario LIVE

"BY BABIE LOVE" Chap yule jamaa akashuka kwenye gari na mzigo wake wa mboga , akashika sijui ni kisimu akakibonyeza chwaaaaaa chapuuuuuuu geti waaaaa likafunguka akaingia ndani bahati nzuri ...

SHAMIRA 112 na 113 Post Mpya
SHAMIRA 112 na 113
@majario LIVE

SHAMIRA Sehemu ya 112 Mwandishi; HURU MEDIA HAIPINGWI NI CHAGUO LA WASOMAJI ) Basi mnazni jilillala sikuweza kulala ata kidogo. Nikashika vhini ya ile lodge kulikuwa na bar .aseee ndo jimaahiza pombe...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest